Moshi tuna ndizi aina zaidi ya 30! Kwa mtori unatumia share ambao haujakomaa kupitiliza. Umenyaji ni kama ulivyo ona kwenye video. Ukataji tunapasua kama mara nne pande zote then tunakatakata tunaosha. Kabla ya kupekecha tunasonga kwanza kwa kutumia mwiko
Nitaijaribu hii this weekend 😊 ❤️🔥 nime miss mtori for real 🥲
Asante sana nimejifunza kutoka kwako kuwa mpishi mzuri kwenye familia yangu
My tomorrow's task 🏃❤️❤️
Shukrani kwa ajili ya mapishi yako
Safi dada nmeipenda
Shukran, kama huna kipekecho unaweza kusaga na bladder?
Ni vizuri ujifundishe Kiswahili kwanza kabla hujaanza kukitumia.
🔥🔥🔥🔥🔥
Ahsate dear nimekuelewa sana..❤❤
unapatika Mwanza sehem gani
Uwiiii
Asante
Hi malkia unavyosaga unakuwa unasagia hapo hapo ukiwa jikon
❤
Moshi tuna ndizi aina zaidi ya 30! Kwa mtori unatumia share ambao haujakomaa kupitiliza. Umenyaji ni kama ulivyo ona kwenye video. Ukataji tunapasua kama mara nne pande zote then tunakatakata tunaosha. Kabla ya kupekecha tunasonga kwanza kwa kutumia mwiko
Napenda kupika mtori
Eka kyaaa
alukorya ntori nkwe😂
Ni hatari na chapati
Ni vizuri ujifundishe Kiswahili kwanza kabla hujaanza kukitumia.
Nini hujaelewa hapo jamani