Ng'wana Kang'wa _ Bhuhangwa Official Video.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 8 ก.ย. 2024
  • BTM AFRICA 4LIFE

ความคิดเห็น • 116

  • @denismusa4965
    @denismusa4965 25 วันที่ผ่านมา +1

    Unaweza sana kaka kuna nyumba uku mwanza uje uifungue

  • @RaphaelMihilito
    @RaphaelMihilito ปีที่แล้ว +3

    Ni wimbo mzuri sana, sisi wa zamani unatukumbusha mbali sana kipindi cha Beni, uzuma na wagika. Now days hazipo tena hizo. Hongera sana mwimbaji

  • @ngoshaog1255
    @ngoshaog1255 2 ปีที่แล้ว +4

    Respect sana Ntem Omambala tupe raha ❣️❣️❣️Leo wa kwanza

  • @shinjemasungamasunga6651
    @shinjemasungamasunga6651 2 ปีที่แล้ว +2

    Leo mm wa pili lazima utamu niuone wa kwanza umejitaid sana mavazi ya asili

  • @kautharkayu6326
    @kautharkayu6326 ปีที่แล้ว

    Hongela sana Kaka angu kwazi nzuli

  • @alexmadafali4872
    @alexmadafali4872 2 ปีที่แล้ว +3

    Umetisha Tajir

  • @yasinelgisa8701
    @yasinelgisa8701 2 ปีที่แล้ว +2

    Hongera sana kwa nyimbo nzur napenda kuisikiliza nikiwa South Africa libral kwangu

  • @beatricejoseph2347
    @beatricejoseph2347 2 ปีที่แล้ว +2

    👏👏👏asili yetu ,kwakweli inapendeza

  • @LovelyTz
    @LovelyTz 2 ปีที่แล้ว +3

    Nakupenda sana msukuma wangu wauweeeeeeh wenye roho za korosho weweweeeeeh 👌👌👌👌

  • @reginampigachai8537
    @reginampigachai8537 2 ปีที่แล้ว +2

    Waooooo aise nakukubali sana kaka kweli tusiache asili yetu hata kama tumeelimika kiasi Gani lazima kukimbuka nyuma ni wapi tulipotoka na sio kufanikiwa na kusahau nyuma .

  • @jumajumapilinyansagaya7204
    @jumajumapilinyansagaya7204 2 ปีที่แล้ว

    Echene ole ntemi omabala. Ahene twazunya bhabha nengi nabhiswe abhakurya

  • @KashindyeIlaguzi-ve9pn
    @KashindyeIlaguzi-ve9pn 8 หลายเดือนก่อน +1

    Nimeionaaaa

  • @omankhan8253
    @omankhan8253 2 ปีที่แล้ว +3

    Naenjoy nikiwa Oman napenda sana asili yangu

    • @rahmaoman5122
      @rahmaoman5122 2 ปีที่แล้ว +1

      Oman sehem gani dear

    • @nasrahassan7346
      @nasrahassan7346 2 ปีที่แล้ว +1

      Yani ww wa kwetu tabora ndani nampenda ng'wakang'wa

    • @nasrahassan7346
      @nasrahassan7346 2 ปีที่แล้ว +1

      Khan na Rahma tujuwane mi suweQ nyie wapi wapenzi

    • @sifatiiman
      @sifatiiman 2 ปีที่แล้ว

      @@nasrahassan7346 mi pia nipo barka oman

  • @jephutantigwanamba6923
    @jephutantigwanamba6923 2 ปีที่แล้ว +3

    Nakupata vzuri Sanaa kaka kutokea magomeni mapipa dar es salaam

  • @AnnaThomas-e8o
    @AnnaThomas-e8o 25 วันที่ผ่านมา +1

    Endelea hivi to hapa ndio unaweza sana❤

  • @mrishomrishojumma5710
    @mrishomrishojumma5710 ปีที่แล้ว +1

    Ume uwa ngosha

  • @boniphacemaganga9682
    @boniphacemaganga9682 2 ปีที่แล้ว +3

    Kwahiyo ushalobalo wako wote uliweka pemben kabisa ukavaa ganja😂😂😂🤣dah fundi Ni fundi

  • @merryalone3618
    @merryalone3618 2 ปีที่แล้ว

    Nakukubali sana kaka karibu sana dar

  • @josephkafumu3006
    @josephkafumu3006 ปีที่แล้ว +1

    Uwe unaweka no zako tunakulushia hata ya soda co kwa utamu huuu jamani

  • @user-kp1bg9bh4i
    @user-kp1bg9bh4i 9 หลายเดือนก่อน

    Tulaga mishinga Nkoi Welelo akubalade pye shiku

  • @mtundaagnes5609
    @mtundaagnes5609 8 หลายเดือนก่อน +1

    my favorite song💥💥

  • @henryjackson9327
    @henryjackson9327 2 หลายเดือนก่อน

    Wimbo huu unanikumbusha milazetu za kisukuma

  • @anisiamchembe6552
    @anisiamchembe6552 2 ปีที่แล้ว +2

    Omabala weee ni moto🇹🇿

  • @ntemi_someke
    @ntemi_someke 2 ปีที่แล้ว +6

    Heshima zote kwako kaka,Tupo Pamoja sana.

  • @jonasmagombamahimbo6507
    @jonasmagombamahimbo6507 2 ปีที่แล้ว +3

    Nakupenda sana kaka ntemi napenda mwakani tufanyekazi naomba unipatiea namba yako

  • @feliciansylivanus1346
    @feliciansylivanus1346 ปีที่แล้ว +1

    Wimbo uko vizuri! Piga kazi. Nakupata kutoka Njombe.

  • @athmandott9297
    @athmandott9297 ปีที่แล้ว

    Mbona sasa umevaa kimasai na wakati jadi zetu ni nguo nyeusi

  • @josephkafumu3006
    @josephkafumu3006 2 ปีที่แล้ว +1

    Najivunia kabira langu kwenye hiii melodi mzeeee hatariiii hakuna wa kufata huuuu moto

  • @user-cm3dz6bh9i
    @user-cm3dz6bh9i 2 หลายเดือนก่อน

    Ngosha mwimbo mzuri 😢😮😢

  • @user-lx8ln2gk3n
    @user-lx8ln2gk3n 3 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤❤,Linda Mila zetuu

  • @Feisalmatandula
    @Feisalmatandula 5 หลายเดือนก่อน

    🎉🎉🎉🎉🎉 nikisiliza ngoma za home. Na enjoy❤❤❤❤

  • @elkanamayala493
    @elkanamayala493 2 ปีที่แล้ว +2

    Jamaa we n fundi...omba korabo na Saida kalori utaua saana..💪

    • @LovelyTz
      @LovelyTz 2 ปีที่แล้ว +1

      Sio na saida tu hata na mimi tu inatosha uonee tutavyo fanya unyama

  • @tozzaalexandar4905
    @tozzaalexandar4905 2 ปีที่แล้ว +2

    Vyema sanaa mkuu

  • @annaelias3955
    @annaelias3955 2 ปีที่แล้ว

    Hongera kaka ake

  • @bulijiboy8213
    @bulijiboy8213 2 ปีที่แล้ว +4

    King of lands😂😂

  • @benjaminkadissa1502
    @benjaminkadissa1502 3 หลายเดือนก่อน +1

    CLASS YA JUU SANA AISEE😊 MUCH LOVE BRO❤❤❤❤❤

  • @boazimaganga
    @boazimaganga 2 ปีที่แล้ว +2

    Huyu mwamba anajua mziki💃🕺🕺🕺🕺🕺🕺🕺🕺🕺🕺🕺🕺🕺🕺🕺

  • @laurenciashesha9083
    @laurenciashesha9083 ปีที่แล้ว +1

    Hongera Sana unabariki Sana ♥️♥️♥️🌹 barikiwa Sana

  • @maduhukisuja7237
    @maduhukisuja7237 2 ปีที่แล้ว +2

    Lyenele lilelisebu sana, hangamanga ntemi omabala.

  • @mipandakali8236
    @mipandakali8236 2 ปีที่แล้ว +2

    Naona sasa kazi juu ya kazi mzee safi sana pamoja

  • @tedyjuma1988
    @tedyjuma1988 2 ปีที่แล้ว

    Niyoo yeee!!!

  • @josephkikuli4357
    @josephkikuli4357 2 ปีที่แล้ว +4

    Safi Sana fundi 🇹🇿✔️

  • @jessicamagoke6800
    @jessicamagoke6800 2 ปีที่แล้ว

    MIHAYO MULYIMBO LYENILI NI UKWELI KABISAA BARIKIWA KIJANA

  • @anisiamchembe6552
    @anisiamchembe6552 2 ปีที่แล้ว +1

    Endelea kudumisha tamaduni za kibantu lov u bro!!🇹🇿

  • @vickydan2869
    @vickydan2869 2 ปีที่แล้ว

    Yaani ww unanifurahishaga sana

  • @ntemistar
    @ntemistar หลายเดือนก่อน

    Na wish kufikia huko bro

  • @Sittaaskofu
    @Sittaaskofu 2 ปีที่แล้ว +2

    Chapa kazi nyimbo nzur sana

  • @merryalone3618
    @merryalone3618 5 หลายเดือนก่อน +1

    Naupenda sana huu wimbo❤

  • @boniphacemaganga9682
    @boniphacemaganga9682 2 ปีที่แล้ว +3

    Yani huu wimbo huwa nikuipiga hadi kichwa kinaanza kufunguka

  • @ThomasNkinga
    @ThomasNkinga 6 หลายเดือนก่อน +1

    Napenda huu wimbo ❤

  • @luciamgila4353
    @luciamgila4353 2 ปีที่แล้ว

    Safi sana
    Kazana kipenzi Mungu mkubwa akuinue akulinde na Igunga yetu
    Amabala gakule.

  • @joshuangando5117
    @joshuangando5117 2 ปีที่แล้ว +1

    Kaka mm nakukubali sana daima kulaga uhangame

  • @AginesPitar-ut9tk
    @AginesPitar-ut9tk ปีที่แล้ว +1

    Kulaga uhangame tulaga milemo nyanda ndododo

  • @javenmoses897
    @javenmoses897 2 ปีที่แล้ว +2

    Nyimbo hii sichoki kuiskiliza na video yake ipo pouwa san

  • @isco49
    @isco49 2 ปีที่แล้ว +2

    Mwanakamwa iz 💥

  • @mkamamkengeji4240
    @mkamamkengeji4240 2 ปีที่แล้ว +3

    Exactly napenda miziki mingi ya kisukuma japo Mimi sio msukuma nimeishi uko usukumani Sana Kuna raha Sana ya mziki wakati wa mavuno nakumbuka ulipo kuja kata ya talaga kijiji cha nhobola mwaka 2019 tuli enjoy Sana

    • @mkamamkengeji4240
      @mkamamkengeji4240 2 ปีที่แล้ว +1

      Nilisema Sito ondoka nhobola bila mwanakangwa kuja uku exactly ulikuja brother for the first time mwaka 2019

  • @mazikumange9130
    @mazikumange9130 2 ปีที่แล้ว

    Safi sana nkoi

  • @josephleonard6815
    @josephleonard6815 2 ปีที่แล้ว +2

    WEWE NI FUNDIIIIIIII HAPA NARUDIA KUANGALIA ZAIDI YA MARA 30 LKN HAUCHOKESHI

  • @MathayoChizenga-ih6eh
    @MathayoChizenga-ih6eh 6 หลายเดือนก่อน

    Hii nyimbo naipendaga sana piga kazi mtani nawagogo tunakufatilia

  • @charlesmondo7278
    @charlesmondo7278 2 ปีที่แล้ว +1

    Unakosha vizuri mnooooo

  • @bahatinyanda7712
    @bahatinyanda7712 2 ปีที่แล้ว +4

    Greatfully melody 💥💥

  • @nelsonpaul4334
    @nelsonpaul4334 ปีที่แล้ว +1

    unyama

  • @AshaJohn-rc2wx
    @AshaJohn-rc2wx 9 หลายเดือนก่อน

    Uko vizuri kaka napenda sana nyimbo zako

  • @salehesalehe1139
    @salehesalehe1139 2 ปีที่แล้ว +1

    Haapo sawa kakaa 💪💪💪

  • @ndilanhaboniphace9407
    @ndilanhaboniphace9407 2 ปีที่แล้ว

    Wimbo wa ndagu naomba video yake

  • @cosmasrobert2056
    @cosmasrobert2056 2 ปีที่แล้ว

    good sana bro mashabiki tunakubali sana kazi zako

  • @nasrahassan7346
    @nasrahassan7346 2 ปีที่แล้ว

    Safi sana kaka yaani nipo nacheza hapa napenda asili yetu

  • @rhodanestory5312
    @rhodanestory5312 2 ปีที่แล้ว +2

    Mungu akubariki

  • @hamisimwamed8463
    @hamisimwamed8463 2 ปีที่แล้ว +1

    Nakubali juhudi Ngosha

  • @esterester5490
    @esterester5490 2 ปีที่แล้ว +3

    Kaz nzur ntemi

  • @ezramaganda842
    @ezramaganda842 2 ปีที่แล้ว +1

    Safi sana SoMo

  • @sifatiiman
    @sifatiiman 2 ปีที่แล้ว +4

    Nimefulsh kuona huu wimbo una dk 6 tu punguzeni ma beat mnaweka nyimbo inakua ndefu sana inatakiwa muende na wakati ili mkimbizane na masoko mbali mbali kupitia platfom mbali mbali kwa 7bu mtu hawezi kustimu wimbo dk 13 uko m. b zinaenda sana hivi inakua lahis mtu ku view na kurudia wimbo ata mara nyingi ni mtazamo wangu tu lakini sorry kwa ataekwazika👍👍👍😊❤️

    • @reginakamagi9337
      @reginakamagi9337 2 ปีที่แล้ว +1

      Naona ushauri huu ungewashauri na waimba taarab na muzik wa dance maana ndio pia moja wapo ya mizik yenye beat sana kuliko mashairi ila mimi kwa hapa sion neno binafsi kwa kuwa anapoacha kuimba na kuacha beat kuna ujumbe pia anauacha hapo nadhan ndio aina ya nyimbo zetu za kitamaduni
      Namala 🙏🙏

    • @sifatiiman
      @sifatiiman 2 ปีที่แล้ว

      @@reginakamagi9337 hamna bwana taarabu ni tofauti na hii huu ni mziki uliochangamka achana na tss ila ni mawazo yangu tu sio lazma yafuatwe 🥴 nkoi ginehe shi 😁

    • @reginakamagi9337
      @reginakamagi9337 2 ปีที่แล้ว

      @@sifatiiman usijali ni kubadilishana tu mawazo kila mmoja na mtazamo wake kazi ni kwa muhusika kuhakikisha anakata kila kiu ya shabiki wake na ndio maana ya maoni 🙏

    • @sifatiiman
      @sifatiiman 2 ปีที่แล้ว

      @@reginakamagi9337 sawa lulu ndoho shida

    • @reginakamagi9337
      @reginakamagi9337 2 ปีที่แล้ว

      @@sifatiiman Wabheja

  • @rogetichuo4687
    @rogetichuo4687 2 ปีที่แล้ว +2

    Aluta continuer.....!

    • @ngwanakangwa
      @ngwanakangwa  2 ปีที่แล้ว

      No retreat no Surrender 💣💣

  • @neemaayubu1786
    @neemaayubu1786 2 ปีที่แล้ว

    Nakupata vizuri sana,, Ntemi omabala kutoka Oman 🇴🇲, nakupenda mnooo 🥰🥰

    • @sifatiiman
      @sifatiiman 2 ปีที่แล้ว

      upo sehem gan mi nipo omani barka

    • @neemaayubu1786
      @neemaayubu1786 2 ปีที่แล้ว

      @@sifatiiman nipo Sur.

    • @sifatiiman
      @sifatiiman 2 ปีที่แล้ว

      @@neemaayubu1786 sawa unafanya kazi gan huko

    • @mariyamsalalah8204
      @mariyamsalalah8204 2 ปีที่แล้ว

      pamoja Sana nami nikiwa Salalah asili haipotei wabeja ngaru

  • @scholasticamabula4487
    @scholasticamabula4487 2 ปีที่แล้ว +1

    Good💪

  • @isaiahngusa3661
    @isaiahngusa3661 2 ปีที่แล้ว

    Uko wapi mkuu nikutumie ya soda 👏👏

  • @njikumanapatrick9394
    @njikumanapatrick9394 ปีที่แล้ว

    safi

  • @luhendesoloshija9502
    @luhendesoloshija9502 7 หลายเดือนก่อน +1

    Yero endasupai siee ipo na ndito

  • @directorj4wede277
    @directorj4wede277 2 ปีที่แล้ว +2

    nice

  • @MaseleFrancis-j6f
    @MaseleFrancis-j6f หลายเดือนก่อน

    Safi sana kijana nitumie namba yako

  • @MasanjaBalack-vl8wt
    @MasanjaBalack-vl8wt 11 หลายเดือนก่อน

    👍

  • @enockamosi1538
    @enockamosi1538 2 ปีที่แล้ว

    Hatar san

  • @Bushunze
    @Bushunze 2 ปีที่แล้ว

    Nakukubari sana

  • @samwelhenry6107
    @samwelhenry6107 ปีที่แล้ว

    Ntemi

  • @marrymarco4455
    @marrymarco4455 2 ปีที่แล้ว

    Wauweeee❤️❤️❤️❤️

  • @magesaneema1903
    @magesaneema1903 ปีที่แล้ว

    Ntemi omabala naomba unisaidie namba yako ujeuimbe kwenye harusi yangu

  • @salomeandrew4148
    @salomeandrew4148 2 ปีที่แล้ว

    💯

  • @annaelias3955
    @annaelias3955 2 ปีที่แล้ว

    Hongera kaka ake