SNAKE BOY | 16 |

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ก.ย. 2024
  • Follow Me On Instagram
    / clamcris_
    Tiktok:
    / clam_cris
    Facebook:
    www.facebook.c...
    #clamvevo
  • บันเทิง

ความคิดเห็น • 2.9K

  • @siriyake_films569
    @siriyake_films569 9 หลายเดือนก่อน +598

    Kwenye Top 10 ya wanaoitazama filamu hii wakiwa nje ya Tanzania tupeeni like zetu plz❤❤❤ Clam you are the the best

  • @Mshedede77-uv7cv
    @Mshedede77-uv7cv 9 หลายเดือนก่อน +242

    Jaman baadaa ya kuchelew mda mrefu hatimae Leo kidogo nimewah naomba like 50 tu❤

    • @NajmaSadala-fq3vf
      @NajmaSadala-fq3vf 9 หลายเดือนก่อน +1

      Namimi leo nimewahi

    • @Immahjr
      @Immahjr 8 หลายเดือนก่อน +3

      Umepewa like 137 na reply mbili Ehee unauza Bei gan

    • @Mariam-er8nn
      @Mariam-er8nn 8 หลายเดือนก่อน

      Safi sana ila mnachelewesha sana

    • @mohammedkidody5618
      @mohammedkidody5618 8 หลายเดือนก่อน

      Chukuwa zote😂😂😂

    • @user-do1le7sx6z
      @user-do1le7sx6z 8 หลายเดือนก่อน

      Mbna km ndongo iv

  • @kijanaWaMamaBhajia
    @kijanaWaMamaBhajia 8 หลายเดือนก่อน +68

    Wakenya tunapenda sana hii series, wapi like zetu??

    • @KuluhiroAfrica
      @KuluhiroAfrica 8 หลายเดือนก่อน +1

      Twaipenda kweli ila anachukua muda sana kuleta ingine

    • @violamagova6685
      @violamagova6685 2 หลายเดือนก่อน

      Hapa nayo hujadanganya😂😂😂

  • @maryamabdalla5644
    @maryamabdalla5644 8 หลายเดือนก่อน +10

    Cjui wangapi ila naombeni like ata 10 wa pendwa. Km kwely tunamunga mkono clam kutokana na kazi zake nzuri.

  • @user-rv9kq3up5d
    @user-rv9kq3up5d 7 หลายเดือนก่อน +6

    Kazi nzuri sana hongereni washiriki wote mungu azd kuwatia nguvu na ufanisi zaid

  • @princekillian3640
    @princekillian3640 9 หลายเดือนก่อน +46

    Wakwanza leo from kenya much love 🇰🇪🇰🇪🔥🔥

  • @skeyboy2
    @skeyboy2 9 หลายเดือนก่อน +78

    ongera sana clam kua viote big boss best fend pamoja na snake Boy tuna jivuniasanatuu kukupata mutu kamaweye munipe like zangu okay 👍

  • @giftzabayo6335
    @giftzabayo6335 9 หลายเดือนก่อน +58

    wa kwanza from USA🇺🇸 but please team clam vevo don’t delay with episode 17👏👏

  • @Professor.Irene95
    @Professor.Irene95 8 หลายเดือนก่อน +9

    Clam na time nzima mmeua mnastaili Maua yenu from dubai tunawapenda sana 🇦🇪🇦🇪❤️❤️🇹🇿🇹🇿❤️❤️ kazi nzuli kweli kaka umetuliza kichwa wewe nimlisi wa bongo movie sali sana mungu akuweke utimize malengo yako na ya filamu Tanzania 🇹🇿 ❤❤❤❤❤

  • @cyprian.dimoso2083
    @cyprian.dimoso2083 8 หลายเดือนก่อน +9

    Vevo wewe nimuigizaji waina yakee katika afrika hii hongera kram vevo unajuwa kaka mungu akuzidishie nguvu uzidi kupambana akuepushe na mabaya yoteeeee❤

  • @jamesjesus6937
    @jamesjesus6937 9 หลายเดือนก่อน +112

    One of the best Movies in 2023 , Hongera sana clam na Kakoso kwa kazi kubwa mnayoifanya ❤

  • @BrunolKoinange-ei6hd
    @BrunolKoinange-ei6hd 9 หลายเดือนก่อน +117

    Congratulations to clam vevo's team
    Napendaga chapati na malagwe
    From 254👋👋👋

  • @officialboireezy_
    @officialboireezy_ 9 หลายเดือนก่อน +815

    Wakwanza pap tusonge pamoja na nimekua mmoja wa kundi la clam soon nitakua kwenye tamthilia ijayo❤sappoti

    • @skeyboy2
      @skeyboy2 9 หลายเดือนก่อน +15

      Amu comenti via mahana

    • @luluyohanalambo9404
      @luluyohanalambo9404 9 หลายเดือนก่อน +8

      @@skeyboy2 umeona eeh sasa mtu anataka likes zinamsaidia nn sasa wananikera hawa

    • @maggemonalisa4331
      @maggemonalisa4331 9 หลายเดือนก่อน +6

      Nakuonea wivu🙆

    • @Enockkimata
      @Enockkimata 9 หลายเดือนก่อน +4

      Mnachelewa kutoa

    • @Farasitz
      @Farasitz 9 หลายเดือนก่อน +3

      ❤❤❤

  • @ramadhaniharidi1682
    @ramadhaniharidi1682 8 หลายเดือนก่อน +4

    Nimeipenda iyo chakula kimechelewa kufika ndizi zimeisha aaaahhhh.mapenzi hassara

  • @johnkama4923
    @johnkama4923 8 หลายเดือนก่อน +4

    Very proud of Clam from Our Country Kenya good job & good luck ❤

  • @djnelyford6487
    @djnelyford6487 9 หลายเดือนก่อน +64

    Clam Vevo is on another level....yaani Clam ameamua kuwazika akina Steve Mweusi, Ndaro na Makoti wangali wazimaa. Watching from Kenya Nairobi

    • @miishhassn
      @miishhassn 8 หลายเดือนก่อน

      😂😂uchonganishi huo 😂

  • @ashahamisi5884
    @ashahamisi5884 9 หลายเดือนก่อน +15

    Nisiwe mchoyo wa shukrani ❤❤❤ahsanteni sana move ni nzuri mnooo pia tunashukuru angalau sikuhizi tunaangalia muda mkubwa tofauti na mwanzo dakika 8 hongera za dhati kwenu nyote washiriki wa hii movi pamoja na muhusika mkuu.

  • @AmosSinkala-lx4sl
    @AmosSinkala-lx4sl 9 หลายเดือนก่อน +121

    Mimi wa Kwanza kutazama kanumba wa Sasa 👏 Clam never disappoint 🎉

    • @yussufismail3062
      @yussufismail3062 9 หลายเดือนก่อน +3

      Hakuna kupewa like zako hapa

    • @AmosSinkala-lx4sl
      @AmosSinkala-lx4sl 9 หลายเดือนก่อน +2

      ​@@yussufismail3062kwani Nani kakuomba like wewe 😂

    • @Kabeya410
      @Kabeya410 9 หลายเดือนก่อน +2

      Mnaoomba like wote kenge tu pumbavu zenu mkome mnajitangaza UJUHA WENU.

    • @AmosSinkala-lx4sl
      @AmosSinkala-lx4sl 9 หลายเดือนก่อน +1

      ​@@Kabeya410acha shobo, umeona neno la kuomba like, utatolewa marinda ukiendekeza tabia zako za kishoga

    • @Kabeya410
      @Kabeya410 9 หลายเดือนก่อน

      @@AmosSinkala-lx4sl we kenge acha shobo umeona wapi nimeomba like ili iweje we ulioomba like imekupata kama inauma CHOMOA CHOKO WEWE ATI UNABANA PUA OOO NAOMBA LIKE KWA KAZI GANI UTAPAKATWA MBWA WEE.

  • @qaltumsaid3095
    @qaltumsaid3095 8 หลายเดือนก่อน +8

    Wale wa kuchelewa kuangalia tujuane tafadhali ❤❤❤❤❤😊

  • @VivianRyoba
    @VivianRyoba 8 หลายเดือนก่อน +2

    Kwa kweli unakoelekea naona kabisa unafata nyayo za steven kanumba clam vevo mungu akusaidie

  • @user-os8vm3cx2l
    @user-os8vm3cx2l 9 หลายเดือนก่อน +20

    Much love ❤️ from kenya 🇰🇪 si wanifahamu si nanga umbea umbea... clam vevo kazi nzuri sna

  • @husnabilali3099
    @husnabilali3099 9 หลายเดือนก่อน +11

    Clam VEVO naona kabisa mpk 2024 utakuja kumfikia kanumba much love ❤❤🎉🎉🎉

  • @felistersakwa2568
    @felistersakwa2568 9 หลายเดือนก่อน +18

    Wakwanza leo kuwatch, team hamam team kujiamini nawarepresent niko mbele nimewashikia viti, also representing Kenya my country🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

    • @khamoshmikidadi618
      @khamoshmikidadi618 9 หลายเดือนก่อน

      Tupo team hammam nawakilisha Zanzibar 😅

    • @SerenakaremboDzombo
      @SerenakaremboDzombo 9 หลายเดือนก่อน

      Here we go🎉🎉🎉🇰🇪🇰🇪

  • @jamesalfred6675
    @jamesalfred6675 8 หลายเดือนก่อน +18

    Mnajua mpaka mnakera watu wangu,big up sana kwa director na washiriki wote wa siries hii kali ambayo ina mafunzo na burudani za kutosha🔥🔥🔥🔥

  • @mariammakwaa1698
    @mariammakwaa1698 8 หลายเดือนก่อน +3

    Haisee hii move mume wangu na mtoto wangu wanaipenda ubarikiwe clam

  • @e-trendingtv
    @e-trendingtv 9 หลายเดือนก่อน +23

    Nilikua siangaliagi bongo movie ila clam kanikamata kuanzia kwenye big boss,best friend na hii 🎉

  • @khamiswapemba9019
    @khamiswapemba9019 9 หลายเดือนก่อน +125

    Congratulations to you all team kakoso good work

    • @jamesnyambura6292
      @jamesnyambura6292 9 หลายเดือนก่อน

      This guys are doing that thing they way it should be much love from Kenya

  • @aswaneliphas2271
    @aswaneliphas2271 9 หลายเดือนก่อน +17

    Much love from Kenya people from tz we loves you alot like back tz people

  • @Sane_Issa007
    @Sane_Issa007 8 หลายเดือนก่อน +16

    Clam wewe unajuwa sanaaa ninapenda sana the way you are so creative unamfanya mtu anaeangalia movie awe ana concentration ya hali ya juuuu sanaaaaaa 😍😍😍😍😍😍

    • @GraceGasper
      @GraceGasper 8 หลายเดือนก่อน

      By Greas,, Nice saan❤

  • @joanbwahama-rx3tc
    @joanbwahama-rx3tc 8 หลายเดือนก่อน +3

    Iclam unajua tena zaidi ya kujua sema shida yako move zako zinaishia njiani❤❤❤

  • @SaroMwaringa
    @SaroMwaringa 9 หลายเดือนก่อน +68

    Waah Noma Sana still waiting for the next episode MWARINGA nikiwa Mombasa KENYA 🇰🇪 love you guys ❤❤

    • @MwanaharusiKarisa
      @MwanaharusiKarisa 8 หลายเดือนก่อน

      Mwaringa which😂

    • @yasminoluoch169
      @yasminoluoch169 8 หลายเดือนก่อน

      Maringa who😂😂 uko mombasa wapi

  • @AnzuluniAlfane-wp5nf
    @AnzuluniAlfane-wp5nf 9 หลายเดือนก่อน +6

    Wakwanza nipo like zangu from Mozambique

  • @angelinamgaya5802
    @angelinamgaya5802 9 หลายเดือนก่อน +103

    Kama unaangalia snake boy huku unasoma comment naomba gonga like hapa ya upendo kwa clam vevo

  • @AminaAlbert-m4o
    @AminaAlbert-m4o 8 หลายเดือนก่อน +26

    Much love ♥️ from Kenya 🇰🇪🇰🇪 Clam never disappoint keep up

  • @kassimabussa6583
    @kassimabussa6583 8 หลายเดือนก่อน +3

    Sikuhizi mnatufurahisha Kwa dakika mmeziongeza Safi sana hongereni sana team VEVO

  • @dorcahnyabo4713
    @dorcahnyabo4713 9 หลายเดือนก่อน +101

    much love ❤ from Kenya 🇰🇪 clam never disappoint keep up

  • @jellyagustino
    @jellyagustino 9 หลายเดือนก่อน +6

    Hongerani sana yaani nilikuwa sio mpenz wa kuangalia bongo movie lakin ukwel mmenikamata ❤❤❤❤❤ snake boy sarut

  • @AmosSinkala-lx4sl
    @AmosSinkala-lx4sl 9 หลายเดือนก่อน +110

    Dakika chache tu, Kuna views wa kutosha na comment kibao, hakika nafsi ya kanumba imerudi kwa Clam🎉

    • @user-zc1qh6ti2p
      @user-zc1qh6ti2p 8 หลายเดือนก่อน +2

      Kanumba mh kanumba is the favorite of people and there is no one like him.

    • @rahimmmambe7075
      @rahimmmambe7075 8 หลายเดือนก่อน +1

      Usiseme hvy Kaka kanumba tuendeleee kumpa heshima yake
      Sema tuuu anajitahidi na aongeze bidiii

    • @HusseinNgendanyi
      @HusseinNgendanyi 8 หลายเดือนก่อน

      Acha kufananisha biriani na makande

    • @user-pj1vo8eq7g
      @user-pj1vo8eq7g 8 หลายเดือนก่อน +1

      😂😂😂 acha chogo Siku kuwa waku comment 😂😂 acha kufanani kanumba na uyo na hawezi Ku fikiya kanumba ata iweje😂

  • @dionisiopires-gc4vh
    @dionisiopires-gc4vh 8 หลายเดือนก่อน +8

    Bom trabalho senhores damos a gostar muito do trabalho força 💪 Moçambique 🇲🇿🇲🇿🇲🇿

  • @CARTEL_OI
    @CARTEL_OI 8 หลายเดือนก่อน +6

    Much ❤️ from 🇺🇸 keep up guys, you are doing great job here

  • @silasmalick
    @silasmalick 9 หลายเดือนก่อน +8

    Nasisi Burundi tupo vizuri tunafatiliya hii movie hii ni international banger

  • @husseinkatambo-xl9xy
    @husseinkatambo-xl9xy 9 หลายเดือนก่อน +29

    Kenya 🇰🇪 watching anxiously waiting for the next episode....

  • @jasminabubakary5601
    @jasminabubakary5601 9 หลายเดือนก่อน +25

    Tunakukubali sana Clam ila unatuacha muda mref bila kutoa tunakuw na ham ya kusubir mpaka inaisha😢 tutolee mapema tuendelee kuangalia maan ni nzur tunaipenda❤❤❤

    • @اميرىين
      @اميرىين 9 หลายเดือนก่อน +1

      𝒌𝒘𝒆𝒍𝒊

    • @user-fo1ox2sy4u
      @user-fo1ox2sy4u 9 หลายเดือนก่อน

      Kwel bwana mpaka unakata tamaa kwann ulikuwa unaifatili

    • @jamilkhamiss1601
      @jamilkhamiss1601 9 หลายเดือนก่อน

      Kweli

    • @AminaSadallah-yi1dv
      @AminaSadallah-yi1dv 8 หลายเดือนก่อน

      Kwa wik mara1 Ni kila jumatano au alhamis ndo inaruka marachache san kuwah

    • @rich.kizza10
      @rich.kizza10 8 หลายเดือนก่อน

      lazima ichelewe maana imeongezewa muda na kitu kizuri hakihitaji haraka

  • @hamidouba8987
    @hamidouba8987 8 หลายเดือนก่อน +2

    mashallah kiukweli nimefurahi sana kila mtu amefurahishwa na wewe kwa series yako naipenda sana naitwa bahamidou ni msenegal nipo hapa ufaransa nilikuwa naangalia series nyingine zote nazipenda sana nazipenda sana.

  • @SifaMongane
    @SifaMongane 8 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤❤🎉nawa penda sana but mnatuchrlewesha sisi wa shabiki nawa tizama kutoka south africa 🇿🇦🇿🇦🇿🇦🇿🇦😊

  • @bramwelsituma6375
    @bramwelsituma6375 9 หลายเดือนก่อน +63

    Congratulations, we are proud of clam from kenya, much love ❤

  • @martinmunywoki
    @martinmunywoki 9 หลายเดือนก่อน +36

    Namkubali sana Kim. Timu yote yastahili pongezi sana.

    • @m.mmarckus6298
      @m.mmarckus6298 9 หลายเดือนก่อน

      Anatabia gani vile😂😂😂

    • @m.mmarckus6298
      @m.mmarckus6298 9 หลายเดือนก่อน

      Anatabia gani vile😂😂😂

    • @martinmunywoki
      @martinmunywoki 9 หลายเดือนก่อน

      Anaigiza role yakw vizuri sana

    • @fatumabakari2640
      @fatumabakari2640 9 หลายเดือนก่อน

      @@m.mmarckus6298za kimalaya malaya😂😂😂😂

    • @DeborahVedastus-tn7nf
      @DeborahVedastus-tn7nf 8 หลายเดือนก่อน

      ​@@m.mmarckus6298ya umalaya malaya😂😂😂

  • @fundiseif1096
    @fundiseif1096 9 หลายเดือนก่อน +11

    Snake boy mambo sio mambo ni hatariii sana 🔥🔥🔥💪

  • @hamidouba8987
    @hamidouba8987 8 หลายเดือนก่อน +2

    mashallah kiukweli nimefurahi sana kila mtu amefurahishwa na wewe kwa series yako naipenda sana naitwa bahamidou ni msenegal nipo hapa ufaransa nilikuwa naangalia series nyingine zote nazipenda sana nazipenda sana.❤❤❤❤

  • @suzanangonyani508
    @suzanangonyani508 8 หลายเดือนก่อน +3

    nili isubili kwa hamu sana ❤❤❤❤❤❤

  • @EsmailSalimo-u8x
    @EsmailSalimo-u8x 9 หลายเดือนก่อน +133

    Força clam te desejo tudo de bom
    Mozambique 🇲🇿 CADODO

  • @dullahsalum1229
    @dullahsalum1229 9 หลายเดือนก่อน +23

    Mins 17 viwes wakutosha mungu akubariki zaidi na zaidi clam vevo na Tim Yake kwa Jumla kwa tunayoipenda hii move wekeni like zenu apa.❤

  • @brysonshitiru
    @brysonshitiru 9 หลายเดือนก่อน +60

    Much love❤ from Kenya🇰🇪 clam,,,,guzisha likes tukingoja next episodes to come

  • @CHYULLUKENYA
    @CHYULLUKENYA 8 หลายเดือนก่อน +1

    Weueh,clam fire....
    🔥 🔥

  • @user-nc9zt5nb8p
    @user-nc9zt5nb8p 8 หลายเดือนก่อน +1

    From Kenya but now at Jeddah Riyadhi watching

  • @user-fy3cf1ri8m
    @user-fy3cf1ri8m 9 หลายเดือนก่อน +11

    Wakwanza leo Namben like zangu

  • @shemmaster7swaleyuun228
    @shemmaster7swaleyuun228 9 หลายเดือนก่อน +16

    Kwann NISIWE wakwanza ni kafunga mwaka. Weka like acha wivuuuu😂😂😂😂

  • @dhgraphix_
    @dhgraphix_ 9 หลายเดือนก่อน +15

    Nakubali sana nilkuwa naisubr kwa hamu sana asante sana Clam 🎉🎉🎉

  • @dosaathman2176
    @dosaathman2176 8 หลายเดือนก่อน

    Following from Mombasa Kenya
    Best movie 2023

  • @AzHaf-m1k
    @AzHaf-m1k 8 หลายเดือนก่อน +5

    Hapo kwenye mwiba jamani ulitakiwa kua na dam japo kidogo
    Ila snake boy n 🔥 sana nipeni like zangu😅

  • @tc_angel
    @tc_angel 9 หลายเดือนก่อน +44

    My favorite notification SNAKE BOY❤❤❤...Here I am Clam😂😂🙌🙌🙌🙌

    • @popla_tz
      @popla_tz 9 หลายเดือนก่อน +1

      likewise

  • @EdwinJohn-vo8uf
    @EdwinJohn-vo8uf 9 หลายเดือนก่อน +219

    Tunao cheki move yetu pendwa uku tuna soma koment tujuane hapa 😍🙌🔥🔥🔥

  • @sophiewangu7936
    @sophiewangu7936 9 หลายเดือนก่อน +31

    This one is fire 😂😂 mwakatobe kashaa aribu maneno can't wait nione ..akimezwa 😄😄😄😄am waiting 4 this........

    • @gabonmaseru2686
      @gabonmaseru2686 9 หลายเดือนก่อน +2

      Yaan Ntiba anakurupuka hlf mwoga, silaha kapewa yeye ila kaogopa kaamua kumterekezea raia😂😂😂😂

    • @idri2907
      @idri2907 9 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂😂😂😂 hata sauti yake kawa mpole

    • @ziddyziddy2524
      @ziddyziddy2524 8 หลายเดือนก่อน

      ​@@idri2907umeona alivyopoa eeee 😅😅😅

  • @laurentrichard4638
    @laurentrichard4638 8 หลายเดือนก่อน +3

    nipeni like zangu atakama nimekuwa wa mwisho😅

  • @Khatib-xp6fp
    @Khatib-xp6fp 8 หลายเดือนก่อน +1

    Yani movi iko Sawa yani action, horror, thriller,drama,sci -fi mko vizuri Sana Ila mnatuwekaaaa mpk tunasahau kitu kizuri hakipoiiiiii

  • @user-fi9wy8px8w
    @user-fi9wy8px8w 9 หลายเดือนก่อน +36

    Much love from Kenya and I can't wait part 17

  • @nadzuamrema5837
    @nadzuamrema5837 9 หลายเดือนก่อน +19

    Imeishia patamu I can't wait to see next episode akii clam congratulations 👏 Allah akujalie kwa kipaji chako inshallah

  • @user-zl2ll4pq7o
    @user-zl2ll4pq7o 8 หลายเดือนก่อน +33

    Hii tamthilia ni moto wa kuotea mbali aisee 🎉Kuna hiyo sound hapo mwisho yaani ni 🔥🔥🔥 hongera sana,hii ndio sanaa siyo wale wa kukaa kweny masofa makubwa na wanawake wenye mawowo makubwa 😂😅 .... keep it up

    • @user-zc1qh6ti2p
      @user-zc1qh6ti2p 8 หลายเดือนก่อน

      Umesema kweli yani umenifirisi

  • @Official-Bee
    @Official-Bee 8 หลายเดือนก่อน +22

    Clam mm sina furaha kwa kweli😢,unatucheleweshea sana kwa kweli,hila kazi nzuri 🎉❤
    EP 17 mpka lini Sasa kiu yake tunayo!!!!?

    • @saidirakozi1809
      @saidirakozi1809 8 หลายเดือนก่อน

      wew nipe namba yako nikutongoze

    • @Official-Bee
      @Official-Bee 8 หลายเดือนก่อน +1

      @@saidirakozi1809 .. Katongoze mamako mbwa..

    • @SediqGustavo
      @SediqGustavo 8 หลายเดือนก่อน

  • @tresorarmelndayumuhutu8705
    @tresorarmelndayumuhutu8705 8 หลายเดือนก่อน +4

    Watu wangu tupo Burundi 🇧🇮 nipeni like hapa Clam katisha sana💪💪💪💪

    • @GraceGasper
      @GraceGasper 8 หลายเดือนก่อน +1

      Dh hat Mm nik apa nachek like,, I clam katisha saan

  • @user-cl9dz6kk7u
    @user-cl9dz6kk7u 8 หลายเดือนก่อน +4

    Daah ila mnatcheleweahea mwendelezo mpaka tunasaau km Kuna sneck boy ila pamoja sana❤❤❤🇴🇲🇴🇲🇴🇲Yani hii movie tamu sana daah mambo, 🔥🔥🔥

  • @mwanjammassa8563
    @mwanjammassa8563 9 หลายเดือนก่อน +6

    Nimekuwa wa 5 leo,from USA nawafuatiliya vizuri sana

  • @atanasjisonge2538
    @atanasjisonge2538 9 หลายเดือนก่อน +16

    Big up dogo Clam pia pongezi hizi na kwa kakoso mwakatobe na Zumba nawakubali sanaaaaa

  • @AchilleChiruzi-o8e
    @AchilleChiruzi-o8e 8 หลายเดือนก่อน +1

    Napendaga sana Izi Filam Ila nina Imani sikumodja nitaonana naye clam maco kwa maco

  • @ChachaWambura-j1k
    @ChachaWambura-j1k 8 หลายเดือนก่อน +1

    Napenda kazi yako keep it up clam

  • @judithpendo9985
    @judithpendo9985 9 หลายเดือนก่อน +8

    Team strong hoyeeeeeeeeee wangp walikua wanategea snake boy km unapenda clam VEVO like apa n utwambie uko wapi 🇸🇦🇰🇪♥️♥️♥️♥️🥰🥰🥰nawapenda nyote tukutane kwa comment please 🙏 let's gether here watu wangu

    • @SalamaMaulid-r6y
      @SalamaMaulid-r6y 9 หลายเดือนก่อน +1

      Mm nipo hapa toka jana nasubir

    • @judithpendo9985
      @judithpendo9985 9 หลายเดือนก่อน +1

      @@SalamaMaulid-r6y wow amazing dear krb pamoja

    • @WardaSwalehe
      @WardaSwalehe 9 หลายเดือนก่อน +1

      Good job❤❤❤❤

  • @adandida5727
    @adandida5727 9 หลายเดือนก่อน +31

    Much love from Ethiopia 🇪🇹🇪🇹🇪🇹

  • @selinakatega6691
    @selinakatega6691 9 หลายเดือนก่อน +6

    Leo nimekuwa ws kwanza kuangalia ..jamani nyie watu mnajua sanaaa❤❤❤

  • @user-nl1nt2gr6t
    @user-nl1nt2gr6t 7 หลายเดือนก่อน +1

    Samahani vevo nami napenda sanaa sana naomba nami niwe moja yavijana wako ntajitoa kadri yauwowang kaka malengo nikujfikisha rebo mbali

    • @Everline-lg8yq
      @Everline-lg8yq 7 หลายเดือนก่อน

      Napendasanaiyo muvi❤❤❤❤😮😮😮🎉🎉 jevahlaureen
      🎉🎉

  • @biga9171
    @biga9171 9 หลายเดือนก่อน +98

    I am from congo DRC but tanzania is my second country. Bro lemme tell you something, your creativity is shining brightly! Your unique ideas and innovative approach are truly making a positive impact. Keep up the fantastic work - the world needs more of your creative energy! 🌟

  • @Khatib-xp6fp
    @Khatib-xp6fp 9 หลายเดือนก่อน +6

    Ni story nzuri inavutia na ubunifu mzuri asanten sana natamn angalau kwa wiki 2 maaan hatuna movi nyengine km hiiii

  • @ImaniIbrahimu-jb2oo
    @ImaniIbrahimu-jb2oo 9 หลายเดือนก่อน +16

    Mambooo ni motooooo sana hatriiiiii but mujitahidi musicheleweshe sana tupo pamoja sanaaaa❤❤❤

    • @celestinmutula
      @celestinmutula 9 หลายเดือนก่อน +1

      Yesssss iyo ni Noma kabs😂

  • @user-ir9xj5yt5p
    @user-ir9xj5yt5p 8 หลายเดือนก่อน

    Nimefurai kweli ungemaliza n ntiba alafu ndipo malikia tuone ilo tumbo n mtto au n nmawe😂😂😂❤❤❤nawapenda bure. Msichelewe bc nawependa lkn mbachelewa kweli

  • @user-tu2jj6nx5t
    @user-tu2jj6nx5t 8 หลายเดือนก่อน +1

    Episode 16 🔥🔥🔥🔥,,,,hongera kw Director kazi nzuri snaa n team yotee kw jumla💋💋💋💋💋💋💋💋💞💞

  • @ZainaHalifa
    @ZainaHalifa 9 หลายเดือนก่อน +6

    Kazi nzuri timu clam mungu amiongeze inshaallah

  • @Thumaommy
    @Thumaommy 9 หลายเดือนก่อน +9

    Congratulations we are proud of clam ...much love 4rom saudia

  • @fatumamohamed4545
    @fatumamohamed4545 9 หลายเดือนก่อน +14

    Dah big up bro clam Ii ep imetulia sana tatizo unatoa Moja Kwa wiki watutoa stimu sie tunaofatilia 😂 ❤ from kenya tunangoja next

  • @EsterZawadi-fh7mb
    @EsterZawadi-fh7mb 8 หลายเดือนก่อน +1

    Clam series yako ni nzur sana jitaid kuwai kutoa sio tunasubir adi wiki

  • @Estherpendo-yk8iv
    @Estherpendo-yk8iv 8 หลายเดือนก่อน +1

    congratulations Clam pamoja n Crew yote ak hii movie iko sawa 🇰🇪🇰🇪

  • @martinskabwe
    @martinskabwe 9 หลายเดือนก่อน +16

    Wakwanza from Burundi nipeni likes zangu jaman ❤❤❤

  • @bwasheeone8584
    @bwasheeone8584 9 หลายเดือนก่อน +6

    Blazaa Clam vevo chukuwa maua yako tu kwa moyo safi🇹🇿💐💐

  • @Harmontwo255
    @Harmontwo255 9 หลายเดือนก่อน +13

    pongezi kwa brother clam vevo, we respect you 🎈🎈kama unakubali clam kama mrithi wa kanumba basi support. one love brother clam, honesheni upendo kwa clam vevo let's go, like ❤❤❤

    • @raindoro5201
      @raindoro5201 8 หลายเดือนก่อน +1

      Kanumba is born again

    • @user-zc1qh6ti2p
      @user-zc1qh6ti2p 8 หลายเดือนก่อน

      Kanumba is completely different. First, an academic. Then he has not been accepted for two years. except clam knows a lot.

  • @user-pd8cm4sz7m
    @user-pd8cm4sz7m 8 หลายเดือนก่อน

    Clam wew ni nouma ni nouma yaani ni noumaa🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉😊😊

  • @alaindangote9961
    @alaindangote9961 8 หลายเดือนก่อน

    Jamani Clam naomba muwe muna towa haraka, snack boy is thé best

  • @user-me8by8by9t
    @user-me8by8by9t 9 หลายเดือนก่อน +5

    Naomba lke zangu mm ndio wakwanza leo

  • @chusseboywcb2808
    @chusseboywcb2808 9 หลายเดือนก่อน +7

    Umeupiga mwingi sanaaa hii muve tam sanaaaa❤ pia unamadini mengi Sanaa nimtoto mdogo ila unefanya vitu vya kikubwa mbona kama anaua watu wasio na hatia

    • @mchangeboy5928
      @mchangeboy5928 9 หลายเดือนก่อน +2

      Nyoka itakua ajajikontoro labda

    • @chusseboywcb2808
      @chusseboywcb2808 9 หลายเดือนก่อน

      ​@@mchangeboy5928😂😂😂

  • @gabonmaseru2686
    @gabonmaseru2686 9 หลายเดือนก่อน +11

    @CLAM VEVO ,hakika umeiva ,umejipanga na kazi yako unaiheshimu ,
    Bonge la seasons hili ,👏👏👏👏👏

  • @princemozes9923
    @princemozes9923 8 หลายเดือนก่อน +1

    Mungewacha nahizo za nyoka kiroho zinaweza kuwamili kama mnapenda Mungu

  • @keiyreginifley4209
    @keiyreginifley4209 8 หลายเดือนก่อน

    Sina neno wazee mmetishaa Sana kadri move inavyozidi kwenda kwenda mbelee ndio kwanza inakuwa tamu na Mambo mapya tunayapata ambayo mwanzo hatukujua chanzo Cha uhasama wao

  • @davidokello317
    @davidokello317 9 หลายเดือนก่อน +80

    This has been the best series 2023❤