Wanaume wa herufi "F" hii ndio siri ya maisha yao.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 25

  • @ThabitKhamis-pm4wi
    @ThabitKhamis-pm4wi 3 หลายเดือนก่อน +2

    Nakukubari sana tena sana yani nakufatilia vizuri sikupingi hata kidogo

  • @ThabitKhamis-pm4wi
    @ThabitKhamis-pm4wi 3 หลายเดือนก่อน +2

    Wewe mwamba ni noma sana

  • @shazirynambombe7735
    @shazirynambombe7735 ปีที่แล้ว +2

    Duh Nina watoto mapacha nimewapa majina yanaanza na F itabidi niwe muangalifu Sana, nashukuru

  • @Fatuma-w4h
    @Fatuma-w4h 3 หลายเดือนก่อน +2

    Hata docta sure anakushinda anataja uzuri na unaya ww unataja ubaya tupu unawavunja watu moyo wanalaan adi wazazi wao kwa ajili yako hakuna kibaya kisicho na uzuri hivyo ndivyo Mwenyezi Mungu aliumba hata mtume alimwita mwanae jina lililo anzia na f kunamafanikio katika jina hilo na wapo watu wanaishi vzr Allah pekee ndo anajua hatma ya mwanadam kaka

    • @hamisamulokozi4627
      @hamisamulokozi4627 3 หลายเดือนก่อน

      Mwenye amfatilia naona anaongea nguvu hasi tuu haongelei nguvu chaña sijui vibration yake iko hasi tuu.. labda atabadilika kwenye nguvu za ulimwengu tunambiwa tujitamkie mazur tuu positive tuu

  • @GOMAGOMA-o2e
    @GOMAGOMA-o2e 3 หลายเดือนก่อน +3

    Halafu huwa ni wachoyo balaa yani 😢

  • @AbdulShegoshwe-bm9ui
    @AbdulShegoshwe-bm9ui 5 หลายเดือนก่อน +1

    Kaka kwel nakubali haujakulupuka

  • @myhome4444
    @myhome4444 2 หลายเดือนก่อน

    Wapotoshaji hao me jina langu ni f na watoto wangu wote ni f na tuko vizuri acha kupotosha watu wewe

  • @FaustinNade
    @FaustinNade 2 หลายเดือนก่อน

    Sidhani kama kuna ukweli wowote maana hata watoto nimewapa majina yanaanza na herufi F

  • @FadhiliSaid-mr8gq
    @FadhiliSaid-mr8gq 2 หลายเดือนก่อน

    Uyu jamaa muwongo kwaiyo unanataka kutuamia akuna tajili ambee ameaza na f

  • @ogotsilvester
    @ogotsilvester ปีที่แล้ว +1

    Ally kk tunakuamini kwa research.wewe ni mfalme.kwa research. tafadhali tueleze vile watu wanakufa.kutokana na maajina yao ya mwanzo. Kampala

    • @allykk1459
      @allykk1459  ปีที่แล้ว

      Sawa tunalifanyia kazi .

  • @NeemaMichael-cr8qg
    @NeemaMichael-cr8qg 2 หลายเดือนก่อน

    Kwaiyo tusiolewe nao?

  • @donaxl6980
    @donaxl6980 ปีที่แล้ว

    Nawezaje kumsaidia sasa kama tayari uchumi wake umesha anguka tena ghafla na kwakishindo😢

  • @DogoTShebby
    @DogoTShebby 3 หลายเดือนก่อน +1

    Sijakuelewaaaa hata kdg

  • @FaustinNade
    @FaustinNade 2 หลายเดือนก่อน

    Huo ni upotoshaji una ushahidi gani

  • @FatumaWilliam
    @FatumaWilliam 7 หลายเดือนก่อน +1

    Jaman kwan hayakuonekana majina yote mpaka nikapewa fatuma mm

  • @LinetAwuor-z8c
    @LinetAwuor-z8c 2 หลายเดือนก่อน

    Aiik wewe acha uongo, , watu wengi nawajua Wana Hilo jina limeanza na f na tabia zao n tofauti kabisa na Hilo la kwako,, muongo acha kupotosha watu,

    • @OctavianPastory
      @OctavianPastory 2 หลายเดือนก่อน

      Amin wewe unacho amini wewe

  • @LinetAwuor-z8c
    @LinetAwuor-z8c 2 หลายเดือนก่อน

    Acha kupotosha watu

  • @wardaally7233
    @wardaally7233 ปีที่แล้ว

    👏👏👏👏🤔💯🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿👏

  • @FadhilKhamis-dl3xj
    @FadhilKhamis-dl3xj 3 หลายเดือนก่อน

    Mm nilifanywa hivyo nilipokuwa mtoto bro

  • @FatumaWilliam
    @FatumaWilliam 7 หลายเดือนก่อน

    Sasa mimi mume f na mm f du si moto kwa moto apo au ndio hiyo dawa ya moto ni moto tutakaaa au