ขนาดวิดีโอ: 1280 X 720853 X 480640 X 360
แสดงแผงควบคุมโปรแกรมเล่น
เล่นอัตโนมัติ
เล่นใหม่
Mm naona chasambi ni Bora zaidi ya balua
Balua hamna kitu kocha aache unazi awaamini chasambi ,uweso na akibu.
Alafu ukisema ugenini ugenini kweli. Mtu hata kwenda kurusha mpira unaogopa kwa fujo za mashabiki. Siyo ile away na home zote chamanzi 😂
ugenini wapi nyie manyau hamuna timu😅😅😅, watu tulipigwa mabom na bado tulishinda huko uarabuni sa nyie vichupa tu tena mnacheza na timu ambayo haipo hata 30 bora africa😅😅😅
Timu kubwa haifungiki kirahisi! Timu kubwa inapocheza ugenini watu wanajaa uwanjani!
wale jamaa walikuwa wanacheza kwa mihemko ya mashabiki
Nyie waongo, simba haikufanya mashambulizi ya maana kabisa.
Ubaya ubwela
Sasa mnang'ata maneno na kuisifia simba eehh!shame on you!🤣🤣🤣
Huu ndio ubaya ubwela sasa