#live

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 4 ต.ค. 2024
  • #2024mwakawakutembeachiniyambinguzilizofunguka #arisendshinetanzania
    #tanzania #daresalam #afrika #afrikamashariki #ariseandshine #AFRICA#tanzania #dar #tanganyika #ubaloziwambinguni
    Don't Forget to Subscribe to get The Latest Videos
    From Arise and Shine Tanzania.
    WATCH ARISE AND SHINE TV
    AZAM CHANNEL 469
    STATIMES ANTENA CHANNEL 117 | STARTIMES DISH CHANNEL 198.

ความคิดเห็น • 71

  • @florenceakinyi56
    @florenceakinyi56 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Mungu kupitia maombi maalumu ya kumalinza week maadui waliyonizunguka ni kiaza na mama mwenda mwepushe na maisha yangu,msembi mwepushe na maisha yangu,mama mataba mwepushe na maisha yangu,mama joji mwepushe na maisha yangu,mama walio mwepushe na maisha yangu, shangazi jirani yangu afunguwe njia tupiane Amani asante yesu, Amina

  • @AbdullahLusonge
    @AbdullahLusonge 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    mungu kupitia wiki hii naomba ukanitendee mm mtumishi wako sawsaw na neno lako ee baba teta na wanaoteta nami pigana nao wanaopigana nami baba pia naomba baraka na uzima katika masomo yangu na kutokata tamaa na kuelew Kila anachofundisha mwalimu wangu nikiomba nakuamini amin

  • @SamMwakalebela-oq3fk
    @SamMwakalebela-oq3fk วันที่ผ่านมา +1

    Mungu aonekane kwenye maisha yangu.anifanyie njia katika mambo yote

  • @Bahatibungoungo
    @Bahatibungoungo 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mungu naomba juma hamisi anipnde na anioe tukuze familia mfungulia njia zake na familia yangu n watoto wngu na wabaya..nataka tuwe vizu popote ntakapohusika

  • @PedroSantos-rh8nc
    @PedroSantos-rh8nc วันที่ผ่านมา

    Mingu nakushukuru sana Kwa Kila tendo kutoka kwako baba Kwa Jina la yesu.
    Amem

  • @domnickalone
    @domnickalone วันที่ผ่านมา

    Navunja Kila madhabau zilizojengwa ktkt mwili wangu familia na uzao wangu ktk jina la yesu.

  • @domnickalone
    @domnickalone วันที่ผ่านมา

    Navunja Kila madhabau za uchawi ushilikina madhabau zilizojengwa ktkt mwili wangu familia na uzao wangu madhabau za laana uchawi Giza jini mahaba ushilikina Kwa jina la yesu alie hai.

  • @florenceakinyi56
    @florenceakinyi56 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mungu WA mwamposa naomba hii week hisiishe nilipwe deni zangu zote na mume wangu anipeleke sehemu aliyonunua ardhi naamini utatenda miujiza,

  • @SergeMichel-v1s
    @SergeMichel-v1s วันที่ผ่านมา +1

    Namini yakwamba mwakahu nitafika america ❤

  • @PedroSantos-rh8nc
    @PedroSantos-rh8nc วันที่ผ่านมา

    Asante sana Kwa ibada hii ya operation lombos família.
    Amem

  • @PedroSantos-rh8nc
    @PedroSantos-rh8nc วันที่ผ่านมา

    Napokea ou kombolewa na kuangucha Kila madhabau Mabaya Kátika Ka maisha yangu na família yangu Kwa Jina la yesu

  • @domnickalone
    @domnickalone วันที่ผ่านมา

    Napokea uponyaji wa afya yangu familia na uzao wangu ktk jina la yesu.

  • @victorremmy1907
    @victorremmy1907 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mungu niponye na matatzo katika mwili wangu fungua ujenzi wangu amen

  • @NeemaTumsime-d1m
    @NeemaTumsime-d1m วันที่ผ่านมา

    Naponywa mm na familia yng (mtoto wangu) kwa jina la yesu, mungu azid kukuweka kwa jina la yes

  • @domnickalone
    @domnickalone วันที่ผ่านมา

    Napokea marafiki sahihi nyumbani na familia na kazini ktk jina la yesu,

  • @domnickalone
    @domnickalone วันที่ผ่านมา

    Yesu nisaidie nipate ndoa sahihi peace chiristiani myovela awe mke wangu sahihi ktk jina la yesu alie hai.

  • @domnickalone
    @domnickalone วันที่ผ่านมา

    Ñapokea uponyaji wa afya yangu familia na uzao wangu ktk jina la yesu.

  • @domnickalone
    @domnickalone วันที่ผ่านมา

    Nataka peace akimwambia babaake chirstian marutini myovela akubali peace aolewe na mm Kwa jina la yesu alie hai.

  • @domnickalone
    @domnickalone วันที่ผ่านมา

    Nataka peace akimwambia mamaake tuombe ndungulo akubali peace aolewe na mm Kwa jina la yesu alie hai.

  • @domnickalone
    @domnickalone วันที่ผ่านมา

    Ñapokea uponyaji wa afya yangu familia na uzao wangu ktk jina la yesu alie hai.

  • @ElizabethandreaAndrea
    @ElizabethandreaAndrea 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mungu naomba muhepushe mme wangu nawatu ambao sio sahii

  • @DorcasMisungwi
    @DorcasMisungwi วันที่ผ่านมา

    mungu naomba kupata kazi na kurinda familia yang na utuepushe na guvu za giza

  • @DorcasMisungwi
    @DorcasMisungwi วันที่ผ่านมา

    mungu naomba uniponye na ukomboe familia yang kiuchumi na kielimu

  • @domnickalone
    @domnickalone วันที่ผ่านมา

    Nataka watoto wangu wote wanaosoma wawe vichwa sio mkia ktk jina la yesu.

  • @domnickalone
    @domnickalone วันที่ผ่านมา

    Ñapokea ndoa sahihi peace chiristiani myovela awe mke wangu sahihi ktk jina la yesu alie hai.

  • @domnickalone
    @domnickalone วันที่ผ่านมา

    Nataka Irene apone kinachomuuma na na afaulu mbaka chuo kikuu Kwa jina la yesu.

  • @domnickalone
    @domnickalone วันที่ผ่านมา

    Nataka marafiki sahihi kazini na nyumbani ibumila wasio marafiki sahihi wakae mbali na mm Kwa jina la yesu.

  • @domnickalone
    @domnickalone วันที่ผ่านมา

    Ñapokea uchumi wangu kupanda ktk jina la yesu alie hai.

  • @domnickalone
    @domnickalone วันที่ผ่านมา

    Napokea uponyaji wa afya ya írene ktkt jina la yesu alie hai.

  • @domnickalone
    @domnickalone วันที่ผ่านมา

    Nataka Irene na Bojani wapone ktk jina la yesu.

  • @domnickalone
    @domnickalone วันที่ผ่านมา

    Nataka Kila wazo baya linatoka Kwa Regina Joseph chonya anjelina mlomo jems ngimba Ibrahim nyanyamba Richard mhema anatalya nyanginywa ibamba ngulo Elias mkayula telesa kiyeye gingila myula Rozaria mdota sikujua sanga kwajam ndanga mlizi wa hospital mwl mwegelo yashindwe Kwa jina la yesu alie hai.

  • @aminachiziamina
    @aminachiziamina วันที่ผ่านมา

    Eee mungu naomba unitendee miujza kila maagnoo yagza ynguke na mm nifunguliwe

  • @aminachiziamina
    @aminachiziamina วันที่ผ่านมา

    Ameni mungj wamadhabahuu hii yainuka uangazee napokea kibalii kazini kwangu nakauziðishwa nakuongezeka

  • @ElizabethandreaAndrea
    @ElizabethandreaAndrea 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Nipate mutaji kirahisi nafamilia yangu iwena furaha sikuzote mme wangu apandishe cheo

  • @JackieRahel
    @JackieRahel 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Najiunganisha na huduma hii Mume wangu afunguliwe kwenye Kazi za mikono yake

  • @NeemaNdihaye-z1h
    @NeemaNdihaye-z1h 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Naamini mumewangu apate kazi yakapuni kubwakilahisi

  • @ElizabethandreaAndrea
    @ElizabethandreaAndrea 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mtoto wangu apoke uponyaji kwa kimya yesu

  • @domnickalone
    @domnickalone วันที่ผ่านมา

    Ñapokea wateja watakaonunu viwanja Kwa bei nayotaka mm ktk jina la yesu.

  • @domnickalone
    @domnickalone วันที่ผ่านมา

    Nataka Irene na Bojani wapone ktk jina la yesu alie hai.

  • @FatmaMdalingwa-tc3ry
    @FatmaMdalingwa-tc3ry วันที่ผ่านมา

    Namuomba mungu niwe salama na watt ŵngu

  • @domnickalone
    @domnickalone วันที่ผ่านมา

    Nataka Essau aachiwe gali ileile Kwa jina la yesu alie hai.

  • @domnickalone
    @domnickalone วันที่ผ่านมา

    Napokea kibali Cha kudum kazini ktk jina la yesu alie hai.

  • @domnickalone
    @domnickalone วันที่ผ่านมา

    Nataka Essau Dominick mbuna apone bawasili ktk jina la yesu alie hai.

  • @domnickalone
    @domnickalone วันที่ผ่านมา

    Nataka nilipwe madeni yangu yote nayodai mishahala na Nssf Kwa vigu treding na Deo tadelyus fumbe kilaisi ktkt jina la yesu alie hai.

  • @domnickalone
    @domnickalone วันที่ผ่านมา

    Nataka aginetha aolewe Kwa mahali nayotaka mm ktk jina la yesu alie hai.

  • @aminachiziamina
    @aminachiziamina วันที่ผ่านมา

    Ali popote alipoo kupitia imani yngu nayamtume anii pende mm 2 kila mwana mke aliee nae achne nae nume wangu anirudiee aliy wangu

  • @JanethElias-x1k
    @JanethElias-x1k 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Nashukuru kwa maombi yako Mtume nimefunga ndoa nashukuru sana Mungu akubariki .niombee pia Mume wangu apate kazi ni mimi nipate mtaji.

  • @Merinala-t6h
    @Merinala-t6h วันที่ผ่านมา

    Amen 🙌🙏🙏🙏

  • @ElizabethandreaAndrea
    @ElizabethandreaAndrea 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mama angu ajifunguwe salaama

  • @aminachiziamina
    @aminachiziamina วันที่ผ่านมา

    Alii mume wangu popote alipo ani rudieee nakuje kwetu anitoleee posa mwezi 12 na ndo ifqnyike kwaurahisi

  • @NeemaNdihaye-z1h
    @NeemaNdihaye-z1h 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Naamini nawatoto wangu watasoma kwanjia lahisi naapate kampuni kubwa kwanjia lahisi apigiwe sim kwanjia lahis

  • @PedroSantos-rh8nc
    @PedroSantos-rh8nc วันที่ผ่านมา

    Amen.

  • @ElizabethandreaAndrea
    @ElizabethandreaAndrea 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Amen

  • @marselinasulle
    @marselinasulle วันที่ผ่านมา

    Baba naomba unifungulie ndoa yang na biashara yang

  • @FatmaMdalingwa-tc3ry
    @FatmaMdalingwa-tc3ry วันที่ผ่านมา

    Mungu wangu 😂❤😊😊😂🎉😊

  • @paulolaizer8656
    @paulolaizer8656 วันที่ผ่านมา

    Nimepokea kwajina layesu

  • @aminachiziamina
    @aminachiziamina วันที่ผ่านมา

    Napokea uponyajii waharkkaa kifua chngu na kooo.yngù na nifunguliwee na naniiinuke nakuangaza

  • @prukeliandaro7368
    @prukeliandaro7368 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Napona kikohozi amina

  • @marselinasulle
    @marselinasulle วันที่ผ่านมา

    Komboa biashara yangu

  • @domnickalone
    @domnickalone วันที่ผ่านมา

    Nataka leya nyanginywa na familia yake waniuzie shamba lile walilonikodisha Kwa bei nayotaka mm ktk jina la yesu alie hai.

  • @leoniaSabaga
    @leoniaSabaga วันที่ผ่านมา

    Napokea uponyaji kwa mwanangu zita

  • @domnickalone
    @domnickalone วันที่ผ่านมา

    Nataka nipone Kila kina home

  • @WinifridaEvarist-oc9tb
    @WinifridaEvarist-oc9tb วันที่ผ่านมา

    Amee naamin ninapona leo amee

  • @SalomemanyonyimandagoMandago
    @SalomemanyonyimandagoMandago วันที่ผ่านมา

    Amee

  • @ElizabethandreaAndrea
    @ElizabethandreaAndrea 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mama angu ajifunguwe salaama

  • @ElizabethandreaAndrea
    @ElizabethandreaAndrea 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Amen

  • @ElizabethandreaAndrea
    @ElizabethandreaAndrea 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mama angu ajifunguwe salaama

  • @ElizabethandreaAndrea
    @ElizabethandreaAndrea 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mama angu ajifunguwe salaama

  • @HojaJuma-h7i
    @HojaJuma-h7i วันที่ผ่านมา

    Amen

  • @Merinala-t6h
    @Merinala-t6h วันที่ผ่านมา

    Amen