Asantee sana my dear Veronica kwani hata sisi wasikilizaji tunashangaa dunia Ina mambo mengi sana tusiyoyajua Pole Fatma unapitia magumu sana kwa kuhukumiwa
Mm binafsi Najifunza mengi Sana kupitia hii story. Lakini pole kwa dada Fatuma maana hicho kitu kinaumiza Sana. Kupitia hii story nimejifunza kuwa Kuna kila haja yakumjua mtu kabla yakuolewa .
Yaani vijana pamoja na kukua kiumri na kuwa na maisha yetu binafsi ila kuna muda wazazi wetu wanatamani sana tuwashirikishe maisha yetu jinsi tunayoishi mbali nao, changamoto tunazopitia ili watushauri au hata kutusaidia kama wana uwezo huo japo pia inaweza ikawa hatari kwa afya zao kutokana na umri wao kusogea hivyo unaweza kuwashtua mioyo na kuwapoteza pale unapowashirikisha kila jambo maana nao watahisi maumivu. Fatuma pamoja na kuulizwa kila mara ila bado hakuweza kung'amua kitu mpaka nahisi sijui alipigwa ulozi na mumewe? Ila ile kauli ya dunia tambala bovu ndio hii sasa, hata kufutia viatu vyenye vumbi huwezi jinsi dunia isivyo na huruma.
Ndy mazala ya kujifungia ndan kuwa na marafiki ni muhimu jmn kwajil ya kubadilishana mawazo Ila tuchague malafiki wema na wenye akil na utu,,, w mtu gan mkiwa falagha azungumzi
Uwongo na udanganyifu muda wake Ni mfupi mno.Isitoshe Siri ni ya mtu mmoja akiongezeka mwingine hiyo siyo siri tena, hiyo beanake na Fatu atakutwa na la kumkuta, yeye atafute tiba tu.mbona hela anayo.
Kabisa elimu yake zero kabisa kwa sababu mume wangu ni lazima nimjue ata akiwa gizani mtt wa kwanza mpka tatu bado akili imelala doooh na uyo bwana muuwaji akimtumikisha mkewe kingono kwa wanaume wengine jaman kweli kuwa uyaone sio magari tu jamani Kumbe mpaka mambo yanavokuwa ukatamani dunia isizunguke kabisa 🙃
Yani Dunia ina visa vikubwa ,ikiwa huyasikii haya kuwa kuna watu wanapitia maajabu unakataa,hakika ndio maana tunaambiwa Mwanadamu ajikite katika imani ya Ibada ya Mombi kwa MUngu wetu wa Mbinguni Yeye ndiye Ajuaye ya sirini ,na ndiye Anatuepusha na mabalaa

0

Hii story ni Tam mnoo inaonekana🔥🔥🔥
apo sawa,kumbe nilichanganya fatuma iliyopita, NAHI 🙏
Aiseee mungu mtetee huyu fatmaa jamanii mbonaa mazito
Veroncka ongera sana kwa kusimuria vizuri pia we.nimuzuri san ume orewa?💘
Nzur sana kpz Chang
Naitafuta sehem ya kwanza na ya pili
Duhh!!Pole fatma mume si mkweli halafu kama awezi kazi kwanini atafuti watu wanaoendana na yeye???Aiseee cy mtuuu mzuri kabisa
Huyu dada kweli ana mtihani
Mwendlezoo uko wapi jmn
Daaah...pole sana Fatuma 🤔
Sasa ina maana fatuma ulikua haushiki 🍆 ya Muneo huijuu kweli 😂😂 umezingua alafu muarabu atakua alikua na kibamia ukaona Mbn leo kuna tofauti 😂
Jaman nimekuona
Duu!hii nayo ni kali
Uyu mume atakua apandi mtungi hvy umtumia uyo kumridhsha mkewe
Anamtumia rafiki yake kuzini na mkewe yy huwa nje jamaa akitoka mume anarudi ndiomaana huzima taa mwanamke asionne duh balaa lakini siri itatoka tu
Sasa huyu mwanaume kama anatatizo si bora angesema sio kumfanyia hivyo mkewe
Ndy mazala ya kujifungia ndan kuwa na marafiki ni muhimu jmn kwajil ya kubadilishana mawazo Ila tuchague malafiki wema na wenye akil na utu,,, w mtu gan mkiwa falagha azungumzi
🤣🤣🤣Ila ww fatuma eeh at cku moja ukutaka kushik muong wa mumeo 🤦♀️🤦♀️Ya dunia
Hii nshawah kuona kwenye movie fulan ya kibongo ila ipo siku siri itajulikana
Nice story 🥰🥰🥰🇴🇲🌹
Pole sana fatuma. Kunakitu
Yajayo muuuuh 😭😭😭
Dunia duara, usipositaajabu ya Mussa utayaona ya firauni
Uwongo na udanganyifu muda wake Ni mfupi mno.Isitoshe Siri ni ya mtu mmoja akiongezeka mwingine hiyo siyo siri tena, hiyo beanake na Fatu atakutwa na la kumkuta, yeye atafute tiba tu.mbona hela anayo.
Wa pili Leo🤰💕💕💕💕
Mungu akuongoze kwenye kazi yko da V uzid kutuelimisha
Mh,fatuma vp unatupeleka wp,mume hana jambo haki.anakukodishia vidume aitwe baba.mh,hautatoka na ngoma kweli Fatuma? Embu niendelee kusikiliza mh
Hii dunia yaovio sana
Ubarikiwe
Eheeee twendeee mbele,kitu Cha maajabu kudadeki ayayaaaayaaaa simuli inatupiga na kitu kizito kichwa🙆 jamani,hiyo nyumba Haina switch hapo ndaniii?
Ata na sisi tunajiuliza inawezekanaje ya mambo
Lol Dunia ina mambo Sana, jamaa atakua hana uwezo wa kufanya tendo la ndoa kabisa halafu anamtumia rafiki yake!! Kulala na mkewe! Dahh 😑😑
Bora angongea na ndugu yake wa dam hya yasinge tokea
Yaani loh
Fatuma nae alikuwa mgumu wa ufaham.mume wangu niko nae cku zote ndani mh.
Kabisa elimu yake zero kabisa kwa sababu mume wangu ni lazima nimjue ata akiwa gizani mtt wa kwanza mpka tatu bado akili imelala doooh na uyo bwana muuwaji akimtumikisha mkewe kingono kwa wanaume wengine jaman kweli kuwa uyaone sio magari tu jamani Kumbe mpaka mambo yanavokuwa ukatamani dunia isizunguke kabisa 🙃
Volume ya 4 haipo
Leo jion ndo ya nne
Sorry fatuma itajulikana tu dah mume wake sio mtu kabisa kumpenda kote uko
Kweli usilolijua nukama usiku wa giza
Huyu jamaa atakua anamatatizo ya nguvu za kiume
Dunia Ina mengi hii
Nice story
Mambo ya bongo dar saalam
😭😭😭😭😭😭 da fatuma
Yani Dunia ina visa vikubwa ,ikiwa huyasikii haya kuwa kuna watu wanapitia maajabu unakataa,hakika ndio maana tunaambiwa Mwanadamu ajikite katika imani ya Ibada ya Mombi kwa MUngu wetu wa Mbinguni Yeye ndiye Ajuaye ya sirini ,na ndiye Anatuepusha na mabalaa
Kabisa maana
Mmmh au basi
Jaman Fatima anapitia wakat mgum
kuna sir kwa mumew
🙏🙏❤️❤️
Changamoto sana
stor mzur
🤤
Kama imetungwa hii simulizi😹
🌚🌚🌝🏃♀️💞💞
😬🤭🤭🤭🤭🤣🤣
Duu!hii nayo ni kali