Ebana Leo kipindi kimekua kifupi Sana Mana tumepata mtu anaeijua ngumi na kuifatilia kuliko chochote kwenye maisha yake champez mtata mtatuzi mwamba kabisa
🇹🇿🇹🇿Naitwa JohanesBoy kishanda nimeachia❤nyimbo mpya ( JohanesBoy kishanda nakupenda official video❤❤❤❤ musicnaomba like zangu za JohanesBoy kishanda video)
Aisee huyu jamaa ni bondia aliyekamilika sana,ata maneno yake ya shombo ambayo wengine wanamsema hayajaja Kwa bahati mbaya anajua maneno na ngumi ,akiwa ulingoni anabadirika chap kama kinyonga ,tumuache tu kama hatukubali Sanaa yake na ubora alionao"mabondia wengine wa TZ wamuige tu Wala siyo zambi kuiga Kwa anayejua.
Wenzako huwa hawaongei sana . Wesubiriupigwe uone watuwakucheke, sikuhizi mabondia wa ulaya wanacheza hata na mabondia wa viwango vya chini . , bora kibunda kiingie.
Mwakinyo ngumi bado ww ulietayari mbona hatukujui? Ngumi zimebadilika siku hizi sio kupigana tu ni technic, ona Floyd Mayweather wanamdiss ila anashinda, ni km mpira unaweza ukachagua mfumo wako thn ukaumaster, ona Tank Davis alivyopigana na Ryan Garcia angesema arushiane ngumi angepigwa ila alimwacha ampige huku anavizia body punch alivyoipata ndipo alipomazizia pambano, mwakinyo Yuko sawa ana njia anataka kuipita na nyendo zake sio mbaya
Masumbwi🔥🔥🔥
Champion champez Kinyo boe home boe be blessed kaka
Hata watu waongee juu ya mwakinyo mabaya yake lakin mee kwangu ndiye bondia bora wa muda wote
Hakuna bondia ninae mkubalia duniani kama huyu jamaa(champez one time) 💪💪💪
Ebana Leo kipindi kimekua kifupi Sana Mana tumepata mtu anaeijua ngumi na kuifatilia kuliko chochote kwenye maisha yake champez mtata mtatuzi mwamba kabisa
Sema mwakinyo anajitambua saaana.
Binafsi nampenda sana
Safi sana champion
🥊
Mwamba unajuwa sana kaza sana kaka utafkambali sana duniani
Huyu ndo namba moja Tanzania
Caption ❤
Champenz one time ❤❤❤
washikishe adabu. kaka wakome
Aidan...Hamis Mwakinyo Boxing Gym...
Pro Boxing Player Hassan Mwakinyo Champez...God Bless ndg yangu..
Aminiy Mwakinyo
Mpekazi Konde boy
Iriatambue
Apakazi
🇹🇿🇹🇿Naitwa JohanesBoy kishanda nimeachia❤nyimbo mpya ( JohanesBoy kishanda nakupenda official video❤❤❤❤ musicnaomba like zangu za JohanesBoy kishanda video)
Aliyekuambia hapa tunatangaza movie nan
🥊🥊🥊🥊🥊🥊
Maamuz Yako ni muhim zaid
Hassani kwenye SOUTHPAW na vile anavyokua ana dance duuh,,anavutia sana kutazama. Kama Terence Bud Crawford vileee
Halafu Crawford ndo role model wake
Mwamba anajua kujieleza na anajua nn anaongea ni mfuatiaji wa ngumi ukiachana nayy kua bondia
Boxing trending
Champeezzz
Aisee huyu jamaa ni bondia aliyekamilika sana,ata maneno yake ya shombo ambayo wengine wanamsema hayajaja Kwa bahati mbaya anajua maneno na ngumi ,akiwa ulingoni anabadirika chap kama kinyonga ,tumuache tu kama hatukubali Sanaa yake na ubora alionao"mabondia wengine wa TZ wamuige tu Wala siyo zambi kuiga Kwa anayejua.
Isee ,Kweli kabisa broo zilobaki ni jealous tu na ushabiki wa kipinzani
Mdigo kama Mdigo
❤
Champenz
Kwani kachaguliwa na kamision ya ngumi au kachagua yeyemwenyewe??
Likes wasena wangu
Wenzako huwa hawaongei sana . Wesubiriupigwe uone watuwakucheke, sikuhizi mabondia wa ulaya wanacheza hata na mabondia wa viwango vya chini . , bora kibunda kiingie.
Champez one time
Wadunde ili wakuheshim
mmeamin km huyu ni aina ya watoto waliolelewa na mama pekee pasipo baba anavoweza kukosa umakin anawezaje kupigana na mtu ambae cyo mpiganaji??
Ila huyu jamaa anaongea du.
Anajua
Mwakivyo NGUMI BADO.
huyo PATRCK ni bindia NYANYA. mapambano mengi kashindwa. Na sio kweli kuwa pambano gumu.uwongo mtupu.
Weee patrick ni bondia mzuri sana.
@@abduryjumbe7447alikuwa mzur zamani kwa Sasa ni nyanya tu Kama alivyo sema huyo huyo jamaa hapo juu
N@@abduryjumbe7447 Patrick ni mwepesi wa kukata tamaa Hana uvumilivu kabisa mwakinyo atajipigia tu
Mwakinyo ngumi bado ww ulietayari mbona hatukujui? Ngumi zimebadilika siku hizi sio kupigana tu ni technic, ona Floyd Mayweather wanamdiss ila anashinda, ni km mpira unaweza ukachagua mfumo wako thn ukaumaster, ona Tank Davis alivyopigana na Ryan Garcia angesema arushiane ngumi angepigwa ila alimwacha ampige huku anavizia body punch alivyoipata ndipo alipomazizia pambano, mwakinyo Yuko sawa ana njia anataka kuipita na nyendo zake sio mbaya
Nenda kapigane nae ww