Zuchu na Diamond wameachana au wanatuchezesha? Kama ni kweli, haya tuliyozungumza 2022 yatatokea!

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 119

  • @amosratemo7958
    @amosratemo7958 ปีที่แล้ว +7

    Remember those Kenyan promoters who said zuchu aliwasumbua USA juu ya mondi wakasema she will be left ata miezi nne hajaisha it has come to pass. Let her concentrate kwa kazi c kufikiria mondi every time 😘

  • @anicyaedward6257
    @anicyaedward6257 ปีที่แล้ว +11

    My family...congratulations for keeping doing great. Back to points...zuchu career yake yayumba trust me .....ila Daimond ataendeleq kuwaka ila coz zuchu ndo kazama pale ..Daimond akipenda lazma Dunia ijue anapenda.. na Daimond loose nothing than zuchu ... so zuchu ajipange saba na kibaya zaid Daimond bado his not comfortable kwa hii rshp compare to the past rshp ....Zuchu should focus on career not in rshp ..pia kick waache..management yao inatakiwa kutosuport kick .. zuchu alikuwa anaimba nyimbo nzuri ila kwasasa nyimbo zake ni just business cyo nyimbo nzuri ndo maana zinasahurika..mfano mzuri Rihanna kapumzika miaka karud nyimbo zote zinaimwa live yan from anaanza performance mpaka mwisho myself naimba

  • @eliakejijoseph1422
    @eliakejijoseph1422 ปีที่แล้ว +3

    Just imagine you guys have spoken about it🤣🤣🤣

  • @evelynekaneza
    @evelynekaneza ปีที่แล้ว +16

    Zuchu arikoseya sanaaa kutembea na D

    • @nicolenabintu2509
      @nicolenabintu2509 ปีที่แล้ว +1

      Uyu domo dah , zuchu ajipange

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 ปีที่แล้ว +1

      Niliposems wapenzi wao wakasema hao ni kama Jay Z na Beyonce 😂😂😂😂😂

    • @yasminoluoch169
      @yasminoluoch169 ปีที่แล้ว

      Ery true

  • @m___ck799
    @m___ck799 ปีที่แล้ว +11

    Zuchu ndio yupo deep in love! Did you guys see the video of Diamond in London kissing another woman?? Tena yeye ndiyo amelazimishia kiss! Hatareee

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 ปีที่แล้ว +3

      Nasikia hiyo ndo imemtia wazimu Zuchu 😂😂😂

  • @zainabwage4658
    @zainabwage4658 ปีที่แล้ว +14

    Uzinifu haumuachi mtu salama ludin kwa muumba wenu

  • @tiffanyakramJr822
    @tiffanyakramJr822 ปีที่แล้ว +14

    Kwa mtazamo wa mapenzi ya nyuma ya diamond hili penzi lap la mchongo, diamond hakuingia saana kwa zuchu kama zuchu aliyoongia mazima kwa mond , kama ni kweli zuchu haitamtoka mapema moyoni

    • @sksalom725
      @sksalom725 ปีที่แล้ว +1

      Ni Bala 🤣🤣🤣🤣

    • @mutabazihamza102
      @mutabazihamza102 ปีที่แล้ว

      Kiukweli awa hawa jawai kupenda na

  • @fridamnyambii7175
    @fridamnyambii7175 ปีที่แล้ว +12

    Diamond sio mungu afu zuchu yupo kimaslahi kama hamjui zuchu she is talented and strong

    • @svt3
      @svt3 ปีที่แล้ว +2

      Frida Mnyambi: hiyo talent and strong uliiona sababu wasafi ilimsaini,na inaweka uwekezaji kwake,

    • @aaa64sa13
      @aaa64sa13 ปีที่แล้ว +2

      Awe makini sanaaaa maana tunampenda. Amna maslahi kwa diamond.

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 ปีที่แล้ว +2

      Diamond alikuwa ana mtumia tu 😂 selfish man, nae alianzaje kumpenda womaniser kama huyo? Kibaya alimnyan'ganya shoga/best ake

    • @svt3
      @svt3 ปีที่แล้ว

      @@MsAggie5 Diamond alimtumia ki vipi? Au ni zuchu kajipendekeza tu Historia iko wazi aina za wanawake Diamond anapenda, weupe weupe, wenye sura za kuvutia

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 ปีที่แล้ว

      @@svt3 kama alikuwa hampendi Kwa nini alitoka nae? Ili WA trend? Atunge nyimbo wauze Mondi azidi pata faida sasa hapo nani looser? Huyu mwanamme sijui Kwa nini wanawake hawatumii akili zao.

  • @chainbre275
    @chainbre275 ปีที่แล้ว +3

    Haa nilikuja nashangaa kwani mume ongea same like 2022 but thanks kwa kuwa mukweli n'a kutuandikia HPO chini

  • @evenabwire1860
    @evenabwire1860 ปีที่แล้ว +1

    This analysis so this coming....🔥🔥🔥🔥

  • @cheiknamouna2058
    @cheiknamouna2058 ปีที่แล้ว +3

    Zuchu alivulia nguo akazamisha mpaka kichwa na miguu sasa tungoje walioloweka wajitokeze💃💃💃

  • @Vetexenterprise
    @Vetexenterprise ปีที่แล้ว +5

    Kuna uwezekano hata diamond na Zuchu hawajawahi date, wcb wana akili yakucheza na akili za watanzania , kwa sasa ni wakati wa lava lava so Zuchu anapumzika kwa stahili hiyo

    • @malak-lz6kx
      @malak-lz6kx ปีที่แล้ว

      Mh kuona huoni bs atapicha hujui kuangalia

  • @mrdocta3106
    @mrdocta3106 ปีที่แล้ว

    Esco noma sana

  • @pamelaclaud4520
    @pamelaclaud4520 ปีที่แล้ว +5

    Nawapenda sana sns

  • @everrineanyango7410
    @everrineanyango7410 ปีที่แล้ว +5

    Let them finish what they started together whether clout chasing or not haituhusu

  • @shinevira
    @shinevira ปีที่แล้ว +9

    This is so sad even to summarize or think about what will happen next
    Poor Z😳

  • @namusaok1479
    @namusaok1479 ปีที่แล้ว +5

    These two will keep confusing us until we start minding our business then they will start having babies.

    • @nai7876
      @nai7876 ปีที่แล้ว

      Until we start minding our own business 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 this got me

  • @DM_15
    @DM_15 ปีที่แล้ว

    Jamaa huwa hatching ana achwaga kwasababu kama kuu mhili hivi ile kukua karibu sana na mama mkwe wanawake wengi hawapendi. Mbili jamaa siku nyingine nitaongea

  • @ghadaalzuhari2739
    @ghadaalzuhari2739 ปีที่แล้ว +3

    Zuchu hakustahili kuwa kimapenzi na boss wake lazima kasi yamziki ipunguwe japo atumuombei ilo

  • @winnieamanya665
    @winnieamanya665 ปีที่แล้ว +1

    This is just KIKI...
    kuzima wimbo wa Alikiba (MAHABA).
    Kiba aliwahi semaga Diamond ni mchawi..wivu tuu...

  • @lilianambokile6832
    @lilianambokile6832 ปีที่แล้ว +3

    Amefeli sn ila kwa sababu ya mapenzi hayo hayaoni na hayajui ila yakimkuta ndio atakumbuk ushau huu saiv anauwona km upuuzi

  • @everrineanyango7410
    @everrineanyango7410 ปีที่แล้ว +3

    Love you guys be blessed always

  • @yhasintakalenyula970
    @yhasintakalenyula970 ปีที่แล้ว +1

    Diamond kwasasa anachoamini,wanawake wanampenda kwa sababu ya umaarufu wake na hela zake,hivyo anawachukulia wanawake poa sana...Atakuwa na huyu,akitosheka nae,atamchukua mwingine haamini kama wanampenda yeye kama yeye,anachoamini wanaupenda umaarufu wake na hela zake.Hivyo atawavuruga sana.

  • @bigirumanalululouise4540
    @bigirumanalululouise4540 ปีที่แล้ว +1

    Inaumu kwakweli😢😢😂😂😂

  • @salmaalimusa6809
    @salmaalimusa6809 ปีที่แล้ว +1

    kiki bna

  • @souvenirweber7169
    @souvenirweber7169 ปีที่แล้ว +2

    Nimetulia zangu uswiss mtakumbuka maneno yangu.zuchu na Diamond wako pamoja ni kiki tu wawashtukizie ndoa

  • @Daniel-kg9rp
    @Daniel-kg9rp ปีที่แล้ว +2

    Kile ambacho hamukijui diamond na zuchu hawakuwa wampenz kilicho fanya wakaigiza mampenz ni sisi mashabiki tunaendeshwa kulingan na stiweshion tumewaekea wenyew

  • @zuweinaally2413
    @zuweinaally2413 ปีที่แล้ว

    Jamani Jamani hiyo ni kiki tu hayo waliokua wakiyafanya ni Drama tu .na ni mwisho wa mchezo wa Snema kila kitu KINA Mwisho !!! Wale ni Wasanii

  • @rose_Winchester86
    @rose_Winchester86 ปีที่แล้ว

    Mmeongea point

  • @sadikilumumba1370
    @sadikilumumba1370 ปีที่แล้ว +1

    Kwani wa likuwa wapenzi? Tanzania 🇹🇿 yangu wongo mwingi sana kweli jameni tusomeni.ahiiiii.

  • @ismailykazumal
    @ismailykazumal ปีที่แล้ว +2

    Mi naona kama kiki mbona siamini

  • @belzylucas7275
    @belzylucas7275 ปีที่แล้ว +1

    Yani zuchu bado mudogo na kipaji asingeingia kwenye relationships na boss wake me na ona wasanii wa don jazz wanafanya hit kali lakini zuchu I hope atakuwa sawa

  • @marieimanishimwe4874
    @marieimanishimwe4874 ปีที่แล้ว +1

    You can't mix work and love.she made a very big mistake to fell in love with her boss.If this is a prank , in my opinion this love is no ganna last.

  • @asyakhatib7942
    @asyakhatib7942 ปีที่แล้ว

    Hapa ninachokiona daimond analinda Hela zake tu ndo msanii anaengiza Hela wamegombana yes ila watapatana now mpaka awe kama lavalava atamuacha tu

  • @rayanndizeyes3161
    @rayanndizeyes3161 ปีที่แล้ว

    tutasubiri sana ,uyo ni koffi olomide kwa sidy Diamond analida maliyake isipoteye .tusubiri

  • @madawamchuwa8253
    @madawamchuwa8253 ปีที่แล้ว

    Watajua wenyewe

  • @khadijachacha3156
    @khadijachacha3156 ปีที่แล้ว +1

    Sio kweli eti kamuacha iyo ni kiki tu

  • @neitherherenorthere8367
    @neitherherenorthere8367 ปีที่แล้ว +1

    I know the elephant in the room!! Zarina Hassan has never moved-on! NEVER WILL! and I somehow I don't blame her. Diamond disappointed her. Zari will never let anyone replace her. She can't stand seeing Diamond with another biach. That's it. Periodt!!

    • @sitichivumba282
      @sitichivumba282 ปีที่แล้ว

      Stupid.what does zari has to do with Diamond kissing another woman in UK? Everything zari zari zari. Pambaneni na Domo wenu

    • @kantai737
      @kantai737 ปีที่แล้ว

      None of diamond exes has ever moved on maybe wema , even tanasha throws sly shade it’s only that hana nyota so ppl don’t get her jabs.

  • @isaacelijah6516
    @isaacelijah6516 ปีที่แล้ว +1

    Diamond platnumz knows how 2 play with u guys. He knows that u guys cant make money without mention him 😂😂😂. He is doing fevour 4 u guys and u guys get benefit 4 that 😂😂😂👍

  • @franciskajessy4468
    @franciskajessy4468 ปีที่แล้ว

    Arafu Zuchu ana short temper siyo mvumilivu alidekezwa sana na mamake ndo kuna shida hapo,labda ni kiki

  • @souvenirweber7169
    @souvenirweber7169 ปีที่แล้ว

    Nyie sumbueni akili zenu hao wanataka kufunga ndoa maana watu wengi wanataka ndoa na kutegemea ndoa hii ni kiki yakushtua watanzania wajue uhusiano umekwisha.

  • @ruu6592
    @ruu6592 ปีที่แล้ว

    Mama dangote alipo sema ye hajui kuhusu harusi nlijua kuna jambo

  • @blessingstown7063
    @blessingstown7063 ปีที่แล้ว

    Wanataka kutrend hao hakuna kitu

  • @constancekarisa1605
    @constancekarisa1605 ปีที่แล้ว +1

    Kwenye hii dunia haijawahi kutokea mtu kudate na boss wake na ikafanikiwa lazima tu inamuumiza kwa njia nyengine

    • @yasminoluoch169
      @yasminoluoch169 ปีที่แล้ว +1

      May b africa celindion aliolwewa na boss wake na kifo ndo kiliwatengesha

  • @eliakejijoseph1422
    @eliakejijoseph1422 ปีที่แล้ว +2

    People spoke about it to zuchu 😢😢 diamond’s using her 😂😂😂😂 but she wouldn’t believe now it’s had ended in tears 😮😮

  • @michelinemapendo6652
    @michelinemapendo6652 ปีที่แล้ว

    Maliyako imeliwaaaaa😂😂😂😂

  • @salmaathuman9156
    @salmaathuman9156 ปีที่แล้ว +1

    Kwani zuchu alkuwa haoni wanawake aliyokuwa nao alivyokuwa anawasaliti zari na utuzima wake alienda kulilia BBC 🤣😂sambuse yeye viziwa kama vidaka vya nazi

  • @hajisalimmhina3983
    @hajisalimmhina3983 ปีที่แล้ว +1

    Hivi sky ushakuwa mtu mzima jadili mambo yatakayo Sadie jamii

  • @mwanajumamwinyi2665
    @mwanajumamwinyi2665 ปีที่แล้ว +1

    Alitumwa kwani akandikiwe tarabu na mamake aje achambe family yote

  • @azamazam3279
    @azamazam3279 ปีที่แล้ว +1

    Kiki

  • @niyakhalid5650
    @niyakhalid5650 ปีที่แล้ว

    Hi ni kiki tu

  • @razackmnowite6233
    @razackmnowite6233 ปีที่แล้ว

    Sikutegemea kama waandishi wazuri kama nyinyi mizungumzie ujinga kama uwo mnatakiwa kuelewa kuwa Ali kaachiangoma ambayo inafanya vzr kwasasa kama ilivyo roho mbaya ya mond analeta huu ujinga Ili kuipoteza nyimbo ya Alikiba sky angalia Vitu vyakuongolea au umelipwa uongee upuuz wao

  • @chany9950
    @chany9950 ปีที่แล้ว

    🤷🏾‍♀️

  • @asyakhatib7942
    @asyakhatib7942 ปีที่แล้ว

    Chakumshaur zuchu azae tu awe mdomon hatoki akitaka kuachia nyimbo mtoto contect 😝

  • @hajjiomary2383
    @hajjiomary2383 ปีที่แล้ว

    To soon kulizungumzia ilo kwa mimi angewaowa wote km yuko tayri kuoa .zuchu mapenzi na kazi ujinga wa kibongo lkn anaweza kushinda bila mond the rest naona wana chezea media

  • @hustonbonanza1692
    @hustonbonanza1692 ปีที่แล้ว

    wanataka kuzima upepo wa alikiba baba ndio wacafu hawo tunajua kuceza na mitandao

  • @zaituniabdulrahmani2505
    @zaituniabdulrahmani2505 ปีที่แล้ว

    Ivi mnatuonaje wa Donge

  • @nanajamal8866
    @nanajamal8866 ปีที่แล้ว

    Ni kiki jmn

  • @mvfff7224
    @mvfff7224 ปีที่แล้ว +1

    Ihi kiki kumzima 👑 MAHABA,,,duuu hatar,, ushindan wa kijinga,,mwenzio katoa nyimbo muache itambe,,ameanza filigis zake,,😀😀😀

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything ปีที่แล้ว

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌️👍

  • @sakinaamani1486
    @sakinaamani1486 ปีที่แล้ว

    Mwana kuli find mwana kuliget c aliambiwa na ustadh na musoma

  • @janetahmed6948
    @janetahmed6948 ปีที่แล้ว

    mi nazani ni kiki tu

  • @mubarakhassan2618
    @mubarakhassan2618 ปีที่แล้ว

    Yan boro waachan bhana alikuwa anatoa nyimbo zakudeka sana

  • @masonmountfootballandlifes1636
    @masonmountfootballandlifes1636 ปีที่แล้ว +3

    Diamond hamuachi zuchu!!!!

    • @svt3
      @svt3 ปีที่แล้ว +2

      Alimuacha Wema, Zarhi, Hawa, Tanasha, Hamisa,........ zuchu ni nani?

    • @ashuu7772
      @ashuu7772 ปีที่แล้ว

      ​@@svt3zuchu ni pesa

    • @svt3
      @svt3 ปีที่แล้ว

      @@ashuu7772 mtaani kuna wa dada wengi wanajuwa kuimba na wanaweza leta pesa nyingi saana wakisimamiwa na kuwekewa uwekezaji, promotion....

    • @beyondintrusion1663
      @beyondintrusion1663 ปีที่แล้ว

      @@svt3 mungu ndie anaepanga tumia akili

    • @svt3
      @svt3 ปีที่แล้ว

      @@beyondintrusion1663 yaani wewe Pumbavu saana ujinga kama hizo unamhusisha Mungu😏😏?

  • @atwabimsoma8493
    @atwabimsoma8493 ปีที่แล้ว

    Sisi atutaji kujua tupo bize Na HUBA

  • @picshdtk
    @picshdtk ปีที่แล้ว

    Simba go back to zuchu please

  • @مونيكمونيك-ع1غ
    @مونيكمونيك-ع1غ ปีที่แล้ว

    Kiki hizo

  • @zeinababdi4757
    @zeinababdi4757 ปีที่แล้ว

    I dont think Zuchu and Diamond had any romantic relationship.

  • @othmanmusilm
    @othmanmusilm ปีที่แล้ว

    Naona sasa hakuna haja ya WCB kutumia kiki ili ku push kazi zao waje na mfumo mwengine harafu mbona bila kiki nyimbo zao zinaenda tuu mjini? Hivi vitu waafanye wasanii chipukizi harafu siku zote tunasema usianzishe mahusihano na boss wako au mfanyakazi mwenzako mkiwa wote kwenye ofisi moja.

  • @mwanaishiaomar5695
    @mwanaishiaomar5695 ปีที่แล้ว

    😂😂😂😂🙌🙌

  • @saidadam2165
    @saidadam2165 ปีที่แล้ว

    DONGE YA PANGA MAUA KASKAZINI UNGUJA

  • @donnatela8483
    @donnatela8483 ปีที่แล้ว +1

    Story ya Diamond hata haina ladha tena. Ni marudio tu. Leo mwanamke huyu, kesho yule. Weka status mumeachana au rusha donge, futa picha kwenye IG, lick another video your are kissing someone else, hivyo hivyo tu. Too boring. Kiki bin kiki 😺

  • @coastkheed
    @coastkheed ปีที่แล้ว +1

    exactly tuseme zuchu kafa kimziki

  • @foodbasiccourt2028
    @foodbasiccourt2028 ปีที่แล้ว

    Mimi nilikomment kwenye hii post nilisema zuchu kamvuliaa chupi diamond wakati anajua kabisa anamlolongo wa ma ex.nilisema.zuchu kama anataka amuwin diamond apambanie amuoe kama.kuzaa diamond kashazaa wewe unampaje kiwepesiwepesi hivi.sasa mkumbuke nilimwambia zuchu fanya.mziki mapenzi nje ya hapo

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 ปีที่แล้ว +1

      Well said! Hata Mimi nilisemaga wapenzi wao wakasema mbona Jay Z na Beyonce wako pamoja! Ndo hivyo cha-cha 😂😂

    • @foodbasiccourt2028
      @foodbasiccourt2028 ปีที่แล้ว +1

      @@MsAggie5 umeona diamond katoa public announcement kuwa yeye na zuchu hawana mahusiano ya mapenzi.watabaki kuwa dada na kaka

  • @abdulqadirjuma7495
    @abdulqadirjuma7495 ปีที่แล้ว

    Sky hebu msiwe wapumbavu.leteni au ongeleeni kitu ambacho kipo.Hayo mambo yenu ya (I think) hebu pelekeni majumbani kwenu bwana.wanaume wazima mnakaa kutuambia mambo ya I think? Toweni taarifa rasmi au zenye uhakika bwana.mbona mnaharibu kabisa chanel zenu kwa vitu vya kipuuzi?

  • @pamelaclaud4520
    @pamelaclaud4520 ปีที่แล้ว +1

    Tatizo la zuchu ni moja kwa.uzuri gani alio.nao zuchu mpaka diamond amnganganie..keey.alijikuta sana yako wap bas apo aliisi.wanawake wa simba wote wajinga kumbe yeye ndo kafanywa kuwa bwege.mmoja hivi alia ndo mwanamke wa simba tu

    • @ismailykazumal
      @ismailykazumal ปีที่แล้ว

      Mapenzi siyo uzuri mapenzi ni hisia