Ustadh sijasema wote, nimesema baadhi yao hukaa na ilhali wanaweza kusimama. Na ikiwa anaweza kusimama lakini hawezi kurukuu, basi ni lazima asimame na wakati wa rukuu ndo atarukuu kwa kukaa. والله اعلم
Umeheleweka sheikh haji ... Watu wengi wanasali lakini uzito WA sala hawajui ... Siku naomba uje utuelezee uzito WA sala. Mana naona kuna wapo KATIKA mtihani WA ulemavu na Wana juhudi sana kwasababu washajua uzito WA sala.
Shukraan sana Allah akuzidishie
Nastafyd mashallah
جزاك الله خيرا
You are right my dear
Kam upo kwenye biti baharin umekaa kitako vip sheikh
Shida huwa sikusima shida huwa ipo kwenye kurukuu na kwenda sajda mgongo mtu huwa unamuuma au magoti yanauma sheikh elewa hivo
Wavivu wengine
Ustadh sijasema wote, nimesema baadhi yao hukaa na ilhali wanaweza kusimama. Na ikiwa anaweza kusimama lakini hawezi kurukuu, basi ni lazima asimame na wakati wa rukuu ndo atarukuu kwa kukaa. والله اعلم
Umeheleweka sheikh haji ... Watu wengi wanasali lakini uzito WA sala hawajui ... Siku naomba uje utuelezee uzito WA sala.
Mana naona kuna wapo KATIKA mtihani WA ulemavu na Wana juhudi sana kwasababu washajua uzito WA sala.