R F K V & A E I O U MAJINA YENYE MAFANIKIO MAKUBWA KWENYE USHIRIKA NDOA NA BIASHARA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 23 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 149

  • @RoseSiobe
    @RoseSiobe หลายเดือนก่อน

    Mimi ni R kweli nimepitia mengi mbaka mwisho nimepata mweza wa herufi E kwel nimepata tulizo la moyo kwel kapisa❤❤ barikiwa sana mwalimu🎉

  • @FahmyAbdallah-k1d
    @FahmyAbdallah-k1d 2 หลายเดือนก่อน

    Mm yng F mpenz wangu R asante shekh

  • @florajohn2196
    @florajohn2196 3 ปีที่แล้ว +3

    Amen shehe dat's really f na a na tuna amani sana kwenye mahusiano yetu🙏🙏😘

  • @richmanminja5000
    @richmanminja5000 2 ปีที่แล้ว +4

    Hakuna Cha maajabu ni uongo mtupuu mm naanzia r lkn sinawai pitia Ugonjwa wowote sijawahi kuanza jambo nzur af nikafeli kizembee , pia mtu yoyote anaweza akafeli kwenye kitu chochote wakat wowote acheni kuletea majina ya watu mikosi 😏

  • @fatumarashid5126
    @fatumarashid5126 3 ปีที่แล้ว +5

    Mashaallah kikweli masomo mazri mno staki hata yanipite, ukizingatia mzazi mwenzangu ni elfu O na nina watoto nae wawili.

  • @usalamaedward1189
    @usalamaedward1189 3 ปีที่แล้ว +2

    Asante sana shekh kwa elimu unayoitoa watu tunapata faraja na pia kuelelimika kupitia wewe InshAllah Mungu akupe umri mrefu ili uzidi kuelemisha kizazi na vizazi vijavyo

  • @andrewshirima6927
    @andrewshirima6927 3 ปีที่แล้ว

    Kaka nashukuru nimeelewa vizuri sana

  • @fatumakibunta9199
    @fatumakibunta9199 ปีที่แล้ว

    Mashallah l feel happy herufi yangu ni f

  • @user-ju9mi1ft4v
    @user-ju9mi1ft4v 2 ปีที่แล้ว

    Mashaaa Allah shukran sana

  • @rahmaramadhan2056
    @rahmaramadhan2056 3 ปีที่แล้ว +1

    Duh!imengusa sana

  • @rahmamsagati3437
    @rahmamsagati3437 3 ปีที่แล้ว

    Asante Sana shehe musa mm rehema mpz wangu issa tukufunga ndoa tutaishi kwa furaha

  • @hadijasadiki8604
    @hadijasadiki8604 3 ปีที่แล้ว

    Mm herifi f mume wangu herifi s Natakiwakufanya biashara gan

  • @khasuab2067
    @khasuab2067 3 ปีที่แล้ว +1

    Umenikosha MaashaAllah

  • @reubenremejio1649
    @reubenremejio1649 3 ปีที่แล้ว

    masha allah kaka asante sana

  • @username-ey8qu
    @username-ey8qu 3 ปีที่แล้ว

    shukrani sanaa shekh. tupe ufafanuzi zaidi kuhusu herufi zengine.

  • @ramadhanimohamed9703
    @ramadhanimohamed9703 3 ปีที่แล้ว

    Nakubali sana

  • @ramlamohammed1661
    @ramlamohammed1661 3 ปีที่แล้ว +4

    Ma Sha Allah kweli R na O

    • @frankmwanuzi4836
      @frankmwanuzi4836 3 ปีที่แล้ว +2

      Mimi naitwa frank mwenzangu Asia lakini nimateso kilakukicha kazi sipati mwenzangu kiburi kuludi usiku wamanane unyumba sipewi mdomo je nyota aziendi

    • @ramlamohammed1661
      @ramlamohammed1661 3 ปีที่แล้ว +1

      @@frankmwanuzi4836 Punda n mashuke ni tafauti kbisa punda vibuli mno moto n udongo tafauti kbisa .

    • @peterwapesa7947
      @peterwapesa7947 3 ปีที่แล้ว +1

      @@frankmwanuzi4836 hahaaha chunguza vizuri huyo dada aitwi Asia atakua na jina lingine 😁😁😁😁

    • @karimamohamed7304
      @karimamohamed7304 2 ปีที่แล้ว

      Barakallh

    • @millicentanyango526
      @millicentanyango526 ปีที่แล้ว

      @@peterwapesa7947 yes

  • @ybmtaakwamtaaofficial3415
    @ybmtaakwamtaaofficial3415 2 ปีที่แล้ว

    Mashaalah

  • @faudhiahussen7320
    @faudhiahussen7320 3 ปีที่แล้ว +1

    Inshalla Amin 🙏

  • @ezekieladam7007
    @ezekieladam7007 3 ปีที่แล้ว +1

    Ongezeni sauti iwe vzr zaidi ila Kazi yenu ni nzuri tunafurahi kufuatilia kipindi chenu

  • @aminafataki4263
    @aminafataki4263 3 ปีที่แล้ว

    Mimi naitwa Amina mpenz wangu anaitwa iblahim he anafaa kuwa mume

  • @aishaibrahim4477
    @aishaibrahim4477 3 ปีที่แล้ว +1

    Ya kweli

  • @karimomari4632
    @karimomari4632 8 หลายเดือนก่อน

    Hivi k NA k wanaweza kuingia KWENE mausiano bila matatzo

  • @Wasafitv.4.33M
    @Wasafitv.4.33M 2 ปีที่แล้ว

    Amen 🙏🙏

  • @ummyshaban5103
    @ummyshaban5103 3 ปีที่แล้ว +3

    Swali naomba kupewa siri za majina hayo yenye herufi rfk kama ulivyosema kuwa zinasiri kubwa tafadhari nifafanulie

  • @graciousjoseph9080
    @graciousjoseph9080 3 ปีที่แล้ว

    Jmn elimu nzuri San tunaomb herufi T

  • @azizahassan1729
    @azizahassan1729 3 ปีที่แล้ว +1

    Mimi naomba kujua herufi A na A zinaendana kwenye mahusihano

  • @lifeinmiddleeast8179
    @lifeinmiddleeast8179 ปีที่แล้ว

    😢😢mimi ni h mume s yaani tunagombana sana hata niko omani nikimshauri maendeleo wee ogomvi wake siyo wa kitoto et namchimba

    • @roquaal5682
      @roquaal5682 10 หลายเดือนก่อน

      😂😂kwahiy hapo hamuendan ama ni vipi

  • @rajaburashidi8399
    @rajaburashidi8399 2 ปีที่แล้ว

    Kweli

  • @annajoseph9955
    @annajoseph9955 3 ปีที่แล้ว +1

    Mim A mme wangu E tunaishi kwa furaha Sana

  • @festokachukuzi2213
    @festokachukuzi2213 3 ปีที่แล้ว

    Asante sana

  • @japhetnzikwikiza6861
    @japhetnzikwikiza6861 3 ปีที่แล้ว

    Nimeguswa na fundisho hili kwakua Jina langu huanza na h erufi J na mke wangu linaanza na herufi V .naomba ufafanuzi zaidi .

  • @ceyengineeringcontractors9364
    @ceyengineeringcontractors9364 ปีที่แล้ว

    R na f waki shirikianaje

  • @mwaminindayishimiye4434
    @mwaminindayishimiye4434 3 ปีที่แล้ว

    Please kaka nambiye juu nateseka mpaka najuta🤣🤣🤣😃😃😃

  • @manasadunia3458
    @manasadunia3458 3 ปีที่แล้ว

    Masha allah

  • @ابرهيم-ج7ن
    @ابرهيم-ج7ن 2 ปีที่แล้ว

    As-alam a'leykum Mie Jina langu ibrahim bimana I . Je inafaa kufanya Kazi gani mke mwenye elefu ipi ?🙏

  • @DodfayedHamid
    @DodfayedHamid 11 หลายเดือนก่อน

    😢😢😢

  • @osiaaswile1393
    @osiaaswile1393 2 ปีที่แล้ว

    Hiyo helufi v je,,,inaendana na o

  • @rehema2639
    @rehema2639 2 ปีที่แล้ว

    Nikweli,unayoyasema,mana,wangu,naanzanajina,S,sasahatuelewan

  • @Official_emma6
    @Official_emma6 3 ปีที่แล้ว

    Asante mm ninampenz wangu erufi yake Ina anzia R 🤭

  • @christophermrema5277
    @christophermrema5277 3 ปีที่แล้ว

    Salaam allekum.herufi c& na h.zinaendana? Na c & L zinaendana?

  • @khadijasheedad5256
    @khadijasheedad5256 ปีที่แล้ว

    Aa doctor mi ilkua nimejifungua mtto wakiume nahitaji kumuita jiana bt babake aitwa abdallah mamake aitwa khadija je mtto ntamuita jina gani iwe ziendane na nyota na zetu

  • @fatmaabdallah7709
    @fatmaabdallah7709 3 ปีที่แล้ว +1

    Sio kweli mimi F na mwenza wangu ni A ni purukushani kwenda mbele hatuishi kugombana na hivi tuko mbali mbali

  • @balukujohn976
    @balukujohn976 3 ปีที่แล้ว

    Jambomualimu mimiBnatakakuoaK,Nisaidikutuunganisha

  • @MohammedAli-rh5si
    @MohammedAli-rh5si 3 ปีที่แล้ว

    Shukraan from Iraq

  • @rosesimoni4166
    @rosesimoni4166 3 ปีที่แล้ว +1

    Haya ni ya kweli kabisa shehe

  • @fumbwengassamsago2313
    @fumbwengassamsago2313 3 ปีที่แล้ว

    Sheikh naomba namba yako ya simu tafadhali nina maswali juu ya jina lng

  • @pendorose8056
    @pendorose8056 3 ปีที่แล้ว

    Sheikh unafundisha vzr na umenifumbua vitu vingi mm ni u naomba uielezee

  • @aliamar4422
    @aliamar4422 3 ปีที่แล้ว +1

    Shukraan

  • @faubene9608
    @faubene9608 3 ปีที่แล้ว

    km mt anaheluf r akaoana na mt mwenye herf j inawezekan

  • @venerandamasunga6789
    @venerandamasunga6789 3 ปีที่แล้ว

    mm naomba kujua kwenye ndoa na mafaniko mchumba wangu ana R namm ni N

  • @fatiaali1959
    @fatiaali1959 3 ปีที่แล้ว

    Je herufi f na s zinaendana kwwli

  • @faridashaban4528
    @faridashaban4528 3 ปีที่แล้ว

    Asalam allaykum Mimi jina langu f na mume wangu ni r imekuwa mtihani naomba ushauri wako nifanyaje

    • @MAAJABU18TV
      @MAAJABU18TV  3 ปีที่แล้ว

      Nyie mpowapi ? Ingekua vema kufika ofisini ila kwa haraka mnaweza kufanya mmoja akabadili jina na kulithibitisha kwa Mungu yani kufanya hakika ikiwa ni muislam

  • @fumbwengassamsago2313
    @fumbwengassamsago2313 3 ปีที่แล้ว

    Mm jina nililopewa na wazazi linaanzia na R mambo yng sio mazuri kabisa kabisa

  • @faizaalnaamani9146
    @faizaalnaamani9146 3 ปีที่แล้ว

    Kweli kabisa mashallah

  • @imanhussein6945
    @imanhussein6945 3 ปีที่แล้ว +1

    Na iman Vipi

  • @Rose-gv8fq
    @Rose-gv8fq 2 ปีที่แล้ว

    R tuko

  • @asharamadhan9586
    @asharamadhan9586 3 ปีที่แล้ว

    Sheikh assalam aleyka vipi kwa majina yanayoendana mfano A&A

  • @vailethpartson2437
    @vailethpartson2437 3 ปีที่แล้ว

    Naisubir herufi v

  • @pendomalumbu3972
    @pendomalumbu3972 3 ปีที่แล้ว

    je herufi P anaendana nanani?

  • @suziesuzy2536
    @suziesuzy2536 3 ปีที่แล้ว

    Je herufi S na J zinaweza kuishi pamoja au zinaendana kua pamoja

  • @dyanatanz6574
    @dyanatanz6574 3 ปีที่แล้ว

    Karib baba

  • @omancity5435
    @omancity5435 2 ปีที่แล้ว

    samahani mwalimu hivi herufi F na h inamaana haziwezikuendana kabisa kwenyendoa au kwenye mahusiano nakama imetokea wakowote kimahusiaano je wafanye Nini ilikuinusuru ndoa Yao?

  • @mosesfakii7422
    @mosesfakii7422 3 ปีที่แล้ว

    Vip jina la fakii na sharifa

  • @rahamrahma6259
    @rahamrahma6259 3 ปีที่แล้ว

    Asante

    • @onleymgala6090
      @onleymgala6090 3 ปีที่แล้ว

      Hapo umeacha herufi .v.inaendana na ipi

    • @zakiafaisal6347
      @zakiafaisal6347 3 ปีที่แล้ว

      Naomba kuliza mi nihefi z na Mme Wangu ni heluf o naitaji kujua

  • @gshbnz4368
    @gshbnz4368 3 ปีที่แล้ว

    Shukuran

  • @irenewilfred7767
    @irenewilfred7767 3 ปีที่แล้ว

    Mm na swali

  • @safiakarumejuma7349
    @safiakarumejuma7349 3 ปีที่แล้ว

    Tunaomba namba zako za sm kwa sisi tulio nje ya dar ili tuweze kusaidia

  • @alumashabani2344
    @alumashabani2344 3 ปีที่แล้ว

    Mimi Jina langu linaanza na herufi M.

  • @noonelike6382
    @noonelike6382 3 ปีที่แล้ว

    Naitwa frank, vipi herufi B ananifaa!?.

  • @veronicanyangaka4639
    @veronicanyangaka4639 3 ปีที่แล้ว

    V plz mbn unairuka

  • @fatmaally5780
    @fatmaally5780 3 ปีที่แล้ว

    Mimi jina langu laazwa na herufi f na mume wangu anzwa na herufi s hatuna amani kutwa kugombana nifanyaje ili tuishi kwa amani

  • @khadijarajab8383
    @khadijarajab8383 3 ปีที่แล้ว

    Wala hujakosea mimi nilikuwa nae wa herufi A na A yaani adi nawakimbuka sasa nilifurahi maisha sana nilivyokuwa nao kipindi hicho 😔

  • @remmyrehema6755
    @remmyrehema6755 3 ปีที่แล้ว

    Rrrrr

  • @salimahlokoh9699
    @salimahlokoh9699 3 ปีที่แล้ว

    Mimi mpenzi wangu ako d mimi s lakini hatujaoana

  • @fayza576
    @fayza576 3 ปีที่แล้ว

    Mimi f na mume wangu k

  • @charlesibrahim4696
    @charlesibrahim4696 2 ปีที่แล้ว

    Kweli mi naanza na f Nina changamoto kwenye ndoa .mume wangu Ana Anza na herufi c yaani kweli ndoa yangu ni ngumu. Ila mafanikio ya kiuchumi ni Safi.

  • @mwaminindayishimiye4434
    @mwaminindayishimiye4434 3 ปีที่แล้ว

    Nambiyeni M&N zinaenda ao hapana🤣🤣🤣🤣😃😃😃😃

  • @ramadhanimohamed880
    @ramadhanimohamed880 3 ปีที่แล้ว

    R na j znaendanA

    • @MAAJABU18TV
      @MAAJABU18TV  3 ปีที่แล้ว +1

      Zinatengeneza wasi wasi

  • @pendoseleman9069
    @pendoseleman9069 3 ปีที่แล้ว

    Mimi naomba unisaidie nifanye nini Mimi jina langu linaanzia na elf P na mchumba wangu jina lake limeanziwa na E

    • @peterwapesa7947
      @peterwapesa7947 3 ปีที่แล้ว

      Dada pendo mchumba wako abadili jina kuwa herufi J itakua poa sana kuliko hio E

    • @peterwapesa7947
      @peterwapesa7947 3 ปีที่แล้ว

      Nilimsikiliza shekh kiss fm akizungumzia

  • @aishaibrahim4477
    @aishaibrahim4477 3 ปีที่แล้ว +1

    Nimeona mahali wamesema haziendan kabisa R&A

    • @peterwapesa7947
      @peterwapesa7947 3 ปีที่แล้ว +1

      Acha presha uliona wapi?? A ni kundi la moto DUME R ni kundi upepo JIKE sasa kwann visiendane?? Soma vizuri

  • @florensdomisian2777
    @florensdomisian2777 3 ปีที่แล้ว

    Duu

  • @fayeezomary6563
    @fayeezomary6563 3 ปีที่แล้ว

    F oyeeeee

  • @rahimasultan5892
    @rahimasultan5892 2 ปีที่แล้ว

    Seriously?

  • @imanhussein6945
    @imanhussein6945 3 ปีที่แล้ว

    Kaka musa

  • @frankmwanuzi4836
    @frankmwanuzi4836 3 ปีที่แล้ว

    Mimi naitwa frank nimeoa mwanamke jina Asia tuna takrbani myaka kumi kwenye kuishi lakini imekua nimateso mengi mwenzangu kiburi muhuni atatumia era ovyo kazi sipati ugomvi kila kukicha unyumba sipewi Je nyota zetu azifanani tafadhari dokita nipe majibu ilinijue Kama vip nije uko

    • @MAAJABU18TV
      @MAAJABU18TV  3 ปีที่แล้ว

      Pole sana frenk nadhani unaweza kuja maajabu18 tukakusaidia

  • @ramayasly4584
    @ramayasly4584 3 ปีที่แล้ว

    MashaAllah Mimi napenda sana mada zako lakni tatizo ni kwamba shida yako we we hupatikani rahisi kwa what's app. Watu wengine sisi tuko mbali

    • @vanessarobyn4584
      @vanessarobyn4584 3 ปีที่แล้ว

      Kabisaa kweli yaan angekuwa WhatsApp angetusaidia jaman tuko nchi za watu bora umesema

    • @ruuh5149
      @ruuh5149 3 ปีที่แล้ว

      @@vanessarobyn4584 bd ujampat mbn whatsApp yp wng

    • @hussenalisa7211
      @hussenalisa7211 3 ปีที่แล้ว

      Anapatikana naaajibu ila tu elfu kumi kupata maelezo

    • @ramayasly4584
      @ramayasly4584 3 ปีที่แล้ว

      @@hussenalisa7211 wee...hatari

    • @ramayasly4584
      @ramayasly4584 3 ปีที่แล้ว

      @@hussenalisa7211 Allah atunusur

  • @AnnaGeorge-cp5iv
    @AnnaGeorge-cp5iv 6 หลายเดือนก่อน

    Na wewe muongo hao F,R wana changamoto kubwa unaiga usivyovijua. Ulikua wapi miaka yote kuyasema hayo. Huna jipya

  • @ramsikhamis7083
    @ramsikhamis7083 3 ปีที่แล้ว

    😢😢😢Duuuu ngoja mfungo ukiisha nimtafutee maanaa mpenz wangu mmoja anaanzia herufi H na mwaingine V ilaa wenyew wananipenda saanaa

    • @degetuwa2665
      @degetuwa2665 3 ปีที่แล้ว

      Kumbe nawewe unao wawiri kama mimi

    • @violetshayo3239
      @violetshayo3239 2 ปีที่แล้ว

      haya mambo sielewi mwingine anasema V,R,H wanaendana sana kimaisha huku ni a,e,I,o,u yani ni mvurugano sielewi nishike lipi

  • @rehema2639
    @rehema2639 2 ปีที่แล้ว

    Nikweli,wakwanza,ni,mm,sielewani,na,mume,s

  • @joshuakinabo6861
    @joshuakinabo6861 3 ปีที่แล้ว

    Nimezaliwa tarehe 14/5/1997 naitwa JOSHUA ENOCK KINABO je nyota yangu ni ng'ombe au Kaa au simba

    • @MAAJABU18TV
      @MAAJABU18TV  3 ปีที่แล้ว

      Tazama jina lako upate habari zako

  • @sixytntongambele7194
    @sixytntongambele7194 3 ปีที่แล้ว

    Me sioni herufi zinazo endana na S katika mahusiano

  • @gshbnz4368
    @gshbnz4368 3 ปีที่แล้ว

    Naomba mamba yako shehe

    • @MAAJABU18TV
      @MAAJABU18TV  3 ปีที่แล้ว

      0712335000

    • @valentinacabwine807
      @valentinacabwine807 3 ปีที่แล้ว

      @@MAAJABU18TVmwenye herufi V ,
      Mafanikio yake yako kwenye herufi gani?

    • @MAAJABU18TV
      @MAAJABU18TV  3 ปีที่แล้ว

      @@valentinacabwine807 V ipo kwenye kundi moja na R F V K

    • @valentinacabwine807
      @valentinacabwine807 3 ปีที่แล้ว

      @@MAAJABU18TV nipo kwenye mahusiano na herufi E .hapo inakuwaje?

  • @indalaahhussen3320
    @indalaahhussen3320 3 ปีที่แล้ว +2

    🥰❤❤🙏

  • @MohammedAli-rh5si
    @MohammedAli-rh5si 3 ปีที่แล้ว

    Mbona haufiki heeufi Z ??

  • @vanessarobyn4584
    @vanessarobyn4584 3 ปีที่แล้ว

    Shekh naitaj jinsi ya kuchangia maana umenisaidia sana pia nataka kuongea na ww private niko maan mimi siko tz nko UAE please naomba msaada wako

  • @azizahassan1729
    @azizahassan1729 3 ปีที่แล้ว

    Mimi naomba kujua herefi A na N zinaendana kwenye mahusihano

  • @joshuakinabo6861
    @joshuakinabo6861 3 ปีที่แล้ว

    VP Tutakukuta mwenyew ofisini

  • @ibrahimshaibu6985
    @ibrahimshaibu6985 3 ปีที่แล้ว

    Mm natak kujuw A na I ipoj

  • @andrewshirima6927
    @andrewshirima6927 3 ปีที่แล้ว

    Kaka nashukuru nimeelewa vizuri sana