Hili fungu la SMZ kutoka serikali ya Muungano linakuja Zanzibar. Mbona mnaomba pesa EU. Sasa hawa wabunge wanakwenda Dodoma kufanya nini. Hata kama SMZ inatekeleza miradi ila fungu la Muungano liletwe kwa miradi ya maendeleo. Bora bara wanasambaiwa maji na serikali ya Muungano
Halafu Zanzibar haina haki ya kuenda nje kufanya uhusiano wa kimataifa kisha pesa za Muungano zitokazo nje hawapewi