SHABIBY AFOKA BUNGENI "MNAWEKA VITU VYA HOVYO, WAPIGA DEBE WA MTANDAO, WABOVU, MNALETA MIZOZO"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ต.ค. 2024
  • #UhondoTV #Uhondo

ความคิดเห็น • 42

  • @abdulabdy6822
    @abdulabdy6822 5 หลายเดือนก่อน +3

    Hongera Sana Shabiby umeongea vizuri sana, naamin ujumbe umefika

  • @Athuman-y4g
    @Athuman-y4g 5 หลายเดือนก่อน

    Mh nduguyangu kaka uko vizuri sana 🙏🙏 mngu akutanguliye akusimamiye

  • @PeterKISUNGA
    @PeterKISUNGA 5 หลายเดือนก่อน

    SHABIBY LINE PRO MAX NEXT LEVEL

  • @ChristiianKachare
    @ChristiianKachare 5 หลายเดือนก่อน +1

    Leo Latra Kwa Bajaj na boda zipo aina 2, Kwa ajili ya Bolt na ya kawaida, huu ni wizi mkuu, watu wanaungana kuibia wananchi hasa vijana

  • @michaelmlugu5654
    @michaelmlugu5654 5 หลายเดือนก่อน +2

    Hongera mbunge wetu kwa hoja zenye mashiko

  • @lukakure1002
    @lukakure1002 5 หลายเดือนก่อน

    Hongera sana boss, umesema ukweli ila bahati mbaya unapita sikio hili na kutokea lingine, safi sana! Taasisi nyingi kwa sasa zinajikita kwenye kupata hela, kama basi moja tu kodi ni mil 102, na kila siku tunaona mabus mapya duh hii nchi inahitaji reform

  • @hssanrubota3891
    @hssanrubota3891 5 หลายเดือนก่อน

    Hapo uko vizuri sana sana na Mungu akubariki kuwatetea wanyonge mm nashauri ifikie mama awe mkali siyo kulea hawa chawa wanamharibia sana yaani huku mitaani ni majana

  • @ExaveryNgonji-hl6ym
    @ExaveryNgonji-hl6ym 5 หลายเดือนก่อน

    Ongera sana boss wetu

  • @msatibongonyuzi14
    @msatibongonyuzi14 5 หลายเดือนก่อน

    Safi sana

  • @lemsanyajoel8360
    @lemsanyajoel8360 5 หลายเดือนก่อน

    Hongera sana shahabby....wape ukweli...wapi ga mama wako uko uko bungeni...sisi wananchi tupo na mama.

  • @adorchmassimba4413
    @adorchmassimba4413 5 หลายเดือนก่อน

    Uko sawa mh shabiby

  • @sofiakhan9706
    @sofiakhan9706 5 หลายเดือนก่อน

    Ni kweli vyote vimerudi usiku kucha wako barabarani na natra na tra na uwara wote wako barabarani/maduka /mikahawa ????

  • @RobertJonathan-jm5um
    @RobertJonathan-jm5um 5 หลายเดือนก่อน

    True

  • @RichardLyamuya
    @RichardLyamuya 5 หลายเดือนก่อน +1

    Kabla ya kupewa nafasi usaili ufanyike kama nchi nyingine tatizo ni kuwekana tu kwenye mamlaka za serikali..

  • @AgustMbisee
    @AgustMbisee 5 หลายเดือนก่อน

    Watu wanatwanga Hela huko sio mchezo na huo ndo ukweli😂😂😂😂😂😂😂

  • @mpambanajitz7026
    @mpambanajitz7026 5 หลายเดือนก่อน +1

    Nimeipenda SANA hii ya Dereva kufuga RASTA 🤣🤣🤣🤣

  • @francismadirisha3511
    @francismadirisha3511 5 หลายเดือนก่อน +2

    Ni kweri kwa mfano kuingiza vitenge nchini kotena ushuru hauripiki wafanya bisha ra wamenda Zambia kufungua maduka

  • @fredrickipembe8188
    @fredrickipembe8188 5 หลายเดือนก่อน

    Huyu shabibi ni mzalendo safi sana

  • @HaulSidney
    @HaulSidney 5 หลายเดือนก่อน +1

    Wabunge wazarendo wako wachache sana Tanganyika

  • @komuhsengo9796
    @komuhsengo9796 5 หลายเดือนก่อน

    Umenipa elimu ya nini maana ya engine mbele

  • @alexmatt9504
    @alexmatt9504 5 หลายเดือนก่อน +2

    Huyu mbunge uwa anaongea facts bila kumumunya maneno,amewapa ukweli na inabidi nyie wabunge wengine changieni kama hivyo points zenye mantiki

  • @AlfaSaa-j4h
    @AlfaSaa-j4h 5 หลายเดือนก่อน

    Hawa latra ni shida kwanini wasiondolewe Tu ni usumbufu tupu .
    Kupata Sumatra ya lorry ni rushwa na usumbufu tupu hii ni mamlaka ya hovyo sana

  • @PhilipoMwita-wc1ku
    @PhilipoMwita-wc1ku 5 หลายเดือนก่อน

    Hii nchi wanapenda tozo

  • @Optionxll_Playz1
    @Optionxll_Playz1 5 หลายเดือนก่อน

    Ndio maaana ajari ni nyingi sana ni kwanini boda boda hawana reseni kweli .

  • @MASTERPETRO-nk8rh
    @MASTERPETRO-nk8rh 5 หลายเดือนก่อน +1

    Mh, mbunge umeongea vizuri lakini hao bodaboda waache wanyooke maana wakiambiwa linchi hili limejaa upigaji unyonyaji na utesaji hawaelewi tena wakishapewa rita ya mafuta ndowanachanganyikiwa " BADO HAWAJASEMA

  • @bonifacedanielmwakisunga9638
    @bonifacedanielmwakisunga9638 5 หลายเดือนก่อน

    Mi silielewi hili bunge kaxi yake ni kusaport serikali au kisimamia ila hii nchi kaxi kwrli spika alikuwa mzee sita peke yake

  • @niffonlinetz7214
    @niffonlinetz7214 5 หลายเดือนก่อน

    SHABIBY 😂😂🙌🏾🙌🏾🙌🏾 UNA KITU USIKILIZWE

  • @JacksonProsper
    @JacksonProsper 5 หลายเดือนก่อน

    Uko poa sana

  • @paulokateme7615
    @paulokateme7615 5 หลายเดือนก่อน

    Bila professional wa uchumi kukaa pembeni hali haitakaa itulie.

  • @NixonGerson
    @NixonGerson 5 หลายเดือนก่อน

    Mabasi ya shule tulia arson ongea tu fasta ..watoto wanauma sana ujue

  • @luthermartin1098
    @luthermartin1098 5 หลายเดือนก่อน

    Mh. Mbunge nikuulize nani katunga hizo sheria?

  • @jeremiamwakilimaji8284
    @jeremiamwakilimaji8284 5 หลายเดือนก่อน

    Kitengo Cha usafilishaji hakina mtetezi.

  • @santinosabugo2114
    @santinosabugo2114 5 หลายเดือนก่อน

    mbunge wa gailo akili nyingi sana jamani wanagailo msije mkampoteza huyu Mzee michango yake huwa naipenda kutoka moyoni akili nyingi sana

  • @priscillachristiansen4331
    @priscillachristiansen4331 5 หลายเดือนก่อน

    Tena hawajui sheria wanagonga raia barabarani wanaua raia. Hao bodaboda.

  • @JosephJon-wk6il
    @JosephJon-wk6il 5 หลายเดือนก่อน

    ukovizuli shabibi hata polisi hasamaveko wanakulu luswa tuu hawakagui mabasi

  • @abdalahgunda1319
    @abdalahgunda1319 5 หลายเดือนก่อน

    Makeme mbarawa jafari makamba Samia sluu Hasan Hawa watu sura zao tuu zinaonekana

    • @GodfreyOsward
      @GodfreyOsward 5 หลายเดือนก่อน

      Kodi zikusanywe pamoja TRA, digital igawe huko. Tusibuguzi raia

  • @richardrugemalira6934
    @richardrugemalira6934 5 หลายเดือนก่อน

    Haya kasema mwenzenu. Ingekuwa CHADEMA kayasema hayo makamu rais wa CCM angeunguruma ....ATC haitaweza kufanikiwa kutokana na mwelekeo mpya ktk uwekezaji wa biashara ya ndege. Ni mataifa matajiri sana hususan ya kiarabu na bara Asia pekee yawezayo kuwa na mashirika ya ndege ya nchi yenye tija. Afrika hakuna hata moja iliyosimama