DIAMOND ALAMBA DILI LA BILLION 10 NCHINI FRANCE 🇫🇷 PARIS AWEKA RECORD MSANII ANAYELIPWA PESA NDEFU

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 3 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 70

  • @JoackimYusuph
    @JoackimYusuph 7 วันที่ผ่านมา +9

    Piga vitu vya fact siku hizi nakufailia Kila stor sio kama zaman ulikuwa unasemasema pumba so good job kaka Mr pimbi

  • @YunusAbdallah-sh1fu
    @YunusAbdallah-sh1fu 7 วันที่ผ่านมา +10

    Im the first one ❤much love from kenya Díamond,,,,for life ,,,mr pimbi piw nakupenda

  • @RuaMwangongo
    @RuaMwangongo 3 วันที่ผ่านมา +3

    Pimbi sie wakenya mia mia Diamond ni kioo cha jamii na hamna mwana muziki na mwana biashara kama mond ❤❤❤

  • @Kareem2messiah
    @Kareem2messiah 2 วันที่ผ่านมา +1

    Mr pimbi bigups to you and thanks for your service for sure Diamond platnumz he is representing us East Africans to the globe 🌎 ❤❤from Uganda

  • @philipotieno9996
    @philipotieno9996 7 วันที่ผ่านมา +29

    Nanii amegunduuua kwamba tangu Pimbiii annnzee kumsema vizuuriii Mooondii amependwaaa na kupewaaa heshiiimaaa😅😅😅.

    • @BarbaraPatience-qt9cc
      @BarbaraPatience-qt9cc 3 วันที่ผ่านมา

      Kweli kabisa

    • @philipotieno9996
      @philipotieno9996 3 วันที่ผ่านมา

      @BarbaraPatience-qt9cc
      Kumbee umeungana na mimii 😂😂

    • @subrahally
      @subrahally 3 วันที่ผ่านมา

      Amin

    • @NewMusicHitsTz
      @NewMusicHitsTz 2 วันที่ผ่านมา

      Thanks Mr. Pimbi🎉🎉

    • @NewMusicHitsTz
      @NewMusicHitsTz 2 วันที่ผ่านมา +1

      Thanks Mr. Pimbi 🎉🎉

  • @AlexWilliam-ky6mn
    @AlexWilliam-ky6mn 3 วันที่ผ่านมา +4

    Nakukubali sana kaka mr. PIMBI Piga Kazi

  • @rabycheif
    @rabycheif 7 วันที่ผ่านมา +6

    Eee usipo jaribu kupanda huezi ukajaribu kushuka
    Yaani anavuna alicopanda❤❤❤❤❤

  • @JustinKapanza
    @JustinKapanza 6 วันที่ผ่านมา +5

    Simba ni msani wadunia ata Congo tuna juaivio🇨🇩♥️♥️♥️

  • @azizahuruma7463
    @azizahuruma7463 7 วันที่ผ่านมา +6

    🙌👑🇹🇿 Diamond

  • @hassankhamis7380
    @hassankhamis7380 3 วันที่ผ่านมา +1

    Ni sahihi mr pimbi ushabiki ndio ila kuongea ukweli unamueka mtu kua huru Tz kwa sasa bila Mondi ao Tanzania ghost singer hakuna anapeperusha bendera nyingi za east africa big up pimbi

  • @esperancetegurugoli1841
    @esperancetegurugoli1841 3 วันที่ผ่านมา +1

    Ukisema Visuri Diamond na mimi nakupenda sanaaaaa

  • @AbdulSindano
    @AbdulSindano 6 วันที่ผ่านมา +3

    Pimbi nakukubali mzee wa facts

  • @SamsonMsafiri
    @SamsonMsafiri 3 วันที่ผ่านมา +1

    Umeongea vizur sana mr pimbi tukupe maua yako🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🙌🙌

  • @MaicoChikunduLau
    @MaicoChikunduLau 7 วันที่ผ่านมา +4

    Kiu kweli ndugu yangu mr pimbi mm nipo Mozambique ila ni mtanzania ki ukweli upo sahihi sana tena sana hyonjamaa anajua kutafuta pesa muache apate pesa

  • @SalahBoyplatinum
    @SalahBoyplatinum 6 วันที่ผ่านมา +2

    ❤❤❤ kweli kabisa, mm sibishi apo Sawa 🤝

  • @abdulmsuya8542
    @abdulmsuya8542 5 วันที่ผ่านมา +2

    Sasa pimbi nakukubali# usiwe kigeugeu

  • @jamesmwalyambi9158
    @jamesmwalyambi9158 6 วันที่ผ่านมา +3

    Pimbi sasa upo sawa, wanna wote ni wakwetu, diamond, alikiba, harmo, na wengine wote ukiwa mtz uongea fact, mziki hauna ushabiki, sio mpira

  • @JanvierlukaJanvier
    @JanvierlukaJanvier 7 วันที่ผ่านมา +3

    Simba babalao 🦁💎👑👑🏆🏆👑 Tanzania babalao NI Simba Tu 🎉🎉🎉👑🏆💎🦁💎🏆👑🏆💎🦁💎🏆👑

  • @sadibatangalwa5890
    @sadibatangalwa5890 6 วันที่ผ่านมา +3

    Simba diamond baba lao tunakupenda sana

  • @IddiHaji-b1j
    @IddiHaji-b1j 3 วันที่ผ่านมา +1

    Mr pimbi unajua kiukweli ,diamond platnumz ni mkubwa kimuziki na anajuilikana na makampuni mengi zaidi

  • @ShayoZanzibar
    @ShayoZanzibar 7 วันที่ผ่านมา +5

    Pimbi sasahivyi na kukubali sana unato madini sio kama zamani babu kubwa waambie ukweli

  • @Rehemamakuka
    @Rehemamakuka 7 วันที่ผ่านมา +3

    Mzee wa fact mbona jua Kali utuwekei

  • @lucksonrupa3618
    @lucksonrupa3618 3 วันที่ผ่านมา

    Mr pimbii unanikosa sikuhiz nakusikiliza sana hongera kwapoont nzuri

  • @azizahuruma7463
    @azizahuruma7463 7 วันที่ผ่านมา +5

    👏👏👏👏👏👏🔥🔥

  • @JanvierlukaJanvier
    @JanvierlukaJanvier 7 วันที่ผ่านมา +3

    Yes bro uko saw kbs kk 🫡🫡🫡🎉🎉 ww uko poa san Dongo 🎇🎊🎇💎🦁🦁💎👑👑🏆👑👑🏆🏆👑💎

  • @SamsonMsafiri
    @SamsonMsafiri 3 วันที่ผ่านมา

    Nahuu ndiyo ukweli sio kichwa mviringo kelele kibaooo kama mwehu vile. Nakukubal Mr pimba🙏🙏😂😂🙌🙌

  • @azizahuruma7463
    @azizahuruma7463 7 วันที่ผ่านมา +3

    ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉

  • @Peterkams-nx5ne
    @Peterkams-nx5ne 3 วันที่ผ่านมา

    Pimbi tv Siku hizi nakukubali sana mwanangu from USA

  • @JonasMakala-dz6cz
    @JonasMakala-dz6cz 4 วันที่ผ่านมา +1

    Safi pimbi

  • @svt3
    @svt3 7 วันที่ผ่านมา +2

    Umesema kweli biashara inahitaji promotion, siasa pia inaitaji promotion, mashindano ya michezo na urembo pia inahitaji promotion na promotion haiwezi fanyika bila kumwanga pesa, na Diamond anashikilia hapo

  • @MosesMzungu-v9j
    @MosesMzungu-v9j 3 วันที่ผ่านมา

    Simbaaa yukombele sanaaaaaaaaaaa 🎉🎉🎉

  • @rashidingole1588
    @rashidingole1588 6 วันที่ผ่านมา +2

    🔥🔥🔥

  • @MbongoBoy-yg9tq
    @MbongoBoy-yg9tq 3 วันที่ผ่านมา

    Pimbi bwaaana 😊

  • @-thegreat-zawadimmasa307
    @-thegreat-zawadimmasa307 3 วันที่ผ่านมา

    Safi sana Pimbi

  • @YunusAbdallah-sh1fu
    @YunusAbdallah-sh1fu 7 วันที่ผ่านมา +3

    ❤❤❤😊

  • @ogdosho93
    @ogdosho93 7 วันที่ผ่านมา +2

    Harmonize endorsement zake ni bangi mataQo na kukopa benki halafu halipi😅

  • @Pyperpyrex-xx6sd
    @Pyperpyrex-xx6sd 3 วันที่ผ่านมา +1

    😢 wakenya Apo vipi mnasemje hashikik

  • @BatungwanayoFreddy-zv6yx
    @BatungwanayoFreddy-zv6yx 6 วันที่ผ่านมา +1

    diamond ndiy msani ambaye kaitangaza tanzania kimziki .na rayvanny ,harmonize na alikiba kimziki wanajuwa ila kuwekeza pesa kumziki hilo hawalijuw

  • @WilonjaHatua
    @WilonjaHatua 2 วันที่ผ่านมา

    Ukweli umuweka mtu huru siku zote fact Mr pimbi

  • @SubiraJohn-v9s
    @SubiraJohn-v9s วันที่ผ่านมา

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @AlexAidan-kq5zn
    @AlexAidan-kq5zn 3 วันที่ผ่านมา

    Mr pimbi nakukubal sana simba juuu ana mpinzan

  • @jacksonmalisa3844
    @jacksonmalisa3844 2 วันที่ผ่านมา

    Mm pia upande wangu tangu Mr pimbi aanze kusema mazuri kuhusu Diamond mm pia nimekubali so pigs fact

  • @IssapaziPazi
    @IssapaziPazi 3 วันที่ผ่านมา +1

    Kweli tupu umeo ngea

  • @ArnoPita-co7jk
    @ArnoPita-co7jk 3 วันที่ผ่านมา +1

    Nakukubali nipo mozambique inyamban 1:54 😮🎉

  • @bakarimakame4694
    @bakarimakame4694 3 วันที่ผ่านมา

    Umetisha kula shavu ukimsufia mondi yaan hta mm ntakufolonkila kona

  • @AbdulSindano
    @AbdulSindano 6 วันที่ผ่านมา +1

    Uwakika simbaaaaa

  • @DavidMarash-su6eu
    @DavidMarash-su6eu 5 วันที่ผ่านมา +1

    Wawo iyopesa hawanaga hawawezi kutoa pesa kwasababu bado wawo wanajitafuta ila mond amejipata

  • @sanitalavatory240
    @sanitalavatory240 3 วันที่ผ่านมา

    Pimbi njaa inakubwdilisha mtazamo ueleweki

  • @witnesskagirigiri3763
    @witnesskagirigiri3763 3 วันที่ผ่านมา

    Kumbe sasa pimbi umeanza kuwa na Akili.

  • @frankngoloka5416
    @frankngoloka5416 3 วันที่ผ่านมา

    Tatizo wanaziona Hela tamu

  • @johnmichaellukindo21
    @johnmichaellukindo21 3 วันที่ผ่านมา +1

    Unaongea pumba drogba hakucheza manchenstar 😂😂😂

  • @JacksonKachila
    @JacksonKachila 6 วันที่ผ่านมา +1

    Pimbi saivi ukosawa sio kina mwijaku mataila

  • @jumajay8496
    @jumajay8496 2 วันที่ผ่านมา

    Niliwaambia kitambo huyu hana facts hata moja huyu alikua akirafuta njia kua karibu na diamond sasa ameipata yuko kwenye payroll,sasa atamsaidia diamond kudanganya watu.

  • @SalumuAsovera
    @SalumuAsovera 7 วันที่ผ่านมา +1

    Lazima ujipendekeze kwa chibu.kwakua amekublock.lazima umfagilie

  • @KalimuChibu
    @KalimuChibu 3 วันที่ผ่านมา

    Unaongea vitu vya ukweli

  • @MohamedMohamed-ry6lt
    @MohamedMohamed-ry6lt 3 วันที่ผ่านมา

    Huo unaitwa ujasiriamali wengine hawana

  • @OmyCrez
    @OmyCrez 2 วันที่ผ่านมา

    Ukimsema vizur mondi tutakufatilia ila ukizingua tu nasisi tuna unfollw page mana huyu ndo msanii wetu pendwa

  • @SalumKasala-lk1vv
    @SalumKasala-lk1vv 3 วันที่ผ่านมา

    Shida haka kapoti hua kakigeugeu utulie sasa sasa unaenda vizuri kesho uamke na maujinga yako aisee hakuna rangi utaacha kuona ila nimecheka mara kawe kaganga haka nako daaa maisha haya hahahaha

  • @verbalverbal2019
    @verbalverbal2019 3 วันที่ผ่านมา

    Sasa hata ukienda kupima hospitali, utaambiwa afya yako imetengemaa sana, organ zote zinafanya kazi sawa sawa.... sababu umeepuka stress za kulazimisha sifa za uwongo kwa watu wasiostahili, na kukanusha sifa za kweli za mtu anayestahili... halafu pimbi hujui hao mazuzu mkiwapa sifa za uongo, kwa njaa zao za sifa wanaamini hata uongo, wakati wenzenu mnapiga blah blah za content... kwa hiyo muwaambie tu ukweli

  • @naswiruidrisa-pu2kv
    @naswiruidrisa-pu2kv 5 วันที่ผ่านมา +1

    Fara wewe