Sawasawa mwijaku zuchu mwehu sana hana malezi ya waz azi wake inasikitish a sana hana malezi ya mamaake anape wa uhuru sana na m amaake hebu abadi like ampe onyo zuch u anafanya upumb avu mwingi sana ma maake yupo kimya tu hovyoooooo sana
Safi sana alivofungiwa ata mavazi anayovaa ni uchi Tu anakaa, Hana maadili kabisa mapaja wazi wangempiga ata 5 years ili funzo kwa wasanii wanaovaa mavazi ya ovyo na wanaotoa matusi
Kwakweli mwijaku anaongeya ukweli kabisa zuch amekoseya japokuwa alikuwa anatupa burudani kunavitu vingine huwezi kuviongeya muwatu hasa penye kuna watu na watoto watasikiya
Tangazeni no miziki Tanzania tuishi kwa kumwabudu Allah hayo ndio madili lkn vinginevyo mwajidanganya tu mwinjaku mwenyewe wakati mwingine akaa na kipensi tu na mwanaye na mke wake leo aleta shobo kwa zuchu
Mwijaku unaongea vizuri ila tatizo lako unaegemea upande mmoja tu tena wa wcb wakati wapo watu wengi wanakosea huko upande mwingine ila upo upande wa negative tu kwa wcb hujawahi msifia hata msanii mmoja😊
Sasa huyu baba levo ni mwehu mkubwa maana yeye hata wcb wakifanya ujinga yeye kwake ni sawa wala haoni makosa,ujinga sana kweli.ongera sana mwijaku kwa kutetea maadili
Maadili nyumbani kwako na familia Yako, acha watu wafanye kazi, nyie badata mnategemea Kodi zinazotokana na wasanii ambao ndio wanapata mapato kupitia wasanii mnaojidai eti wanapotosha maadili, acheni kazi basata nendeni mkaajitiwe kanisani na misikitini😂😂😂
Kila binadamu ni wenye tabia ya kukosea wala wewe usijali zuchu kikubwa ushaomba radhi imetosha wao wenyewe wana yao mwinjaku ww muongo mwinjaku mengine unasema uongo eti ujumbe kwa wake wenzio sema ww tangu zamani mwinjaku humpendi zuchu
Mwijaku dis Quoi quand harmonise se permet de poster le slip de poshquenn en sentant son odeur L'hypocrite de mwijaku n'a rien dit et le ostaz et votre Basata ont fermé la bouche et vous venez ici pour parler de la morale de quel morale parler vous Tanzanie vous détester zuchu quan je vois d'autres artistes féminine elles s'habillent comment de la même façon mais personne n'a parlé. Peuple primitif 😂
Mwijaku we fala tu kwani huko Tik Tok wanaoweka vitu vya ajabu ni watanzania?? Kwanza jua kama umeruhusumtoto wako kutumia Android tayari umemuharibu mwenyewe applications za Android ni world wide kwani internet ya Bongo au Zenji imepewa limit isilete vitu kutoka nje ya borders??
@@ashaali7154 itakuwa una matatizo ya kuelewa kiswahili nimemaanisha kwamba social media ni pana sana kwamba wanaweza wasifanye wa Tanzania ila watafanya watu wengine from Abroad na kwa ukiwa Tanzania utavicheki sababu kwanza Internet ya Bongo haijalimitiwa kama Russia ili kuleta content za nchini tu sasa utazuia je vitu kama hivyo?
Sawasawa mwijaku zuchu mwehu sana hana malezi ya waz azi wake inasikitish a sana hana malezi ya mamaake anape wa uhuru sana na m amaake hebu abadi like ampe onyo zuch u anafanya upumb avu mwingi sana ma maake yupo kimya tu hovyoooooo sana
Mama shangingi mtoto kunyooka zinahitajika kudra sana za mungu.
Yaani mwijaku mkweli wasanii wanaonesha mapenzi jukwaani na pia nguo za uchi matusi ya kijinga yaani angefungiwa kabisa tena hata miaka 20
Waache umalaya umewatala na sio mume wake mwanamke anae dhini tu. Huo ujinga Tanzania fateni Zanzibar yaani kilma llah shahid
Semeni ukweli watanzania yaani meijaku hongela saana
Je yey mwijaku ana malezi ya wazaz wake
Baba levo acha ukweli usemwe! Ubishi wako hio ndio maana ulipigwa zuchu hakuimba vizuri😢
Mwijaku upo sahihi
Kale katoto kauni sana. Kangefungwa na jera kabisa hata nyimbo zake za kipuuz zinaharibu sana watoto kwakwel
Safi sana alivofungiwa ata mavazi anayovaa ni uchi Tu anakaa, Hana maadili kabisa mapaja wazi wangempiga ata 5 years ili funzo kwa wasanii wanaovaa mavazi ya ovyo na wanaotoa matusi
Upo sahihi mwijaku hata miezi hio midogo sana
Baba levo ni mke wa pili wa diamond lazima afanye funjo
Kwakweli mwijaku anaongeya ukweli kabisa zuch amekoseya japokuwa alikuwa anatupa burudani kunavitu vingine huwezi kuviongeya muwatu hasa penye kuna watu na watoto watasikiya
Zuchu itakuwa anapiga miguu yote km kichuya😂😂😂
Zuchu na matusi yake honey honey nyani kwenda na uchafu wake
Sio madili ya Wa Tanzania bali ya Wa Africa wote tume chukia baba levo kama anaona matusi Ni mazuri mbona hayatumi kwake nyumbani
Respect kwako mwijaku
Team mikundu wte wanaona baba levo yupo sahihi, Laaana matullahi
Huyo baba levo anatetea ugali tuu hapo
Mwijaku yupo sahiii kabisa zuchu afungiwe miaka 10
Baba levo ako 💯right
Kuma we baba levo haki kamfanyie baba yako kama matusi yana haki
Mwijaku leo umesema zuchu afungiwe amefundisha watoto matusi sanaa sio matusi sss ni wazaz inatuuuuma
Sio zuchu tu miziki si haramu ?wote wafungieni kwani hao wengine waimba nini si hayohayo tu
Tangazeni no miziki Tanzania tuishi kwa kumwabudu Allah hayo ndio madili lkn vinginevyo mwajidanganya tu mwinjaku mwenyewe wakati mwingine akaa na kipensi tu na mwanaye na mke wake leo aleta shobo kwa zuchu
Kama umemruhusu atumie Android mtoto wako basi ushamharibu mwenyewe
Mziki wowote haramu hakuanza kuimba zuchu. kwan wasanii wangapi wa kike wa bongo wanakaa uchi na matusi
Babalevo hamnazo sana😂😂😂😂😂😂
Ndomana anapiguwa
Mku ni nn? Angefaa afungiwe milele
Daaaah.. ila.. kweliii.. kakosea.. bwana..
Mwijaku unaongea vizuri ila tatizo lako unaegemea upande mmoja tu tena wa wcb wakati wapo watu wengi wanakosea huko upande mwingine ila upo upande wa negative tu kwa wcb hujawahi msifia hata msanii mmoja😊
Umeongea point mwijaku
Baba levo.ni mbwa
Sasa huyu baba levo ni mwehu mkubwa maana yeye hata wcb wakifanya ujinga yeye kwake ni sawa wala haoni makosa,ujinga sana kweli.ongera sana mwijaku kwa kutetea maadili
Wewe blevo acha kumzuru mwenzako akemeye mapepo.
I am telling you Wabongo nyinyi
Baba levo ana umri wa miaka mingapi? Mbona kama chekechea
Baba levo kumbe mgomvi ndio maana konde akakubutua
Huyo baba levo anafirwa huyo ndomana anafurahia
Kha😂😂😂awa watu vip
Sasa nimeamini kama Hawa wote machawa kama hauwamini angalia walivyo vaa Yani wote ni mista black Yani chawa pro max vs Infinix hot fifteen
Ndio amebadilika ameharibika sana hana maadili
Mwijaku upo sahihi....huyo baba levo ni chizi na ananjaa tuu
Yaan baba levo ni mbwa huyu ata sisi tumechoka matuc zuchu amekuwa ni mtu msanii wa kike asiyekuwa na maadili hapa Tanzania mpka bara
Baba levo nayeye afungiwe Kwa kutetea ujinga..nikwer zuchu alitukana ..kwamana alikuwa na hasira hasira hasara
sasa baba levo ana kazi gani yakufungiwa
Ila vidoo n mnafiki ulivo serouz 😅😅😅😅
Uko sahih Mwija
Kama hana wazazbhan
huyu.baba.levo.km.upo.uwezekano.wa.kufungiwa.asihusishwe.na vyombo.vya.habari..kwa.kuhojiwa.mada.yoyote.na.akionekana.kuna.midia.inamuhusisha.bs.chombo.hicho.kichukuliwe
hatua.yangu.hayo.naomba.wadau.tushirikiane.kwa.hilo.
Mwajaku umeongea ukweli miaz sita kidogo ajifunze heshima mbona musiwe kama kiba
Uchawi sio kuroga tu hata kukandamiza mtu ni uchawi 😂😂😂
Si Mkuki ule😂😂
Ndo mana bba levo huwa anapigwa sanaaaaa
Zuchu hawezi kuwa msanii mkubwa Zanzibar
FATMA ISSA awe nani
Huyo zuchu ni zuzu ana jiona yuko na dudue tena anaporoja mwanamke mzima hana hata haya dah mbele ya watu wote wale ana sema vile
Zuzu ni wewe mbwa nyinyi 😏😏 nyinyi ni akili zenu kufikiria ngono tu 😏
@@hassanmakokha274 SWA bwana wake zuchu
Nina wasiwasi wa baba levo na jinsia yake,, kwani hata yeye mwenyewe hajijui ni jinsia Gani,, choko hili
Mbona harmonise amejirekodi ananusa chupi? Au sio shida hiyoo
Acha wafungiwe wanaonyenya matako ovyo ovyo kuku awa angefungiwa ata miaka mitano 😪😪
Machawq
NAWAULIZA WANZAZIBARI MAUZINDE TAARAB NA WENZAKE VP?
Niatari😂😂
Mfukuzeni naatiwe adabu
Baba levo atakufa kwa ajili ya Diamond hata akikosea vipi atamtetea tu mbwa huyu.
Baba levo uko sahihi
Timu mikundu mnasapot ujinga tu
Mjinga hayupo sahihi kama wewe zuchu mwenyewe kakili makosa alofanya zanzibari na kaomba msamaha levo hana akili
@@johasaeed391 Njaa znamsumbua huyu
Wao hawa jipya kwa sasa tushawazoea
Baba levo hupo sahihi
Chizi mmoja umeona hyo clip au ndio team mkundu?
Hata mafuzi niuchitu watoto wNaona
Kakosea sana jamani baba levo usitetee ujinga kitendo kile sio anaonyesha kidole matakoni
Kafanyaje kakosea nin? Hiv umeona ile video ya harmonise ananusa vyupi vya mwanamke je ni sahihi?
Tumeisha wazoea hao
Mwijaku Milano tena, Kiukweli zuchu katukana live bora alivyofungiwa hapate adabu
Et ww ndo unamharibu zuchu🤣🤣🤣🤣🤣
Maadili nyumbani kwako na familia Yako, acha watu wafanye kazi, nyie badata mnategemea Kodi zinazotokana na wasanii ambao ndio wanapata mapato kupitia wasanii mnaojidai eti wanapotosha maadili, acheni kazi basata nendeni mkaajitiwe kanisani na misikitini😂😂😂
mwinjaku unakosea kwani zuchu ana mume au hawara
Alitakiwa awekwe jela mwaka
Hawa jamaa miyeyusho sana
Angefungiwa hta miaka 5 huyu huyu mtoto kakosa maadili kabisa
Wew unaamaadili
Mwijaku ana mdomo chafu, kwanza yeye ajirekebishe
Kila binadamu ni wenye tabia ya kukosea wala wewe usijali zuchu kikubwa ushaomba radhi imetosha wao wenyewe wana yao mwinjaku ww muongo mwinjaku mengine unasema uongo eti ujumbe kwa wake wenzio sema ww tangu zamani mwinjaku humpendi zuchu
Kweli hakuna asiyefanya makosa kikubwa ni kujisahihisha Tu.Uko sahihi.
Vido utapigwa na ww
Nyoooo upumbavu wako ulio ufany mdogg au unajisaulish wtt wako na wew wakija wakizion picha zako zavitend sibora iyo kidg Ina mafumbo
😅😅😅😅😅😅
Kumbe mwijaku hana nguvu 😂😂😂😂😂
Wew mwinjaku mbona madili huna kujifanya mtu wa busara hali ya kuwa huna
😂😂😂
Mwijaku ache unafiki yye hajWahi kukosea
😂😂😂😂😂
utoto
Huyo mjaku nae nihamnazo
Mwijaku dis Quoi quand harmonise se permet de poster le slip de poshquenn en sentant son odeur
L'hypocrite de mwijaku n'a rien dit et le ostaz et votre Basata ont fermé la bouche et vous venez ici pour parler de la morale de quel morale parler vous
Tanzanie vous détester zuchu quan je vois d'autres artistes féminine elles s'habillent comment de la même façon mais personne n'a parlé.
Peuple primitif 😂
Mwijaku we fala tu kwani huko Tik Tok wanaoweka vitu vya ajabu ni watanzania?? Kwanza jua kama umeruhusumtoto wako kutumia Android tayari umemuharibu mwenyewe applications za Android ni world wide kwani internet ya Bongo au Zenji imepewa limit isilete vitu kutoka nje ya borders??
Kwa hiyo ticktock ikifanya uchafiu na watanzania waige? Acha ujinga wewe.
@@ashaali7154 itakuwa una matatizo ya kuelewa kiswahili nimemaanisha kwamba social media ni pana sana kwamba wanaweza wasifanye wa Tanzania ila watafanya watu wengine from Abroad na kwa ukiwa Tanzania utavicheki sababu kwanza Internet ya Bongo haijalimitiwa kama Russia ili kuleta content za nchini tu sasa utazuia je vitu kama hivyo?
Hawa wajinga nawapenda mno😅😅😅😅😅
😂😂😂😂😂
😂😂😂
😂😂
😂😂😂😂😂😂