BABA WA MILELE - Moyo Mtakatifu wa Yesu (Udom)
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 9 ก.พ. 2025
- #bernardmukasa #kwayayamtcecilia #kwayayamoyoudom #kwayayamakubuli #kwayayamtkizito Kwaya ya Moyo Mt Yesu Udom inaendelea kukuletea mfululizo wa nyimbo zinazopatika kwenye Album yao inayoenda kwa jina la ~NENO ~. Karibu Mpendwa wa Mungu tuburudike pamoja kupokea Neno la Mungu kupitia uinjilishaji wa nyimbo Asanteni .
Subscribe and stay tuned our TH-cam channel. Kwa mawasiliano ili kuweza kujipatia nakala ya Album ya NENO....
0718870953 au 0769538456
Dada anethi umetisha nzuri sana balikiwa sana moyo
Moyo isifie mikononi mwako
Kazi nzuri 🙏
On fire
hakika Mungu ni mwema nafurahi kumuona school mate wangu Bundala masengwa akiendeleza neno la Mungu kwa watu wote ubarikiwe sana mtu wa MUNGU Lakin pia na wanakwaya wote wa moyo mtakatifu wa yesu UDOM Mungu awazidishie zaid na zaid mzid kueneza habari nnema za yesu kristo kwa njia ya uimbaji
Hakika wewe ni mungu, hata unayonijalia sistahili mungu wangu🙏🏾
Kwel wewe ni BABA WA MILELE