Usifanye vituko hivi 7 kwa ex wako kama unampenda bado

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 ก.ย. 2024
  • Usifanye vituko hivi 7 kwa ex wako kama unampenda bado

ความคิดเห็น • 14

  • @HamisaIssa-e3w
    @HamisaIssa-e3w หลายเดือนก่อน

    Niliwahi tumia hizi mbinu mara yakwanza aiseee matokeo nizaidi ya unavyoongea,,ila nataka nitumie tenah kwa mtu mwingine naimani kubwa sana mara hii matokeo yatakuja mazuri mara 5 zaidi ya mwanzo,,barikiwa sana Brother

  • @John.F.lazaro
    @John.F.lazaro 27 วันที่ผ่านมา

    Kwer kbs

  • @verosir1416
    @verosir1416 3 หลายเดือนก่อน

    Nimekubal ❤🎉

  • @safiasuliman5136
    @safiasuliman5136 8 หลายเดือนก่อน +1

    Daa bro mm ni moja nilie achwa na nika kubal matokeo maana ata kosa sja fanya wala hatujawah gombna na mweza wangu ila nilicho amua kukaa kmy nime kata mawasilino na mwezngu keshaoa pia aka nitafuta ila sna maongez nae bada ya kuitikia salam to na ninampenda ila sna jins zaid ya kufocas na mambo yngu na kuomba mungu

    • @johanessjohn
      @johanessjohn  8 หลายเดือนก่อน +1

      0768275795

    • @safiasuliman5136
      @safiasuliman5136 8 หลายเดือนก่อน

      Hii no yko ninayo ila haikai waspp na mm nipo nnje ya nchi

    • @johanessjohn
      @johanessjohn  8 หลายเดือนก่อน

      @@safiasuliman5136 +255768275795 tumia hii

  • @greacembwnwilibati8197
    @greacembwnwilibati8197 10 หลายเดือนก่อน

    Yaani unanisema mm kabisa brother ngoja nisubuli kaniambia nipe mda kidogo 😢

  • @Mwaisaa
    @Mwaisaa 13 วันที่ผ่านมา

    Okay no ya group

  • @VickKulekana-si1ib
    @VickKulekana-si1ib 11 หลายเดือนก่อน

    Ni kwel kabisa ukipiga simu sana atakuzalau mimi nipo hivyo mtu akiniacha nabembeleza mwanzo lakin nikiona haelewi namuacha utakuta analudi

  • @AbdillahBakar-qx9sr
    @AbdillahBakar-qx9sr 10 หลายเดือนก่อน

    Asante brother

  • @ZahraYahya-lh2lb
    @ZahraYahya-lh2lb 8 หลายเดือนก่อน

    Nice my broo i prefer to watching you actions 😋😍