TUNAUCHUKIA SANA UONGOZI ULIOKO MADARAKANI TUNAKICHUKIA SANA CHAMA KILICHOKO MADARAKANI TUNAWACHUKIA SANA JESHI LA POLICE NA VIONGOZI WAKE MMEJAA UONEVU UKANDAMIZAJI NA UKATILI HAMFUATI UTAWALA WA SHERIA WATU WAMETEKWA WANAUAWA WAKIPAAZA SAUTI ZAO MNAWAKAMATA!!! SERIKALI OVU SANA HII
Hatari sana mitaa inapendeza
Kwa hali hiyo hakuna haja ya kua na vyama vya upizani
Ukiona haujiamini ujuwe ushafikia tamati
Kabisa aisee
Ccm 😂😂😂😂 Tamati
TUNAUCHUKIA SANA UONGOZI ULIOKO MADARAKANI
TUNAKICHUKIA SANA CHAMA KILICHOKO MADARAKANI TUNAWACHUKIA SANA JESHI LA POLICE NA VIONGOZI WAKE
MMEJAA UONEVU UKANDAMIZAJI NA UKATILI
HAMFUATI UTAWALA WA SHERIA
WATU WAMETEKWA WANAUAWA WAKIPAAZA SAUTI ZAO MNAWAKAMATA!!!
SERIKALI OVU SANA HII
Hamia congo
Ungoza wewe
Hawa waandishi wamenifurahisha wamehamua kuwachanhanya tu askari hapa nimecheka kwa nguvu wallah😅😅😅😅😅😅😅😅