Vunja mbavu! 🤣 Baba wa Taifa Nyerere alivyowachana CCM! 🤣

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 ก.พ. 2023
  • Mwaka 1995, Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere aliita mkutano wa waandishi wa habari na kuzungumzia hatma ya nchi ikiwemo ya uchaguzi mkuu wa kwanza wa vyama vingi! Hakumungunya maneno! Msikilize ucheke!

ความคิดเห็น • 37

  • @haggaiandagile6232
    @haggaiandagile6232 ปีที่แล้ว +6

    Mzee umetuachia janga huku, watoto wako wanauza nchi😢

  • @honestmsigwa920
    @honestmsigwa920 ปีที่แล้ว +5

    Hapa ccm jifunzeni kusema ukweli na uwazi huyu alikuwa muhasisi kweli kweli.

  • @maskarena2544
    @maskarena2544 ปีที่แล้ว +4

    Pumziika hutawahi sahulika maana Sera ZAKO hazikuwa Siri.

  • @winifridarutaindurwa182
    @winifridarutaindurwa182 ปีที่แล้ว +4

    R.I.P Baba,

  • @MadichamaliyJames
    @MadichamaliyJames 6 หลายเดือนก่อน

    Kweli kabisa ni ujumbe mzuri 2025

  • @SaleheKizamile-pf5js
    @SaleheKizamile-pf5js 6 หลายเดือนก่อน

    Kiongozi waukweli mwalimu mungu akulelemu nchi imeuzwa

  • @mossyfimbo3577
    @mossyfimbo3577 ปีที่แล้ว +1

    Nilimpenda huyu baba mpaka leo yaani utacheka mpaka

  • @ajgasharia1247
    @ajgasharia1247 6 หลายเดือนก่อน

    Wazanzibar hatusamehe

  • @vincentauxerbius7554
    @vincentauxerbius7554 ปีที่แล้ว +2

    R.i.p baba

  • @Abs-tz8dl
    @Abs-tz8dl 3 หลายเดือนก่อน

    Huyu mzee katuangamiza na ccm, alishajua ccm ni majambzai

  • @ajgasharia1247
    @ajgasharia1247 6 หลายเดือนก่อน

    Ukristo uliutetea sana wazanzibar umetufukarisha

  • @stanleymhozi7590
    @stanleymhozi7590 6 หลายเดือนก่อน

    Mh

  • @evansm8802
    @evansm8802 10 หลายเดือนก่อน

    The ka man was too clever. No wonder he kept Tanzanian primitive for decades. Eti mwalimu ni nabii. After watching cnn all night, then in the morning he announces on radio TZ .kkkkkkkk

  • @omarymnuru8746
    @omarymnuru8746 ปีที่แล้ว +1

    Alikuwa anasema ukweli hata kama unahusu CCM

  • @tinershayo6191
    @tinershayo6191 ปีที่แล้ว +1

    Siri ili watuibie

  • @hidayaswai3119
    @hidayaswai3119 ปีที่แล้ว +1

    mna uhakika ni jinsia moja au kuropoka tu. kutaka Sauti zenu zisizoeleweka zisikike kwa habari zenu zisizo na uhakika. ni mwanza au Geita. Nachukia baadhi ya wanahabari msojua ethics ya kazi. kuropoka ovyo tu. mnatukose sana. hii ndo maana Hayati JPM aliwakataza

  • @mrangi4454
    @mrangi4454 11 หลายเดือนก่อน

    Katie watu umasikini miaka 24 sukari unga foleni naunalazimishwa kipande cha sabuni buni ndio uuziwe sukari kilo moja na unga kilo moja

  • @cairoshampeny
    @cairoshampeny 11 หลายเดือนก่อน

    IVI CCM HAWAJIFUNZ KWAUYU MZEE

  • @mrangi4454
    @mrangi4454 11 หลายเดือนก่อน

    Na wewe ndio ulikua hukubali vyama vingi

    • @alexmnunduma9276
      @alexmnunduma9276 11 หลายเดือนก่อน

      Huna unachokijua ndugu, kabla ya vyama vingi kuidhinishwa mwaka 1992 ilifanyika kura ya maoni kwa wananchi wakaulizwa kama wanataka vyama vingi au mfumo wa chama kimoja uendelee. Asilimia 80% walikataa na asilimia 20% ndiyo walitaka vyama vingi. Huyu mzee ndiye alisema hawa wachache waliokubali vyama vingi wasikilizwe. Kuanzia hapo vyama vingi vikaruhusiwa nchini hata kama waliokubali walikuwa wachache.

    • @rogersiddy
      @rogersiddy 6 หลายเดือนก่อน

      ​@@alexmnunduma9276Kweli hana anachokiongea kbs maana huyu mzee angesema akae madarakani miaka yote adi mwisho wa maisha yake kama MUSEVENI au KAGAME ingewezekana sana tu lkn alitoa fulsa kwa wananchi kwa kuitisha vyama vingi ili wachague kiongozi wanaemtaka

    • @tinnahagustinolyelu4247
      @tinnahagustinolyelu4247 3 หลายเดือนก่อน

      Asante Kwa kutusaidia jambo

  • @jamilashabani8580
    @jamilashabani8580 ปีที่แล้ว +1

    Allah akupunguzie adhabu ya kaburi

    • @alisaidabdallah1480
      @alisaidabdallah1480 ปีที่แล้ว +1

      Kafiri makazi yake jahanam tuu

    • @jamilashabani8580
      @jamilashabani8580 ปีที่แล้ว +1

      @@alisaidabdallah1480 Allah Ndio Mtoa hukumu Sisi hatujui Na tumekatazwa kumkadiriaa Mtu Hivyo hata kama Ila Allah Ndio Anajua sisi ni kumuombea tuu

    • @alisaidabdallah1480
      @alisaidabdallah1480 ปีที่แล้ว

      @@jamilashabani8580 ww mgojwa wa Akili hata dini yako huijuwi nenda madrasa ukasome Dio ujuwee kafiri makazi yake ni motoni tuu na chakula chake ni usaha na damu za moto ya makafiri wenzake tuu

    • @jamilashabani8580
      @jamilashabani8580 ปีที่แล้ว

      @@alisaidabdallah1480 Hata kama motoni Allah anakataa kumuhuku Binadamu mwenzio hali hujui amali zake jee kama makazi yake motoni
      akiwa mbele yako waweza muambia Maneno hayo unayo yaandika kiwa kafiri makazi yako motoni au wasema ⁷bu hayupo na hakuoni Ndio waweza sema hivyo
      nenda kwa mkristo mmoja kamuambie Hayo Maneno yako kuwa makazi yako ni motoni kama una weza
      Ndio ujee Useme Mimi ni Mgonjwa wa Akili
      kuongea ni Rahisi ila kutenda ni Nguvu

    • @missangela6720
      @missangela6720 ปีที่แล้ว

      Kaburini hakuna adhabu wewe, hadi kiama