Masifia nini vituo lm hiv vya tv vinatakiwa kufungiwa sijui kwann wahusika wanawaachia.sasa walikuwa na mantiki gan kuandika headline hii iliyopo wakati ndani story haihusiani na na kichwa cha habar yenyewe ni uhuni tu na wizi mpenja,milad, na baadhi wataendelea kukimbiza sn sio hawa wahuni ni wizi huu
Huyu jamaa ni nani anajua mnoooo anachambua soka hata kama hujui unaelewa thanks my bro
Asante. Sana. Mchamby. ISIKE. Waaambie. Ukweli. Lakini. Kuna. Watu. Watakubeza. Na. Watu. Kama. Hao. Wapo. Mimi. Sishangai. Sana. Kwani. Kuna. Watu. Walimubeza. Hata. YESU
Kila Nabii alipata upinzani sio Yesu tuu.
Chama ni nguzo ya nyumba. Subirini maajabu atakayo fanya.
Br mpira unaujuwa kweli Ahsante
Kweli unafaa kwa uchambuzi wa mpira bro hongera xana
Mwamba upo vizuri ki Uchambuzi wa soka saluti kwako kaka
Very very nic
Wewe unajua lakini unajificha ,kaka unajuaa sana sanaððð
Watasema Sana yanga ni wazuri
Kaka chama ana b tatu
Charles Boniface Mkwasa. UNAMFAHAMU HUYU Mwamba.
Mwaka huu ni mwaka Yanga itazungumzwa Duniani. Watacheza mpira utakao shituwa Africa na Dunia.
kwakweli kinzumbi tukimpata makolo mutasema ungali ni unga
ABEID MZIBA. UNAMFAHAMU HUYO?
Masifia nini vituo lm hiv vya tv vinatakiwa kufungiwa sijui kwann wahusika wanawaachia.sasa walikuwa na mantiki gan kuandika headline hii iliyopo wakati ndani story haihusiani na na kichwa cha habar yenyewe ni uhuni tu na wizi mpenja,milad, na baadhi wataendelea kukimbiza sn sio hawa wahuni ni wizi huu
Yaan
MAKUMBI JUMA unamjua huyo
Mchambuzi haunabaya unajuakaziyako
Br ww ukopoa mmnooo unajua br so siri
Br mpira unaujuwa kweli Ahsante