#Live

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 4 ต.ค. 2024
  • #arisendshinetanzania #2024mwakawakutembeachiniyambinguzilizofunguka #mwamposalive
    #tanzania #daresalam #afrika #afrikamashariki #ariseandshine #AFRICA#tanzania#dar#tanganyika#ubaloziwambinguni#kawe
    Don't Forget to Subscribe to get The Latest Videos
    From Apostle Boniface Mwamposa Bulldozer.
    WATCH ARISE AND SHINE TV
    AZAM CHANNEL 469
    STATIMES ANTENA CHANNEL 117 | STARTIMES DISH CHANNEL 198.

ความคิดเห็น • 14

  • @aminachiziamina
    @aminachiziamina 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mtumishi mm nko ichi y nje naomba uponyaji wangu nafamilia yangu nkufunguliwa kiuchumi kiaanpywaa na kuzidshw🎉🎉❤❤❤

  • @RoseSanju-rz7bt
    @RoseSanju-rz7bt 3 หลายเดือนก่อน

    Mtumishi Mimi Niko Kenya,,,naomba uponyaji wangu,wa mime wangu, na watoto wetu,,Mungu Atuondolee spirit of rejection

  • @VioletNekesa-wl7ph
    @VioletNekesa-wl7ph 3 หลายเดือนก่อน

    Naomba uponyaji kwangu na kwa wanangu kwa jina la yesu

  • @theresiamusee5771
    @theresiamusee5771 3 หลายเดือนก่อน

    Napokea aman kwa jina la yesu

  • @VioletNekesa-wl7ph
    @VioletNekesa-wl7ph 3 หลายเดือนก่อน

    Wachawi wangu wote na wa wanangu waokoke leo ama wakufe leo kwa jina la yesu

  • @MaureenMsita
    @MaureenMsita 2 หลายเดือนก่อน

    Naomba nipate kazi namshaala mzur nzanzbar

  • @VioletNekesa-wl7ph
    @VioletNekesa-wl7ph 3 หลายเดือนก่อน

    🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @Veronica-cn7st
    @Veronica-cn7st 3 หลายเดือนก่อน

    Natk mungu anipe mt sahih n kbl ya mwak huu kuisha

  • @FrebroniaNgowi
    @FrebroniaNgowi 2 หลายเดือนก่อน

    Mtumishi tukumbuke familia yangu nisaidie kuniombe ndoa shida watoto madeni nisahidie asante niko moshi bbmtumishi

  • @JoyceBarnaba-ny4zy
    @JoyceBarnaba-ny4zy 2 หลายเดือนก่อน

    Naomba mwanangu apate mfazili aende shule

  • @Veronica-cn7st
    @Veronica-cn7st 3 หลายเดือนก่อน

    Natk mungu anitendee mama mkubwa apone macho bib angu pia na familia yot na pia anikutanishe na wat sahihi

  • @johnshayo7926
    @johnshayo7926 หลายเดือนก่อน

    3:50:27 God is Good

  • @aminachiziamina
    @aminachiziamina 2 หลายเดือนก่อน

    Naomba mtumishi unieke kwenye maombi nashda yakutolipwa nadai pesa y miezi tatu naomba unieke mkono mtumishi nlipwe kilahisi

  • @lucyjonasmtakama
    @lucyjonasmtakama 3 หลายเดือนก่อน

    MTUMISHI NAOMBA UNIOMBEE NIPATE MTOTO, NIMELIA NIMECHOKA NIMEKUNYWA DAWA ZA KILA AINA ILA BADO TU.