Kwaya yangu Mt Josephine Bakhita hongereni sana wimbo mzuriiiii mmeutendea haki... Nawamisi sana roho inaniuma kukosekana kwenye hii video😢..NAWAPENDA SANA❤
Nasikiliza huu wimbo kila mara mpaka machozi yananitoka aisee nilikuwa sijautafakari vzr lkn nimekaa nakutafakari yaani si kawaida wimbo unachoma Moyo.
Tanzanians kwa nyimbo mlieka record Kenyans we just try barikiweni sana ndungu zetu we love you for real
Siyo kwa juhudi zetu sisi bali kwa neema za Bwana tupo hapa🎉🎉🎉Amina na hongereni sanaaaa
Nimejikuta natoa chozi ni very nice song
Ni kwa neema zake kwa bwana.Amina,asanteni kwa tafakari
Bonge la wimbo...wimbo umechezwa vizuri, umeimbwa vizuri, umerekodiw vizuri.
Hongera sana Kwaya ya Mt.somo wangu! Mnaimba vizuri,Mungu awazidishie neema kwani kuimba ni kusifu mara mbili.
Kwaya yangu Mt Josephine Bakhita hongereni sana wimbo mzuriiiii mmeutendea haki... Nawamisi sana roho inaniuma kukosekana kwenye hii video😢..NAWAPENDA SANA❤
Tunakupenda pia ndugu yetu
Nawapendaa....umetutendea haki wimbo kwenye video🙏🙏❤️
Moto sana ,mbarikiwe
Wimbo mzuri sana na waimbaji wameutendea haki, ila upande wa shooter video haijatulia
Safi sana Wana Bakhita❤❤🎉
Ee Mungu tunakushukuru kwasababu umetutendea mambo makuu🎶🙌🙏
🔥🔥Tumebarikiwa
Hongereni kwa kazi nzuri sana
Ee Mungu tunakushukuru kwasababu umetutendea mambo makuu🔥🔥🔥
Mungu awabariki sana wanaBakhita
Standard nzuri kabisaa, congratulations to all who made it 👏👏👏
Asante Mungu kwa umbali huu❤️🙏
Mbarikiwe sana hakika nikwaneema yako bwana tumefika hapa tulipoo sasa kongole kwenu
Hongereni sana kwa Nyimbo nzuri
The songs is very nice Tanzania catholic songs are the best ever sang with alot of passion
Nmewapenda bureee
Mmetisha kama njaaa
Hongeren Sana kwa wimbo mzur
Nasikiliza huu wimbo kila mara mpaka machozi yananitoka aisee nilikuwa sijautafakari vzr lkn nimekaa nakutafakari yaani si kawaida wimbo unachoma Moyo.
Godian bila kuanguka uwe super!!!!!!🎉
Hakika Mungu katenda
Moto moto uvumilivu unajenga furaha.
The organist anaweza kuchambua sauti zote vizuri kabisa.
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Hii Ni hatua yenye matumaini
Noma❤❤❤❤
🙏🙏
👍
🔥🔥
Stay blessed 🙏🙏
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Kazi nzuri...sana Wana Bhakita