Mmenikumbusha Godzilla masia land mpaka naisi kulia alikua kichwa mpaka saivi ngoma zake zote naziona kama mpya duuh Mr P na Mr blue salute kwenu nakubali sana show love ma brother angu hip hop daima namimi nipo njiani najipanga kuchana nipo napangilia mistari
P the mc ni Noma 💪💪 Oyah bayser Mwambie hilo jina "P mawenge" sio wara nini, linamwalibia tu, " P THE MC " NDIO LENYEWE mfikishie salama kunavitu Vingi ambavyo Vimekutambulisha kama Msanii mfano jina tu ukabadirisha ikawa unachukuliwa tofauti na ulivyojitambulisha ktk Game
Tommy Thomass,,,umflow chini ya kiwango,,umepelekea kufunikwa na uliowashirikisha,,hii ni mbaya sana kwa msanii anaechipukia,,angalia hilo swala next time .
Kama uko hapa sababu ya sauti na vina vya Mr. Blue mfalme wa masimba gonga like 🇦🇪🇰🇪🇹🇿
Hebu nyoosha kidole kama P mawenge amekufanya uirudie hii ngoma👆
🖕
P ndo msanii wangu hatari kwa sasa
p noma sana
P mawenge
P ametishaaaa balaaa
Kusema ukweli mawenge umenikosha
P Mawenge... we as Kenyans fans we welcome you to Kenya, and legally give you Kenyan CITIZENSHIP🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
yaani hujawai tuangusha.. 🙏
Mhhh anzishen vyenu
Anzishen vyenu😂 aloo mmezidi na vyawatu
galaxy star ata marekani haikujengwa na wenyeji.. vaa barakoi uende zako
Masaai tukowapi jomon yerhooo!!!!!
*Weeeeeeeeenge* 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Mjinga anajua mpaka homa 😀😀😀😀 *BlurByser* shika moo Mr paraaaaaa
Who believe chorus kali sana...🔥
Bora mimi, bora wew 2shukuru kw kil k2🙏🙏
Blue hii chorus umeitenda......👊👊👊👊👊
Ebwanae byser wakenya twakukubali Sanaa Tu alafu goma zito p mawenge katisha Sanaa 🔥🔥🔥🔥👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼
unalalama unakula nguna nafuu wewe mwenzio hawana hata cha kutafuna✌✌ P mawenge
Ninachokifanya ni kuirudia hii verse ya *P THE MC (Wengeeeee)* aisee mjinga kaua mpaka noma *Mr Blue* yeye kaizika bila huruma 🔥🔥🔥🔥🔥
True blood, p the mc kaitendea haki
Maweeeenge
True that ameua maweengeeeee
Hatriiii
Mmenikumbusha Godzilla masia land mpaka naisi kulia alikua kichwa mpaka saivi ngoma zake zote naziona kama mpya duuh Mr P na Mr blue salute kwenu nakubali sana show love ma brother angu hip hop daima namimi nipo njiani najipanga kuchana nipo napangilia mistari
Respect sana,ngoma imekamilika na ujumbe makini sana
Mawenge A.K.A Vampire, mzee P umetisha zaidi, Byser katoa bonge moja la chorus la millenium.
Nyimbo ya mwaka huu hii hapa sana achana na maboko
Daaah... Aliyepoga verse ya pili ameuaa.... Wanyama flan tisha sana
Nimekubali aisee mmeigusa jamii adi mie mmenigusa💯🙌mmetishaa
P mawenge kauaa Moto 🔥
Braza P hujawahi kosea an
MAWENGE 254 tunakuelewaga
Tuko kazinii 👊👊 👊!!!
Nafuu wew unayetongozwa 😋😋😋😋wenzako wanabakwa 😢😢, Tommy nimekuelewa sana
Haha
Wangapi tumekuja kupima vina vya Mr blue na p mawenge
Aliyechana ves ya pili cyo MTU mzur uyo ni star dadek
naikubali hii ngoma miaka 100 ngoma ya kizazi sana
Armani kazi full bless you 💪♥️♥️♥️🔥🔥🔥🔥🔥🇿🇦🇹🇿
p mawenge 🙌🙌🙌🙌
Blue banna you never dissapoint,nakufeel bro# ill DM check gzee-ke. Nipeni likes za blue jamani
Chorus ya Mr blue Ni 🔥
👏👏
Ila p mawenge jamaa unajua sana. Dah unachokiimba kinaeleweka
My culture# my life.
Kazi nzuri vijana
Kiukwl tz ss 2narapa noooma kulko nchi yyte Africa👊
P mwenye mawenge yake p the MC promo wai apatagi sana
P mawenge mwingi wa habari
Hivi ngoma Kali Kama hii dislike inatoka wapi
Nani alie ona Tommy akajua Tommy wa Ali kiba gonga like Twende Sawa
Kweli kabisa, nimeipenda, si tunafanya ngoma huku zinakuwa chenga, Nafuu wewe Mr blue inapigwa clouds
Micharazo... Bizzy Babylon.. Chorus monster.. kaa mbali... Nilikwambia..
P the mc ni Noma 💪💪 Oyah bayser Mwambie hilo jina "P mawenge" sio wara nini, linamwalibia tu, " P THE MC " NDIO LENYEWE mfikishie salama kunavitu Vingi ambavyo Vimekutambulisha kama Msanii mfano jina tu ukabadirisha ikawa unachukuliwa tofauti na ulivyojitambulisha ktk Game
P mawenge kanyoosha balaa
P Mawenge kaua 👌
hiii ngoma inahitaji views zaidi ya million 10. Sema tuu wabongo hatujuagi vitu vizuri.
Mawenge gari limewaka🔥🔥
Atali sana Eti wew afazali una watoto 6 umetisha dingi
Noma kilo100. Kiwalani stand-up!
Mawenge hajuii kuflow...
Blue kaipaisha sana hii ngoma..
Blue nomaa sana
Mawengeeeeeee🔥🔥🔥
Mm huyo dada mwenye zinga tako. nimemuelewa sanaaa nipo tayari kwa lolote. nipasieni connection mwenye kumjua
P Mawenge, he's slowly taking me to his side. Namu understand every single day
Huyu jamaaa hafai hata kidogo amini hvyo
Nafuu Mimi, tunaishi nayo, kizaz sana wote wameua, so kinyonge,
P Mawengeee, Noma sanaa
wah! Mawenge yani umekill bro.
Ngoma tam kama supu ya mende hii ngoma kwa siku hua naickiliza zaidi ya 20 sababu mistar yake mitam kama bao la 1
P mawenge nomaaaaa
Congratulations goes to the producer of this hip hop beat💯💥💥
Yep kaikalisha sawa Sana
Qalii sanaaa...... Majamaa wametisha Sana eb gonga like kama umeikubali io ngoma
Tommy thomass noma mzeiyaaa big up
Ebwnaee waambie walale n bango n timu..... Kheri Sameer
P mc Umevunja ile mbaya hongera sn. Bonge la chupa mazee
Khabari ndio hiyo, ni noma! Yaani, Lawama!…..
P mawenge for everybody...✌
Ebana eeer p mawenge mzee nakukubalisa sauti yko mashairi yaan nowma sana
Nafuu🙌🙌🙌🙌📌
P mawenge umetsha, p mwalimu nice brothee
Wanyamwez wawili pmawenge na mr blue ni moto...
Kichwa mtumba akili special.Tommy umeuaa sanaa
Blu Blu uko juu💣💣💣🔥🔥🔥💪💪👊
Sijaisikiliza ngoma ila naamin ni jiwe!!!
P mawenge nimoto🔥🔥🔥
Beat Kali mashairi makali ngoma kubwa hii ipate tu airtime ya kutosha
P Mawenge nomaa
Nani Bado anarudia kuisikilza 2023🔥
Nafuu wewe💣💣 hatareeeeeeeee
Daaaah ziko wapi nyimbo kama hizi tomechoka kusikia upuuzi tunataka ujumbe aisee big up sana
Mr blue nakukubali sana tangu zamani
Kalii balaaaaaa
Huyu p mawenge aangaliwe kwa jicho la karibu ,aachie ngoma back to back dunia itamwelewa🔥🔥🔥🔥
True brother
kbsa
Mimi nalijua hilo ndio maana Nina ngoma zake zotee
Creativity 👏👏👏,we called this 💣 💣 💣,why haijafikisha 1M?
Biz Babylon from sueden ✅✅✅✅✅✅✅
Nimependa verse ya P Mawenge, mjinga anajua
P mawenge on this one🙌🙌🙌
Kwa ukali gonga like
Safi mkuu ulituambiaaaaa 🤛
Tommy Thomass,,,umflow chini ya kiwango,,umepelekea kufunikwa na uliowashirikisha,,hii ni mbaya sana kwa msanii anaechipukia,,angalia hilo swala next time .
Byser kutoka zama za mapozi...huku Kenya tunakujua vizuri kaka
Ebwana eheee mara kibao nairudia sababu ya ukali wa mshairi kutoka bombom kiwarani
Kherii Samir Finished Pmawenge Asanta HIPHOP Heads Are On Nafuu Mimi Mungu Alhamdullilah That's why I love HeadLyricist
🔥🔥🔥💪💯byser salute bro
Wallahi mkoba huu 👊👊👊
Kali boss
Kazi nzuriii ..Mungu azidi kukupigania katika kazi yako
Bonge la ujumbe...makini Sana
Byser wangu hukoseagi mwanangu😋
Simbaaaaaaaaaaaaaa🦁🦁 #G.O.A.T
Sharautu sana kazi nzuri nice big up
Bora niache comment yangu hapa! Nisijepata dhambi 🌋🌋🌋 nikiona byser lazima nivew
huyu tommy ndo mara ya kwanza namskia ila ni noma
Kuliko kusaidia kuwapush kina Amaboko linyimbo libovu lisokua na maadili, wapush hawa jamaa #NafuuWewe 💯🔝
Utakufa na chuki nanga hiii....chuki hazijengi ongea kitu chenye kitasaidia kupeleka sanaaa mbali
Eeeee bwana wee hii ndio Hip Hop yetu tuliimic bonge moja ya job