Maandamano Uganda: Wengi waswekwa rumande akiwemo Mtangazaji huyu mrembo wa NTV

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 27

  • @blessingsmary
    @blessingsmary 2 หลายเดือนก่อน +4

    Ruto hana uzuri ni about Kenyans constitution uko free kuandamana ata ug ata tz constitution ina kubali serikali inaweka watu uoga wasijue haki zao

  • @flavourboyke
    @flavourboyke 2 หลายเดือนก่อน +3

    Huku kenya ni kama ulaya tunazijua haki zetu

    • @TinasheBeture
      @TinasheBeture 2 หลายเดือนก่อน

      Katika inchi za africa Uganda inakuja mbele sana kwa usalama . Chakula bei rahisi sana . Kg 1 ya mchele mzuri kwa Sasa burundi ni 6000 fbu ? Je unaweza nambiya Uganda ni pesa ngapi 1kg ya mchele

  • @PrinceHendry-hp8vv
    @PrinceHendry-hp8vv 2 หลายเดือนก่อน

    Daaa hii pc kali kweli museven muachie mtoto au nikuloge.. Sio kwamba ruto ni muoga hapana uliza wakenya wamekufa wangapi ni kwamba ili kuwashusha hawa watawala wetu bila dam hawasikii Kenya wamekufa ndo mana ruto aka ogopa jumuia za kimataifa

  • @aediayumgo8546
    @aediayumgo8546 2 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu Museveni Kuna siku utamuona JOSEPH KONNY mlangoni kwake🙄🙄

  • @mtzhalisi2232
    @mtzhalisi2232 2 หลายเดือนก่อน +2

    Yana mwisho!!

  • @Gody360
    @Gody360 2 หลายเดือนก่อน +1

    Noma

  • @lewaziro6232
    @lewaziro6232 2 หลายเดือนก่อน +1

    Ruto ni katili kushinda museveni lakini kenya ni nchi ambayo machizi Wote wa Africa walikusanyika Pamoja kuunda Taifa litwalo Kenya kwa iyo akuna Mtu timamu uku

  • @AdamAmos-rr6fg
    @AdamAmos-rr6fg 2 หลายเดือนก่อน +5

    Wajali wa nyarwanda kwa kagame watakiona chamoto

    • @shukurumsebaloli
      @shukurumsebaloli 2 หลายเดือนก่อน

      Rwanda awawezi wakafanya ivi kwa sababu Rwanda akuna uhuru 😢

    • @hashimuuhehwa4252
      @hashimuuhehwa4252 2 หลายเดือนก่อน

      Hayo ni mawazo mepesi mzee hakuna Nchi yenye Rais anayeweza kuwashinda Wananchi, ipo hivi jua kutofautisha Wananchi kuwa tayari na Wananchi ambao hawapo tayari, Kenya harakati unazoziona leo hazijaanza leo mfuatilie Ruto na Uhuru walipambana kiasi gani, wewe mwenyewe kufika umri huo kuna ulipoanzia

  • @shangwefisima54
    @shangwefisima54 2 หลายเดือนก่อน

    Uganda ni kama Tz..... Tz hawa kutoi uhai ila mtajaa kwenye magereza mpaka mkome.... Mtalima mashamba huko mpaka mchanganyikiwe

  • @MasterOil-qm6vw
    @MasterOil-qm6vw 2 หลายเดือนก่อน

    Kenya ni marekani ndogo au nato ndogo kwa hiyo wasitufanye na sie tuwe kama wao sisi hatutaki uhuru wa kipumbavu kama wa wakenye mbona hawakuandamana wakati marekani na ulaya wanawekeza nguvu zao kubwa kenya kuliko nchi yoyote africa mashariki kenya ndio mfereji wa kupitishia uhuni wote wa marekani na ulaya kuja kwenye nchi zetu hizi zilizo staarabika sisi tunatakiwa kuwaheshimu viongozi wetu kenya wao hawana hiyo nidhamu

    • @MariamKhalid-ub9jj
      @MariamKhalid-ub9jj 2 หลายเดือนก่อน

      Lakwanza uwo mfereji wa uhuni kama waujua ulipo nenda ukaufunge...lapili Kenya hakuna mamako Wala mjombako...kwa hio lisilo kuhusu lisikutie hofu sheeeeenzi type 😏

  • @husseinilyas8570
    @husseinilyas8570 2 หลายเดือนก่อน

    Kinacho tofautiana ni katiba coz Kenya Raisi ni miaka kumi lkn angalia ruwanda na Uganda kisha angalia Tanzania ungelea Raisi kwa ubaya au tukana kiongozi lkn Kenya waeza kulingana na katiba na hio ndio tofauti rudi miaka ya nyuma wakati wa moi Kenya ilikua Raisi akija kwa mkutano kila mtu lazima aende so Tanzania Uganda kwanza wekeni sawa katiba yenu kisha ndio muanze kulinganisha na Kenya

  • @kiatu
    @kiatu 2 หลายเดือนก่อน

    Swala ni time tu. Dictatorship inaisha tu. Useme tu Uganda na Tanzania hatujafikia tipping point. Dictators huwa hawajali katiba. Kenyans wako tayari kufia haki yao. Na sio kuanzia Gen Z tu ni swala la history

  • @Moseskoome-l1t
    @Moseskoome-l1t 2 หลายเดือนก่อน +4

    alafu sio ati ruto ni mzuri wakenya ni vichwa maji na tukiamua kufanya Jambo tunafanya kwa umoja na nguvu kubwa

    • @timebakar
      @timebakar 2 หลายเดือนก่อน

      Ndioila asikar wengeamua kuwauwa nakuwakamata basi maandamano yenu yasenge fikapajali

  • @Moseskoome-l1t
    @Moseskoome-l1t 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mmh nimefall in love with huyo mwana habari

    • @Tariq_Tryagain
      @Tariq_Tryagain 2 หลายเดือนก่อน

      Jina lake ni Frederick Bundala also known as Sky🙏

  • @solomonrwabose7600
    @solomonrwabose7600 2 หลายเดือนก่อน

    Wakijitokeza wote kwauingi, raisi yeyote hatakama ni shetani hawezi kuwaweza. Tofauti ya wakenya na uganda wakenya wanajitokeza kwauingi wa kundi kubwa na hawaogapi wote. Uganda haina gereza ya milioni ya watu.

  • @CadeauZabibu
    @CadeauZabibu 2 หลายเดือนก่อน +2

    Museveni. Nimuwaji

    • @hopechidera
      @hopechidera 2 หลายเดือนก่อน

      Kakuuwiya nani...