Wakaazi wa mitaa ya kifahari jijini Nairobi walalamikia ujenzi wa kiholela

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ก.ย. 2024
  • Ujenzi wa kiholela katika maeneo ya Kilimani, Kileleshwa na Lavington hapa jijini Nairobi umelaumiwa pakubwa kwa kuwa chanzo cha uhaba wa maji, nguvu za umeme na hata msongamanio wa magari. Hali hii pia ikilaumiwa kwa uharibifu wa mabomba ya maji taka ambayo yameshindwa kustahimili shinikizo litokanalo na wingi wa watumizi. Wakazi hawa wakilalama kuwa majengo haya yanageuza eneo lao kuwa kama mitaa wa mabanda na tunaangazia lalama hizi na hatua ya serikali ya kaunti ya nairobi kwenye makala yetu maalum.

ความคิดเห็น • 41

  • @JoshuaMusau
    @JoshuaMusau ปีที่แล้ว +4

    The paradox of it is that these apartment blocks are all half-empty. Just like office blocks in upperhill.

    • @georgek685
      @georgek685 ปีที่แล้ว

      Which means these are money laundering outlets. They really don't care about making money from these investments

  • @tinderboy4529
    @tinderboy4529 ปีที่แล้ว +3

    this problem started over 10 years ago, slums always start with one to 10 settlements and the government ignores. before you know it there in their thousands making it difficult to remove them and restore order. Always apply measures immediately to avoid such slums in the future

  • @lulah3783
    @lulah3783 ปีที่แล้ว +1

    The madness must stop. Thank you citizen for highlighting this.

  • @WaweruG
    @WaweruG ปีที่แล้ว +4

    Change the only thing that remains constant. That mindset "50 yrs ago" no longer hold a drop of water.

  • @harmanacidic4814
    @harmanacidic4814 ปีที่แล้ว +4

    Times has changed the population has increased...we must live in leafy suburb so long as weve afforded

  • @briant5685
    @briant5685 ปีที่แล้ว +8

    hawa ni wakoloni ambao ni adui wa maendeleo sasa watu wasijenge nyumba ati juu hao ndio ''wenyeji hayo maeneo..??''lol kama ni mambo na sewage na water waende kwa kanjo ama hata hao wajenge plots kubwa,these people should stop living in the 80's and 90's,such plots ndio mtindo nowadays, it's upon the city council to upgrade their sewage systems and water to meet the demand

  • @mohamoudosman4243
    @mohamoudosman4243 ปีที่แล้ว +1

    Pia Pangani , parklands uncontrolled development even unakosa pahali ya kupita they have extended there buildings hata kwa pedestrian walk halafu wanaweka nyororo it so disturbing

  • @nangalwemuniafu8576
    @nangalwemuniafu8576 ปีที่แล้ว +3

    It's a pity that he speaks about facts and makes no mention of what he's going to do. Shame on him. Aende huko.

  • @njambimwangi7718
    @njambimwangi7718 ปีที่แล้ว +2

    What is happening in parklands/high ridge is shocking too... And its one community behind it

    • @mozi3051
      @mozi3051 ปีที่แล้ว +1

      You are right, unfortunately. Some of our people have zero respect for existing norms.

  • @DoubleT847
    @DoubleT847 ปีที่แล้ว +4

    900 people for one building?

    • @_martin_oduor_
      @_martin_oduor_ ปีที่แล้ว

      It's a clean and safe environment. What else.

    • @DoubleT847
      @DoubleT847 ปีที่แล้ว

      @@_martin_oduor_ do you know what it take took to handle a population of 900 people?

    • @adnanadan457
      @adnanadan457 ปีที่แล้ว

      Not on one single structure that's is not possible am sure he combined all buildings in the area

  • @johnonyango6069
    @johnonyango6069 ปีที่แล้ว +1

    If you cannot beat them join them, evolution and change is everywhere hameni muendee Nanyuki if you are Rich..!! Huko Kuna shamba kubwa kubwa kama kiwanja YA ndegeThe poor are taking over 😂😂😂😂

    • @dominicdommy9194
      @dominicdommy9194 ปีที่แล้ว

      Wueeeeeeh jk, nili nunua 2hectare for 400k,but juzi nilienda nikaambiwa tittle deed ni 2m na ilikua 100k Enzi hizo

  • @catherinesifa1333
    @catherinesifa1333 ปีที่แล้ว

    They should talk about Eastlands

  • @chaskariuki3346
    @chaskariuki3346 ปีที่แล้ว

    Shame

  • @patrickkatana8823
    @patrickkatana8823 ปีที่แล้ว

    Mtu akiingia mamlakani hutafuta njia zote kujinufaisha kwa mda aliopo ofisini,, tenders kama hizi ndio wanasiasa hutajirika kwa mda mfupi..

  • @kidhaanna2319
    @kidhaanna2319 ปีที่แล้ว

    Kilimani has become a neighbourhood to manage...indian and Somali developments are better than the Chinese..what to do?? Manage

  • @desmondachocky537
    @desmondachocky537 ปีที่แล้ว

    Kilimani kileleshwa will turn out to be another buruburu.Buruburu during the late 80's n 90's was an affluent neighbourhood like what the kileleshwa's are today b4 it was corrupted.

  • @Actor_bad24IK
    @Actor_bad24IK ปีที่แล้ว

    This is against economical decentralization

  • @vkefa
    @vkefa ปีที่แล้ว +1

    Most of them half empty

  • @stephenngila827
    @stephenngila827 ปีที่แล้ว +1

    TOA tano ipakikumi weesakaja waeleze

  • @4rklee
    @4rklee ปีที่แล้ว +1

    Base ya Sakaja inakua ghetto

  • @tobiasorimba176
    @tobiasorimba176 ปีที่แล้ว

    I am an Advocate and I have a matter in court concerning such approvals. It's bad.

    • @jayslife245
      @jayslife245 ปีที่แล้ว

      Hie dear text Me please

    • @dominicdommy9194
      @dominicdommy9194 ปีที่แล้ว

      Advocate mnataka tuishi wapi

    • @tobiasorimba176
      @tobiasorimba176 ปีที่แล้ว +1

      @@dominicdommy9194 we must ensure we follow the law. You can not just put up a building anywhere you want.

    • @dominicdommy9194
      @dominicdommy9194 ปีที่แล้ว

      @@tobiasorimba176 nko na yangu hapo 3floors,hata mkinomoa ishaajenga zingine

    • @tobiasorimba176
      @tobiasorimba176 ปีที่แล้ว

      @@dominicdommy9194 Worries aside Sir.

  • @soinda87
    @soinda87 ปีที่แล้ว

    greed

  • @Canadian1987guy
    @Canadian1987guy ปีที่แล้ว

    15 years ago an Arab guy told us these areas would turn into slums like Umoja, Fedha and Doni. And we really laughed because it was the Runda of Town..
    I guess the mandem was right

    • @mozi3051
      @mozi3051 ปีที่แล้ว

      The same is now being said about thigiri now, and the population pressure and lax enforcement will ensure it happens. Even Runda now is overcrowded with tusmall mansions that will fit in an estate. Ni Kubaya. No water, weak electricity, noise, and absolutely no privacy.

  • @taifakali1981
    @taifakali1981 ปีที่แล้ว +1

    Kama ww ni miskini shauri yako

  • @sohrabtajadin3402
    @sohrabtajadin3402 ปีที่แล้ว

    HATA MOMBASA. NDIO MAANA AFRICA ITAKUWA MASKINI. HAKUNA MIPANGO. POOR PLANNING. GREED. HAKUNA MTU ANAPELEKWA KORTINI. CORRUPTION. MOMBASA PIA WORST PLANNING. VIPI MAGOROFA NA MAJI HAMNA?? FOOLS.