Stewart Mwakasege - Univushe (Official Music Video)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 196

  • @gracekalebo7610
    @gracekalebo7610 2 ปีที่แล้ว +1

    Ee Mungu naomba univushe, ubarikiwe sana Kwa wimbo mzur umekuwa manufaa kwa watu wote hapa tanzania

  • @furahachaula4804
    @furahachaula4804 2 ปีที่แล้ว +1

    Yesu nivushe nami nateseka naagonjwa

    • @stewartmwakasege
      @stewartmwakasege  2 ปีที่แล้ว

      Mungu Amekuona
      Mkono wake Upo Nawe Kila Uendapo... Pokea Uponyaji.

  • @jobjohn2160
    @jobjohn2160 2 ปีที่แล้ว +1

    Ilipangwa na MUNGU atatuvusha mzee Stewart

  • @mariampeter3283
    @mariampeter3283 2 ปีที่แล้ว +1

    Ameen nimebarikiwa sana nawimbo wako

  • @johnbaraza1539
    @johnbaraza1539 2 ปีที่แล้ว +1

    Broo sterwat mzee wa 442 nyimbo imenibariki Sana asee

  • @luhekelondelwa9714
    @luhekelondelwa9714 2 ปีที่แล้ว +1

    Naomba nivushe baba kwenye pito Hili Amin barikiwa wimbo mzur sana

  • @herifurahamwakamele7890
    @herifurahamwakamele7890 2 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akubalik kwa kuendelea kuponya na kuinua roho za watu kwa kupitia kipaji chako ulichopewa na mungu .nafurai sana

    • @stewartmwakasege
      @stewartmwakasege  2 ปีที่แล้ว

      Ameen Sana Nashukuru Mno Mwana wa Mungu...

  • @TheophileGlibon
    @TheophileGlibon 8 หลายเดือนก่อน

    Asante kwa hiyo wimbo"" mungu ukupandishe viwango vya juu sana"" mimi niko apa congo

  • @gracekalebo7610
    @gracekalebo7610 2 ปีที่แล้ว +1

    Nitungie kaka yangu nyimbo nzur kama hizo za kwako nimetokea kuzipenda aisee maana nipo nazisiliza youtube nataman niimbe lakini kutunga mistar siwez

  • @Wisdom-HQ
    @Wisdom-HQ 2 ปีที่แล้ว +1

    Tunaendelea kuamini kuwa tunapokumbushwa ni nafasi ya pekee katika kuelekea kuvuka

  • @sarahkalunde4246
    @sarahkalunde4246 2 ปีที่แล้ว +1

    Hakika bwana atuvushe balikiwa sanakaka kwaumbe mzuli mungu akutunze kwajina la yesu

  • @dianasakurani2661
    @dianasakurani2661 2 ปีที่แล้ว +1

    Ubarikiwe zaidi na zaidi Mungu akuwezeshe zaidi ukafanikiwe katika Karama hii

    • @stewartmwakasege
      @stewartmwakasege  2 ปีที่แล้ว

      Ameen Sana My Boss Team Leader CRDB PLC, Mungu Akubariki Mno

  • @upendonyangoro5702
    @upendonyangoro5702 2 ปีที่แล้ว +1

    Wimbo wako umenibariki sana Yan mungu akuinue zaidi

  • @jentrixwafula4110
    @jentrixwafula4110 2 ปีที่แล้ว +1

    Oooh God do it a gain for me🙏🙏💪

  • @florenceemmanuel6268
    @florenceemmanuel6268 2 ปีที่แล้ว +2

    Brother sterwart always smart endelea kubarikiwa nyimbo nzr na maneno mazur ya kutufariji Mungu azid kukuongoza ktk kazi yko

    • @stewartmwakasege
      @stewartmwakasege  2 ปีที่แล้ว

      Dada Angu Mungu azidi kukubariki kila iitwapo Leo

  • @doctorluckytz
    @doctorluckytz 2 ปีที่แล้ว +1

    Hatari Sana Mkuu Hujawahi kosea

    • @stewartmwakasege
      @stewartmwakasege  2 ปีที่แล้ว

      producer Lucky asanteee Mnoo Barikiwa Sana kaka

  • @oswardnkomolwa7475
    @oswardnkomolwa7475 ปีที่แล้ว +1

    Umebarikiwa mtumishi wa Mungu

  • @christermademla5802
    @christermademla5802 2 ปีที่แล้ว +1

    Nmeguswa mno🙏

  • @shanicechemariech3774
    @shanicechemariech3774 2 ปีที่แล้ว +4

    Sweet song and very encouraging words. May God bless you and give you strength for administering your talent. 🇰🇪🙏🙏

  • @shadrackjohn2609
    @shadrackjohn2609 2 ปีที่แล้ว +1

    Hakika Mungu ni mwema, ubarikiwe sana mtumishi.

  • @gracesidi1077
    @gracesidi1077 ปีที่แล้ว

    Hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah 🙏🙏 univushe eeeh baba, man of God naomba uweke songs zako mdundo plz,

  • @puttenyanthony9284
    @puttenyanthony9284 2 ปีที่แล้ว +1

    Kaxi kubwa sana let us share this Blessing umebarikiwa sana kaka angu

    • @stewartmwakasege
      @stewartmwakasege  2 ปีที่แล้ว +1

      Kaka putten asanteee Mno kaka
      Be blessed servant

  • @glenswanyonyi246
    @glenswanyonyi246 2 ปีที่แล้ว +1

    Good message be blessed mungu akupeleke kiwango kingine🙏🙏🙏🙏

  • @christermademla5802
    @christermademla5802 2 ปีที่แล้ว +1

    Hujawahi kufeli Mtumishi.. kazi Nzuri , Mungu aendelee kukusimamia kwa viwango m

    • @stewartmwakasege
      @stewartmwakasege  2 ปีที่แล้ว

      Ameen Sana Mtumishi.. Tuzidi kuombeana Tufike Mbali

  • @jeniberthkashaija7472
    @jeniberthkashaija7472 2 ปีที่แล้ว +1

    Dah mwamba🙌 hii hatari umetisha sana

  • @adyutyvedasto2636
    @adyutyvedasto2636 2 ปีที่แล้ว +2

    Nivushe baba,,,!!
    Nimebarikiwa sana na wimbo mzur wenye ujumbe wa kutia moyo!!!
    Mungu azid kukuinua kaka Stewart

  • @fatufatu5754
    @fatufatu5754 2 ปีที่แล้ว +1

    Duuuuh kama kaniimba vile nayoyapitia , Mungu akuinueee zaidii

  • @nyambelilonga555
    @nyambelilonga555 2 ปีที่แล้ว +4

    Great song........Consider to always translate into English for people like us. With lots of love from Zambia 🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲

    • @stewartmwakasege
      @stewartmwakasege  2 ปีที่แล้ว +3

      Thanks Alot Nyambe,
      Noted with Thanks
      I take it into Consideration.

    • @nyambelilonga555
      @nyambelilonga555 2 ปีที่แล้ว

      @@stewartmwakasege Am grateful.

  • @happinessjohn607
    @happinessjohn607 2 ปีที่แล้ว +1

    Glory to God. Univushe baba

  • @isayamalima2726
    @isayamalima2726 2 ปีที่แล้ว +1

    Kazi nzuri Sana chombo. #Hongera Sana#

  • @MINISTERPOLU
    @MINISTERPOLU 2 ปีที่แล้ว +1

    Waow ubarikiwe sana kaka yang

  • @frantinefinias5271
    @frantinefinias5271 2 ปีที่แล้ว +1

    Mungu azidi kukuinua kaka,, hakika umebarikiwa san

    • @stewartmwakasege
      @stewartmwakasege  2 ปีที่แล้ว

      kaka Frantine Barikiwa mnooo kaka Namtukuza MUNGU kwa Ajili Yako

  • @edwardkisusuofficial
    @edwardkisusuofficial 2 ปีที่แล้ว +1

    Wimbo mkali sana video kila kitu safi sana my brother

    • @stewartmwakasege
      @stewartmwakasege  2 ปีที่แล้ว

      Kaka Eddo Nakushukuru Mno kaka
      Zidi kubarikiwa kila iitwapo Leo

  • @gjunior915
    @gjunior915 2 ปีที่แล้ว +2

    The song is dope…and the video is lit!

  • @RoroRoserororo
    @RoroRoserororo 2 ปีที่แล้ว +1

    Nivushe kwenye pito hili ee mungu 🤲🤲

  • @irenemunyiva7543
    @irenemunyiva7543 2 ปีที่แล้ว +3

    Nice song ,MUNGU NIVUSHE NAOMBA 🙏🏻🙏🏻

  • @bellatvonline
    @bellatvonline ปีที่แล้ว +1

    Kazi Nzuri Sana

  • @cyprianbarasa
    @cyprianbarasa 2 ปีที่แล้ว +1

    Wow . . Hongera sana.... Ni ombi langu nivushwe

  • @lavishvish2173
    @lavishvish2173 2 ปีที่แล้ว +1

    Amazing song, niombi langu Mungu nivushe kwa huu ugonjwa baba maumivu ni mengi 🙏

    • @stewartmwakasege
      @stewartmwakasege  2 ปีที่แล้ว +1

      Lavish Mungu ameona Pito Lako Atakutendea Muujiza..Amini Tuu Mungu Yupo Upande Wako Hakuna Asiloliweza.

    • @lavishvish2173
      @lavishvish2173 2 ปีที่แล้ว

      @@stewartmwakasege Amen Amen nashukuru 🙏

  • @rosewere4234
    @rosewere4234 2 ปีที่แล้ว +1

    Yes i like that song , my God bless u

  • @asteriamlambo585
    @asteriamlambo585 2 ปีที่แล้ว

    MUNGU BABA NI MWEMA SANA. PAMOJA NA FAMILIA TUMEBARIKIWA SANA NA TUMEVUSHWA - BARIKIWA.

  • @jaclinevosena9643
    @jaclinevosena9643 2 ปีที่แล้ว +1

    Amen Amen I'm blessed with the song, more anointing n grace for you. Akuveshe viwango vya juu zaidi.

  • @baenatural2192
    @baenatural2192 2 ปีที่แล้ว +1

    Amen amen 🙏

  • @patriciazephania826
    @patriciazephania826 2 ปีที่แล้ว +1

    Amen Ee Mungu nivushe na hili nalopitia mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu

    • @stewartmwakasege
      @stewartmwakasege  2 ปีที่แล้ว

      Patricia Mungu Akubariki Mno....
      Na AKUVUSHE

  • @oscarzeze6452
    @oscarzeze6452 2 ปีที่แล้ว +1

    Hongera Sana Stewart Mwakasege umetoa Kazi nzuri Sana naangalia Mara mbilimbli

  • @naomichamhene7805
    @naomichamhene7805 2 ปีที่แล้ว +3

    Nivushe Baba!!! Mungu ni mwema sana kijana wa Yesu.

  • @ezraernsti1925
    @ezraernsti1925 2 ปีที่แล้ว +1

    Kazinzuri kaka Mungu akuinue kwaviwango vikubwa sana

  • @esthernjoroge345
    @esthernjoroge345 2 ปีที่แล้ว +1

    To God be the groly

  • @LawrenceYobuNdosi
    @LawrenceYobuNdosi 2 ปีที่แล้ว +1

    Ubarikiwe mtumishi wa BWANA
    #lawrencendosi

    • @stewartmwakasege
      @stewartmwakasege  2 ปีที่แล้ว

      Ameen Sana Mtumishi wa MUNGU kaka Ndossi.. Nashukuru Mno

  • @rebeccakobelo1147
    @rebeccakobelo1147 2 ปีที่แล้ว +2

    Wimbo mzuri sana hongera. Mungu azidi kukutumia kwa viwango vya juu zaidi na zaidi

    • @stewartmwakasege
      @stewartmwakasege  2 ปีที่แล้ว +1

      AMEEN SANA Mtumishi wa MUNGU
      Barikiwa Sana

  • @LawrenceYobuNdosi
    @LawrenceYobuNdosi 2 ปีที่แล้ว +1

    Ubarikiwe mtumishi wa BWANA

  • @esthernjoroge345
    @esthernjoroge345 2 ปีที่แล้ว +1

    Oooh yes 🔥 🔥🔥🔥🔥

  • @floiceliani4521
    @floiceliani4521 2 ปีที่แล้ว

    Nice song,so touching indeed,it has really blessed me,May our almighty God continue blessing you and expand all your territories

  • @happinessjohn607
    @happinessjohn607 ปีที่แล้ว +1

    Nivushe baba

  • @jobiassmstawiworldclassmus6676
    @jobiassmstawiworldclassmus6676 2 ปีที่แล้ว +1

    Kazi nziri baba barikiwa

  • @kingruvako7590
    @kingruvako7590 2 ปีที่แล้ว +1

    Mungu abariki kazi ya mikono yako

  • @naomimwakasege8115
    @naomimwakasege8115 2 ปีที่แล้ว +5

    Glory be to God!🙏🏻🇺🇸

    • @stewartmwakasege
      @stewartmwakasege  2 ปีที่แล้ว

      Ameen Mumy
      Be blessed Much
      Thanks for your support & prayer'

  • @andrewkihweloofficial6589
    @andrewkihweloofficial6589 2 ปีที่แล้ว +1

    Hongera sana kazi nzuri

  • @Mathew.John7
    @Mathew.John7 2 ปีที่แล้ว +2

    This song is amaizing. Blessed Brother

  • @asteriajohn4755
    @asteriajohn4755 2 ปีที่แล้ว +1

    Nivushe Babaaa🙌

  • @victoramwamumusic5609
    @victoramwamumusic5609 2 ปีที่แล้ว +1

    Napenda nyimbo zako

  • @risandi123
    @risandi123 2 ปีที่แล้ว +1

    Hongera sana mtumishi

  • @uutthompson
    @uutthompson 2 ปีที่แล้ว +1

    God bless your voice keep it up.

  • @mustaphareua2370
    @mustaphareua2370 2 ปีที่แล้ว +1

    Oyooo

  • @godfreyszymkiewicz5061
    @godfreyszymkiewicz5061 2 ปีที่แล้ว +2

    Ooh my GOD, I love it. Great job Big brother. 🇺🇸

    • @stewartmwakasege
      @stewartmwakasege  2 ปีที่แล้ว +1

      Thanks Alot My Young Brother
      Godfrey..I appreciate

  • @shilolewilliam2374
    @shilolewilliam2374 2 ปีที่แล้ว

    Haleluya wimbo mzuri sana.

  • @ellymkakawaviatu2124
    @ellymkakawaviatu2124 2 ปีที่แล้ว +1

    Nimebarikiwa

  • @christinandila9528
    @christinandila9528 2 ปีที่แล้ว +1

    💥💥💥💥

  • @okitalanta5665
    @okitalanta5665 2 ปีที่แล้ว +1

    Great job broh be blessed

  • @thom_sechuma
    @thom_sechuma 2 ปีที่แล้ว +1

    Congratulations Ndugu yangu

  • @emanuelhancy619
    @emanuelhancy619 2 ปีที่แล้ว +1

    Uende viwango vya juu mtumishi Kaz nzuri Sana 💥💥💥💥💥

  • @LydiaOnesmo
    @LydiaOnesmo 2 ปีที่แล้ว +2

    Congratulation nice Song

  • @dynahdynahkyuma3859
    @dynahdynahkyuma3859 2 ปีที่แล้ว +1

    Amen Amen

  • @jacklinekanyifa1259
    @jacklinekanyifa1259 2 ปีที่แล้ว

    Ooooh praise Jesus.....amazing

  • @faidoninyondo
    @faidoninyondo 5 หลายเดือนก่อน

    Hongera broo

  • @uutthompson
    @uutthompson 3 หลายเดือนก่อน

    God bless you always 🙏

  • @shillymasonga5665
    @shillymasonga5665 2 ปีที่แล้ว +1

    Kazi ni njema kaka. Hongera sana

  • @diveske1388
    @diveske1388 2 ปีที่แล้ว +1

    Nice song bro

  • @christinanziku3480
    @christinanziku3480 2 ปีที่แล้ว

    Oo nivushe baba nipeleke kwenye kicheko changu

  • @masterkey536
    @masterkey536 2 ปีที่แล้ว +2

    Safi

    • @stewartmwakasege
      @stewartmwakasege  2 ปีที่แล้ว +1

      Barikiwa Master

    • @masterkey536
      @masterkey536 2 ปีที่แล้ว

      @@stewartmwakasege amina barikiwa xana songa mbele

  • @barbrahasubira2907
    @barbrahasubira2907 2 ปีที่แล้ว +2

    Blessed song

  • @ministerkelvin_222
    @ministerkelvin_222 2 ปีที่แล้ว +1

    #Ninavuka #Naamini

  • @AsSa-so1fg
    @AsSa-so1fg 2 ปีที่แล้ว +1

    Ameen🙏🙏🙏🙏❤️❤️❤️

  • @enosseth3899
    @enosseth3899 2 ปีที่แล้ว +1

    Ooh Amen very powerfull song

  • @emanuelhancy619
    @emanuelhancy619 2 ปีที่แล้ว +1

    Alooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo

  • @rehemamchuka291
    @rehemamchuka291 2 ปีที่แล้ว

    Amina kubwa

  • @johnszymkiewicz7110
    @johnszymkiewicz7110 2 ปีที่แล้ว +1

    So awesome

  • @rahmamponela6263
    @rahmamponela6263 2 ปีที่แล้ว +1

    🙏🙏

  • @stecybeib948
    @stecybeib948 2 ปีที่แล้ว +1

    Amen

  • @monicacervantes8235
    @monicacervantes8235 2 ปีที่แล้ว +1

    🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼

  • @TheophileGlibon
    @TheophileGlibon 8 หลายเดือนก่อน

  • @sbett2104
    @sbett2104 2 ปีที่แล้ว +1

    🇰🇪

    • @stewartmwakasege
      @stewartmwakasege  2 ปีที่แล้ว

      I appreciate

    • @Kalamafatu
      @Kalamafatu ปีที่แล้ว

      Nazi juri mupendwa wamungu mungu aku djalie maisha ya baraka

  • @tonybongo6081
    @tonybongo6081 2 ปีที่แล้ว +1

    🇦🇴🇦🇴👏👏👏👏🙏🙏🙏

  • @jaredmayaka2993
    @jaredmayaka2993 2 ปีที่แล้ว +1

    Amen and Amen

  • @jobiassmstawiworldclassmus6676
    @jobiassmstawiworldclassmus6676 2 ปีที่แล้ว +1

    Kazi nziri baba barikiwa

  • @mwakapetafrank
    @mwakapetafrank 2 ปีที่แล้ว +1

    Stewart, Mungu akubariki sana kwa wimbo huu

  • @LawrenceYobuNdosi
    @LawrenceYobuNdosi 2 ปีที่แล้ว +1

    Ubarikiwe mtumishi wa BWANA

  • @boriotgeoffrey9773
    @boriotgeoffrey9773 2 ปีที่แล้ว +2

    🇰🇪