FULL STORY BIFU LA NANDY NA ZUCHU

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 3 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น •

  • @abdallahalbakri2561
    @abdallahalbakri2561 2 ปีที่แล้ว +21

    Baba Levo nakupongeza sana maneno yako sadaqta kabisa unataka kufata dini fata vyote yani kwa hili Baba levo👍👍

  • @HusseinRj
    @HusseinRj 2 ปีที่แล้ว +28

    Kiukweli Baba Levo Kichwani yupo smart sana, anajua mambo na anajitambua,💪

  • @fettytaph8093
    @fettytaph8093 2 ปีที่แล้ว +27

    Mm nasemaga hivii sio Kila dhambi lazma nfanye hongera Zuchu wangu Nakupenda Mpenzi ❤️❤️ watashndana na hawatashinda

  • @Mimy_keys
    @Mimy_keys 2 ปีที่แล้ว +11

    Baba Levo ww ni Level nyingine 🙌👏👌Ishi Baba tunakupenda kwa ukweli na uwazi wako ❤️🤗💯

  • @cutee3405
    @cutee3405 2 ปีที่แล้ว +7

    Mbona mnamjudge sanaa zuchu... Ni decision yke kukataa kwani ni lazima atende dhambi zotee... I love you Zuchu 😘😘 achana nae

  • @HellenRanny
    @HellenRanny 2 ปีที่แล้ว +26

    Leo baba la baba ameongea points mwanzo mwenga..Chawa smart!!!👏🏽👏🏽👏🏽

  • @salmahabdallah7203
    @salmahabdallah7203 2 ปีที่แล้ว +20

    Ila mwijaku kweli lazima umrekodi Mana ni kigeugeu sana

  • @itunnechi5374
    @itunnechi5374 2 ปีที่แล้ว +4

    Well said levo B. Umepiga kwenye point, mwenye ufahamu kaelewa haswa.

  • @nadanasser1020
    @nadanasser1020 2 ปีที่แล้ว +15

    Baba levo nakupenda bureee wewe ni Levo nyengine saaana anaakili nyingi uyo kaka

  • @wanaupendotv7183
    @wanaupendotv7183 2 ปีที่แล้ว +16

    Ameshindwa interview baba levo🙆🏼‍♀️

  • @issakhan260
    @issakhan260 2 ปีที่แล้ว +8

    We ndio Baba levo baana 🔥🔥🔥🤣❤🙏

  • @athmaniddi8766
    @athmaniddi8766 2 ปีที่แล้ว +13

    Umeogea sana chawa nakupongeza

  • @tiffanomary602
    @tiffanomary602 2 ปีที่แล้ว +7

    Katika siku uliongea point nileo 💯

  • @winnifridanicas3093
    @winnifridanicas3093 2 ปีที่แล้ว +4

    Baba Levo umeongea point.... Sana Yan afate dini mazima

  • @andreabarnaba3054
    @andreabarnaba3054 2 ปีที่แล้ว +4

    😂😂😂😂😂 Ila baba levo wewe ni 🔥🔥🔥

  • @rukiaiddyyahaya9506
    @rukiaiddyyahaya9506 2 ปีที่แล้ว +22

    Baba levo uko right ukitaka dini kua kwenye dini

  • @shaneshane4175
    @shaneshane4175 2 ปีที่แล้ว +12

    Ata akivaa hivyo ila kakataa pombe yupo sawa sio lazima abebe dhambi zote

  • @mickidadyplanet6476
    @mickidadyplanet6476 2 ปีที่แล้ว +1

    Baba level upo upo strait sana..l like you

  • @wennceslausmushi2356
    @wennceslausmushi2356 2 ปีที่แล้ว +14

    Huyo zuchu wenu hajielewi mbona vingi tu anavyofanya haviendani na misingi ya imani yake la kwanza kabisa mavazi ,pili kushikwashikwa na kubambiwa hadharani kimalaya vile kuna dini hapo?hebu atupumzishe sie.

    • @BigZhumbe
      @BigZhumbe 2 ปีที่แล้ว

      Si ndio hicho hicho anachoongelea Baba Levo... wewe ni wale watu kwenye familia mnarudia rudia mada kwenye mikitano adi mnasuswa 🤣🤣🤣

  • @irenegodwin1400
    @irenegodwin1400 2 ปีที่แล้ว +11

    Baba Levo ndo msemaji wa wasafi jamn 🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @dullahbatuf9223
    @dullahbatuf9223 2 ปีที่แล้ว +1

    Ww baba levo vip ufanye dhambi zote we firaun au zuchu kafany vizur tu hakun mkamilifu kw kua anaimba tn kl dhambi afanye hee

  • @mohammedabdala7526
    @mohammedabdala7526 2 ปีที่แล้ว +1

    Uko sawa umenena

  • @salimdidi7964
    @salimdidi7964 2 ปีที่แล้ว +1

    Baba levo Kuna time anaongea vitu vya msingi sana big up kijana

  • @kaltumaabdullahi2411
    @kaltumaabdullahi2411 2 ปีที่แล้ว +1

    Kabisa

  • @juma6253
    @juma6253 2 ปีที่แล้ว +1

    Kumbe baba levo zipo akili ni utafutajitu anajiwehua

  • @aishahaji3128
    @aishahaji3128 2 ปีที่แล้ว +1

    Levo hakusoma ila ankoli kweli

  • @ilynpayne7491
    @ilynpayne7491 2 ปีที่แล้ว +1

    Hahah babalevo na mwijaku ni watu washenz sanaz😃😃😃😃

  • @arnhemzuid8885
    @arnhemzuid8885 2 ปีที่แล้ว +3

    Just leave her. Pombe imeharamishwa. Na pia hao mabinti hawana ugomvi kama mnavyotuaminisha. Kama huyo Zuchu alishakataa mlimsikia kulalama kwanini hilo deal kapewa Nandy! Waacheni hao warembo wafanye kazi.

  • @elizabethrichard4922
    @elizabethrichard4922 2 ปีที่แล้ว

    Baba levo apa ameongea vizur Sana.
    Ukiamua kuwa na Imani ya din uishike kweli.
    Na
    Ukitaka kufanya vizur kazi na watu uwe na usiri cyo mambo yahamie mtandaoni

  • @khadijaabdala6876
    @khadijaabdala6876 2 ปีที่แล้ว +4

    Mwijaku mnafiki

  • @KoreanDramaMoviesKiswahili
    @KoreanDramaMoviesKiswahili 2 ปีที่แล้ว +11

    🔥🔥🔥

  • @nkwabitz233
    @nkwabitz233 2 ปีที่แล้ว +10

    Baba levo akili kubwa sana

    • @unclepwechnov1381
      @unclepwechnov1381 2 ปีที่แล้ว +1

      Ameshawahi kuwa diwani, kwenye siasa lazima uwe mtu wa timing kwa kila unachoongea na kila ufanyacho.
      Anajua madhara ya kuteleza ulimi au kuchafua brands za kibiashara.

  • @nostresslyly5454
    @nostresslyly5454 2 ปีที่แล้ว +2

    Baba levo kumbe kuna muda unaongeyaga ukweli Leo nakukubali umeongeya ukweli kbs ukiwa star mambo ya dini amuna

  • @everlinesemvua9760
    @everlinesemvua9760 2 ปีที่แล้ว +2

    Fundi majumba unaakili sana unajua sana, elimu bila kuelimika c kitu. Yaani wewe Ni zaidi ya professional. Unajielewa huna baya.

  • @maligeltabatholomeo8128
    @maligeltabatholomeo8128 2 ปีที่แล้ว +1

    Kweli

  • @hassansammy1076
    @hassansammy1076 2 ปีที่แล้ว +7

    Baba levo respect

  • @jacksonngusi4122
    @jacksonngusi4122 2 ปีที่แล้ว +2

    Baba levo uko sawa chawa

  • @danielmrombo
    @danielmrombo 2 ปีที่แล้ว +5

    Chawa promax aka Babalevo😂😂

  • @maliamjuma9376
    @maliamjuma9376 2 ปีที่แล้ว +1

    Baba levo na mwijaku nawependa kwauchekesha washakutana bamia na mrenda

  • @priscajublety741
    @priscajublety741 2 ปีที่แล้ว +1

    Baba levo yupo sawa ingawa ni muongeaji

  • @zuenahamoud1532
    @zuenahamoud1532 2 ปีที่แล้ว

    Mwisho mwema yaraby tumefunzwa kuuomba tabia zawenye dini nikuhukumu zuchu hongera kwako una imani huna dini umeamini pombe niharam basi itoshe kusema Imani yko imekuponya nakuombea khusunu l hatima mwisho mwema yaraby jivunie imaaan co dini maana dini zipo nyingi hata wanaoabudu mizim ngombe miti sanam nao Wana dini penda zuhura mungu akulimde na akutunzie Imani yko mumy

  • @rajah9328
    @rajah9328 2 ปีที่แล้ว

    Baba levo Leo 100% nkupatia umenena kwel ukiwa wa dini ingia 100% kw dini c ety dini hairuhusu den mengne wafanya n dini pia haytki kwnye mavazi yke tu uyo zuchu ety mtoto w kiislamu ndivyo waislamu wakike uvaa wenye kufata dini kwel dini tuwaachie wenywe wanaojua sawa n makosa

  • @rajabessa3675
    @rajabessa3675 2 ปีที่แล้ว +1

    Baba Levo bravooo

  • @edinakyaruzi9226
    @edinakyaruzi9226 2 ปีที่แล้ว +4

    Wanatetea tu jamani jamani mmmmmm mnajua wenyewe

  • @aishahaji3128
    @aishahaji3128 2 ปีที่แล้ว

    Kweli baba levo umeongea hasa maana anavyovyaa na huku ana mwqnq,,e Dini imekubali? Levo unaongea kweli nakupenda bure

  • @jontezdiamond670
    @jontezdiamond670 2 ปีที่แล้ว

    @Rayvvan umefanya jambo la heri sana Wala ujakurupuka kama harmomavi wewe ni mfano wakuingwa much love from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪#wasafi.

    • @agneciavin1389
      @agneciavin1389 2 ปีที่แล้ว

      Eti harmomavi be nice haaaaaaaaa

    • @sifatiiman
      @sifatiiman 2 ปีที่แล้ว

      kuma la mamako wewe kaa kimya harmonize kaingiaje apa?

    • @raphaelbravo8432
      @raphaelbravo8432 2 ปีที่แล้ว

      @@sifatiiman kwani wewe mamako hana kuma,,, ghasia wewe.

  • @omanmct135
    @omanmct135 2 ปีที่แล้ว +10

    Kwanini anaimba nanguwo mbaya hanandini zuchu

  • @issakhan260
    @issakhan260 2 ปีที่แล้ว +5

    Kinaukweli ndani yake Baba levo

  • @sampatrick308
    @sampatrick308 2 ปีที่แล้ว +2

    Dili ya pombe hpn ispokuwa kuchezewa n sawa

  • @loulox9694
    @loulox9694 2 ปีที่แล้ว +6

    B levo uko SAWA kabisa

  • @zariadunia6328
    @zariadunia6328 2 ปีที่แล้ว +3

    Kawaida baba levo hampendagi zuchu sijui kwa nini hujilazimisha tu kulinda kibarua chake lkn hampendagi

  • @dalilasaliim2819
    @dalilasaliim2819 2 ปีที่แล้ว +9

    Dini pia hairuhusu kuvaa uchi na kuimbaa piaa

    • @omanmct135
      @omanmct135 2 ปีที่แล้ว

      Kwali kabisa

  • @simbaasad5811
    @simbaasad5811 2 ปีที่แล้ว

    Babalevo Leo umeongea point

  • @ashasalimu5527
    @ashasalimu5527 2 ปีที่แล้ว

    Zuchu Alipewa majaribu Ila ameshinda hongera Sana zuchu siyolazima ka ma Kila zambi ufanye

  • @judyngowi391
    @judyngowi391 2 ปีที่แล้ว

    Kumbe baba Levo ana akili kuliko Mwijaku,

  • @jayshine354
    @jayshine354 2 ปีที่แล้ว +2

    Kwani Ni kesho 😏

  • @kekiplus1andonly
    @kekiplus1andonly 2 ปีที่แล้ว +5

    Hahahahhahaha tumeelewa

  • @popiya2368
    @popiya2368 2 ปีที่แล้ว +9

    Hapo Babalevo nimekuelewa kabisa; eti uzini utembee uchi na uimbe halafu useme eti dini. Hapo double standard

  • @birusidesmond3245
    @birusidesmond3245 2 ปีที่แล้ว +2

    Baba levo Leo nimeku penda buree

  • @nadanasser1020
    @nadanasser1020 2 ปีที่แล้ว +3

    Mwijaku shogaaaaaa saaaana

  • @beatricefredilick1646
    @beatricefredilick1646 2 ปีที่แล้ว +3

    Muachen nand.apumzike ajifungue salama.msimzonge

  • @siliviasimon7970
    @siliviasimon7970 2 ปีที่แล้ว +1

    ❣️❣️❣️💖

  • @rashidmtengule3681
    @rashidmtengule3681 2 ปีที่แล้ว

    Wanagombania boohao

  • @nissispuppies5990
    @nissispuppies5990 2 ปีที่แล้ว +6

    I thought music was haram. Does zuchu even follow sharia law?

  • @sniper93999
    @sniper93999 2 ปีที่แล้ว

    baba levo / mwijaku😂

  • @stn4873
    @stn4873 2 ปีที่แล้ว

    Hahahahaha bwana Mwinjaaa....

  • @loganpoul
    @loganpoul 2 ปีที่แล้ว +20

    Dini pia haitaki ashikwe matako hadharani,dini imekataza mambo mingi

    • @shabiruponera4323
      @shabiruponera4323 2 ปีที่แล้ว

      Kama Ni mke wake na wamefunga ndoa unajuaje...??

    • @loganpoul
      @loganpoul 2 ปีที่แล้ว

      @@shabiruponera4323 kwaio dini yaruhusu kutembea na kile kibukta alichokivaa zuchu huku akishikwashikwa???hio dini mi pia naitaka

    • @samwelkeremu4111
      @samwelkeremu4111 2 ปีที่แล้ว +1

      Hv nyie wakamilifu.Sawa yy sio mkamilifu lakin hakutaka kusimama majukwaani kuitangaza pombe anajua hajakamilika lakin alkataa kuwatangazia watu kwamba pombe ni nzur

    • @OfficialA83640
      @OfficialA83640 2 ปีที่แล้ว

      @@samwelkeremu4111 kwani akijistiri hawezi kuimba hd akae uchi majukwaani ?

  • @benakamili5096
    @benakamili5096 2 ปีที่แล้ว

    Hawezi kataa Dili kwaajili ya dini wakati anavaa uchi uchi ana dini gani unafki tu na kashidwa huyo

  • @imranally5501
    @imranally5501 2 ปีที่แล้ว

    Huyo zuchu aache unafiki kwa dini gani aliyonayo hayo anayoyafanya mengine dini inayakubali? Au kaiona pombe tu, unafiki mbaya jamani

  • @wennceslausmushi2356
    @wennceslausmushi2356 2 ปีที่แล้ว +1

    Kwanza kuna msanii gani wa kike mwenye wazazi wenye kujielewa akawa na kipaji wazazi wamtuhusu kufanya kazi wcb,?kiukweli zuchu kawaharibia wenzie inaonyesha boss hana nidhamu kwa wafanya kazi wake.

    • @mnubimnubi4081
      @mnubimnubi4081 2 ปีที่แล้ว

      Wewe mwanamuziki gani wa kike anavaa kwa heshima Duniani wcb hakuna mzazi atakae kataa mwanae asiende sio Tanzania tu East Africa yote

    • @wennceslausmushi2356
      @wennceslausmushi2356 2 ปีที่แล้ว

      @@mnubimnubi4081 aaalh wapi labda maskini ila mtu hawezi somesha mwanae akabambiwe kimalaya labda hajielewi mavazi wanavaa ila hawajifanyi wameshika dini ,kwanza kidini muziki ni haramu

  • @tanzaboy4824
    @tanzaboy4824 2 ปีที่แล้ว +4

    Kwani dini inamruhusu kuimba mziki au kuvaa viguo vyake vya uchi

    • @djtashrastababy2592
      @djtashrastababy2592 2 ปีที่แล้ว

      Thank you

    • @samwelkeremu4111
      @samwelkeremu4111 2 ปีที่แล้ว

      Ile amevaa yy sawa sio mkamilifu lakin kaz alopewa ilkua kuwaaminisha na kuwapotosha watu wengi kwamba pombe ni nzur Zuuu big up Sana

  • @gipsonmosha1857
    @gipsonmosha1857 2 ปีที่แล้ว

    Leo ndio akili za baba levo zimerud kiasi

  • @mohamedsaidsaid1602
    @mohamedsaidsaid1602 2 ปีที่แล้ว

    B levo fundi majumba baba

  • @الرعدالصغير-ت1ش
    @الرعدالصغير-ت1ش 2 ปีที่แล้ว

    Baba levo😂😂

  • @azizamohamed7692
    @azizamohamed7692 2 ปีที่แล้ว +2

    Acha unafki amekataa kutangaza pombe na huo mziki anao ufanya acheni unafki kashindwa itavyuu

    • @devisbbb6395
      @devisbbb6395 2 ปีที่แล้ว

      Akili huna ww kichwa kigumu icho au

  • @navokisembo
    @navokisembo 2 ปีที่แล้ว

    Zuchu anaona pombe ndo dhambi ila kuzini na Daimond sio dhambi? Jameni sielewi watu wanaojiita wana dini wanaona pombe na sigara dhambi Haya kazi wanazo

  • @kadreenakitchen8098
    @kadreenakitchen8098 2 ปีที่แล้ว +2

    Dini gani inakubaali kuimba

  • @noorrajpar3928
    @noorrajpar3928 2 ปีที่แล้ว

    Ila kuvaa vichupi anavaa pumbavu

  • @yassinroro7763
    @yassinroro7763 2 ปีที่แล้ว +3

    😫😫

  • @OfficialA83640
    @OfficialA83640 2 ปีที่แล้ว +1

    Dini yake inamruhusu kuvaa uchi?
    Maana bora asingeongea kuhusu dini

    • @cleveronlinemedia820
      @cleveronlinemedia820 2 ปีที่แล้ว

      Kila mtu ukimfatilia lazma awe amefanya kitu anbacho dini ahiitaki ko tujaribu hata kupunguza dhamb ndo maan yy kaamua kupunguza kwa namn iyo

  • @everrineanyango7410
    @everrineanyango7410 2 ปีที่แล้ว +4

    Zuchu Malaya mkata KAMBA

    • @jaymandy8136
      @jaymandy8136 2 ปีที่แล้ว

      Halafu ww nae?

    • @rereshap9416
      @rereshap9416 2 ปีที่แล้ว

      Na wewe malaya zaidi ya mbwa

    • @jescatebuye2287
      @jescatebuye2287 2 ปีที่แล้ว

      Wewe sasa ni zaidi yake

    • @camejowayne5455
      @camejowayne5455 2 ปีที่แล้ว

      Alitomba baba Yako, sindio

    • @samwelkeremu4111
      @samwelkeremu4111 2 ปีที่แล้ว

      Tena ww kwa huo mdomo wako na k ni kubwa na ndo mana umeachwa

  • @ilovejesus666
    @ilovejesus666 2 ปีที่แล้ว +1

    😂😂😂😂😂😂😂🤣😂

  • @johnnytravo
    @johnnytravo 2 ปีที่แล้ว

    Wanawake wote wanastahili pongezi na shukrani za dhati 🙏 th-cam.com/video/iYjijfV-YRw/w-d-xo.html

  • @ramayonline2281
    @ramayonline2281 2 ปีที่แล้ว

    Fundi majumba

  • @الرعدالصغير-ت1ش
    @الرعدالصغير-ت1ش 2 ปีที่แล้ว

    😂😂😂

  • @miliampatrick3347
    @miliampatrick3347 2 ปีที่แล้ว

    Hahaha

  • @fettytaph8093
    @fettytaph8093 2 ปีที่แล้ว +5

    Mm nasemaga hivii sio Kila dhambi lazma nfanye hongera Zuchu wangu Nakupenda Mpenzi ❤️❤️ watashndana na hawatashinda