Hakika Utumishi ambao Mungu amepanda ndani yenu Tanzania tunasema Asante Yesu wa Neema hii, hakika Tanzania tunafundishwa nakumjua huyu Mungu ktk Kristo Yesu. Mungu awatunze nakuwalinda
Bwana Yesu Kristo Atusaidie wote, Mtumishi wa Bwana Yesu, naomba kwa upole, mama yangu, ukitoa eleni na ukawa unafunika kichwa wakati uko mbele za (BWANA MUNGU) na kuondoa mapambo mbalimbali yote, inampendeza Mungu wa Mbinguni, maana mapambo ni chukizo mbele za (BWANA) Si kwa watumishi tu, bali na kwa watu wote wanao jipamba, na kusuka, pamoja na wanao jichubua, na dhambi zote pia, kama unafanya ivyo, Tubuni na kuacha maana ni chukizo mbele za (BWANA MUNGU) 🙏🙏🙏
Ubarikiwe sana mama kwa ujumbe wako na ushauri wa kusoma biblia lakini kama hamta jenga kwa mawe au dhahabu kazi yenu itateketea siku ya kujaribiwa kwenye moto, mama vua mahereni na mawigi ili kazi yako isiwe bure katika siku ya hukumu.
Waebrania : 8 : 11 - Nao hawatafundishana kila mtu na jirani yake, Na kila mtu na ndugu yake, akisema, Mjue Bwana; Kwa maana wote watanijua, Tangu mdogo wao hata mkubwa wao.
Hakika Utumishi ambao Mungu amepanda ndani yenu Tanzania tunasema Asante Yesu wa Neema hii, hakika Tanzania tunafundishwa nakumjua huyu Mungu ktk Kristo Yesu. Mungu awatunze nakuwalinda
Ameen...tunanyenyekea Mungu aendelee kuinua huduma Tanzania 🙏
Asante mama Mungu akutiye ngu kwa hiyo huduma, salamu kwa mzee nineyempenda sana.itaji ni kwamba Siku moja Mungu awalete Goma drc.
I just love to see them holding their hands together smiling🥰🥰❤❤
Hadi raha ukiwa na Yesu😊❤
😊😊😊😊❤❤❤❤❤
Bwana Yesu Kristo Atusaidie wote, Mtumishi wa
Bwana Yesu, naomba kwa upole, mama yangu, ukitoa eleni na ukawa unafunika kichwa wakati uko mbele za
(BWANA MUNGU) na kuondoa mapambo mbalimbali yote, inampendeza
Mungu wa Mbinguni, maana mapambo ni chukizo mbele za (BWANA)
Si kwa watumishi tu, bali na kwa watu wote wanao jipamba, na kusuka, pamoja na wanao jichubua, na dhambi zote pia, kama unafanya ivyo, Tubuni na kuacha maana ni chukizo mbele za
(BWANA MUNGU) 🙏🙏🙏
Bro Mungu amekutumia kufikisha ujumbe,Ubarikiwe.
MAMA, MAMA, Ubarikiwe Mnooo 🙌
Ameen Tubarikiwe sote Mama🙏🏻
Hallelujah Amina 🙏🙏🙏
Ubarikiwe sana mama kwa ujumbe wako na ushauri wa kusoma biblia lakini kama hamta jenga kwa mawe au dhahabu kazi yenu itateketea siku ya kujaribiwa kwenye moto, mama vua mahereni na mawigi ili kazi yako isiwe bure katika siku ya hukumu.
Bwana Mungu azidi kukutunza mtumishi ❤❤❤
Hallelujah. Ujumbe muhimu mno
HALLELUJAH HALLELUJAH MUNGU WA MBINGUNI AWATUNZE WATUMISHI
Kumtumikia Yesu raha sana
Ubarikiwe mama kwa ujumbe huu
Asante mama Yetu ❤❤
Mungu awabariki sana kwa kuifanya kazi ya bwana
Mamaa ❤🙏
Amen mama tunashukur sn
Amen. Tena mmevaa vizuri na mmependeza sana.Mungu abariki kazi na huduma zenu kwetu🎉🎉🎉
Ukiwa ndani ya Yesu ni raha sanaaa
Asante Mama
Barikiwa watumishi wa mungu
Amen Amen 🙏
Animaa Mungu atusaidie kwahili
Asante Mungu
Amen ❤❤
Amen amen amen amen amen
Amina,Amina,Amina.
🥰 mama❤
AMIN
Amina mama🎉🎉
Mungu aliye hai awatunze
Ubarikiwe
Ameen 🙏
Amen Amen Amen
Amen
Waebrania : 8 : 11 - Nao hawatafundishana kila mtu na jirani yake, Na kila mtu na ndugu yake, akisema, Mjue Bwana; Kwa maana wote watanijua, Tangu mdogo wao hata mkubwa wao.
Ameen
Hadi raha jamani❤❤❤❤❤
Halleluya
Jumapili sio sabato ya Mungu
Amina
Mungu anisaidie 😢😢😢📖📚
Amen
AMIN
Ameen
AMIN
AMIN