MAJIBU YA CAF UCHUNGUZI WA VURUGU UWANJANI | SIMBA ANASA MTEGONI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 27

  • @kinasaba
    @kinasaba 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Very intelligent analysis

  • @errydeo8865
    @errydeo8865 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Waziri Kabudi SIO Lukuvi!
    Well said though!

  • @geophureysamsoni5033
    @geophureysamsoni5033 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Viongozi wanahujumu simbaa siyo vizuri wangetazama matukio yenyewe yarikuweje kabra ya kutenda

    • @prophetjohnmasso186
      @prophetjohnmasso186 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Inamaana watu wote walioingia ni Simba?

  • @sadatiomary-o2o
    @sadatiomary-o2o 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Nyie mmeoigwa congo na kupolwa vituvyenu kuna askali polisi aliemkamata mtu mmezoa kuonewa kila siku kisa Tanzania nchi ya amani sasa ipo siku pale uwanjani atauwawa mtu tena mtanzania akipigwa na mashabiki wakigeni naasitokee mtu aseme mwenzao kapigwa na mashabiki wakigeni mbaka kauwawa wao wanaangaliatu tutawapiga

  • @DaudiSimon-yc9rg
    @DaudiSimon-yc9rg 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Hakuna unacho sungumza cha mboleya subir simba wakapigwe uwarabuni harafu 2one nyinyi mkiyendeleya kuzungumzya viti vilvyo ngolewa

  • @LameckMeja
    @LameckMeja 41 นาทีที่ผ่านมา

    Sema ukweri basi😂😂😂😂😂

  • @prophetjohnmasso186
    @prophetjohnmasso186 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Wewe ndiyo ulifaa kuwa waziri wa wizara... Akili kubwa

  • @YohanaJumanne-v3v
    @YohanaJumanne-v3v 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Simba mashabiki hawakufanya vurugu ni waarabuuu

  • @AllyMasangaluka-bm5ib
    @AllyMasangaluka-bm5ib 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Weunafikili kalia ataamua nn wakati yy shabiki wasimba lnhekua yanga anaichukia utazani mama yakekapewa mimba nayanga mshenzi sana

  • @johannesishengoma1232
    @johannesishengoma1232 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    We boya kabisa, waziri anawezaje kutoa njia za kuzuia vurugu ndani ya siku moja? Ni jambo linalohitaji muda na kuhusisha wadau mbalimbali. Si jambo la kukurupuka ndugu.

  • @zahramsangi3632
    @zahramsangi3632 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mkalaboko, mimi huwa nakukubali sana, umeongea vizuri saana na huwa kila mara unaongea kwa maslahi ya Taifa hili….na wapo ambao wamejeruhiwa bado hakuna hizo takwimu na police sielewi walikuwa wapi watu wanarushiwa viti na kukimbilia uwanjani? Tumetia aibu ya mwaka sijui tutauweka wapi uso wetu na mama Samia tutambeba na mbeleko gani?
    Lakini TFF wanapashwa kubeba lawama hizi…wamekuwa wakifumbia macho masuala kama haya ambayo ni hatari kwa mstakabal wa soka letu….hasa timu ya simba inapokuwa imefanya upuuzi kama huu uliofanywa jana na si mara ya kwanza kufanya hivi, wamefanya ni mazoea kwasababu wanajua boss wa TFF ni mshabiki wao hawezi kuingiza kisu kwenye mfupa
    Na kama anavyosema Mkalaboko adhabu isiwe kulipa viti pekee…itolewe adhabu kubwa itakayotoa onyo kwa yeyote atakayehusika na huu uhuni unaotuaibisha kila mara na hao ndiyo mnawaita mashabiki bora… labda mashabiki bora wa kung’oa viti hilo limejitokeza waziwazi na imekuwa ndiyo falsafa yao
    Waziri kabudi sisi wazalendo tunakuomba sana, kulipa viti haitoshi…roho za watu zingepotea mngelipa nini?? Waarabu wa watu wamejinusuru kwa kukimbilia uwanjani na hakuna lolote lililofanyika kuwapa ulinzi, kama vile hakuna kilichotokea
    Waziri Tafakari….Chukua hatua, na TFF wana maswali ya kujibu….wanawabeba sana Simba

  • @MALIMIWILSON
    @MALIMIWILSON 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ifikie hatua Haki itendeke isiwe mwenyeji store gharama wakati waanzirishi wa Fujo uwanjani wanajulikana au mnawaogopa wastani?

  • @maulidmusa8902
    @maulidmusa8902 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Unasema ukweli Na hiyo ndy shida Kwa upande wa serikali

  • @SaumuSaidi-z2v
    @SaumuSaidi-z2v 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mi nashangaa police wanatakiwa wake majukwaani na kufanya doria

  • @ekimnkande2873
    @ekimnkande2873 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Watu wameshindwa kukamata hata mtu aliyvunja kiti mmoja

  • @ekimnkande2873
    @ekimnkande2873 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mijitu mingine eti Acha simba wakapigwe arabuni unacheza wanaweza kupigwa yanga kwani yanga ipo kenya

  • @ElinihakiMsuya
    @ElinihakiMsuya 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Achà siasa mungu akiamua kufa utakufa tu serikali Iko sahihi

  • @BayekeFarijala
    @BayekeFarijala 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Acha kuzungumza sana, kama wewe ungekuwa wazori ungefanyaje? Toa majibu siyo kulaumu tu

  • @mohamedikileo4452
    @mohamedikileo4452 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Wasabábishiji wa hizo fujo ni wakina Nani?

  • @DaudiSimon-yc9rg
    @DaudiSimon-yc9rg 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Sawa na warabu 2ngetaka kujuwa wanachukuliwa hat2wa gani maana wao ndo wanzirishi wa furugu lakini mnaagalya 2 garama ya viti je warabu mbona hamuasungumziiiiiii!!!!!

  • @GodfreyJames-zt6ig
    @GodfreyJames-zt6ig ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Uyu ni chawa tu wa yang na Hana lolote kengeee huyu

  • @PoulinSimon
    @PoulinSimon ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Unaongea kama unajua kumbee njaa tu

  • @ElinihakiMsuya
    @ElinihakiMsuya 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Wewe ni nani unataka waziri ajitokeze acha usi

  • @MtapankunduLyowa
    @MtapankunduLyowa 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Wewe kuma

    • @zahramsangi3632
      @zahramsangi3632 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Kama huna la ku-share tafadhali kaa kimyaa kama unanyolewa, usitutukane sisi wanawake kwa madharau ya aina hiyo
      Kwa taarita yalo hilo tusi hujamtukana mchambuzi…elewa kwamba umemtukana Raisi Samia, mama yako, dada yako, mke wako, shangazi yako, mwanao na kila mwanamke katika dunia hii
      Acha huo ujinga wa kutukana watu kitejareja unadhihirisha how un-civilized you are
      Na usipoacha tutakuripoti kwa kutumia sheria ya haki za mtandaoni….JIHESHIMU

    • @zahramsangi3632
      @zahramsangi3632 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Kama huna la ku-share tafadhali kaa kimyaa kama unanyolewa, usitutukane sisi wanawake kwa madharau ya aina hiyo
      Kwa taarita yalo hilo tusi hujamtukana mchambuzi…elewa kwamba umemtukana Raisi Samia, mama yako, dada yako, mke wako, shangazi yako, mwanao na kila mwanamke katika dunia hii
      Acha huo ujinga wa kutukana watu kitejareja unadhihirisha how un-civilized you are
      Na usipoacha tutakuripoti kwa kutumia sheria ya haki za mtandaoni….JIHESHIMU