Hili suala limenichanganya sana. Kuna jamaa alisema sauti ya tumboni inawezeshwa kwa kudhibiti misuli ile ambayo unaitumia wakati wa kutoa haja kubwa. Halafu akasema pointi ya msingi ni kufanya tumbo la chini(abdomen) kuwa taiti. Kwa sasa angalau naanza kuelewa. Ingawa kuhusu kutumia nguvu nyingi(constipated) au nguvu kidogo(vegan) inategemeana na mahali ulipo ikiwa ni studio, show ya ukumbini au uwanja wa mpira.
Nmekuelewa kaka lkn mi nmetokea kwenye kanisa aic shinyanga kwa sasa npo sngda npo katka kanisa la fpct nateseka kwel kuendana mawimbi ya sauti na kwaya ya huku wanaimba kisasa zaidi sjui unanisaidiaje kuhusu mawimbi ya saut
asante sana kaka unatusaidia sana ubarkiwe
Leo umetisha kuliko siku zote ...keep it up ...somo limeeleweka
Wish kusikiza mafunzo haya Kila siku.Mungu akubariki
Barikiwa,
Nimependa somo lako jmn hadi nataman ungekuwa hapa krb uwe mwalimu wangu jmn👏👏👏
nakubali sna brother
Sana mzazi Jiachie,,kwa raha zako
pamoja brother
Napenda kuimba san nitakutafuta nikutumie baadhi ya nyimbo ambazo naimba nikiwa chumbn au ninapopat hisia flan ya kuimba napenda san
Nimeipenda san hiii jamn je nikitak kunat n bit nifany vip
Nakubali kaka we noma
Pamoja Sana karibu pia
Noma Sanaa kaka nimependa mafunzo hayaa
Karibu san
Hili suala limenichanganya sana. Kuna jamaa alisema sauti ya tumboni inawezeshwa kwa kudhibiti misuli ile ambayo unaitumia wakati wa kutoa haja kubwa. Halafu akasema pointi ya msingi ni kufanya tumbo la chini(abdomen) kuwa taiti. Kwa sasa angalau naanza kuelewa. Ingawa kuhusu kutumia nguvu nyingi(constipated) au nguvu kidogo(vegan) inategemeana na mahali ulipo ikiwa ni studio, show ya ukumbini au uwanja wa mpira.
Unapatikana wapi
Napenda kuimba
Karibu tujifunze chukua +255742438384
Saw
🥰🥰
Nafaidika Mungu akubariki
Niaje
Kaka vp mnapatikan wap
Tupo Tabata Bima Madukani
Napenda kuimba na dream yang asant najifunza kwako ili kufkia malengo yangu.. vile tuu siko Tanzania ningeomba nipate darasa refu kutko kwako
+255712061252 nitafute wassap tuchati
@@imbatokamoyoni2209 asant
Kaka naomba nisaidie kuimba sauti ya tumboni
Asante sana, napenda sana kuimba ila sauti yangu inakwaruza sana
nimependa maelekezo naeza kupata wapi kimfano
+255742438384
Mnapatikana wap viongoz
+255712061252
Nice
Napenda sana kuimba naomba unitumie namba ya whtsap
+255712061252
Nkbl San blood mista kiki
Mapendo daima
Kaka kila nikikusikiliza lazima nipate kitu mungu aku baliki
Waambie na wengine pia kaka
Bro samahan naomb namb yako
+255712061252
Jamani mimi napenda kuimba vizuri lakini sauti yangu nindogo ila sasa nikiimba napata maumivu
+255712061252
Naomba contact yako broh. Plz
+255712061252
Kaka napenda ukifundisha ungekua songea mm nigekua mwanafunzi wa kwanza
+255712061252 njoo tuchati pia hutabaki Kama ulivyo
Naomba niunge WhatsApp no 0620313314
+255742438384 Sasa ivi nipo hewani nicheki