#BMGTV

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 29 ก.ย. 2024
  • BMG Media- Pamoja Daima!
    Tovuti @BMG BLOG www.bmgblog.co...
    Facebook @BMG HABARI / bmghabari
    Twitter @bmghabari / bmghabari
    Instagram @bmghabari / bmghabari
    #BMGTV #BMGBLOG #BMGHABARI #PamojaDaimaBMG

ความคิดเห็น • 27

  • @frankmare1708
    @frankmare1708 4 หลายเดือนก่อน +1

    1:10 NAMUONA YULE MWALIMU WA MWANZA SEC.

    • @BMGOnlineTV
      @BMGOnlineTV  4 หลายเดือนก่อน

      Anaitwa nani?

  • @laipazergy7938
    @laipazergy7938 3 ปีที่แล้ว +1

    Bara bara ya rwegasore, pamba na miti mirefu pia Nasser road na station road baada ya hapo tupeleke makongoro, balewa na machemba tulioko mbali tutakushukru mno

    • @BMGOnlineTV
      @BMGOnlineTV  3 ปีที่แล้ว

      Tumepokea maoni yako, ahsante

  • @KhalidKhan-ud9cz
    @KhalidKhan-ud9cz 7 หลายเดือนก่อน +1

    Tanzania mzuri Sana kweli

  • @KhalidKhan-ud9cz
    @KhalidKhan-ud9cz 7 หลายเดือนก่อน +1

    Tanzania mzuri Sana kweli

  • @MudiTz-ex7lm
    @MudiTz-ex7lm ปีที่แล้ว +1

    pazuri kwa biashara

  • @DamianoCostantine-bn3rl
    @DamianoCostantine-bn3rl ปีที่แล้ว +1

    Najivunia jiji langu piah najivunia kuwa msukuma

    • @BMGOnlineTV
      @BMGOnlineTV  ปีที่แล้ว

      Pamoja sana

    • @MichaelMathew-j3f
      @MichaelMathew-j3f 9 หลายเดือนก่อน

      Ukabila? Haina maana kwa sasa. Be careful

  • @madirishasimon9692
    @madirishasimon9692 3 ปีที่แล้ว +2

    Onyesha barabara ya barewa kwenda isamilo pamoja na kapripoint

    • @BMGOnlineTV
      @BMGOnlineTV  3 ปีที่แล้ว

      Sawa. Hivi karibuni utaiona

  • @alainngoiedjemo6106
    @alainngoiedjemo6106 ปีที่แล้ว +1

    aksante sana mimi ni alain apa Drc, na taka kufahamu vuzuru Buswelu nini

    • @BMGOnlineTV
      @BMGOnlineTV  ปีที่แล้ว

      Buswelu ni mji mdogo katika Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela mkoani Mwanza. Ilemela ni moja ya Manispaa katika Jiji la Mwanza.

  • @madirishasimon9692
    @madirishasimon9692 3 ปีที่แล้ว +2

    Barikiwa sana ndugu nimepaona mwanza duh.

  • @amenyemwansile6919
    @amenyemwansile6919 ปีที่แล้ว +1

    Jamani kumbe mbeya ni jiji lenye nagari mengi baada ya daresaalam mbona mwanza kwenyewe magari ni ya kuhesabu?

    • @BMGOnlineTV
      @BMGOnlineTV  ปีที่แล้ว

      Siku za wikendi hakuna jam Mwanza ndo maana watu wanapenda Mwanza maana haina karaha za barabarani

    • @AnnaMathias-w9d
      @AnnaMathias-w9d 9 หลายเดือนก่อน

      unaijua mwanza wewe mbeya ilinganishe na kigoma huko

    • @frankmare1708
      @frankmare1708 4 หลายเดือนก่อน

      Mbeya yenye barabara moja ndo ulinganishe na mwanza???

  • @josephwilliam5813
    @josephwilliam5813 3 ปีที่แล้ว +2

    Maeneo ya ilemela itapendeza sana

    • @BMGOnlineTV
      @BMGOnlineTV  3 ปีที่แล้ว

      Ahsante, nitafanyia kazi

  • @laipazergy7938
    @laipazergy7938 3 ปีที่แล้ว +1

    Pia tutazidi kukuomba baadhi ya maeneo ukituonyesha haya

    • @BMGOnlineTV
      @BMGOnlineTV  3 ปีที่แล้ว

      Sawa, nitafanya hivyo