KANUMBA NILIMUONA/ HAJAFA BADO/ ALINITAKA NIBAKI/ SIKUFANIKIWA HUKO!.. S03EP..43

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 37

  • @dar24media
    @dar24media  2 ปีที่แล้ว +4

    kama una simulizi/mkasa wasiliana nasi kupitia namba..#0653127761

  • @negromweusi133
    @negromweusi133 2 ปีที่แล้ว +2

    We muongo Sana taa 100milion ya wapi ka unataka kununua truck,, umefanya nisifuatilie kipind chenu tena

  • @NasserNasser-qd2tf
    @NasserNasser-qd2tf 2 ปีที่แล้ว +2

    Muongo sana huyu jamaa taa milion 100 fala sana wewe nipo Oman miaka 30 ss sijaona taa bei hiyo 🤔

  • @arnoldkamala5031
    @arnoldkamala5031 2 ปีที่แล้ว +1

    Zabron ulikua unapenda vitu vizuri vp ulikua unawekeza kwa maisha ya baadae

    • @Pedeshee01
      @Pedeshee01 ปีที่แล้ว

      Alibadilishia wasenge tu

  • @benedictmhina8880
    @benedictmhina8880 2 ปีที่แล้ว +1

    Firaun

  • @makerodiamond8077
    @makerodiamond8077 2 ปีที่แล้ว +2

    Huyu jamaa ni muongo sana

    • @dorcaskidoti249
      @dorcaskidoti249 2 ปีที่แล้ว

      Amejaaa utapeli yaani nishakutana na watu 5 wanalalamika amewatapeli na mm mwenyewe apa, anafanya ivo na kujificha kwenye kivuli cha uchawi, huyu ioo siku Mungu atamuodhibu

  • @robisonikadogo7371
    @robisonikadogo7371 2 ปีที่แล้ว

    Una story nzuri mwanangu

  • @DM_15
    @DM_15 2 ปีที่แล้ว +1

    Dh huyo muheshimiwa angesamehetuu amrudishie kijana malizake jamani

  • @adamtzmbogo1694
    @adamtzmbogo1694 2 ปีที่แล้ว +1

    Ukiwaunasikiliza simulizi zahuyu jamaa zinakupa ujasili wakupambana kwenye maisha

    • @dorcaskidoti249
      @dorcaskidoti249 2 ปีที่แล้ว +1

      Asilimia 95 ya maisha yake anawatapeli watu na kujificha kwenye kivuli cha uchawiii, huwezi roga mtu asahau pesa yake uliyomtapeli ndo maisha yake ila hakuna lenye mwanzo likakosa mwisho

  • @stejasatv7349
    @stejasatv7349 2 ปีที่แล้ว

    Umehaso sana kijana

  • @iandavid4878
    @iandavid4878 2 ปีที่แล้ว

    Kwenye page ya davista ulisema ulinunua gari aina ya benz macho matatu huku unasema ni hummer

    • @dorcaskidoti249
      @dorcaskidoti249 2 ปีที่แล้ว

      My hili ni litapeli limeliza sana watu kila sehemu amejaaa dhuruma maisha yake, alafu akiona unamdai sana anaenda kuroga ili usije ukamtangaza kwa media, Anajificha kwenye kivuli cha uchawi ili awalainishe watu kwa maneno ya uongo

    • @ericjosephdaniel2623
      @ericjosephdaniel2623 2 ปีที่แล้ว

      Alisemaga ni range

  • @dannymoses1882
    @dannymoses1882 2 ปีที่แล้ว

    Nimejua ujua uyo kiongoz alie mfilis zabron

    • @dorcaskidoti249
      @dorcaskidoti249 2 ปีที่แล้ว

      My dear Zabron ni tapeli hakuna kiongozi alie mfilisi yeye ndo anafilisi watu, kawaliza wangapi? Alifanya kipind kwa media Davistar mata, yaani watu weng anawaliza anatumia uchawi kusikilizwa na kutapeli

  • @ibrahimmagere5545
    @ibrahimmagere5545 2 ปีที่แล้ว +1

    huyu muongo, muongo, muongo, muongo

    • @dorcaskidoti249
      @dorcaskidoti249 2 ปีที่แล้ว

      My bora uongo ni tapeli tapeli tapeli alafu akisha kutapeli anaanza kukuendea kwa wanganga usimdai, hakuna uchawi wa kumsahaulisha mtu pesa zake

  • @robisonikadogo7371
    @robisonikadogo7371 2 ปีที่แล้ว

    Amedanganya nini sasa

  • @frankdanford8245
    @frankdanford8245 2 ปีที่แล้ว

    Watu kama hawa wakipatikana 30 tu hapa Tz nchi inaenda mbali sana ukweli na uwazi

    • @dorcaskidoti249
      @dorcaskidoti249 2 ปีที่แล้ว

      My dear pole sana humjui huyu ni tapeli na maisha yake asilimia 95 amewatapeli watu, anatumia miroho kuwavutia, kama ana juhudi kwnn asitafute vya halali?

    • @frankdanford8245
      @frankdanford8245 2 ปีที่แล้ว

      @@dorcaskidoti249 sijamaanisha maisha yake ila namaanisha story aliyotoa ya kusema ukweli juu ya watoto wa viongozi waliofanya madudu ya hovyo hadharani.

  • @saleemadhiyabalkhatri7800
    @saleemadhiyabalkhatri7800 2 ปีที่แล้ว

    Uongo siogari zote zinabadilishwa stering

    • @dorcaskidoti249
      @dorcaskidoti249 2 ปีที่แล้ว

      Jmn huyu ni tapeli wa maneno na tapeli wa mali za watu

  • @iandavid4878
    @iandavid4878 2 ปีที่แล้ว

    Firauni

  • @surusuru1994
    @surusuru1994 2 ปีที่แล้ว

    Jomn pole saaan dungu

  • @ilungasalle
    @ilungasalle 2 ปีที่แล้ว

    Ile habari ya ridhiwani na matonya kumbe ndiyo wewe

  • @phoncechriss
    @phoncechriss 2 ปีที่แล้ว +1

    Gari za enzi hizo ni Nissan Patrol, v8 ni ukubwa wa piston za Engine hakunaga V9 engine , na
    Gari za japan zote ni right hand , UK na baadhi ya nchi chache ndio wanatumia Left Hand

    • @morrismo8212
      @morrismo8212 2 ปีที่แล้ว

      UK gari ni right hand

    • @dorcaskidoti249
      @dorcaskidoti249 2 ปีที่แล้ว

      Huyu tapeli wa Mali za watu na maneno kawatapeli watu weng sana pesa zao, kila siku anazunguka kwenye media ili atapeli vzr

  • @charleskuyeko4400
    @charleskuyeko4400 2 ปีที่แล้ว +1

    Inawezekana wakati ana goodtime hakuwajali wazazi wake. Kwanini Baba yake amchukie hivyo?

    • @DM_15
      @DM_15 2 ปีที่แล้ว +2

      Histori yake niliwai isikia miakamingi radio free babayake alimchukia kabla hajawa tajir

    • @zebidahlawrence9419
      @zebidahlawrence9419 2 ปีที่แล้ว +1

      Babake akuwa anampenda amewai kumfukuza hata nyumban maisha meng amekuwa akijipambania mwenyew tu bila baba

    • @dorcaskidoti249
      @dorcaskidoti249 2 ปีที่แล้ว

      9, 10 maisha yake ya kuwatapeli watu alafu anajificha kwenye uchawi ipo siku ya Mungu wacha afurahie kutudhurum pesa zetu,