Aseee namuuliza G hii mistari hii ngoma inaitwaje na iko u2b Au laws "X unajuwa ma9t kner wa2 wamikesha leo gambe limetanda km wingu bas gambe itanyesha .........nEmbusema mapema Kama mbegu inapandwa Ama mbegu inaliwaaa"
Shati zimefanana na alovaa kwenye kipindi lina mikono mirefu la shart lakwenye video mikono mifupi color tu its looks same as u can see, Janja kamuotea😀
🙌daah Gonga beat apo naona kun mjamaica apo nouma saaan🔥🔥🔥
Hivi ni kweli na mm sijachelewa 😀😀😀 bs nipewe malike meng
### mo town sanya ### hivi Ni kweli ### gonga beat
Mi niko kenya ila namfahamu G nako very well
Mbeya boy ametisha sanaa
Dogo wa mwisho alie chana inatakiwa kusaidiwa yupo na kipaji ila msanii wa leo nae njaaa tuu angeonesha love japo kumpa namba tuu
G nako ujulikan bro uko dar
Daah konga beat ya leo Kali San 🔥🔥🔥 # mapenzii balaaaaa
😂😂😂
Ila sanya utatuua kwa kicheko daaaah😂😂
Wangapi tunamkubali g nako gonga like tujuane
Daah jamaa uyu nafkiii sana mo town nakubali 🔥🔥🔥
Chombo kwa hewa na sanya nembo ya mtaa 🇶🇦🔥🔥
😅😅😅😅😅 gonga beat ya mabubu leo
Nampenda sn G nako
Inaitwa wasafiiiii
LALALA! LELELEEE! MAPENZI BALAAAAAAAAA
😂😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣yaniii
Mm watatu naomba irudiweeeeeeeeee
🤣😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣yaan Huyu msanii wa tukuyu mbeyaa hajui ht km huyo n G 😂😂😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙌watu wa tukuyuuuuu ba chimala mmeniangusha sana
😂😂😂😂
Amazing sana the say this nomaaaa ebwana daaa siopoa so fantastic.
Pindi la kijanja Sanaaa 👊🇹🇿
G nako nakupenda nakupenda ten natamani siku nikuone
Usjal tutaonana my
@@wanderenyeura9011 😄😄😄😄
@Masha Masha hahahha
🤣🤣🤣🤣shati lake ndo hili hili na vigungo kafunga hivi hivi🙌🙌🙌🙌
Dah!kama vile hujamtendea haki G mwanangu
Mo townsanya sana kaka nakubali💪💪💓💓
Njoo zanzibar na mkojani
Wara wara ni nomaaaaaa sana chorus killer
Aseee namuuliza G hii mistari hii ngoma inaitwaje na iko u2b Au laws
"X unajuwa ma9t kner wa2 wamikesha leo gambe limetanda km wingu bas gambe itanyesha .........nEmbusema mapema Kama mbegu inapandwa Ama mbegu inaliwaaa"
Shati zimefanana na alovaa kwenye kipindi lina mikono mirefu la shart lakwenye video mikono mifupi color tu its looks same as u can see, Janja kamuotea😀
🤣🤣😂
Nakukubali sana 🔥🔥 G
Jamaaa mwenye shart ya blue hamjui gnako duuh
Daaah interview hii wamemwaribia g naco
Mungu anyeee shindwa shetan
Mhuuni kama mhuni G Nacko
Sanya mungu anakuona .......mapenz balaa😂😂😂
Sanya nakubali sana bt wadada mbn hamna au wanakukimbia😊
Next awe simba mwenyewe, diamond 🔹 platinumz
Atafute uwanja ikiwezekana ampeleke taifaa
Mhuni wa kwanza kuhojiwa amekaza ile mbaya mpaka presenter amejawa upepo kiaina 🤣🤣🤣🤣
Wa pili kazingua
Leo wakwanza jaman nami naomba like zenu mana naona zinautamu🤣🤣🤣🤣 aaaaaababa
Hahahahahahha mamaeee hik kipindi kinanifurahishaga sanaa,,, moo town
Me pea huwa nafurah sana
Nampenda Gnako jmn kakaa kiume sana marastarasta makoti ya ajabu ajabu na jua Kali hana izo mambo
Mapenz baraaaaa nae anaonekana anaumizwa sana jmn na mapenz
Lalaleleh lalaleleh mapenzi barahaaa😂😂😂
G Nako wala wala
Mo town uwa najiuliza hiyo gonga beat uwa unacheza nini SAS😂😂 mahan watu wenyewe wana ng'ata maneno hatar
G nako kama kweli aweke chorous kwa mwana apo yuko vzuri jamaa kidogo2 pigwe msasa iyo heat song
Sanya mor.... 💪💪
FUNZO KWA G NAKO WALAWALA. Kamia zaidi as single artist pia.
Mim kunako nifurahisha nihuku mwishoni tuu wanaimba kama hawana maneno 😂😂😂😂😂😅😀
Hahaha uwii
Gonga beat ni balaa
G wara waraaaaa
Eti ukiona kwenye nimezinguwa unaweza kukata😂😂😂😂😂
Ila G nako mlef dohh hatar na nusu
Weus uyo jamaa anaimba style yenu Nmemkubali✔️✔️✔️✔️✔️✔️
G nako we love u boy
Dar hamna wahuni G nako king wa beat stly peke yke dar wtto wazuri 2
Mwana namkubali San juz kaingia babt ila ajatimba nangwa ucitususe wana kak g
Mo town sanya
Mo Sanya mnafki sanaa😝
Ila wabongo mutuache muache uongo.😁😁😁😁
Mnatoa sana mabokoo
Gonga like hapa ubarikiwe 💪
Mapenzi balaaaaaaaaaa
😂😂😂😂😂😂🤣😂🤣
Noma sana
😁😁😁😁mnazingua iyo sio kwamba mwamba mmempanga nn azingue ma g by Sam9t
Hamna akishirikishwa huwa anaua
Hapo kwenye gonga bit ndio Kuna nikosha
Makini
Nice
Ila mo town mnafiki saaaanaaa😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Sanaaaa
Sanya snitch unacheza nini🤣🤣🤣🤣🤣
Hasi na chana...🤔🤔🤔🤔
Hivi ni kweli hawa jamaa wanaimba wakiwa serious🤣🤣🤣
Yeah
Mo town huendi mbinguni
😄😄😄😄😄😄
Fanya udondoke na Aslay
shati ni hilo hilo g nako
Gonga beat noma kuna jamaa nmehisi anataka kunya
Nimecheka mpaka nimehanguka chini jamani
Sanyaaa
Kweri wabongo mtuacher😀😀😀
Ujage unihoji hata Mimi mwanangu unaendaga wapi hao hawajui wasanii wakubwa haoo.
Huko mwishoni ss😂😂😂
G...ana dimpoz
Mooo sanya habari ya mjini
😂😂sanyaa anazinguaa snaa
Sema Wana wanatoa maboko Sana😂😂😂
Wafafi tivi muna nimalizia mb zangu kwa vitu vitamu mo sanya unatisha natazama kipindi chako mpaka nasahau kula fom Mozambique
Lalalaaaa....leleleee...mapenzi balaaaa🤣🤣🤣🤣
G warawara chuga
Huyu dogo namjua mpaka kwao kigoma duu leo nimemuona usafini duu
Nilimiss kipindi hiki
mapenz balaa bonge la rmix
Sanya adi amecheza 🤣🤣🤣mpenzi balaaa 😂😂
Duh wabongo bwana haha wabaweza kukufelisha kinoma ila mo sanya eikambe meku aseeee
Nimechekaa leo jamani
N msanii wa kwanz naemkubal TZ
KINGI MUZIKI😅😅
Wcb 4life
Tabia za wakenya
Mwana ktk gonga beat kakomaa "naaanaaa mapenzi balaaa" 🤣
"Naaanaaaa Am living my life"
Sema rapper wenu kazingua .........😁😁😁😁 We rapper huwajui marrapper wenziio
😂😂😂😂Beat sasa
Jamaa amefanya remix moja ya hatari eti mapenzi balaa😂😂