uyu nayeye namikorogo yake usoni mwanaume unajisugua nanyie wandishi mnamuoju uyo sasa atawajib nini lazima asifie hata sasa iyo gar anaijua bei yake au anasema tu mitandaoni iyo gar model gani ndo apauke awa macha kazi zao kusifia ujinga awajui bei na model za magar kelele tu
Hongera sana DIOMOND piga kazi kaka 👏👏👌🏼👌🏼🥳
Simbaaa
Diamond platinumz is the best musician in Tanzania
We simba atali
Betley ni gari ya bei
Huyo simba ameshindikana
Mmmhhh babu Iddi 😂😂😂😂😂 kiboko
Iyi Bentley niyazamani sio latest ni Bentley 2016
Ww ata kama ni ya mwaka gani....bei yake sio ya mchezo
Chawa kazini huyu balaaa
Uchawa waachie machawa
Kusafia wanaume bhana sasa huyu anavosifia yeye ananini kusifiwa?
uyu nayeye namikorogo yake usoni mwanaume unajisugua nanyie wandishi mnamuoju uyo sasa atawajib nini lazima asifie hata sasa iyo gar anaijua bei yake au anasema tu mitandaoni iyo gar model gani ndo apauke awa macha kazi zao kusifia ujinga awajui bei na model za magar kelele tu
Rudi shule Kwanzaa kabla haujaanza kulopoka
Wewe punguza wivu mshenzi
acha ushamba kufatilia mambo yasiyo kuhusu hayo mambo yake binafsi kama kaambiwa na mke wake we nan? Fatilia anachosema syo mambo yake k ww
Wivu itakuua