Ak mm mwenzenu ata sijui nifanyeje hapigi ata hio text ukituma kujibiwa pia nishida ukipiga wewe niuongee wewe yeye nikuitikia tu ukimwambia ilove majibu ni ok asntee sasa mm ata nashindwa jamani,nando nmpenda hatarii yani😢
Mimi Nina shida Nina mpenzi wg abaye tulikuwa napendana sana sasa mapezi wangu ame enda safari ame eneza sasa mwenzi bili Aja rudiya bado sasa naomba uni saidiye apate kurudiya kwa wakati kwasababu namupenda sana naomba musaada wako.
Maneno yake n ushaurii wake ni WA kweli nimefanya n nimeweza Asante sana kaka nipo poa asahiv
Àsante sanà kaka angu maana mm nimekua kama mtumwa wa mtu mungu akubarki Sana
Nimeipenda hiyo😍😍Asipopiga usipige,ukituma message asipotuma usitume tena oyaa applied ❤✅
Mimi huwa nampigia tu yeye Ila nikimpigia fresh Ila yeye huwa hatumi sms Wala hapigi
+255768275795
Asante Sana nimeipenda iyo
❤❤❤nimeipenda na nimefanya ivo asantee
Nakupenda kaka kwaajili ya Mungu hakika umeniosha moyo
Mwingne usipomtafta Mara ataamin kuwa humpend ,,atajua unachat na mwingne
Mimi najalibu kujiweka kalibu na yeye ila yeye anajiweka mbali na mm Kaka hiyo dalili ni ya nn Mara nyingi hakawii kunilaulaum kwann
+255768275795 WhatsApp
😂😂😂😂 au sio baba!! Akipig pig asipo pig uspige woyoo akituma tuma asipo tuma ustume weeeeee nimekuelewa
Asant kaka angu kuna kitu nimejifunza nashukuru
Ahsante kaka barikiwa sana
Barikiwa Mtumishi
Asante kwa somo zur ni kweli nimekuw mtumwa
Asante Sanaa Kaka yangu
Saii.kabisa.ni.sawa.honqera.sana.
Upo vizuri kwenye ushaur
Mke kanikimbia lakini amekuwa mharibifu wa vitu vyangu naomba ushauri wako mtumishi wa Mungu
Barikiwa Mtumishi,naomba namba yako ya simu
0768275795
Ahsanteee sanaaa kaka barikiwe
Asante kwa somo kaka
Ushaurii mzuriii sanaaaa
Thank you kakangu ubarikiwe
Ushaur mzur xan
Thanks dr
Ni ukwel kabsa brother yang
Aaaaisee mapenzi yanatunyosha kwakweeliii
Hii inasaidia sana.
Mm text ananitumia ila kunipiga ady ajiskie mwenyewe ndio akupigie na kitambo hakua ivyo
+255768275795
❤❤❤ubarikiwe kututia moyo
Nabii wangu ninahitaji ushauri jinsi gani aondoke kwangu katoka kwangu kaelekea kwenye nyumba yangu tena nifanyeje atoke na hapakuwa na ugomvi
thankx unanena ukweli kabisaa
Asante sana
Mpaka asemeee na atasemaaa tu
Thankx anko
Mm nmefanya Ivo ndan ya wiki moja saiv kabadilika mda ote anapiga cm nakulalamika kwann simtafut au nmepata mtu mwngn
Umenifunza kaka
Kwelu kaka❤❤❤❤
Well said kaka
hii imeenda
Ahsante kaka
Mimi ndio nilikuwa kwenye janga la kutokupigiwa sasa nimepata jibu asante
Ak mm mwenzenu ata sijui nifanyeje hapigi ata hio text ukituma kujibiwa pia nishida ukipiga wewe niuongee wewe yeye nikuitikia tu ukimwambia ilove majibu ni ok asntee sasa mm ata nashindwa jamani,nando nmpenda hatarii yani😢
@@aminabeatrice7521 0768275795
@@johanessjohnnice ujumbe
Noted✅
Imenigusa sana leo kakangu
❤❤❤
Nmeielewaa hyooo asipoopigaanusipigee asipoo tumaa usitumeee usimfatilieee oky asntee kaka
Mimi Nina shida Nina mpenzi wg abaye tulikuwa napendana sana sasa mapezi wangu ame enda safari ame eneza sasa mwenzi bili Aja rudiya bado sasa naomba uni saidiye apate kurudiya kwa wakati kwasababu namupenda sana naomba musaada wako.
+255768275795
Ubalikiwe kk kwa SoMo lako nzuli
Asnte Kwa mafundisho yako
Jitoe kwanza kwa mama mkwee usimwamukie
Maneno yako nimeyapenda San San Kuna kitu umenifunza kitu
🙏
Huuu. Niukweli. Kabisaa. Mimi. Huwa. Nakaa. Pembeni. Sitoii. Pesa. Wala. Nini. Wanawake. Wapo. Wengii😂oyaa. Hapo. Kwenyekupendeza. Umeuwamafuu. Nakuwa. Smt. Kinoma. Afuu. Kama. Simu. Fahamu. Kanisani. Kila. Sikui
Me nlikua nateseka mda ote mm napiga cm hapokei ukituma mesej hajb namm nkaacha kabsa nkashangaa kabadilika gafla akawa anatuma mesej mda ote
Asante San Kaka. Nimeipenda san
❤❤❤❤❤❤❤
Shukrn sn broo ndonipo kwny hiy situation.barkiw san
Kwel brooo
Mauwa yakoooo🎉
Nimekuelewa kweli iyo ndio dawa ya watu kama hao
Prz na0mbanisaidie mm nimeachwa bira atakuandaeiwa gafra tuu
Asant kwaushauli
Daah
❤❤
Naomba namba yako
Kaka naomba namba yako ya simu
0768275795
umeeleweka san broo
Unanipa faraja
Vitabu tunapaje na bei ikoje
5000/= tunakutumia Whatsapp tuma humu 0768275795 Johaness John BANYANGA
Habari, icho kitabu shingap, maan dah mtihani, ndoa iz cyo mchezo
Vitabu 4 sh. 5,000/= Tsh
Unatumiwa popote duniani kwa njia ya Whatsapp ndaninya dakika 1 tu!
Natuma kweny namb ipi
@@zulfajuma7511 0768275795 JINA JOHANESS JOHN BANYANGA
Saw nimekuelew
Leo umeongea sasa
Sas me boy wang anasema tuachan me bdo nampenda nisaidie nafanyaj
Mumy usilazimishe mapenzi utaumia
Asante sana
Munguakubariki braza