Singida Foutain walieleza kuwa Yanga walikiuka mkataba. Yanga hawakupaswa kuweka pesa bila kujibu barua ya Singida iliyowapa maelekezo baada ya yanga kukiuka makubaliano.
Hans Rafael kuna wakati hutaki kukubari lakini Founten gate ndio wauzaji wa mchezaji sasa kinachokupa ugumu ni nini maana kila jambo lipo wazi walikiuka utaratibu hivyo acha kulalia upande wa Yanga fuatilia kwa umakini usilete mahaba binafisi tayari mchezaji yupo Simba kwa utaratibu rasmi, mwanasheria wa Yanga Sina uhakika naye maana aliwaingiza yanga chaka kwa morison
We jemedari si unasemaga hao singida ni yanga sababu ya mwigulu sasa nadhani umeelewa mwanachama wa Simba au yanga anaweza kumiliki team na isiipendelee team anayoipenda
Huyu Hans ni mchambuzi ama mtetezi wa Yanga? Umeshaambiwa Yanga walishakubali pesa walichelewa kwahiyo wakazitumia kwa Andambwile. Mbona sioni akiongelea Yanga kuwa vigeugeu? Kwani Yanga walirudishiwa pesa, wanaidai Singida ama waliuziwa mchezaji mwingine badala ya Kagoma?
Masuala ya sheria hayazungumzwi na wanasheria tu maana yake nini Mtangazaji? Acha mahaba kila jambo lazima lizungumzwe na mwenye ufahamu nalo sio kila mtu anaweza kuzungumza chochote
Kwa mujibu wa Sheria ya FIFA ya usajiri Sheria ya 12bis kifungu cha 3 kinasema "mdaiwa asipomlipa mdai kwa Muda wa siku 10 baada ya Muda wa makubaliano kupita ndio mkataba automatically utavinjika, lakini yanga walichelewa kulipa siku 6 baada ya makubaliano ya kawaida kupita, kwaiyo Yanga wapo sahihi kwenye malipo.
Huyo dogo alianza uchambuzi vzr ila Sasa anatanguliza mahaba kuliko uhalisia km singida walimuuza kagoma yanga kwanin yanga hawawashitaki singida Kwa kuuza mara mbili??? Has acha bahasha chambua Mpira Bado mdogo wewe utajihabia wewe
Gongo wazi hawana akili hata kidogo mchezaji anaangalia maslahi yake binafsi.wewe mchezajigani atakubali akavunjike miguu alafu alipwe milion2?akivunjika miguu matibabu milioni40 hawa yanga wahuni hata manara alishasema wote kichwani wanatoka moshi wa moto
Hii issue itawala yanga pakubwa swali jepesi yanga ilikua imefungiwa na fifa kufanya sajili hiyo miezi kivipi wao waliendelea na usajili na kwann mwanasheria atoke hadharani wkt anajua yanga ilikua imefungiwa na ilifunguliwa lini..??
Mm Kwa ufahamu wangu mdogo naomba niulize swali . Kwa mfano baada ya kagoma kasain yanga na ikatokea amewasili kambini yanga huku nyuma simba ofa Yao ikafika singida je kagoma angerudi na kusema anaenda simba au singida wange mwambia Rudi tumepata ofa nono kutoka Simba achana na yanga?
huyo jemedari hueaga hachambui kiueledi hususani kwa yanga,,,, wachezaji wengi kwa sasa walio ligi kuu malipo yao walio wengi hawajalipwa hela zao zote wakiwemo wa simba,,
Nime fatilia sana mijadala ya Hans na Jemedari na nime gunduwa Hans hapendi kuonekana anacho kichangia sicho sahihi ana lazimisha aonekane yupo sahihi.
Kuna muda tunaweza halalisha wizi kwa maslahi tu .. Jemedari siku ukidhumiwa haki yako kwa njia hii ndo utajua hans anamaanisha nn .. Singida walipokea pesa ya simba akijua watarudisha hela ya yanga easy maisha yataendelea na wakawapa simba release letter .pengine yanga aliomba release letter nakanyima angefanyaje kikubwa hapa kwamaslah mapana ya soka letu hii kitu itolewe adhabu tu .
Hans muache kuyyajadili haya, mnayakuza. Kuyakuza mnaiweka Yanga matatizoni. Ebu mjaribu kujadiri kidogo juu ya YANGA kuzuiliwa kusajiri wachezaji. Ivi akija KAGOMA akasema nilisain mkataba wa pili baada ya kugundua YANGA ilizuiliwa kusajiri. Asa hapo akaenda na maelezo hayo KAS nin itatokea kwa YANGA?..
Hapo upo kazini na unalipwa kwa hicho unachokizungumzia kwa usitaje tasisi unataja eti mwanasheria wao na hata muongozaji wa kipindi hakulekebishi yaaani dar.
Inshu ya Lameck Lawi, na inshu ya Kagoma, inaonyesha inakalibia kufanana, pesa walitoa nusu, ndani ya makubaliano ya kumalizia pesa waka chelewesha, maana yake ni kwamba, mkataba ume vunjwa na wanao mtaka mchezaji, kwa hiyo acheni ushabiki ktk uchambuzi.
Hapana hazifanani Lawi Simba waliambiwa kuna dili likitiki mkataba utavunjika na Sakai in alia a, lakini Simba kwa vile haina watu makini ndio maana usajiri wao mwingi umekuwa magumashi
kuonyesha kwamba swala la kagoma lilishindikana ndiomaana wakaamua kumchukua Aziz Andambwile , Istoshe yanga mwezi wa nne mpk wa sita walikua wamefungiwa kusajiri sasa 😂walimsainishaje mchezaji wkt wamefungiwa? Ishu ikienda FIFA yanga mmekwisha
Wachambu low quality kabisa. Wanafanya hitimisho kwenye mambo ambayo hawana uwelewa nayo. Walipaswa watuambie sheria za FIFA na TFF zinasemaje. Huyu dogo ndio kanichefua kabisa
Sasa kama hujaona unaongelea Nini halafu kwenye Maktaba hakuna Malipo ya Milion 15 Jemedari Kusema wamelipa wachezaji wawili wewe ndio unawapangia Yanga wao hawajatamka Wana mlipia kibabaje
Sikutegemea kama Hans naye hajui kuhusu taratibu za usajili wa wachezaji wa Soka. Nikwambie wazi kuwa 1. Singida hawana makosa, 2. Kagoma hana makosa 3. Simba hawana makosa 4. Yanga ndo wazinguaji kwenye mkataba huu. Unataka kutuambia Mpk Yusuf Kagoma anasajiliwa Simba alikuwa Mchezaji wa Yanga kweli? Kusaini na kuweka fole gumba inakufanya kuwa tyr ni mchezaji wa timu hivyo? Kwa nini Yanga hawamshitaki Singida FG kama ndo Mmiliki na wa Mchezaji au kwa sababu unaamini tayari alikuwa mchezaji wa Yanga? Kwa nini Yanga hawataji kiasi cha pesa wanachondai kama kweli alikuwa pesa zao? Kwa nini Yanga hawakupeleka jina la Yusuf Kagoma pale TFF? Aziz Andambwile anacheza kwa mkataba gani? Na kwanini mnalinganisha mgogolo huu na wa Lameck Lawi? Simba walilipa fedha ya Lameck lawi kwa sababu walikuwa hawajapewa barua ya kuvunja mkataba wa makubaliano. Yanga walipewa barua ya kuvunja mkataba wa makubaliano na hawakujibu.
Juma Ayo panic ya nini?Hao uto walifanya vipi usajili wakati FIFA walikuwa wamefungiwa kufanya usajili? Pia Hans acha ushamba kufanya uchambuzi kishabiki kaa kwenye weledi wa kazi yako. Mwisho, mbona hao uto hawaoneshi jinsi walivyo msajili Aziz Andambilwe?
Jrmadari, acha ujuaji. Kuna utaratibu wa kisheria hata pale unapotokea ucheleweshaji wa malipo. Kwa mfano, ku-take effort kumkumbusha mdaiwa. Pili, kwa nini wamtoe Kibabage na siyo Kagoma? Kwa nini hawasemi Yanga walivunja mkataba kwa Kibabage?
Huyu brother mwenye shat jeupe ana jua kazi yake sn
Yupo nondo sana
Hans unafos vitu hahahaaa, tumia hoja kk sio mapenzi ya timu
@@ezzepuritykamwene2121Halafu aegemei upande Wowote uke yy anataka ukweli tu ujulikane na haki hipo wapi? Yupo Vizuri kipara
Sawa kabisa km Lawi tu
Daaaah! Juma Ayooo unajuwa sanaaaaaa
Singida Foutain walieleza kuwa Yanga walikiuka mkataba. Yanga hawakupaswa kuweka pesa bila kujibu barua ya Singida iliyowapa maelekezo baada ya yanga kukiuka makubaliano.
Jemedari upon sahihi mengine hapo viburudisho
Mlitakiwa kujua tofauti kati ya Void and voidable contracts
Hans hana maarifa mazuri ya suala la mkataba
Muulize je unaweza kulipa pesa Bank bila kuelekeza unalipa za Nini na nani anatakiwa kuzipata?
Singida Fountaim likuwa Buyer kweli?
Hv unaweza kufanya biashara ya kwanza bila malipo halafu ya pili ulipwe ,tatizo walijiamini pale kwao
Hans Rafael kuna wakati hutaki kukubari lakini Founten gate ndio wauzaji wa mchezaji sasa kinachokupa ugumu ni nini maana kila jambo lipo wazi walikiuka utaratibu hivyo acha kulalia upande wa Yanga fuatilia kwa umakini usilete mahaba binafisi tayari mchezaji yupo Simba kwa utaratibu rasmi, mwanasheria wa Yanga Sina uhakika naye maana aliwaingiza yanga chaka kwa morison
Kweli Hans anaropoka hana anachojua zaidi ya kuwa shabiki wa utoo
Yaani watu wameelezea kila kitu bado anarudia rudia maneno yale yale kama kasuku. Hovyo kabisa huyu jamaa. Hata kama amelipwa atumie akili
Wachmbuzi acheni unafki mmesha ambiwa ukweli na fonten geti mnataka nini tena msichambue kima penzi ya yimu zenu acheni ushamba
We jemedari si unasemaga hao singida ni yanga sababu ya mwigulu sasa nadhani umeelewa mwanachama wa Simba au yanga anaweza kumiliki team na isiipendelee team anayoipenda
Ila haya mambo haya😢😢
Ww hans acha ushabiki wakijinga
Hans ni Mchambuzi Muongo sana tena Muongo Mkubwa alisema Simbasc watafungwa msenge
Unauhakika Gani dolegumba nila kagoma?
Mbona dogo si mwelewa Mimi msikilizaji nimeelewa kwamba kilichomkuta Simba ndicho kinacho watafuna yanga
Wewe ulimuona kagoma anasaini?
Hans anajikanyaga sana mwishowe anaonekana kama mtetezi sio mchambuzi
Singida wamesema ukweli kbs Yanga wababaishaji
Uchambuzi wa Hansy uwa niwakitoto zaidi
Hans ni mchambuz mzur , ila tatizo lake ameweka ushabiki mbele kuliko uhalisia wa mambo
Kwa vile hayuko upande wako!!
Wewe acha ujinga
Hyo hans mbna kma anaongea k2 ambacho akijui
Huyu Hans ni mchambuzi ama mtetezi wa Yanga? Umeshaambiwa Yanga walishakubali pesa walichelewa kwahiyo wakazitumia kwa Andambwile. Mbona sioni akiongelea Yanga kuwa vigeugeu? Kwani Yanga walirudishiwa pesa, wanaidai Singida ama waliuziwa mchezaji mwingine badala ya Kagoma?
Acha tu Mjuaji sana
Kazi yake ni kuongopea umma
yanga hawana chao
Hans unaforce uchambuzi wakati hujui
Masuala ya sheria hayazungumzwi na wanasheria tu maana yake nini Mtangazaji? Acha mahaba kila jambo lazima lizungumzwe na mwenye ufahamu nalo sio kila mtu anaweza kuzungumza chochote
Sasa hans kama hujui unaongea nini broo .kitu kama hukijui usiropoke
Hivi wakati yanga wanafanya sajili hizi walikuwa wamefungiwa na fifa? Nakama walikuwa wamefungiwa je ilikuwa harali kufanya usajili?
Huyu dogo ana mapenzi na yanga muacheni jamani
Wake mezan wazungumze na yanga inazungumuzika
Shida co jemedar shida ni mwanasheria wenu utopolo
Huyu jamaa mwenye kipara fala sana asee😂😂
Usichukie mtu sikiliza maelekezo sahihi
Kwa mujibu wa Sheria ya FIFA ya usajiri Sheria ya 12bis kifungu cha 3 kinasema "mdaiwa asipomlipa mdai kwa Muda wa siku 10 baada ya Muda wa makubaliano kupita ndio mkataba automatically utavinjika, lakini yanga walichelewa kulipa siku 6 baada ya makubaliano ya kawaida kupita, kwaiyo Yanga wapo sahihi kwenye malipo.
😂😂....aisee
Hata huyu dogo huwa hawezi kuwasema yanga vibaya. Kwa hiyo ni ngoma dro
Huyo dogo alianza uchambuzi vzr ila Sasa anatanguliza mahaba kuliko uhalisia km singida walimuuza kagoma yanga kwanin yanga hawawashitaki singida Kwa kuuza mara mbili??? Has acha bahasha chambua Mpira Bado mdogo wewe utajihabia wewe
True
Mm naomba kujua wachambuz na wao wanafeed data kama ss au wao wanaingia ndan zaid harafu wakija kudiscuss wanatoa majibu kamili ###
UKIWAANGALIA VZR HAO WAANDISHI UTAJUA TU HAWAIVI CHUNGU KIMOJA 😢
Ushabiki na uchawa unawatofatisha
Sahh
Jemedari hawezi kusemea Yanga vizuri
We hansi unazingua tu inaonekana wewe ni yanga acha ujinga mchambuzi gani wa mchongo tu
Hata kama wamefanya ushubwada awasifie tu
@@mohamediddi451amekula cha watu ndio maana anakuwa mjinga mjinga
Ata uyo Hansi anakuwa mjinga mjinga tu
Subiri hiyo vizuri sisi tunaogea ukweli
Hii redio imejaa wanasimba
sasa je,Ilê milion 30 ya pili singida waliludisha?
Wachezaji wenyewe wa bei nafuu😂😂😂😂
Kwani ni haki ya Fountain gate ndio yenye haki ya kuwaamulia Yanga wawe na mchezaji gani?
Gongo wazi hawana akili hata kidogo mchezaji anaangalia maslahi yake binafsi.wewe mchezajigani atakubali akavunjike miguu alafu alipwe milion2?akivunjika miguu matibabu milioni40 hawa yanga wahuni hata manara alishasema wote kichwani wanatoka moshi wa moto
@@saimonntani6831 Rage naye akapiga kichwani yaani nyie wooooteeee ni mbumbumbu kama Jemedari
Hii issue itawala yanga pakubwa swali jepesi yanga ilikua imefungiwa na fifa kufanya sajili hiyo miezi kivipi wao waliendelea na usajili na kwann mwanasheria atoke hadharani wkt anajua yanga ilikua imefungiwa na ilifunguliwa lini..??
Yaani wewe ndio kichaa kabisa!
Yanga walikuwa wanadaiwa pesa ya kibabage hawataki kulipa wanatakakulipa ya kagoma singida wamekata deni wangepasha kulipa deni kwanza
Mm Kwa ufahamu wangu mdogo naomba niulize swali . Kwa mfano baada ya kagoma kasain yanga na ikatokea amewasili kambini yanga huku nyuma simba ofa Yao ikafika singida je kagoma angerudi na kusema anaenda simba au singida wange mwambia Rudi tumepata ofa nono kutoka Simba achana na yanga?
Mnasumbuka kukauliza maswali yanayohusu yanga kajemedari mnapoteza mda Ako ni kolo ko kaacheni tu
Jemedar je umeiona barua ya kutoka upande wa pili
Yanga wababaishaji...
Ongeo yote lakini mwisho wa hili sakata ndio tutajua nani ni nani
huyo jemedari hueaga hachambui kiueledi hususani kwa yanga,,,, wachezaji wengi kwa sasa walio ligi kuu malipo yao walio wengi hawajalipwa hela zao zote wakiwemo wa simba,,
Nime fatilia sana mijadala ya Hans na Jemedari na nime gunduwa Hans hapendi kuonekana anacho kichangia sicho sahihi ana lazimisha aonekane yupo sahihi.
Mahaba yamemzidi wakati jambo lenyewe ni la kisheria
Na kipara wako vipi? Au yeye yuko sahihi?
Muhaya
Kwel kbx
Dolegumba lilikuwalako sio Kagoma.
Kuna muda tunaweza halalisha wizi kwa maslahi tu .. Jemedari siku ukidhumiwa haki yako kwa njia hii ndo utajua hans anamaanisha nn ..
Singida walipokea pesa ya simba akijua watarudisha hela ya yanga easy maisha yataendelea na wakawapa simba release letter .pengine yanga aliomba release letter nakanyima angefanyaje kikubwa hapa kwamaslah mapana ya soka letu hii kitu itolewe adhabu tu .
Tatizo la hans ana mahaba
Hans muache kuyyajadili haya, mnayakuza. Kuyakuza mnaiweka Yanga matatizoni. Ebu mjaribu kujadiri kidogo juu ya YANGA kuzuiliwa kusajiri wachezaji. Ivi akija KAGOMA akasema nilisain mkataba wa pili baada ya kugundua YANGA ilizuiliwa kusajiri. Asa hapo akaenda na maelezo hayo KAS nin itatokea kwa YANGA?..
Yaani wewe ni ng'ombe kabisa
Angalieni iyo kishati alicho vaa mchambuzi wenu...😂😂
Wapi signing fee ya kagoma mbali na mkataba
Hao wachambuzi wawili mmoja atajitenga ni mafahar wawili
Tujiulize kama Yanga wamemsajiri Kagomà u la!
Hapo upo kazini na unalipwa kwa hicho unachokizungumzia kwa usitaje tasisi unataja eti mwanasheria wao na hata muongozaji wa kipindi hakulekebishi yaaani dar.
Hawezi kusemea yanga vizuri kwa nini we fara nini
KWANI KAGOMA ALISAIN MKATABA AU WALIMPA KISHIKA UCHUMBA TU.
Msisaau kuwa kipindi icho yanga walifungiwa
Wewe mkataba unasema watalipa kwa awamu mbili 15 then 15
Wewe JEMEDARI hiyo barua umeiona au
Shida wapi simba wanakakoma yanga wana mzee magoma
Inshu ya Lameck Lawi, na inshu ya Kagoma, inaonyesha inakalibia kufanana, pesa walitoa nusu, ndani ya makubaliano ya kumalizia pesa waka chelewesha, maana yake ni kwamba, mkataba ume vunjwa na wanao mtaka mchezaji, kwa hiyo acheni ushabiki ktk uchambuzi.
Hapana hazifanani Lawi Simba waliambiwa kuna dili likitiki mkataba utavunjika na Sakai in alia a, lakini Simba kwa vile haina watu makini ndio maana usajiri wao mwingi umekuwa magumashi
Jemder kila kitu yanga kibaya
Jemedari hana akili
Yanga nimajambazi kama majambazi wenngine.wanaleta ujanja ujanja kwenye ussajjili .hawanaishu hizo nikelele zachura tembo hazimtishi kuunywa majji
Mchambuzi hapo ni hans tu nyingine nyumbu 😂😂
Wewe sio singinda kubali yanga wanamakosa, yanga wallpaper kagoma tsh ngapi
Hans unayumba.
Kwanini uelezee husivyovijua?Eti hujui kama hela ilielekezwa kwa malipo ya Kagoma.Kwanini yanga wasimshitaki Fountain gate?
Simba hawakuandikiwa barua ya kuvunja Mkataba?
Huyu Juma Ayo mpelekeni shule. Sidhani kama anaelewa anachoongea
Hans kupendelea upande mmoja unakuondoa kuwa mchambuzi Wa mpira, mchambuzi hatakiwi kupendelea timu yake hata kama imekosea
Kuna siku zikipita unakuwa umevunja mkataba kabisa Yanga wana jua wanachokifanya usifikiri wanafanya jambo ambalo hawalijui
@@sweetbertrwiza5982 weka akiba ya maneno boss siku ikifika usije kosa neno.
Nani kamruhusu jemedari aingie kuchambua na hako ka shati cha 2010😂😂
Jemedari ni muhenga bhana😅
Usipomwelewa Jemedari ukampigia makofi Hans umeliwa kichwa. Hans kwenye ushu hii anapwaya balaa
Jemadar Simba wanakosa hawataki lakini huyu mwingine anaeongea point Sana mashanlah mashanlah
Kosa la SIMBA ni nn ?
Yan huyu jemedar kumbe ni lipumbavu hivi😂😂
Kwakusema ukweli?
Lilivyo vimba sasa utafikiri ni nyoka!
Nyie wahuni mnanunuliwa kwavipesavyamboga hayohayawahusu achiakamati ndowenyemajukumu maelekezo ya mwanasheria siohukumu achaprojo subilini hukumu nyie niwachambuzi nasiomajaji ndomaana kesi haikaleywakwenu mnajipakazi isiowahusu
JEMEDARI will always find a way to criticize Young Africans.....
kuonyesha kwamba swala la kagoma lilishindikana ndiomaana wakaamua kumchukua Aziz Andambwile , Istoshe yanga mwezi wa nne mpk wa sita walikua wamefungiwa kusajiri sasa 😂walimsainishaje mchezaji wkt wamefungiwa? Ishu ikienda FIFA yanga mmekwisha
Jemedari hua msenge tu😂😂
Wachambu low quality kabisa. Wanafanya hitimisho kwenye mambo ambayo hawana uwelewa nayo. Walipaswa watuambie sheria za FIFA na TFF zinasemaje. Huyu dogo ndio kanichefua kabisa
Sasa kama hujaona unaongelea Nini halafu kwenye Maktaba hakuna Malipo ya Milion 15 Jemedari
Kusema wamelipa wachezaji wawili wewe ndio unawapangia Yanga wao hawajatamka Wana mlipia kibabaje
Hans hapo yanga walikuwa wamefungiwa walisajili vip
Hapo yanga walikuwa wamefungiwa dogo
Ww hansi omba ajira yanga maana ww ni chawa wa yanga
Sikutegemea kama Hans naye hajui kuhusu taratibu za usajili wa wachezaji wa Soka.
Nikwambie wazi kuwa
1. Singida hawana makosa,
2. Kagoma hana makosa
3. Simba hawana makosa
4. Yanga ndo wazinguaji kwenye mkataba huu.
Unataka kutuambia Mpk Yusuf Kagoma anasajiliwa Simba alikuwa Mchezaji wa Yanga kweli?
Kusaini na kuweka fole gumba inakufanya kuwa tyr ni mchezaji wa timu hivyo?
Kwa nini Yanga hawamshitaki Singida FG kama ndo Mmiliki na wa Mchezaji au kwa sababu unaamini tayari alikuwa mchezaji wa Yanga?
Kwa nini Yanga hawataji kiasi cha pesa wanachondai kama kweli alikuwa pesa zao?
Kwa nini Yanga hawakupeleka jina la Yusuf Kagoma pale TFF?
Aziz Andambwile anacheza kwa mkataba gani?
Na kwanini mnalinganisha mgogolo huu na wa Lameck Lawi?
Simba walilipa fedha ya Lameck lawi kwa sababu walikuwa hawajapewa barua ya kuvunja mkataba wa makubaliano.
Yanga walipewa barua ya kuvunja mkataba wa makubaliano na hawakujibu.
Jemedari ajawai kusema kitu kika nyooaka ata siku moja sijui ana ishi vipi kwenye ulimwengu wasoka
Kumbe huyu jamaa ndo nimejua leo kuwa ni shabik wa yanga kabisa yanga wenyewe wanasema kweli walichelewesha Hela yeye anasema walitoa zote
Juma Ayo panic ya nini?Hao uto walifanya vipi usajili wakati FIFA walikuwa wamefungiwa kufanya usajili? Pia Hans acha ushamba kufanya uchambuzi kishabiki kaa kwenye weledi wa kazi yako. Mwisho, mbona hao uto hawaoneshi jinsi walivyo msajili Aziz Andambilwe?
Baba yako aliuza ng'ombe akasomesha ng'mbe
Ni kwanini hawakukataa na mkataba wa kibabage kama tayari walikua yanga kavunja mkataba? FG waliamua kulazimisha kuwachangulia yanga
punguza ushabiki janja
Hansi wewe usiwe unaweka ushabiki sana ujue utaharbu
Jrmadari, acha ujuaji. Kuna utaratibu wa kisheria hata pale unapotokea ucheleweshaji wa malipo. Kwa mfano, ku-take effort kumkumbusha mdaiwa. Pili, kwa nini wamtoe Kibabage na siyo Kagoma? Kwa nini hawasemi Yanga walivunja mkataba kwa Kibabage?
Unasema mkataba unadole gumba la kagoma ulifanya vipimo ukagundua hilo gumba ni la kagoma?
Muda mwingi hansi unaonekana kuwatetea otopolo kama huwezi kuchambua mpira basi nenda kajiunge na utopolo
Umeambiw kuw akichelewesha atakuw amekiuka mkataba. Hapo umeelewaa?
Kwenden huko .ngoj tusubir majib ya kamati nyie mnapig kelele2
Si mtafuteni mwanasheria awafanunulie
Wachambuzi 😂
Hansi upo kishabiki zaidi kumbe wewe ni uto pax
huyu mchambuzi hamna kitu dole gumba la kagoma unalijua wewe kweli unaonekana umenunuliwa live.