Jifunze Kiarabu - Sehemu ya 1 (Darsa ya 1/1)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 12 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 65

  • @HassanHamad-rf9tq
    @HassanHamad-rf9tq 2 หลายเดือนก่อน

    Shekh Nassor Allah akuhifadh hakika tunafaidika Sanaa kupitia darsa zako

  • @mamawamoya3344
    @mamawamoya3344 9 หลายเดือนก่อน

    Ma sha Allah, hii ni njia nzuri ya kufunza

  • @khadijasaid4046
    @khadijasaid4046 2 ปีที่แล้ว

    Mashallah mashallah mashallah ustadh mm nitakupata vp

  • @BINTIwaKITANGA
    @BINTIwaKITANGA 2 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah kiarabu kizuri Sana halafu kama kichwa chako chepesi unaelewa mapema Kwa maana maneno mengi ambayo tunatumia ya kiswahili yametokana na kiarabu,Mimi nipo Oman Nina miezi Sita lakini alhamdulillah 🙏🏻 naelewa kila waongeacho na ni mara ya kwanz kuja nchi za kiarabu lakini hata hawa maboss zangu hawaamini kutokana ninavyowaelewa wakiongea.Nimeshangaa huku JABARI,TANURI,DIRISHA,SABUNI,SAHANI,SINIA,MKASI,KALAMU,GUNIA,HODI HODI ni maneno kama ya tz 🇹🇿,yaani napenda Sana kujua kuandika na kusoma kiarabu☹️kizuri sana.na hapa Nina watoto basi nimejikuta naelewa mapema 🙏🏻

  • @andrewnyenza
    @andrewnyenza ปีที่แล้ว

    Mwalimu tuandikie maneno hayo ya vitu mfano kiti,nyumba nk ili tuweze kukalili na kukijua kiarabu, Inshallah

  • @sheikhsaadabywaqas
    @sheikhsaadabywaqas 2 ปีที่แล้ว

    Assalaam alaykum warahmatullahi wabarakatuhu naitwa Saad Abuwaqas niko jijini kigali Rwanda naomba kuwa mwanafunzi wenu Ahsante sana

  • @Ukhty4338
    @Ukhty4338 2 ปีที่แล้ว

    Barakallahu fiyka, Jazakallahu khayr.nmejifunza na ninahitaji kujifunza zaidi ya hapa

  • @hassanimtambo832
    @hassanimtambo832 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kska

  • @chimilasaid447
    @chimilasaid447 ปีที่แล้ว

    Jazaka Allahu herii

  • @mohammedrajabumwamba1322
    @mohammedrajabumwamba1322 2 ปีที่แล้ว

    MaashaaAllah Jazaakumullahu khairan t

  • @lailatsleyoum5867
    @lailatsleyoum5867 ปีที่แล้ว

    Inshaallah nitajifunz hadi nijue

  • @missnana7535
    @missnana7535 6 ปีที่แล้ว +3

    Jazaka dhwahu kheri Kaka.

  • @saeedabou3113
    @saeedabou3113 6 ปีที่แล้ว +2

    Allah akuzdshie khery shkh

    • @bletv6130
      @bletv6130 6 ปีที่แล้ว +1

      36. Nawe, kama uko mtoto wa Mungu, jua kwamba wokovu si katika dini na kwamba wokovu si urithi toka baba hadi mtoto. Usambazaji wa dini isiwe kamwe shughuli yako duniani. Kwenda Israeli au Makka, na jihadi visiwe kamwe shughuli yako duniani. Ugomvi ya mji mkuu wa Israeli na ujenzi wa hekalu ya tatu huko Yerusalemu visiwe kamwe shughuliyako duniani. Kuna hapa mkubwa kuliko kitabu kitakatifu na hekalu la tatu kwa jumla. Lakini shughuli yako ni kuwa karibu na Mungu baada ya kufa kwako. Ikiwa baada ya Nuhu Mungu alimtuma Musa, lazima kukubali kwamba baada ya Musa, Mungu ana haki ya kumtuma Yesu Kristo. Ikiwa unaamini kwamba baada ya Yesu Kristo Mungu alimtuma Muhammad, lazima ujue kwamba baada ya Muhammad, Mungu ana haki ya kutuma manabii wengine kama atakavyo. Lakini kama mliweza kufunga mungu wenu katika dini ya kikristo, kiislamu, buddhisti, hindu au uyahudi na kumwambia kile ambacho hana haki ya kufanya basi huyo mungu ni shetani.

  • @kacouprisca3908
    @kacouprisca3908 6 ปีที่แล้ว

    Mungu daima huwaokoa watu wake na nabii mtume anayeishi duniani na leo ni nabii Kacou Philippe.

  • @Don.tv.78
    @Don.tv.78 6 ปีที่แล้ว +2

    MachaAllah Allah aku bariki

    • @estersanga4163
      @estersanga4163 5 ปีที่แล้ว

      Naomba nizaidie maneno ya kiarabu yalio azia na alafbeti alifu

  • @suleimanseif5167
    @suleimanseif5167 3 ปีที่แล้ว +1

    Masha Allah wap mnapatikana ?

  • @mahadimatsawily5809
    @mahadimatsawily5809 4 ปีที่แล้ว +1

    Jazaakallah khair

  • @mariamunassoro7614
    @mariamunassoro7614 2 ปีที่แล้ว

    Ufundishaji wako sija wako sijauwerewa Mimi nikwanza mwanafuzi sijui erufi inatakiwa uwonyeshe na vitendo ukiwa unatusomea tu bira kuonyesha Maneno itakua gumu kujua hata Kama uja chora kiti lakini tuone Maneno ya kiarabu na tafsili yake wengine hatujui erufi somo rapili tuone marekebisho

  • @nasmafarmsltd9146
    @nasmafarmsltd9146 5 ปีที่แล้ว +1

    Mbòna maon mengne cya elew

  • @takidino7060
    @takidino7060 6 ปีที่แล้ว

    درس رائع
    جزاك الله خيرا
    أتمنى أن ألتقي بكم ونتحدث باللغة العربية الجميلة

  • @king-size8114
    @king-size8114 3 ปีที่แล้ว

    Mashallah ❤️❤️

  • @hcgghfgg6679
    @hcgghfgg6679 4 ปีที่แล้ว +1

    شرح جميل و مبسط
    أحسنت وبارك الله فيك

  • @mohamedalaraimi6813
    @mohamedalaraimi6813 5 ปีที่แล้ว +1

    جزاك الله خير شكرا على الدرس

  • @burhanimtali3152
    @burhanimtali3152 4 ปีที่แล้ว +3

    A.warahmatullah wabarakatuh ndg zangu katika iman kwa moyo wenu wakujitolea kutuelimisha sisi ambao hatubaatika kupata elimu hii, Allah akulipeni kwa niya yenu hii nzr yakutuo elimu, Mimi napenda shauri kama itawapendeza ndg zangu, kwakuwa tulio wengi sio.wazuri sana kwenye kutumia tekinojia sana kama kusechechi haya mafubdisho yanayotolewa, tungeomba pawepo na namba ya whatsup ingerahisisha ufikishaji kwa haraka zaidi kwani pangekuwepo na group uki upload mtu akiwasha data tuu inakuwa teyari kapata somo husika , hili ni ombi, nakama Haitafaa, basi iwepo ambayo mtu akiomba binafsi awezepatiwa masomo haya ,, pia kuna muda mtu unapojifunza mtu unakwama ukitaka kuuliza kwa mwalimu inakuwia ni vigumu, kwani ukiuliza fb swali linachukuwa muda kujibiwa

    • @JifunzeUislamu
      @JifunzeUislamu  4 ปีที่แล้ว

      Mawazo yako mazuri na inshaAllah tutayafanyia kazi na kuwajulisha.
      Waleykumu ssalam warahmatullah wabarakaatuh

  • @fatumaselemani3807
    @fatumaselemani3807 2 ปีที่แล้ว

    Mashallah

  • @aishaomar4318
    @aishaomar4318 6 ปีที่แล้ว +2

    Allah akubariki .Nashkuru mm niko uarabuni lkn siwaelewielewi wanachokiongea 😁

  • @jamilakarimu5617
    @jamilakarimu5617 4 ปีที่แล้ว +1

    Shukrani

  • @rizuwaniomari593
    @rizuwaniomari593 3 ปีที่แล้ว

    Tufunze

  • @nouratana6463
    @nouratana6463 6 ปีที่แล้ว +2

    Nabii Kacou Philippe :
    15. Nanyi waislamu, ikiwa mnamwamini Mungu, Muhammad alipofariki, mngeliweza kusema: "Ee Mungu, ututumie nabii kama Muhammad". Na hamungelijiwekea wachungaji, maimamu na marabbi kwa kuwaongoza ambao ni watu kama nyinyi. Je, imamu anamjua Mungu? Je, mchungaji anamjua Mungu? Je, rabbi anamjua Mungu? Je, kondoo yaweza kuongoza kundi la kondoo? Ninyi Waislamu, mnajuaje kwamba Adamu, Ibrahimu, Yakobo na Sulemani ni manabii kama Musa, ambacho Wakristo hawajui? Hata hivyo hamjui kwamba mimi ni rasul wenu. Lakini nabii aliyekufa ambaye hukumjua atakufaidia nini?

  • @nusralilobwa4752
    @nusralilobwa4752 6 ปีที่แล้ว +1

    Jazzakallahu khayra

    • @almasidotti4964
      @almasidotti4964 6 ปีที่แล้ว

      mashukuraa feee Dara's

    • @toahiwilfried3794
      @toahiwilfried3794 6 ปีที่แล้ว

      Mtume Kacou Philippe
      Nilitumwa kwenye ujumbe wa kuhubiri katika Jahannamu na kuona Uislam, Uhindu, Ubuddha, Ukristo na Udahudi. Na nikamwona mungu wa unafiki na alikuwa Waarabu. Waarabu hawawatazama wazungu kama Waislam kama wao na bado wanawaacha wazungu hawa kuja Makka.

    • @estersanga4163
      @estersanga4163 5 ปีที่แล้ว

      @@toahiwilfried3794 naomba nizaidie maneno ya kiarabu yaliyo azia na alafabeti alifu

  • @mariyamqtr7058
    @mariyamqtr7058 3 ปีที่แล้ว

    MashaAllah

  • @abdulHamid-ck5cm
    @abdulHamid-ck5cm 4 ปีที่แล้ว

    shukran wapi unapatikana maalim

    • @JifunzeUislamu
      @JifunzeUislamu  4 ปีที่แล้ว

      Shekh anapatikana Morogoro (Msikiti wa Oil com Magorofani). Muulizie kwa jina la Shekh Nassor Ramadhani utampata inshaAllah

  • @sikatv1671
    @sikatv1671 6 ปีที่แล้ว

    NABII KACOU PHILIPPE
    20. Iwe kanisa Fulani, wala mtu, hata iwe nani, asiwadanganye. Iwe teolojia isiwadanganye… Neno la Mungu siyo mahubiri ya kijamii, au ya mwenendo mwema, au ya elimu, au ya kiinjili iliyo hubiriwa kumepita miaka elfu mbili bali ni ufunuo ya unabii uliyo ahidiwa na Mungu kwa kizazi moja, na hiyo kwa mtu moja tu, nabii-mjumbe aliye hai kwa kizazi moja. Na huduma ine za Waefeso 4:11 zinakuwa sauti yake bila kupingana naye hata kidogo. [Ndl: Kusanyiko linasema: Amina!].
    21. Mimi Kacou Philippe, mtumwa wa Yesu-Kristo, Nafikiri nimewapa ninyi shauri yote ya Mungu, katika kizazi hiki, kuhusu haya mapepo za udanganyifu ambazo watu wanaita « roho mtakatifu » ndani ya makanisa haya ya kikatoliki, kiprotestanti, kiinjili na kibranhamisti pamoja na makanisa yote yanayoitwa yenye kufunuliwa au kuwekwa upya kama vile wametodisti, wabaptisti, wa furskare, waanglikani, wanazirea, anabaptist, wamormoni, wapentekoste… na makanisa yote yanayo jitokeza popote mbali na kile Mungu iko anafanya kupitia nabii mjumbe aliye hai wa kizazi kile. Ijapokuwa mafundisho yao ni tofauti, Shetani, ambaye ni mungu wao, iko sasa akiwakusanya katika baraza na shirikisho za makanisa… lakini Fahamu kwamba kuchukuliwa ao paradiso haiwahusu wao. Na kwa hesabu yao inafaa kuongeza sasa wabranhamisti kwa jumla.
    22. Na kama majusi, inawapasa kuondoka Yerusalema, tokeni huu mchanganyikio, ili kuona tena nyota. [Ndl: Kusanyiko linasema: Amina!].

  • @SHAFIIAbdully
    @SHAFIIAbdully ปีที่แล้ว

    Shee wangu unapatikana wapi

  • @raysaraysa8186
    @raysaraysa8186 3 ปีที่แล้ว

    Una group la wasap

  • @raysaraysa8186
    @raysaraysa8186 3 ปีที่แล้ว

    Una group la wasap utufundishe zaidi?

  • @biliramadan8470
    @biliramadan8470 6 ปีที่แล้ว +1

    mwalimu mimi naomba namba yako ya wasp

  • @biliramadan8470
    @biliramadan8470 6 ปีที่แล้ว +1

    mashallah mwalimu

  • @hassansingano1150
    @hassansingano1150 5 หลายเดือนก่อน

    ما هذا

    • @hassansingano1150
      @hassansingano1150 5 หลายเดือนก่อน

      Mahaza, what is this? What is that?

  • @achillebehi1754
    @achillebehi1754 6 ปีที่แล้ว +1

    #PKPCHANNELTV.36. Siwahubiri mawazo, ila nawaambieni kwa jina la Bwana Yesu Kristo kwa uwezo wa ono la Aprili 24, 1993. Kama ilivyo katika Yeremia 28, katika 1 Wafalme 22, nimepewa kuona hukumu ya Mungu na kuitamka. Kwamba hata kanisa moja, hata mtu moja, hata awe nani, asiwadanganye !

  • @jean-fredyossan2442
    @jean-fredyossan2442 6 ปีที่แล้ว

    25. Na kwa akili yenu je, hujua kilindi cha Mungu kwa njia ya dini au ya kitabu kitakatifu? Je, wokovu ni nabii aliye hai au dini au kitabu kitakatifu? Je, Yesu Kristo hakuwa wokovu na nuru ya ulimwengu wakati wake? Na alipomwambia Zakayo kwamba wokovu umeingia nyumbani mwake, je! ilikuwa ni kitabu kitakatifu ambacho alikuwa akizungumzia?

  • @abdulkarimmalogo308
    @abdulkarimmalogo308 4 ปีที่แล้ว

    0716 306364 naomba unipigie shekhe nataka nije unifundishe

  • @ElPatoAhmedMzee
    @ElPatoAhmedMzee 4 ปีที่แล้ว

    Ustadh naweza kuwasiliana na wewe kwa njiani gani ?!

  • @kacoumonpere585
    @kacoumonpere585 6 ปีที่แล้ว +1

    #ProphetKacouPhilippe
    6. Katika ono la tatu, tulikuwa tunaketi katika chumba cha mtihani kuu ya sekondari na mchunguzi alikuwa akigawanya nakala za mtihani. Nilijiswali : « basi ninafanya hapa nini ? Sina kiwango shule cha kutosha na sasa nitaandika nini ? ». Na baadaye nikaambiwa : « Kama vile Maria alichukua mimba kwa muujiza pasipo kumjua mume, kama vile Musa alipokea moja kwa moja mambo yaliyo pitika katika uumbaji, wewe pia umepokea Maneno ya Uzima wa milele hii aprili 24, 1993 na hii ni Mungu ameamua. Wakati itakapo timia, utaelewa na utafundisha yale hukufundishwa ili yeyote atakaye amini awe na Uzima wa milele ».
    7. SASA ! UJUMBE HUU UNASEMA NINI ? Ujumbe huu unasema ya kwamba hatuko tena wakati wa jioni bali usiku wa manane. Hata hivyo, ni wakati moja tu na ile ile Roho ya Eliya, lakini ni Ujumbe « Mpya » ambao ni Ujumbe ya wakati wa jioni kwa kiwango cha juu. Basi Zakaria 14:7 ni tofauti na Matayo 25: 6.
    8. Ujumbe huu unasema ya kwamba shauri la makanisa ulimwenguni, shauri la kiekumenika ya makanisa, vyama, miungano, shirikisho za makanisa… makanisa katolika, makanisa za kiortodoxi, makanisa za kimetodisti, Ekankar, dhehebu Horus, makanisa za kiluteri, makanisa za kianglikani, mahikari, makanisa Baptisti, rosikrusia, makanisa Nazareti, scientology, esoteric, makanisa anabaptisti, vodoo, makanisa ya wasabato, marafiki wa Yesu, misioni Emaus, maisha kilindi, mashahidi wa Yehova, mashahidi wa Yesu, makanisa foursquare.
    9. Wafreemason, makanisa pentekoste, ibada la miungu ya wainka, makanisa protestanti, Krishna, Kanisa la Kristo, méditation transcendantale, Graili, wachawi, makanisa za kiinjili, wamormoni, guru maharadji, uislamu na uyahudi na makanisa zote za uamsho na zile za urudisho… makambi za maombi, monasteri, makao ya watawa, mishoni na huduma hata wabranhamisti, yaani wale wangali wanafwata ujumbe ya William Branham, hata katika usafi wake wote, ni toharani, na nyavu za shetani kwa kuwapeleka watu jehanamu na maroho zinazo tenda katika makanisa haya siyo Roho Mtakatifu, bali mapepo za udanganyifu. Ni yale yale mapepo yaliyokuwa mitoni, mitaro, vinyago, vodoo, msitu takatifu, desturi na mapokeo, ambayo yalikuwa yakitokeza wachawi wa kiasili.
    #PKPCHANNELTV

  • @ghislainekouakou6474
    @ghislainekouakou6474 6 ปีที่แล้ว

    #PROPHETKACOUPHILIPPE
    #PKPCHANNELTV 1. Kama manabii wa Biblia, aprili 1993, mimi Kacou Philippe, mtu ambaye alikuwa hajawahi kuingia kanisa lolote, nikapokea katika ono kutembelewa na Malaika na huyo akanituma na Ujumbe kwa dunia nzima kwa utimilifu ya Matayo 25 :6 na Ufunuo 12 :14. Haya ndiyo maelezo ya uongofu wangu na maono matatu makubwa ya wito na tume jinsi niliyapokea.

  • @macoubiginettereginabedi8879
    @macoubiginettereginabedi8879 6 ปีที่แล้ว

    #PKPCHANNELTVHaya! Kuna umati wa ukweli lakini moja tu ndio Ukweli. Kuna miungu nyingi lakini moja tu ndiye Mungu wa kweli. Kuna makanisa mengi lakini moja tu ndiyo Kanisa halisi. Kuna maroho takatifu mengi lakini moja tu ndiyo Roho Takatifu halisi. Kuna tafsiri nyingi za Biblia lakini moja tu ndiyo Biblia ya kweli

  • @selemaniyabbi5942
    @selemaniyabbi5942 ปีที่แล้ว

    Mashaallah