Assalamu Alaykum sheikh. Hapo wanapodai aliumba kwa mfano wake, leo Alhamdulillah mumepaweka wazi kabisa. Nilikuwa nasubiri siku zote munene hivyo. Allahumma Barik
Asalam alaikum..mm naomba mumrequest pasta ndacha Kwa maswali ya Ana Kwa ana ntafurai sana..maana ni fedhuli sana anakula sadaka za watu TU..tafadhali sheikh salim
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh hawezi kukubali yeye huwa anapenda debate ya 20 minutes kila mtu na ni kupoteza watu huko one on one wasabato hawakubali
Tafadhali mjaribuni ivoivo maana 20min ata rukaruka na Aya nyingi..Ile ya kina mazinge aikunifurahisha aliongea maneno ya kuniudhi n wakristo wanafurai iliniuma kama muislamu
Ndo kila siku nasema kinachowachanganya Wakristo ni lugha tu,mpaka sasa hawajui tafsiri na kitu original,kwa mfano Kiswahili cha Tanzania na Kenya ni tofauti,so anapotafsiri Mkenya na tanzania utaona ni tofauti lakini Quran original haibadiliki
Masha'Allah
Ujumbe umefika
Cameraman ujumbe kwako tunatamani kuona wengi waliopo wakiskiliza maneno ya mungu ama muwaweke mahali tutawaona tutafurah zaidi ❤ asallamu allequm
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh inn shaa Allah
Allah awape umri na Afya muzidi kueneza Qalima ya lailaha illaAllah Muhammadan RassulluAllah
Aameen ameen ameen sote
Alhamdulilah kw Neema ya Uislamu😊
Alhamdulillah
Mzee wa skiliza khabariii... Allah akubarik, Fanya uje ufanye Daawa Tz
Aameen ameen ameen tutapanga inn shaa Allah tufike huko
Yahn.Mie.nawapenda.waadhir.wetu.mashaAllah.nawaombea.Allah.awape.mwisho.mwema....yahn.nikisikiasiku.Wapo.TZ.nakiwa.huko.maanaSasa.nipo.Oman.ilanikijuwa.wapo.TZ.namie.nipo..nitafika.niwaoneKwamacho.yako..lnshaAllah..Sikiliza.Habari.🤣🤣🤣namwenzie..Angalia.Hapa.
@@salimdaawah123mieNitafurahi.nikiwa.huko..maanasasa.nipo.Oman.kibruan.🤣🤣LlahAwalinde.yaarabi.tunaWaidhika.mashaAllah
MashaAllah Walimu Wetu ujumbe umefika
Yeah kabisa
MashaAllah
جزاك الله خير الجزاء
بارك الله فيكم جميعا وجزاك الله خير الجزاء
Assalamu Alaykum sheikh. Hapo wanapodai aliumba kwa mfano wake, leo Alhamdulillah mumepaweka wazi kabisa. Nilikuwa nasubiri siku zote munene hivyo. Allahumma Barik
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh inn shaa Allah wataelewa tu
Assalam alaykum warahmatullahi wabarakatuhu... Maa Shaa Allah...Allah awahifadhi nawapenda sana
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh tunakupenda sana kwa ajili ya Allah
Masha Allah KAZI zuri
Allah awape ndunia na akhera
Aameen ameen ameen sote
Kazi safi walimu
Inn shaa Allah mpaka kieleweke
ماشاءالله....بارك الله فيكم
Allah amuongeze nguvu amulide ampe afya dawa iendelee Allahamdhullah barikiweni sana sana kwa mafundisho bora
Aameen ameen ameen sote
Mashaalah
Asalam aleikum warahmatullahi wabarakatuh Allah awaongoze awanusuru na kila la shari
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh aameen ameen ameen sote
SUBHANALLAH
LAILAHA ILLALLAH WAHDAHU LASHARIKALAHU LAHULMULKU WALA HULHAMDU WAHUWA ALA KULLISHAIIN KADER WAANNA SAIDINA MUHAMMADIN RASULULLAHI SWALLAAHU ALAIHI WASALLIM WA BARIK ALAIHI
ALLAHUMA SWALLI ALA SAIDINA MUHAMMADIN WAALI SAIDINA MUHAMMADIN WA BARIK ALAIHI WASALLIM
Barakallahu Feek
Asalam alaikum..mm naomba mumrequest pasta ndacha Kwa maswali ya Ana Kwa ana ntafurai sana..maana ni fedhuli sana anakula sadaka za watu TU..tafadhali sheikh salim
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh hawezi kukubali yeye huwa anapenda debate ya 20 minutes kila mtu na ni kupoteza watu huko one on one wasabato hawakubali
Tafadhali mjaribuni ivoivo maana 20min ata rukaruka na Aya nyingi..Ile ya kina mazinge aikunifurahisha aliongea maneno ya kuniudhi n wakristo wanafurai iliniuma kama muislamu
Masha Allah
ALHAMDULILLAH
Jamaa Mwenye jacket la buluu anamperemba pastor wake nyuma
Hapa mpaka kieleweke inn shaa Allah
ALLAHU AKBAR
Hana Dini na Anaegemea Kwa Biblia 😂😂😂.... Ashajisahau
Wakristo wanashaka na Dini yao.
Barakallahu Feekum Nyotee
Tena kabisa ukisikia akisema hana dini jua ni mkristo huo
Masha Allah kur an ni tamu sana
Tena sana
Walaikum salam warhmatillah wabarakat
Ila sheikh Alliy ananibambaga sana😅😅😅
Masha Allah
Mash'Allah
Mimi niko manchester uk kuna makanisa mengi yalio uzwa yakageuzwa misikiti na mengine yanakuwa mabaa
Tukiwaeleza huku hawaamini
IN BIBLE LEVITICUS 19-28 IME KATAZA TATOO PIA
Masha Allah shukuran kwa ukumbusho huo
😂😂😂😂❤❤
Huyo jamaa anae uliza kuhusu tattoo nafikiri amaanisha hina sio really tattoo
Mwanzo aliikataa hiyo biblia ya rangi ya buluu
Ndo kila siku nasema kinachowachanganya Wakristo ni lugha tu,mpaka sasa hawajui tafsiri na kitu original,kwa mfano Kiswahili cha Tanzania na Kenya ni tofauti,so anapotafsiri Mkenya na tanzania utaona ni tofauti lakini Quran original haibadiliki
Ilo Neno Ujahiliya uwe unawaambia Maa na yke Shekh Salim maana hawajui kuwa Ujahiliya ni Ujinga
Inn shaa Allah tutakuwa tukiwaeleza
Masha Allah