🙌🙌🙌🙌🙌Ajiuzuluuu wanaficha machafu sana polisi sasa hivi ni hatari kwa jamiii 😭😭😭😭Katiba mpya Tunahitaji kuondoa hawa polisi wahalifu wako wengi sana .✊🏾✊🏾✊🏾✌️✌️✌️✍🏽
Ni kweli kabisa Wizara ya mambo ya ndani imefeli. Viongozi wake wanapaswa kuwajibika. Wananchi wengi hawana imani na Jeshi la Polisi. Ukatili na majibu ya kuvunja moyo yanaongezeka. Ufanisi katika kupambana na utekaji wa Raia umeongezeka. Ikiwa kufeli kwa NHIF kumemgharimu Mhe Ummy halkadhalika kufeli kwa Uwajibikaji wa Jeshi la Polisi inatosha kwa Mhe Masauni kujiuzulu
Inasikitisha kuona Wanao Tazamwa kama ndio Walinda Amani , Hawastuki kwa lolote, Mambo yamekua nimengi sana. Na wakiendelea Hvi Hii Nchi tutaiokotea Kwenye Mitaro
Mzeeee kajilipua kweli hongera sana mzeeeeee 🙌🙌🙌🙌🙌
Hii nchi hakuna uwajibikaji kabisa
🙌🙌🙌🙌🙌Ajiuzuluuu wanaficha machafu sana polisi sasa hivi ni hatari kwa jamiii 😭😭😭😭Katiba mpya Tunahitaji kuondoa hawa polisi wahalifu wako wengi sana .✊🏾✊🏾✊🏾✌️✌️✌️✍🏽
Mr Rungwe🎉
Ni kweli kabisa Wizara ya mambo ya ndani imefeli. Viongozi wake wanapaswa kuwajibika. Wananchi wengi hawana imani na Jeshi la Polisi. Ukatili na majibu ya kuvunja moyo yanaongezeka. Ufanisi katika kupambana na utekaji wa Raia umeongezeka. Ikiwa kufeli kwa NHIF kumemgharimu Mhe Ummy halkadhalika kufeli kwa Uwajibikaji wa Jeshi la Polisi inatosha kwa Mhe Masauni kujiuzulu
Waziri wa mambo ya ndani anatakiwa awe kutoka bara hawa wazanzibar wapo nyoronyoro sana
Kwa taarifa yako Mhe Masauni Asili yake ni Bara. IGP ni Mtu wa Barabara. Sasa what's your point? Acha Ubaguzi na chuki za kijinga
Huyo Masauni amewekwa hapo na dadake ili kutesa watanganyika
Ni kujiuzulu tu akiwemo Waziri wa Mambo ya Ndani na IGP
Kama huyu waziri wa mambo ya ndani ni mzigo wa misumari..
Mimi sijawahi kumuelewa Kwa chochote aise,akiongea ni kama hataki vile,yani mm
Mbongo ukitaka kumfutahisha mwambie wewe ulikuwa hujazaliwa ao ulikuwa mtoto basi apo atafurahiya sana
Wasioona shida ya kuziuzuru Mh.Rais awang'oe tu.Natena waambie wamekuwa hawatoshi basi.Kama Hatai Mwinyi alijiuzuru,sisi ni nani tubembelezwe
Sijuwagi majukumu ya huyo waziri
Nchi ngumu sana hii
Inasikitisha kuona Wanao Tazamwa kama ndio Walinda Amani , Hawastuki kwa lolote, Mambo yamekua nimengi sana. Na wakiendelea Hvi Hii Nchi tutaiokotea Kwenye Mitaro
MNAPITA PEMBENI. RAIS AWAWAJIBISHE. ASINGOJE WAO WAAMUE. POLISI WAMAKUWA MAADUI WA HAKI.
Rais ni BOM
Masauni unaona sasa unatutukanisha wa Zanzibar wote tuko nyoro nyoro toa uamuzi wa maana
😂😂😂😂 Poleni sana Ndugu zangu Wazanzibar