She is a mum for all of us in East Africa. Marketing of Tanzania wildlife is also a favor for East Africa at large because it will attract tourists for all of us. Hongera Mama Raisi Samia.
Hiyo ndio Kiki ambayo wengine hawakuifanya. Kila Rais na namna yake ya kuongoza. Hongera sana Mh. Umeuonesha ulimwengu azma yako ya kuinua Tanzania kimataifa.
Bila shaka kwa hili Mama umefanya vizuri sana,,, lakini angalizo kwa hao watu wa magharibi nina wasiwasi nao kuja kutunyonya ... Lakin kubwa zaidi Mama angalia nchi yako inavyoenda mrama, nchi inayumba hatujui cha kufanya maisha yamebadilika yamepanda zaidi yaaani tumekuwa kama vile watalii,,, kila bidhaa imepanda bei, fedha hakuna hivi sisi Wananchi wa kipato cha chini hatuwezi kumudu ghalama hizi lakin nyie wenye mamlaka Serikalini hamlioni hili kwa kuwa mnamudu ghalama hizi za bei za vitu... nalia 😭😭😭😭 kwa kweli.
Nakushukuru wewe uliyesema ukweli, hali huku ngumu sana, maisha magumu chakula hatuna, wenye fedha zao wanatucheka, timeshindwa hata kulima kwa sababu ya mbolea kuwa juu. Lakini najua mama Samia Suluhu atatusaidia
Huwa si mwepesi wa kutoa maoni yangu mtandaoni ila kwa dhati kabisa nakupongeza sana kwa hili mama Samia! You are undeniably amazing! Mungu akulinde sana. Asante sana kwa mema unayoifanyia nchi yetu.
It looks like movie but behind that movie there's something else going on. Congratulations endelea kuupiga mwingi.huku maisha yanaangamiza wananchi wako.
Kuwaita watalii kuja kutalii pia ni kipato kizuri na kikubwa. Morroco kipato chao kikubwa ni utalii. Kenya wametuzidii kiutalii kwa sababu ya promotion hadi kuiadha Dunia kama mlima Kilimanjaro ipo kwao Kenya cc tunabaki kufikiria anaupiga kwa wingi. Mafuta ya kula na petrol ⛽️ dunia nzima imepanda ingia mitandaoni haswa Google tafuta ukweli. Rwanda wanalipa 10 million dollar Arsenal kuweka logo visit Rwanda ili watalii waende. Mama oyeee...kazi iendelee.
Tanzania has every kind of wealth.:Minerals,tourism,agricultural produce and many more.Am Kenyan but I feel Tanzania's economy should be bigger than ours.Kenya is largely dry and we don't have minerals.
The reason why our economy is not bigger as Kenya, it is because the country is fully of @ss hol3s. The @ss hol3s who are in power are corrupting our resource. They have luck of ideas and knowledge to grow the economy! The only knowledge the have is stealing and saving for their ass hole kids. We would have reached and maybe overtake Kenya under the Leadership of the late JPM because the Man was serious building the economy. As you can remember, in three years in office, he was able to bring the country into uchumi wa Kati. Massive project was in progress.. the hydropower plat project known as Bwawa la Mwalimu Nyerere which he established was the key to ur future success. JPM our redeemer Had tonnes of ideas and experience to revive our nation. But here we're now.. doomed and hopeless in the hands of @ss hol3s.
Nimependa sana kazi nzuri Miraldayo,Akhsante za pekee kwa mama ( Markia wa nguvu) Rais Samia Suruhu Hassan na Director Peter...mwambie akaribie sana nchi ya amani na utulivu Tanzania
Hongera Sanaa Ndugu Comrade Rais Samia Suluhu Hassan,kwa kuitangaza Taifa Letu vizuri na kusambaza utali ulimwenguni mote kwa kutoa fursa ya The royal Tour.Umetangaza Taifa Letu vyema maksusi kabisa na wewe ni Rais wa Mfano wake na wakuigwa.big up mama...Taifa imara,Chama imara CCM na Rais imara..Kazii Iendele
Africa kazi bado tunayo kwa marais wa namna kama hii, tutakesha. Ila dawa nikuchagua rais aliyepitia maisha ya misoto kama magufuli hapo ndipo nadhani tutapona. Lakini hawa waliolelewa kwenye mayai, hakuna chochote kwasababu wanakuwa hawajui kujenga. Rest in peace my king magufuli
Huoni ata aibu nchi imekushinda unajipendekeza kwenye nchi za wenzio watanzania wanakufa kama wanyama tena Kwa kukatwakatwa na vijana wadogo wengine wanapotea wanaonekana maiti wewe binadamu gani hushituki huna hofu ya mungu mama punguza ukatili

But JMP was enough and the best attractive thing on Tz, the country was well known internationally thought JPM ambitions and without to go anywhere to the western country. JMP was hope for Tanzania 🇹🇿
Sasa ndugu unamlaumu nani? Au unajaribu kuhoji mamlaka ya Mungu? Yes alikuwa fine..Sasa nani kasababisha asiwepo ambaye ndiyo unaonekana kumlaumu? Tujifunze kukubaliana na nature na maamuzi ya Mungu ili maisha yaendelee kwani pamoja na uzuri wake lakini kabla yake tuliishi na tutaendelea kuishi..Mungu anachukizwa na watu wasioridhishwa na maamuzi yake
Hongera kwa ubunifu wake maana umetusaidia watz kuwa na maisha magumu zaidi kila kukicha bei ya vitu vinapanda bei. I wish ubunifu huo ungeleta nafuu kwa watz
😱😱 Harmonize agundua maadui wake baada yakuiona iyi video bonyeza hapachini ujioneye 😱😱😱👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇 th-cam.com/video/T5okytwgSLo/w-d-xo.html&feature=shareth-cam.com/video/T5okytwgSLo/w-d-xo.html&feature=share
Peter Greenberg alilipwa pesa ngapi kufanya hii movie for Tanzania 🇹🇿? Jee rais Samia sidhaani kama alijua Greenberg ni myahuudi kwa hivyo pesa za watanzania zitaiishia Israeli wenye kunyanyasa wa Palestina,karibu kwenye dunia ya matepeli raisi wetu 🙏🏿
Mamkala zote zimewekwa na Mungu . Mungu tunakuomba pamoja na mambo mengi tunayopitia maisha magumu mafuta ya kula yako juu na Barbara yetu ya mwanagati ni mbovu lakini tunakuomba Mungu mamlaka uliyoiweka tujalie tuitii kwa kuwa zote zinatoka kwako na umetuamrisha kuzitii kijalie alichoenda kufanya huko kiwe naanufaa kwetu wa TZ na vizazi vyetu Inshallah
I like it mama kaongea kiingereza kizuri Sana sio wale wenzetu wakifika marekani wanapenda kuigiza kuongea American English,, kazi nzuri mama, ila Millard Ayo safiiiii
Amazing Amazing you are doing great you really changing our Neighboring country for better we love your calm and sober approach on everything you do Madam President
Mama anaupiga mwing lkn cyo ktk nchi yake, hapo hakuna kitu watanzania tutafaid kutokana na safar zake ila zaid zaid sisi watanzania tutabaki kuumia tu
Mama Samia youre my role model. I know it took you the greatest courage to do it. Dont mind the negatives after all there no gains without loses. I can't help admiring you more because you rock my world.
Kwanza ashughulikie katiba mpya na demokrasia, vitu hivyo vikiwepo watalii watakuja tu. Kama mtu anaweza kukamatwa kwenye hotel ya Serena akifanya mkutano halafu polisi wanasema hawajui huyo mtu alipo nani atakuja kwenye nchi kama hiyo?
royal Tour isiwe sababu ya kutusahau watanzania kila kitu kimepanda bei mishahala ile ile why ...??? tunaishije wa Tanzania 🇹🇿 tunateseka ukaribu ni wa kwenye TV na matangazo ila uhalisia wetu ni mahanfaiko sawa kazi nzuri na sisi wa 🇹🇿 tunahitaji furaha tunahitaji hamani na mafanikio
Kuitangaza Tanzania ni jambo jema,lakini matatizo ya Ndani ya nchi,Kama kupanda Bei za bidhaa, zilizosababisha maisha kuwa magumu lazima zishughulikiwe kwanza kwani inagusa maisha ya wengi hasa wenye vipato vya chini
Fuatilia juu ya upandaji Bei duniani afu ushauri Nini muhimu Cha kufanya ukilalamika apa ndo vile sisi watu Baki tunaona comment ako ambyo haina solution
Hakuna kitu hapo..mama unateketeza Kodi tu za wananchi na safari zako za Marekani na Ulaya !!. “To be an enemy of America can be dangerous, but to be a friend is fatal.” by - Henry Kissinger. Former United States Secretary of State. Rest in Peace JPM. Raisi wa kweli ulieiweka Tanzania katika UCHUMI WA KATI ndani ya miaka mitatu ya utawala wako. Umeacha Legacy Kubwa na mifano mingi ya kuigwa. We miss you and we love you.🙏💪
@@ibrahimkassim9513 hiyo hatukatai lkn Mwinyi hakuongelea mapungufu ya Mwl Nyerere, wala Mkapa hakuongelea ya Mwinyi, wala JK hakumuongelea Mkapa wa Magu hakumuongelea JK why yeye amseme JPM hadi kumtukana Yesu ambaye kwetu sisi wakristo nibSIMBA WA YUDA!! Mshukuru Wakristo ni wastaarabu lkn siku wataamua mtashangaa
Mweshimiwa hiyo filamu hamsaidii mtanzania hata mmoja hiyo pesa ya kwenda kurekodi ungeiwekeza kwenye kilimo watu wakapewa pembejeo ingekuwa bola mm naamini familia yako inakula vizur ila wananchi wako wanateseka,ipo siku kilio cha wanyonge kitafika mbele za mungu ndo utajua watu wameanza kuacha kuoga kisa sabuni mafuta ya kula kweli hakika we Ni mzalendo ila siyo mzalendo wa kwel natamani, hiyo filamu ingeungulia studio.wananchi Wana shida na maji,umeme,barabara,madaraja, unaenda kulekodi move (kweli)watu wanakula mlo mmoja Kama mbwa, unarekodi move, duniani tuko kwa mda acha tuteswe ipo siku mungu atatusikia,kheli Kama Jambo hili Ni la mungu litasimama kama Ni la mwanadamu,litaishia njiani,😭😭😭😭
Ww ambacho hujakijua hapa rais alikuwa anatangaza nchi yetu kiutalii..watalii wakija wengi huku kwetu gharama za maisha zitapungua tumuache raisi wetu afanye kazi..mm kwa upande wangu namkubali raisi wangu
Kwenye utalii napo panahitaji uwekezaji na kuna watanzania wanaishi kwa kutegemea utalii sio kilimo tu kinahitaji kusaidiwa,anajitahidi mama yetu kugusa maeneo tofauti ya kiuchumi jamani tumpongeze,we love you Madam President we are proud of you 🙌🙌🙌
Filamu ni nzuri na tutaiweka nchi yetu sehemu nzuri mno kwa kusaidia fedha nyingi za kigeni Hongera mno raisi wetu mama Samia Mungu akujalie na akupe afya njema
@@kellyngogo3319 si ndo bora, maana inakaribia karne wewe umeshindwa kugundua vimefichwa wapi. Mfana wa kibogoyo kulificha fupa ili mwenye meno asilichukue hilo fupa.
baada ya kuizunguka vizuri Tanzania watakuja kuvichota walivyoona ijapokua najua kupitia mitandao yao they can see any thing around the world. msije mkaanza kusema bado nauchunga saana unabii wa 1992 kwa nchi ya Tanzania na Burundi.
Huoni kama ni presentation ya kipekee, yaani bado unaamini kuwa hatuhitaji fedha za kigeni? Kwahio wewe unaamini Tanzania itaendelea kwa mfumo upi. Nieleweshe tafadhali.
She is a mum for all of us in East Africa. Marketing of Tanzania wildlife is also a favor for East Africa at large because it will attract tourists for all of us. Hongera Mama Raisi Samia.
ob
jk
No word TZ you guys just keep impressing us Music, Now with President
JPM WILL ALWAYS IN MY HEART...
Aipiiiingikiiiiii
Uyo muhuni
Samia suluhu Hassan forever in my heart Mama mpambanaji for our country
Au mfate kabisa
@@bonosaugustine6545 hatumkubali baba,hata robo you bora wa magufuli hafikiii.hatulitaki
Hiyo ndio Kiki ambayo wengine hawakuifanya. Kila Rais na namna yake ya kuongoza. Hongera sana Mh. Umeuonesha ulimwengu azma yako ya kuinua Tanzania kimataifa.
mungu akusimamie brother katika kaziyako unatowa taarifa kama ilivyo pia wewe ni mtangazaji mnzuri kabisa nakupata kutoka UK.
Ndugu zako tunashinda sana rais anakula laha th
@@sememakolo9360 wewe hujielewe nahujui kama hujui,sio kosa lako,ni kosa la akili yako kua ndogo
Bila shaka kwa hili Mama umefanya vizuri sana,,, lakini angalizo kwa hao watu wa magharibi nina wasiwasi nao kuja kutunyonya ... Lakin kubwa zaidi Mama angalia nchi yako inavyoenda mrama, nchi inayumba hatujui cha kufanya maisha yamebadilika yamepanda zaidi yaaani tumekuwa kama vile watalii,,, kila bidhaa imepanda bei, fedha hakuna hivi sisi Wananchi wa kipato cha chini hatuwezi kumudu ghalama hizi lakin nyie wenye mamlaka Serikalini hamlioni hili kwa kuwa mnamudu ghalama hizi za bei za vitu... nalia 😭😭😭😭 kwa kweli.
Kila mahali hadi kenya mafuta ya gari petrol hamna
Hoja ya kupanda vitu bei ni africa nzima bro...kaza mkanda
It's called GENTRIFICATION.......
😂😂mbna bando unalo
Nakushukuru wewe uliyesema ukweli, hali huku ngumu sana, maisha magumu chakula hatuna, wenye fedha zao wanatucheka, timeshindwa hata kulima kwa sababu ya mbolea kuwa juu. Lakini najua mama Samia Suluhu atatusaidia
Wooow...this is so BEAUTIFUL...hoping to meet Mr. Peter in Kenya 🇰🇪 🇰🇪 To help us boost our TOURISM i....The job was well done...So proud of you guys
Huwa si mwepesi wa kutoa maoni yangu mtandaoni ila kwa dhati kabisa nakupongeza sana kwa hili mama Samia! You are undeniably amazing! Mungu akulinde sana. Asante sana kwa mema unayoifanyia nchi yetu.
Mama yetu umevunja record duniani. Hongera sana. Mungu akubariki sana. Umetuheshimisha dunisni pote.
Kuheshimishwa duniani kunanisaidia nini mm nanelia na njaa kila kukicha bei zinapanda.
Kuheshimishwa Dunia kukileta unafuu wa maisha hapo utaeleweka.
Amekuheshimisha dunia alafu nchi yko vitu bei gali kukuheshimisha huko ww umefaidika na nn
Anacho kifanya unakijua au una bwabwaja 2
We Love you Mrs President of Tanzania Samia Suluh Hassan.We are togethe with you (4) rever. 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿👌👌👌.
Ngomma zote kali utazipata hapa
Bofya link 👇 th-cam.com/play/PLLAf3_Ws9_kIoLO49W4CwOTy0MYxZR2b0.html
It looks like movie but behind that movie there's something else going on.
Congratulations endelea kuupiga mwingi.huku maisha yanaangamiza wananchi wako.
Kabisaaa hongera kugundua hayo
Like what ?
Hivyohivyo
Kuwaita watalii kuja kutalii pia ni kipato kizuri na kikubwa. Morroco kipato chao kikubwa ni utalii. Kenya wametuzidii kiutalii kwa sababu ya promotion hadi kuiadha Dunia kama mlima Kilimanjaro ipo kwao Kenya cc tunabaki kufikiria anaupiga kwa wingi. Mafuta ya kula na petrol ⛽️ dunia nzima imepanda ingia mitandaoni haswa Google tafuta ukweli. Rwanda wanalipa 10 million dollar Arsenal kuweka logo visit Rwanda ili watalii waende. Mama oyeee...kazi iendelee.
Like what? Wacha fitina wewe
Tanzania has every kind of wealth.:Minerals,tourism,agricultural produce and many more.Am Kenyan but I feel Tanzania's economy should be bigger than ours.Kenya is largely dry and we don't have minerals.
Yes Tz ina madini ya kila aina lakini ni maskini ya kutupwa. Watanzania ni maskini wa bila kifani.
But we don't have a good millennium goals.
It's only regrettable that they r racists
The current constitution is not friendly to investors.
The reason why our economy is not bigger as Kenya, it is because the country is fully of @ss hol3s.
The @ss hol3s who are in power are corrupting our resource. They have luck of ideas and knowledge to grow the economy! The only knowledge the have is stealing and saving for their ass hole kids.
We would have reached and maybe overtake Kenya under the Leadership of the late JPM because the Man was serious building the economy. As you can remember, in three years in office, he was able to bring the country into uchumi wa Kati. Massive project was in progress.. the hydropower plat project known as Bwawa la Mwalimu Nyerere which he established was the key to ur future success. JPM our redeemer Had tonnes of ideas and experience to revive our nation. But here we're now.. doomed and hopeless in the hands of @ss hol3s.
MAMBO MUHIMU YA KUZINGATIA ILI UPONE KANSA.DAWA YA KANSA
*#*...
th-cam.com/video/ZgfBwGAJlrQ/w-d-xo.html
Tabora AllStars - Mama Samia 👉 th-cam.com/video/quNghpTAaaA/w-d-xo.html
Nimependa sana kazi nzuri Miraldayo,Akhsante za pekee kwa mama ( Markia wa nguvu) Rais Samia Suruhu Hassan na Director Peter...mwambie akaribie sana nchi ya amani na utulivu Tanzania
Miraldi > Millard
Markia > Malkia
Suruhu > Suluhu
@@josephk90 😁😁😁
@@josephk90 hizo chuki tena bro😂. Basi umeona makosa tuu😄
@@josephk90 Jaman hapo kwanza ncheke😀😀😀
Woooooow this is amazing 👏 😍 🙌 ❤ well done mama yetu👏 ✔ 👍 🙌 😀
Tabora AllStars - Mama Samia th-cam.com/video/uG8B_xPFkzM/w-d-xo.html
USIPOFANYA TENDO LA NDOA KWA MUDA MREFU HUTOKEA HIVI th-cam.com/video/-2akg0zvPpA/w-d-xo.html
Hongera Sanaa Ndugu Comrade Rais Samia Suluhu Hassan,kwa kuitangaza Taifa Letu vizuri na kusambaza utali ulimwenguni mote kwa kutoa fursa ya The royal Tour.Umetangaza Taifa Letu vyema maksusi kabisa na wewe ni Rais wa Mfano wake na wakuigwa.big up mama...Taifa imara,Chama imara CCM na Rais imara..Kazii Iendele
mbwa nyinyi mungu awalaaani kabisa
Hongera sana mama.
Matokeo ya hii tutayaona soon,
Ila zuia poachers tu mama,na kuuza wanyama nje
Ni faraja kwetu sana Allah ambariki.mama Samia wetu
Hongera sana!! Rais SAMIA SULUHU HASSAN kwa kuitangaza nchi yetu kitalii vyema!!!!!!!!!!
Keep moving mama SAMIA am a Kenyan but napenda kasi yako may God be with you all the time
Jifunze quran kwa hukmu gusa picha yangu mara 2 hapo kama hautojali
Kuku kienyeji stew#shorts#kenya
th-cam.com/users/shortsPy9zsQrG-v0?feature=share
Africa kazi bado tunayo kwa marais wa namna kama hii, tutakesha. Ila dawa nikuchagua rais aliyepitia maisha ya misoto kama magufuli hapo ndipo nadhani tutapona. Lakini hawa waliolelewa kwenye mayai, hakuna chochote kwasababu wanakuwa hawajui kujenga. Rest in peace my king magufuli
Huoni ata aibu nchi imekushinda unajipendekeza kwenye nchi za wenzio watanzania wanakufa kama wanyama tena Kwa kukatwakatwa na vijana wadogo wengine wanapotea wanaonekana maiti wewe binadamu gani hushituki huna hofu ya mungu mama punguza ukatili
Huoni ata aibu nchi imekushinda unajipendekeza kwenye nchi za wenzio watanzania wanakufa kama wanyama tena Kwa kukatwakatwa na vijana wadogo wengine wanapotea wanaonekana maiti wewe binadamu gani hushituki huna hofu ya mungu mama punguza ukatili
Kweli hawa marais wengine wanatok kwenye familia za kitajir
JPM TUTAKUKUMBUKA SANA RAIS WETU... MUNGU AILAZE ROHO YAKO MAHALI PEMA PEPONI AMEEN
Fahim sungura hukatazwi.kumkumbuku JPM.na kwetu kazi inaendelea
Acha kelele , kufa basi nawe, baba yako tu umkumbuki
Tena inaendelea kwa kasi ya 4G
Utakufa na kiholo ww acha roho mbaya ya kumchukia mama yetu samia Suluhu Hassan
Amen😭
Mama samia anaunda tz kwa njia tofaut sna , mash Allah
Nimesoma comment nimecheka sana 🤣🤣🤣🤣 ok me nasubir watalii waje niopoe babu mmoja wakunipeleka ulayaa hahahahaha fursaaa ndo hizo jamn 🤸🤸🤸🤸
🤣🤣🤣😂😂😂😂
MAMBO MUHIMU YA KUZINGATIA ILI UPONE KANSA.DAWA YA KANSA
*#*#...#*
th-cam.com/video/ZgfBwGAJlrQ/w-d-xo.html
Best OF mama Samia Mama yetu nakupenda kutoka Somalia 🇸🇴
Tanzania is RICH country NO need to be puppet of west you have everything to be successful, hapa Kenya tunauza hewa tupu
No development without cooperation
Mama Samia is a super amazing president. TZ you are so lucky to have such a cool and level headed president. Best way to market the country.
Super amazing president awe na super amazing shida za watanzania hapo tutaenda sawa siyo yeye bata watanzania hoi l.C.U
Hahahahahah 🐩🐩
@@kennywilliam2466 🤣🤣🤣🤣😃
@@fatmakhanii1676 bi fatma khanii ;Asalaamu aleykum!!
lucky ya nyoko
Nakubali Kaka Ayo Tv
Good job hon presidaa,i hope the film will do beter in a competative tourist industry
But JMP was enough and the best attractive thing on Tz, the country was well known internationally thought JPM ambitions and without to go anywhere to the western country. JMP was hope for Tanzania 🇹🇿
Indeed man of God
Go and ask GOD where is he??
Sasa ndugu unamlaumu nani? Au unajaribu kuhoji mamlaka ya Mungu? Yes alikuwa fine..Sasa nani kasababisha asiwepo ambaye ndiyo unaonekana kumlaumu? Tujifunze kukubaliana na nature na maamuzi ya Mungu ili maisha yaendelee kwani pamoja na uzuri wake lakini kabla yake tuliishi na tutaendelea kuishi..Mungu anachukizwa na watu wasioridhishwa na maamuzi yake
@@happinessmwenda2773 mtajiju ndo tunampenda
@@lamerckjesus2921 well
Safi sana! Kwa hakika mama yetu nimbunifu kweli kweli safi sana Maasha-Allaaah!!!
Hongera kwa ubunifu wake maana umetusaidia watz kuwa na maisha magumu zaidi kila kukicha bei ya vitu vinapanda bei.
I wish ubunifu huo ungeleta nafuu kwa watz
@@mrdeniskomba6199 😂😂😂😂
Kaka umenichekesha kwel yaan anafanya v2 pasipo ku2mia akili™™
@@barakacharles2524 najiona bora nisie tumia akili Bali natumia fact.
Bora yako wewe unatumia akili na maisha mazuri.
Asante MAma wolper kwa kutuuza
Millard ur always the best
😱😱 Harmonize agundua maadui wake baada yakuiona iyi video bonyeza hapachini ujioneye 😱😱😱👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇
th-cam.com/video/T5okytwgSLo/w-d-xo.html&feature=shareth-cam.com/video/T5okytwgSLo/w-d-xo.html&feature=share
Peter Greenberg alilipwa pesa ngapi kufanya hii movie for Tanzania 🇹🇿? Jee rais Samia sidhaani kama alijua Greenberg ni myahuudi kwa hivyo pesa za watanzania zitaiishia Israeli wenye kunyanyasa wa Palestina,karibu kwenye dunia ya matepeli raisi wetu 🙏🏿
😂😂
She is an amazing woman I love her.
I LIKE THIS MY PRESIDENT SO GO AHEAD... DON'T SEE THE RIGHT OR LEFT GO STRAIGHT..............
👍rais wangu tanzania yangu
Kweli unaifungua Tanzania kwa nguvu zote. Hongera Sana kwa kufanya kwa vitendo.
Mamkala zote zimewekwa na Mungu . Mungu tunakuomba pamoja na mambo mengi tunayopitia maisha magumu mafuta ya kula yako juu na Barbara yetu ya mwanagati ni mbovu lakini tunakuomba Mungu mamlaka uliyoiweka tujalie tuitii kwa kuwa zote zinatoka kwako na umetuamrisha kuzitii kijalie alichoenda kufanya huko kiwe naanufaa kwetu wa TZ na vizazi vyetu Inshallah
Debora Dua yako nzuri sana na unajua kupangilia maombi..yanii sindano yenye sukari.
Salute my dear.
Je shetani anaweka mamlaka gani duniani niambie hapo.
Amen
@@eliyayesu2743
Sijajua my dear najua mamlaka ya Mungu tu kwa uelewa wangu najua shetani hana mampaka
Good Job, well done on marketing of our natural resource and tourism of Tanzania. Big Up mama!
I like it mama kaongea kiingereza kizuri Sana sio wale wenzetu wakifika marekani wanapenda kuigiza kuongea American English,, kazi nzuri mama, ila Millard Ayo safiiiii
Amazing Amazing you are doing great you really changing our Neighboring country for better we love your calm and sober approach on everything you do Madam President
R.i.p Magufuli
Mfate alipo
Hata zelensky alikua comedian .
Sioni ajabu raisi wetu kuwa actress
Mama ubarikiwe balozi wetu
So amazing
Woooow! Smart mumy 15 years without driving and it’s stick sift.
Good JOB MRS PREZO Samia tourism is key good for noting and promoting it
Mungu awabariki nyote mulioweza kukoment hili litapita tu, tusiache kumuomba mungu
Beautiful beautiful mummy ❤❤ love from Kenya..
Harmonize aacha kufunga swaum kisa Kajala👉th-cam.com/video/WUAeaazDJ98/w-d-xo.html
Great summary Millard, covering key issues 👏
Congratulations 💪🔥❤️ my presedent what I appreciate is you do something unique
Hongera Sana Mama
Mama anaupiga mwing lkn cyo ktk nchi yake, hapo hakuna kitu watanzania tutafaid kutokana na safar zake ila zaid zaid sisi watanzania tutabaki kuumia tu
Wonderful god bless mama samia
Mashallah may JAH bless her always, respect samia
Proud of you our President Samia 👏👏👏👏May God guide and protect you in Jesus Christ of Nazareth.
th-cam.com/video/ZDm6jxjxsg4/w-d-xo.html
Hakuna inchi ya watu pumbavu kama Tanzania hawamshauri huyu mama anazalilisha inchi yetu haijawahi kutokea
wow!!!! naipenda sana Tanzania 🇹🇿 nchiyangu ❤❤❤🎉
Mama Samia youre my role model. I know it took you the greatest courage to do it. Dont mind the negatives after all there no gains without loses. I can't help admiring you more because you rock my world.
Kazi zuri. Mungu akuepushe na kila Aina Ya baya. Mungu ibariki Tanzania.
Kwanza ashughulikie katiba mpya na demokrasia, vitu hivyo vikiwepo watalii watakuja tu. Kama mtu anaweza kukamatwa kwenye hotel ya Serena akifanya mkutano halafu polisi wanasema hawajui huyo mtu alipo nani atakuja kwenye nchi kama hiyo?
Mila kit u sino siasa, ametenda jema
Mila kit u sino siasa, ametenda jema
Your audacity and eloquent is amazing Mama! proud of you
royal Tour isiwe sababu ya kutusahau watanzania kila kitu kimepanda bei mishahala ile ile why ...??? tunaishije wa Tanzania 🇹🇿 tunateseka ukaribu ni wa kwenye TV na matangazo ila uhalisia wetu ni mahanfaiko
sawa kazi nzuri na sisi wa 🇹🇿 tunahitaji furaha
tunahitaji hamani na mafanikio
Hongera kwa kazi nzuri, tunatumaini itazaa matunda mema.
Jiatahidi ni wakati wako huu wa kula nchi
Kuitangaza Tanzania ni jambo jema,lakini matatizo ya Ndani ya nchi,Kama kupanda Bei za bidhaa, zilizosababisha maisha kuwa magumu lazima zishughulikiwe kwanza kwani inagusa maisha ya wengi hasa wenye vipato vya chini
Fuatilia juu ya upandaji Bei duniani afu ushauri Nini muhimu Cha kufanya ukilalamika apa ndo vile sisi watu Baki tunaona comment ako ambyo haina solution
Mimi naona iendeleee hivihivi kila mtu apambane
Acha upuuzi wewe, mbolea, gas, na vingine vingi vimepanda siku chache tu baada ya kuingia madarakani
Wakija kuwekeza kutakuwa na viwanda vingi vya uzalishaji. Hivyo bei zitapungua. Hapo hatangazi tu utalii Bali na uwekezaji pia
@@habilinhohezron3099 kila raisi mwanzo wake ndio unavo kua hivo
I love mama samia. She is excellent! Asante sana mama mungu akuzidishie😍
Kazi nzuri Ayo hongera Rais wetu
Mama anaendelea kuupiga mwingi sana kwa hili Tanzania itafungua fursa nyingi kwenye hii Filamu/Documental
Rais kawa sanaa msanii dah kiongozi
Inasikitisha kwa kweli, R.I.P JPM
Anaoza taratibu
@@wamoroboy8963 😡😡
@@wamoroboy8963 Sawa ila kumbuka nawewe au Mimi zamuyetu itafika tutaoza
Nini tena jamani, kwa hiyo hujafurahia hata kimoja alichokifanya kwenye hii royal tour?
boys wewe hutaoza
wow. Mama wa Tz Anachapa kazi kweli..Be blessed..uku kwetu 🇰🇪 .mtukumbuke na maombi..tuko mbioni na siasa zisizo isha. baada ya kutangaza maendeleo
L
Mamasamia🧡 5TENA✊✊✊
Nimewapenda tuu masai mm 😂
Mm sijaona jipya Apo😂
Kwa hii Kazi Tunajiandaa Kupokea Watalii Lukuki na Naamini TZ inaenda KUFUNGUKA
Njooni na MADOLAR Hali ni Tete huku
Wasikufanye kama mobutu
Ninampenda Sana Rais wangu Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan,Anaupiga Mwingi mpaka ninasuhuzika.
🤣 🤣 🤣
Self confidence. Inafaida kubwa Sana. Nampongeza Rais Samia suluhu Hassan. Kwa confidence alizo nazo kumtangaza Tanzania 🇹🇿
Great Job! Much craps to mama SSH. We are proud of you
Hakuna kitu hapo..mama unateketeza Kodi tu za wananchi na safari zako za Marekani na Ulaya !!. “To be an enemy of America can be dangerous, but to be a friend is fatal.” by - Henry Kissinger. Former United States Secretary of State. Rest in Peace JPM. Raisi wa kweli ulieiweka Tanzania katika UCHUMI WA KATI ndani ya miaka mitatu ya utawala wako. Umeacha Legacy Kubwa na mifano mingi ya kuigwa. We miss you and we love you.🙏💪
Umeandika vizuri ila kumuweka JPM umeonyesha una chuki na Samia, mbona hata huyo marehemu ana mabaya yake mengi tu?
@@josephk90 asante brother watu wanasahau kuwa kila raisi anamapungufu yake
Utakufa kwa majungu
@@ibrahimkassim9513 hiyo hatukatai lkn Mwinyi hakuongelea mapungufu ya Mwl Nyerere, wala Mkapa hakuongelea ya Mwinyi, wala JK hakumuongelea Mkapa wa Magu hakumuongelea JK why yeye amseme JPM hadi kumtukana Yesu ambaye kwetu sisi wakristo nibSIMBA WA YUDA!! Mshukuru Wakristo ni wastaarabu lkn siku wataamua mtashangaa
@@kellyngogo3319 sawa sawa brother ifike mda wtz tusishindanishe raisi huyo kafanya hili na huyu anafanya nini
Allag bless you my mother to magic film royal tour Allah bless my country forever
Congratulations our president, you are creative, peace be upon u
Very impressive - original - Proud of you - Mama!
Mweshimiwa hiyo filamu hamsaidii mtanzania hata mmoja hiyo pesa ya kwenda kurekodi ungeiwekeza kwenye kilimo watu wakapewa pembejeo ingekuwa bola mm naamini familia yako inakula vizur ila wananchi wako wanateseka,ipo siku kilio cha wanyonge kitafika mbele za mungu ndo utajua watu wameanza kuacha kuoga kisa sabuni mafuta ya kula kweli hakika we Ni mzalendo ila siyo mzalendo wa kwel natamani, hiyo filamu ingeungulia studio.wananchi Wana shida na maji,umeme,barabara,madaraja, unaenda kulekodi move (kweli)watu wanakula mlo mmoja Kama mbwa, unarekodi move, duniani tuko kwa mda acha tuteswe ipo siku mungu atatusikia,kheli Kama Jambo hili Ni la mungu litasimama kama Ni la mwanadamu,litaishia njiani,😭😭😭😭
Ww ambacho hujakijua hapa rais alikuwa anatangaza nchi yetu kiutalii..watalii wakija wengi huku kwetu gharama za maisha zitapungua tumuache raisi wetu afanye kazi..mm kwa upande wangu namkubali raisi wangu
Kwenye utalii napo panahitaji uwekezaji na kuna watanzania wanaishi kwa kutegemea utalii sio kilimo tu kinahitaji kusaidiwa,anajitahidi mama yetu kugusa maeneo tofauti ya kiuchumi jamani tumpongeze,we love you Madam President we are proud of you 🙌🙌🙌
Simwelewi kabisa huyu mama hata kidogo
Woooow this is beautiful I'm really impressed
Hongera sana Bi.Samia kwa kuipeleka mbele nchi ya Tanzania
Ayoo🙌💯
Filamu ni nzuri na tutaiweka nchi yetu sehemu nzuri mno kwa kusaidia fedha nyingi za kigeni
Hongera mno raisi wetu mama Samia
Mungu akujalie na akupe afya njema
ovyo
Wanarudi kuchukua walivyovificha kwenye mbuga hizo mali nyingi tu!!
@@kellyngogo3319 si ndo bora, maana inakaribia karne wewe umeshindwa kugundua vimefichwa wapi. Mfana wa kibogoyo kulificha fupa ili mwenye meno asilichukue hilo fupa.
Rais katwesa njaa!! duh kweli tuna safari ndefu.
Hey bro. Ni utani. Why do you take things seriously?
Soooo humble!
baada ya kuizunguka vizuri Tanzania watakuja kuvichota walivyoona ijapokua najua kupitia mitandao yao they can see any thing around the world. msije mkaanza kusema bado nauchunga saana unabii wa 1992 kwa nchi ya Tanzania na Burundi.
Unabii unasema nini dada angu
Unabii gani
Ovyoo
Na ulivo kua mjinga sasa
We love you mama Tanzania is back to the world!!
exactly
Angefanya hayo yule nyie hao hao mnaomponda huyu mngemsifia
sana yule. Kwa hili raisi apewe hongera watalii wataongezeka
Fantastic film hongera
What was the thing that excited most about this show ?????? !!!!!!!
Mwaka huu tutaona mengi 😅
Kwakweli yetu macho
Hamna ki2 hap
Huoni kama ni presentation ya kipekee, yaani bado unaamini kuwa hatuhitaji fedha za kigeni? Kwahio wewe unaamini Tanzania itaendelea kwa mfumo upi. Nieleweshe tafadhali.
@@sketchbabu keshazoea kudanganywa kugawiwa maburungutu ya fedha tumbua tumbua za hovyo hovyo kudharirishana kula mahindi kuweka mapapai kwa ajili Kupima Covid.