DIAMOND:ZUCHU KAANDIKA HISTORIA MPYA NDANI YA WCB/AMENISHANGAZA/NALIPA MILIONI 40 KILA MWEZI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 25 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 222

  • @charleschao5053
    @charleschao5053 4 ปีที่แล้ว +113

    Mwenye mziki wake likes zakutosha kwake 😁😁👊

  • @mackmtata8277
    @mackmtata8277 4 ปีที่แล้ว +60

    Zuchu dili daimond ni mzee WA fursa na kuinua vipaji

  • @mariamramadan6154
    @mariamramadan6154 4 ปีที่แล้ว +27

    Huyu ndo simba bna anapendwa na watu alafu hana mazarau nampenda😍😍😍😍

  • @iammusic3404
    @iammusic3404 4 ปีที่แล้ว +5

    Zuchu is an extraordinary vocalist indeed!🔥🔥🔥🙌😍😍😍😭

  • @johnthadei8225
    @johnthadei8225 4 ปีที่แล้ว +35

    Alie sikia nizime kelele gonga like twende sawa 😀😀

  • @sajomg7983
    @sajomg7983 4 ปีที่แล้ว +55

    Simba mwenyewe niachie goma nizime kelele

    • @BigZhumbe
      @BigZhumbe 4 ปีที่แล้ว +3

      Na anawazima kweli kweli

  • @dadasim2749
    @dadasim2749 4 ปีที่แล้ว +20

    Daah nimemkumbuka Sana OMAR KOPA Mpaka Machozi yananitoka
    Daah Kweli hii family ni Noma

  • @salomewambui1979
    @salomewambui1979 4 ปีที่แล้ว +1

    Boot la jeje nipo hapa
    Go go go go go go go zuchu..
    God bless you endless

  • @darkplatnum9006
    @darkplatnum9006 4 ปีที่แล้ว +16

    Milion 40 kwa mwez makato ya selikal msann mwengine ajitokez asema na yy anakatwa ngap na selikal alaf huyu unatak kumlinganisha na mambonde kuinama pumbavj kabisa love you wcb wasasafi

    • @zenamadhan2517
      @zenamadhan2517 4 ปีที่แล้ว

      Hahaaaa

    • @darkplatnum9006
      @darkplatnum9006 4 ปีที่แล้ว

      @@zenamadhan2517 yaaah unafikil maaana wanatusumbua sana kila kamsanii kakizuka nan bor kat ya platnumz na utopolo bas wawe wanajitokeza na kusema nalipia kod kubwa kuliko wot ndio tuanza sas kuawalinganisha

  • @swaibutv5590
    @swaibutv5590 4 ปีที่แล้ว +53

    Milioni 480 kwa mwaka ndio maana magufuli alikuita mwanaume kumbe alichungulia TRA

  • @fababindawood8363
    @fababindawood8363 4 ปีที่แล้ว +2

    Diamond anaakili xana Masha Allah akilenga k2 bx ujuwe kitabutuwa tu 🔥🔥🔥🔥🔥➡🌎🌎🌎🌎💪💪💪💪

  • @dieudonnebigirimana8083
    @dieudonnebigirimana8083 4 ปีที่แล้ว +7

    ♥️♥️♥️♥️monde🙏🙏🙏 kwakuwa na moyo wakipekee, majangili watanyoka tu

  • @ChiziLugwe
    @ChiziLugwe 4 ปีที่แล้ว +1

    Simba tumecheza tayar Jeje tutarajie ngoma gani tena mimi huwa na following...sana mzki wako...from 254....!🔥🔥🔥🔥🔥👌👌

  • @BigZhumbe
    @BigZhumbe 4 ปีที่แล้ว +21

    Kweli Mondi unajua kuwazima 🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @saxyplatnumz2755
    @saxyplatnumz2755 4 ปีที่แล้ว +8

    Interview za mwamba uyu Ni zaidi ya ngoma za wasaniiii wengi Sana

  • @faridajonas9623
    @faridajonas9623 4 ปีที่แล้ว +31

    Milioni 40 kila mwszi lazima uheshimiwe

  • @hadijamsumi816
    @hadijamsumi816 4 ปีที่แล้ว +1

    Diamond mungu akuweke sana ww n mtanzania halisi

  • @kaburaakbar7069
    @kaburaakbar7069 4 ปีที่แล้ว +3

    Msani Wang Bora dunian ni diamond Platnumz pamoj na msani Wang Bora wa kike zuchu

  • @sayianmadara7286
    @sayianmadara7286 4 ปีที่แล้ว +14

    Who can't wait for Diamond Platnumz Ft Zuchu to be release ???( in da future)

    • @Smokeylucas
      @Smokeylucas 6 หลายเดือนก่อน

      This comment aged well

  • @mahsneermohammed2107
    @mahsneermohammed2107 4 ปีที่แล้ว +20

    Star wamastar Simba babalao Africa anaepinga nimshamba yuko full kotekote kuimba kuvaa kuongea kucheza hivi ndio msanii anavotakiwa,msanii wangu wa ulaya ni Criss brown na wa Africa ni Diamond wanafanana kilakitu cha ndani yausanii inavotakiwa Zuchu ww nimkali wawakali dalili zinaonesha tu+254

  • @8pistons194
    @8pistons194 4 ปีที่แล้ว +10

    ONCE A LION ALWAYS LION

  • @fadhilplatnumz6209
    @fadhilplatnumz6209 4 ปีที่แล้ว +6

    Very Nice- WCB and cio Mond platnumz' Gd SimbA' Zuchu.

  • @MS.independent8934
    @MS.independent8934 4 ปีที่แล้ว +19

    jamani m'mependeza sn jamani napia ZUCHU lazma yani lazma atawafunika wengi sn 😁

  • @erickmislakuba237
    @erickmislakuba237 4 ปีที่แล้ว +2

    Diamond uko Na moyo wa kipekeee, God bless you my Broo

  • @maisarasid8670
    @maisarasid8670 2 ปีที่แล้ว

    Kweli nampenda sana nure diomond kwa ukarimu wake na ananyopenda wenzie na hana madharau mm niliakikosha kwa yule mtoto wakoume km yeye mond ashawahi ongea na ye lakini watu wengine km mbosso aliniumiza moyo wangu kwakumpuuza siku nyingi mdogo wake

  • @binmaamur6952
    @binmaamur6952 4 ปีที่แล้ว

    Ebwana mondi hongera kwako kwa kuweza kutuwekea mwanamuzi mpya mwenye talent sana hivo pia nasema big up kwa zuchu me namwambia kwa sasa ameshapata fursa hivo asiichee akaze buti ili kazi iendeleee mbele

    • @binmaamur6952
      @binmaamur6952 4 ปีที่แล้ว

      Ningepata nafasi ningeshauri wimbo wa "wana "mbosso ndio awe video king mana ingekuwa bab kubwa zaid

  • @yusternyirenda7231
    @yusternyirenda7231 ปีที่แล้ว +1

    Simba huko mbeleni lazima amle zuchu hawezi kuacha mtoto mdogo mbichi chuchu zimesimama kifuani kama mwiba uwiii diamond hana uzembe huo, ni swala la muda tu nipo pale nimekaa diamond lazima atamla zuchu yan hii ni lazima, huko mbeleni diamond atamla zuchu.

  • @andulilemwakihabha2931
    @andulilemwakihabha2931 4 ปีที่แล้ว +14

    Wasafi daima

  • @neemamushi5323
    @neemamushi5323 4 ปีที่แล้ว +16

    Kellele
    Ya kwanza kwa simba wewewewewe

  • @chunanachu2529
    @chunanachu2529 4 ปีที่แล้ว +1

    Boss mungu akuzidishie roho ya upendo na ndio maana mungu anakupa kila siku huna roho mbaya

  • @dailygossip9919
    @dailygossip9919 4 ปีที่แล้ว +4

    Diamond anjuwa kutafuta content ya hii channel 👏👏👏

  • @francyprojest2703
    @francyprojest2703 4 ปีที่แล้ว +7

    Salute kwa SIMBAAAAAA AISE uyu mtu Mungu katupatia zawadi.....🤙🤙🤙

  • @asambajengo4837
    @asambajengo4837 4 ปีที่แล้ว +1

    The. Best artist female

  • @twahabuiddy9612
    @twahabuiddy9612 4 ปีที่แล้ว +6

    Wasafi chama lao haya twende kisambukile sambamba moja mbili inabamba inogile inatamba eeeh ebu pasuka musambaaaaa 😘😘😘😘😘

  • @umojaafrika2447
    @umojaafrika2447 4 ปีที่แล้ว +27

    Mtangazaji lazima ajifunze kiswahili. Acha kiingereza !

  • @elizabethchea6809
    @elizabethchea6809 4 ปีที่แล้ว +3

    Show bomba I the golden voices

  • @hajibabylon9759
    @hajibabylon9759 4 ปีที่แล้ว +8

    Bigiii nakubaliiii

  • @hemedabdullah7301
    @hemedabdullah7301 4 ปีที่แล้ว +12

    Wcb is a real Bss sio madam ritha mwizi.

  • @benjaminkimaro6361
    @benjaminkimaro6361 4 ปีที่แล้ว +1

    Simba Chibuu🙌🙌🙌🙌🙌Nakubali sana WCB Fore life
    ##
    Kim's B Papa

  • @fadhilikibanti3402
    @fadhilikibanti3402 4 ปีที่แล้ว +3

    Simbaaaa... "Mzima kelele za bongo"

  • @dismassamwel7130
    @dismassamwel7130 4 ปีที่แล้ว +3

    Simba bana ,nimecha sana kumbe wewe wimbo wako tu unazima kelele zilizopo ahahah nimekubali mzee baba

  • @linetgikenyi4613
    @linetgikenyi4613 4 ปีที่แล้ว +3

    Dada mtangazaji you are a very smart lady but your makeup🙊🤦‍♀️

  • @josephlotto996
    @josephlotto996 4 ปีที่แล้ว +18

    Uyo ndo simba na buti la jeje

  • @husnamfuko6136
    @husnamfuko6136 4 ปีที่แล้ว +3

    Diamond mungu akubaliki kwa kuinua jipaji vya watu 🙏🙏

  • @milicentnekesa8103
    @milicentnekesa8103 4 ปีที่แล้ว +2

    Na Kweli unazizimaga Kweli Kweli 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @aceotz2579
    @aceotz2579 4 ปีที่แล้ว +16

    ZUCHU WANGU❤❤😙😍

  • @kidoleentertainment7658
    @kidoleentertainment7658 4 ปีที่แล้ว +6

    umetishaaaa simba

  • @Bullah_tz
    @Bullah_tz 4 ปีที่แล้ว +1

    Mwenye mzik wake simba 🦁

  • @muniraahmed624
    @muniraahmed624 4 ปีที่แล้ว +15

    Chibu bhana eti niachie nyimbo nizime kelele😂 Mr misafa

    • @allyminasi520
      @allyminasi520 4 ปีที่แล้ว

      Munira Ahmed yah uyo ndo simba

    • @moudymkapanda2589
      @moudymkapanda2589 4 ปีที่แล้ว +1

      Sio misafa ni misifa😀😀😀😀

    • @moudymkapanda2589
      @moudymkapanda2589 4 ปีที่แล้ว

      Sio misafa ni misifa😀😀😀😀

    • @sebastianmusira3060
      @sebastianmusira3060 4 ปีที่แล้ว

      Mmh Munira kila kona ya youtube umejaa nakuona hahahahaha

    • @rubyshamlaha2181
      @rubyshamlaha2181 4 ปีที่แล้ว

      @@sebastianmusira3060 we nawe mmbea mi hunioni au 🤣🤣🏃

  • @edithelias2232
    @edithelias2232 4 ปีที่แล้ว +1

    Diamond hongera ila mtangazaji anatukwaza mavazi ayana maadili kumbuka tunaangalia na watoto ajirekebishe .

  • @steveemeshack4847
    @steveemeshack4847 4 ปีที่แล้ว

    Ndio mzee

  • @stevenmaketa8051
    @stevenmaketa8051 4 ปีที่แล้ว +2

    Nasemajee mwny mziki wake anaongea sasaaaaa oyooooooooo

  • @zabronadamsony870
    @zabronadamsony870 4 ปีที่แล้ว +11

    daaa tutafutage hera jamani kwa mwezi milioni 40 serikalin daaaaah big up platnum mtoto wa kimanyema like naombeni jamani

  • @maxwelbenedict8884
    @maxwelbenedict8884 4 ปีที่แล้ว

    Mungu kwanza anatangulia kwa kila neno lake......ww n nani umueke chini🤭😷😷😷

  • @papaesco5198
    @papaesco5198 4 ปีที่แล้ว

    😃😃😃😃😃😃na ni kweli huwa anazima kelele zote

  • @joshuasteven6509
    @joshuasteven6509 4 ปีที่แล้ว +1

    Peace brother

  • @aswilecolen9434
    @aswilecolen9434 4 ปีที่แล้ว

    Tunakubali zaidi ya sana

  • @kidjhdf7568
    @kidjhdf7568 4 ปีที่แล้ว +4

    Wcb we here

  • @angelbwija9547
    @angelbwija9547 4 ปีที่แล้ว +1

    Muoe basi zuchu na utuliye simba, kumba kuna ugonjwa wa ukimwi, oa na utuliye sasa, mbona wa sanii wa America wako na MARRIED na wanatulia na famillia zao 😥😥😥😥😥😥

  • @habibasallah8139
    @habibasallah8139 4 ปีที่แล้ว +6

    Mashaallah

  • @milicentnekesa8103
    @milicentnekesa8103 4 ปีที่แล้ว +1

    Mwenye Bongo Fleva yake kashaongea na akamaliza, mimi nani?????

  • @ibrahimhussein1282
    @ibrahimhussein1282 4 ปีที่แล้ว +1

    Simba the boss.

  • @priv524
    @priv524 9 หลายเดือนก่อน

    3yrs ...... you were scared Zuchu must not find a guy who will play her.......and you knew you were the one going to play her.......she has been a supportive and faithful partner...now you tell your mum you are playing with her

  • @israelsaria8975
    @israelsaria8975 4 ปีที่แล้ว

    Mtangazaji yuko vizuri sana, anauliza maswali yote muhimu, ambayo hata mimi ningepata nafasi, ningeuliza vivyo hivyo sasi sana...

  • @hansnewton2962
    @hansnewton2962 4 ปีที่แล้ว

    vizime hivi vituuuu😀😀😀😀👏👏👏👏👏👏

  • @ahmedmussa8231
    @ahmedmussa8231 4 ปีที่แล้ว +1

    Hili ndo daraja la mafanikio ukibisha kufa tamineta

  • @lwitikomwakibete7525
    @lwitikomwakibete7525 4 ปีที่แล้ว +14

    Kama umemsikia simba like za kutosha

  • @noleenkorir9496
    @noleenkorir9496 4 ปีที่แล้ว

    Congrats gal

  • @kwejajunior1679
    @kwejajunior1679 4 ปีที่แล้ว +17

    MWIJAKU ANALIPA KODI TSH NGAPI!?...

  • @salehmadawa3352
    @salehmadawa3352 4 ปีที่แล้ว

    Safi zuchu hongera

  • @milliahachenya2749
    @milliahachenya2749 4 ปีที่แล้ว

    Diamond na Khadija kopa mko smartiii

  • @bonnysureolkokolaboy4342
    @bonnysureolkokolaboy4342 4 ปีที่แล้ว +1

    Milioni 40 kila mwezi Mimi sina hata lakini kweli wew ni simbaa

  • @subiramagembe227
    @subiramagembe227 4 ปีที่แล้ว +11

    simbaaaaaaa

  • @rosemunyali8728
    @rosemunyali8728 4 ปีที่แล้ว

    Kuna vile mtu anaweza block hizi vitu kila cku tz Mondy kwani hamna prezo nyinyi....na wewe mondy pea tanasha kitambaa yke...eesh

  • @imazawad855
    @imazawad855 4 ปีที่แล้ว +3

    Zuchu kama zuchu

  • @kheiromar2068
    @kheiromar2068 4 ปีที่แล้ว +2

    Chibu hana adabu uyu eti acha simba aingie azme kelele,hhhhhh

  • @lupandesimukindje8170
    @lupandesimukindje8170 4 ปีที่แล้ว +1

    Mtangazaji ni mzuri sana

  • @mariammgale4902
    @mariammgale4902 4 ปีที่แล้ว +1

    daha daimomdi jeje iyo na mtu yoyote akimuinga daimondi kuvaa ivyo basi anampenda

  • @franklinemoi8516
    @franklinemoi8516 4 ปีที่แล้ว

    Mwenye mziki kashasema.

  • @chiefkaitaba.m.9466
    @chiefkaitaba.m.9466 4 ปีที่แล้ว +1

    WCB ndo label ya ukweri zingine zilizobaki ni Band tu.

  • @watuhuru6128
    @watuhuru6128 2 ปีที่แล้ว

    Mama kakupa mke

  • @kijangapeter5135
    @kijangapeter5135 4 ปีที่แล้ว +1

    Huyu ndo mtangazaji sasa, siyo wale wengine wajinga wajinga na maswali yao yakiwaki,big up bidada

  • @safarikikaadrien108
    @safarikikaadrien108 4 ปีที่แล้ว +1

    Sema mutangazaji aaliyah kauwa sana maswali

  • @mangweangwenazo4604
    @mangweangwenazo4604 4 ปีที่แล้ว

    Buti la jeje

  • @mzangabebejr2642
    @mzangabebejr2642 4 ปีที่แล้ว +4

    Nimependa ubunifu uliotumika

  • @twahabuiddy9612
    @twahabuiddy9612 4 ปีที่แล้ว +1

    Zuchu akeee

  • @mrsnam6897
    @mrsnam6897 4 ปีที่แล้ว +4

    Mondi mkorofi, babalao
    Tunawazima kwanza

  • @abdullahiabdirahman2301
    @abdullahiabdirahman2301 4 ปีที่แล้ว +8

    Mungu hawezi pokea dua ya kutafuta riziki kwa ngoma na ujue anataka kuabudiwa c kusikiza ngoma kwa Club ama burudani kumsahaulisha mola ww ni muislamu aina gani unajiita muislamu

    • @barakanyoka5482
      @barakanyoka5482 4 ปีที่แล้ว +1

      Usimuhukumu naseeb

    • @edsonsibuti6914
      @edsonsibuti6914 4 ปีที่แล้ว

      Mungu yupiii???

    • @francisruambothetechnician
      @francisruambothetechnician 4 ปีที่แล้ว

      Acheni umimi, una hakika hiyo mungu ataki hizi nyimbo, kivipi fafanua

    • @josephgenes75
      @josephgenes75 4 ปีที่แล้ว +1

      Broo eeh hii n burudani ililetwa na mungu

    • @pci__tanzania
      @pci__tanzania 4 ปีที่แล้ว +3

      Wewe muislamu kweli umefata nini huku kwenye mambo ya kidunia???

  • @kaburaakbar4838
    @kaburaakbar4838 3 ปีที่แล้ว

    Simbaaa

  • @kerjoyofficial9213
    @kerjoyofficial9213 4 ปีที่แล้ว +3

    Mondy mnyama

  • @stevensamwel4023
    @stevensamwel4023 4 ปีที่แล้ว +1

    CEO

  • @muhammadghaid619
    @muhammadghaid619 4 ปีที่แล้ว +1

    Welcome zuchu

  • @azizamajid6590
    @azizamajid6590 4 ปีที่แล้ว

    Unaroho nzur dai

  • @cheupestefano5424
    @cheupestefano5424 4 ปีที่แล้ว +3

    When she decides to leave wasafi nfipo atajua hajui million 600 KONDE boy alilipa sijui huyu binti atadaiwa ngapi

  • @kgmillionaire
    @kgmillionaire 4 ปีที่แล้ว +5

    Kama we mkenya gonga like 👌

  • @BALEKECH2770
    @BALEKECH2770 ปีที่แล้ว

    Simba

  • @janethshoo2900
    @janethshoo2900 4 ปีที่แล้ว +1

    Mondi Ana juaaa

  • @nansikilovele1424
    @nansikilovele1424 4 ปีที่แล้ว

    Mondi umetokelezea balaa! Umevunja kabati maninaaa zao wasokuelewa,mie nishawachoka kuwaelewesha kua ww ni electric!

  • @ahmedmussa8231
    @ahmedmussa8231 4 ปีที่แล้ว

    Baba laoooo tamineta

  • @JayJay-qd1yn
    @JayJay-qd1yn 4 ปีที่แล้ว +1

    Kwakweli ulkuwa unazizima hizo kelele