Bonge la wimbo nimeukumbuka Teacher Deo alishawahi kutufundisha kitambo kidogo halafu akauweka pembeni..Aisee! Ni bonge la ngoma chorus tamu mashari matamu Yani ni mtamu full complete Hongereni sana Bakhita Moto umewaka🔥🔥
Kila kitu kipo sawa mziki umekamilika organization ya sauti za waimbaji na vinanda hii ni matokeo ya maandalizi mazuri mziki uko good sana. Nadhan sasa Galaxy pro kwenye swala la mziki msishindane na yoyote kila siku kuna vitu vinaongezeka vizuri. Keep it up.... Well done guys mzidi kupanda mnamiliki kila kitu kwasasa
Whet a song! Mr Deo hongera sana
Kazi kubwa hii. Hongera sana kaka Deo
Asante sana Kwaya ya ujana wangu wimbo Mzuri sana Mungu awabariki sana Asante The Galaxy
Tunamshukuru Bwana Mungu kwa yote🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Hongera sana Mwl wimbo ni mzuri sana
Wimbo mzur
❤❤❤❤❤❤❤❤
Bonge la wimbo nimeukumbuka Teacher Deo alishawahi kutufundisha kitambo kidogo halafu akauweka pembeni..Aisee! Ni bonge la ngoma chorus tamu mashari matamu Yani ni mtamu full complete Hongereni sana Bakhita Moto umewaka🔥🔥
Tumebarikiwa
🔥🔥🔥
Aisee mpo🔥🔥🔥🔥🔥
Wimbo mtamu sana hakika....
Organist Organist Organist 🙌🙌🙌
❤❤🙏
Kila kitu kipo sawa mziki umekamilika organization ya sauti za waimbaji na vinanda hii ni matokeo ya maandalizi mazuri mziki uko good sana. Nadhan sasa Galaxy pro kwenye swala la mziki msishindane na yoyote kila siku kuna vitu vinaongezeka vizuri. Keep it up.... Well done guys mzidi kupanda mnamiliki kila kitu kwasasa
Waooooo mbarikiwe sana ❤❤
Hongeereni Sana 😊😊
❤❤
mbona mnaachia wimbo mzuri wakati ambao ingelikuwa kama ningeupata nifurahi siku ya pasaka
❤❤❤❤🌷🌷🌷🌷
Naomba mwenye no ya Katibu Mariana wa hii kwaya.simu yangu iliflashiwa Sina no yake.
❤❤❤❤
❤❤❤