SNAKE BOY | ep 37 | SEASON TWO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 ก.ย. 2024
  • Follow Me On Instagram
    / clamcris_
    Tiktok:
    / clam_cris
    Facebook:
    www.facebook.c...
    #clamvevo #comedy

ความคิดเห็น • 2.9K

  • @AgostinhocosmeNambanga
    @AgostinhocosmeNambanga 3 วันที่ผ่านมา +461

    Toka niaze kuangalia snake boy sijawahi pata like but today japo 20 from Mozambique 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿

  • @maryamsylivester8662
    @maryamsylivester8662 3 วันที่ผ่านมา +226

    Kama tu Umefanikiwa kuiyona episode hii ya 37 basi jua Mungu anakupenda sana usisahau kumshukuru na kufanya ibada kuwaombea wasiojiweza taabani na hata walioondokea na wapendwa wao waliowapenda sana
    Tambua Mungu anakupenda sana na yote aliyokupangia yatatimia kwa wakati sahihi
    All the best team SNAKE BOY 💪💪💪❤️🔥

  • @BannieTheJewell
    @BannieTheJewell 2 วันที่ผ่านมา +58

    Ila kama Kuna Mtu namkubali Sana ni Tanu... Mzee Ana mipango 😂😂😂😂

    • @LucyOmary
      @LucyOmary 2 วันที่ผ่านมา +3

      Tanu nomaa

    • @mohammedkidody5618
      @mohammedkidody5618 วันที่ผ่านมา

      Kabisa yn❤🎉

    • @mabrukimwakaribu8942
      @mabrukimwakaribu8942 วันที่ผ่านมา +1

      mipango hatriii mia kwa mia

    • @BannieTheJewell
      @BannieTheJewell 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      @@mabrukimwakaribu8942 Sanaa Uyu mwamba anajua

    • @graysonmatali644
      @graysonmatali644 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Anapanga mpango anapohis unafeli kashaweka mpango mbadala

  • @Elizakilisipinilikolika1996
    @Elizakilisipinilikolika1996 2 วันที่ผ่านมา +14

    Jaman nimefuraha sana leo kua mfaume kutokua nanguvu tena mana alikua ana linga sana mana kidogo tu ana geuka nyoka na kumeza wezie sasa leo kime mlamba jaman pia nimefurahi pia kua wana kipara kua bubu na mweziye pia nakupenda sana vira na bira kusaau tanu nakupenda sana umeupiga mungi sana mana una jua adi una Kela nakupenda sana 💋💕💕💕💕💕💕💕💕💕

  • @OsmanSharif-n3o
    @OsmanSharif-n3o 2 วันที่ผ่านมา +16

    Daah yaani kipara amewacha kupeleka umbea kwa malkia ame enda makao makuu kwa chifu kupeleka umbea 😂

  • @mlongomlongo6680
    @mlongomlongo6680 3 วันที่ผ่านมา +102

    Hatimaye wambea leo wamekomeshwa team hamamu let's gather here watching from Iraq 😅😅😅😅😅😅😅😅😅

    • @mwanashamwalim-dx6wb
      @mwanashamwalim-dx6wb 3 วันที่ผ่านมา +3

      Naskia rahaa hatari😅😅😅😅😅

    • @mwanashamwalim-dx6wb
      @mwanashamwalim-dx6wb 3 วันที่ผ่านมา

      Naskia rahaa hatari😅😅😅😅😅

    • @ArafatAbdallah-f3b
      @ArafatAbdallah-f3b 3 วันที่ผ่านมา +1

      😂😂😂

    • @arafamwalimu9626
      @arafamwalimu9626 3 วันที่ผ่านมา +1

      ​@@ArafatAbdallah-f3b😂😂😂😂

    • @NoorEesa
      @NoorEesa 2 วันที่ผ่านมา +1

      😂😂😂😂Raha tupu

  • @shabanimkongo2555
    @shabanimkongo2555 2 วันที่ผ่านมา +127

    Sema huyu tanu ameupiga Mwingi Sana Maana kwa namna moja au nyingine naweza sema yeye ndo kamrudisha snakeboy, Likes zenu km na nyie mmeliona hili

    • @batridapaul92
      @batridapaul92 2 วันที่ผ่านมา +4

      Sanaaa

    • @EstherJvany
      @EstherJvany 2 วันที่ผ่านมา +2

      ❤❤❤❤

    • @martinmunywoki
      @martinmunywoki วันที่ผ่านมา +3

      Tanu anajua kupanga kazi

    • @FREDYMBEPERA-m3n
      @FREDYMBEPERA-m3n วันที่ผ่านมา

      Tanu mzee wa mipango hajawai kufeli

    • @mohammedkidody5618
      @mohammedkidody5618 วันที่ผ่านมา

      Namkubali sana tanu anaweza❤🎉

  • @qaseemayoub6758
    @qaseemayoub6758 3 วันที่ผ่านมา +225

    Tusisahau kuswal na kutii maagizo ya mungu

  • @SÙAREZMAHANGOBYAOMBE
    @SÙAREZMAHANGOBYAOMBE 2 วันที่ผ่านมา +12

    Bwana yesu asifiwe ,napendelea kutoa pongezi zangu kwa team mzima ya Clam vevo ,hio nikazi ambayo tunatarajiya kuhona kutoka kwa Clam maana ndiye msanii mkubwa sasa Tanzania katika filam. ila Tanu Tanu Tanu wewe kiukweli umecheza huusika wako❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @rahmaissa1941
    @rahmaissa1941 2 วันที่ผ่านมา +16

    🎉🎉🎉❤ congratulations team clam vevoo Leo part ya Leo ni moto 🔥🔥na inafurahisha sana

  • @salumualoyce5620
    @salumualoyce5620 3 วันที่ผ่านมา +166

    Hii adhabu aliyopewa Kipara na mwenzake Sengo ni nzuri sana na walipaswa kuipata toka kitambo. Wanaume gan wanakuwa wambea kama watoto wakike mamae. Halafu Kipara akiulizwa eti anasema alishindwa kuvumilia.

    • @ArafatAbdallah-f3b
      @ArafatAbdallah-f3b 3 วันที่ผ่านมา +2

      Kweli kabisa 😂😂

    • @anniesylivester4100
      @anniesylivester4100 3 วันที่ผ่านมา +3

      😂😂😂😂😂

    • @Amidaqueen-p9l
      @Amidaqueen-p9l 2 วันที่ผ่านมา +3

      Leo kime walamba na bado hawaja koma tu 😂😂😂😂😂

    • @HudhaimaYussuf
      @HudhaimaYussuf 2 วันที่ผ่านมา +4

      Mmbea hashindwi atasema kwa ishara 😂😂😂😂😂

    • @cristaezekiel1036
      @cristaezekiel1036 2 วันที่ผ่านมา +2

      😂😂😂😂😂😂Alishindwa kuvumilia 😂😂😂😂😂

  • @frankvianey2438
    @frankvianey2438 3 วันที่ผ่านมา +186

    Waliofurahi kumuona bhailam akijiunga na team ya snake Boy wagonge like hapa

    • @aishawhite1107
      @aishawhite1107 2 วันที่ผ่านมา

      🔥🔥🔥

    • @HasnaSawaid
      @HasnaSawaid 2 วันที่ผ่านมา

      Mimi wakwaza kipala kuwabubu mana siubehu

    • @mohammedkidody5618
      @mohammedkidody5618 วันที่ผ่านมา

      🔥🔥🔥

  • @MiryamSleiman
    @MiryamSleiman 2 วันที่ผ่านมา +59

    Jaman naomben na Mimi like bs ata sku moja hamjawah kunipa from dubai 😢

    • @ghismelodie
      @ghismelodie 2 วันที่ผ่านมา +1

      Pokea tupo wote hapo hapo

  • @mrjazy-karim1012
    @mrjazy-karim1012 วันที่ผ่านมา +7

    Nani ambae amechekeshwa na kipande cha kubadilishwa bubu wambea wetu wa himaya ya nzoya😂🤣😂😅😆😃😃😂😂

  • @kanwarpreetsingh5993
    @kanwarpreetsingh5993 2 วันที่ผ่านมา +14

    Tanu ndo msaliti pekee aliyefanikiwa kucheza na akili za wengi

  • @MsomaliBeka
    @MsomaliBeka 2 วันที่ผ่านมา +57

    Hivi tanu ataupata uongozi anao upambania kweli..? Acha tungoje ep38 ❤ hongera clam vevo kwa movie nzuri 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @mmm-pe3lr
    @mmm-pe3lr 3 วันที่ผ่านมา +76

    Na iwe funzo kwa wambeya wote😂😂

    • @denicerobert9626
      @denicerobert9626 2 วันที่ผ่านมา

      Nimefrai mpaka bc akuna kupeleka umbea Kwa malikia Wala Kwa faume😂😂😂

    • @samzedykaz6799
      @samzedykaz6799 2 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂😂😂

  • @user-nz9zb7gu7t
    @user-nz9zb7gu7t 3 วันที่ผ่านมา +40

    Kwakumufanya kipara kuwa bubu' apo napenda sana 😂😂😂,alikuwa nazinguwa sana naumbeya ❤❤😂😂🎉🎉

  • @JustinKasegere-z5x
    @JustinKasegere-z5x 2 วันที่ผ่านมา +6

    Aaaaweee...
    Mamaweeeee.....😂😂😂
    Kama na ww umefurahishwa iyo fasi gonga like apa from 🇨🇩🇨🇩

    • @khadijaseif7052
      @khadijaseif7052 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Nimecheka sana leo na mfaume 😂😂😂😂

  • @tabithamutisya6664
    @tabithamutisya6664 2 วันที่ผ่านมา +6

    Wow! Ama kweli nimemkubali Tanu kwa usaliti wake big up broo.....fahume kwishaa hatimaye kijiji chafurahi....hongereni sana

    • @gibsonartisan1848
      @gibsonartisan1848 30 นาทีที่ผ่านมา

      faume aaah wee mama weee😀😀

  • @abaismailhatibu
    @abaismailhatibu 3 วันที่ผ่านมา +54

    Asslm alykum tokea nianz leo tu naomben like maan tokea nianz kuifatilia hii snake boy inshallah pia Namuomba allah atupe mwish mwema ameeeeeeeen

  • @elvinhodasultan7976
    @elvinhodasultan7976 2 วันที่ผ่านมา +24

    Tanu the master planner aki napenda kazi yako sana maana umempiga tatu bila Faume😂😂😂

  • @judithpendo9985
    @judithpendo9985 3 วันที่ผ่านมา +480

    Assalamualaikum ndugu zangu waslam wakristo bwana yesu asifiwe mbarikiwe mliofanikiwa kuwa wa kwanza ambao nao mmechelewa nawapenda saaana nikiwa team strong hoyeeeeeeeeee 🇸🇦🇸🇦🇸🇦🇸🇦🇰🇪🇰🇪❤️❤️❤️❣️❣️❣️❣️💫💫💫💫like please

    • @rizikladyherson8451
      @rizikladyherson8451 3 วันที่ผ่านมา +8

      Hoyeee❤❤

    • @YousraYasser-ju4cd
      @YousraYasser-ju4cd 3 วันที่ผ่านมา +6

      Waleykum msalam warahmatullah wabarakatuh shukurani

    • @user-dl6zs7ok3y
      @user-dl6zs7ok3y 3 วันที่ผ่านมา +5

      Walkum salam warahmatullah wabarakatuh

    • @lazarogamariel
      @lazarogamariel 3 วันที่ผ่านมา +6

      Awee! Mama weeer😂😂😂

    • @gmgimba46
      @gmgimba46 3 วันที่ผ่านมา

      th-cam.com/video/tDpa87eWHIs/w-d-xo.htmlsi=CSbCg9H2_HpFbGYV

  • @Zenabeby
    @Zenabeby 2 วันที่ผ่านมา +9

    Faumeee😂😂😂 eti awee mama weeee 😂😂😂😂😂

  • @alhimnamussasaid3619
    @alhimnamussasaid3619 2 วันที่ผ่านมา +4

    Walio furahia kumuona mfaume nguvu zimeisha piga makofi gonga 👍 ❤

  • @robertokibingo
    @robertokibingo 3 วันที่ผ่านมา +36

    I always say, you are the best movie in Tanzania (number 1) whoever doesn't accept it looks for his Tanzania

  • @Djikondj-on4le
    @Djikondj-on4le 3 วันที่ผ่านมา +435

    ni nani anaye penda kipala kuwa bubu nipeni like zake🎉🎉🎉

    • @pientopanadol1538
      @pientopanadol1538 3 วันที่ผ่านมา +4

      😂😂😂😂😊

    • @GenovevaIbrahim-de2nc
      @GenovevaIbrahim-de2nc 3 วันที่ผ่านมา +6

      Kwakeli Siri zetu zitatunzwa sasa😂😂😂😂

    • @ZuhOg
      @ZuhOg 3 วันที่ผ่านมา +2

      Mm nimefurah 😂😂 sana tena sanaaaa jamanii

    • @nyamokizainabu205
      @nyamokizainabu205 2 วันที่ผ่านมา +2

      😂😂😂😂Yani nmefurahi zaidi ya sana

    • @kenyaabdul6781
      @kenyaabdul6781 2 วันที่ผ่านมา +1

      😅😅😅😅 walahi nyinyi .

  • @annayambayamba8614
    @annayambayamba8614 3 วันที่ผ่านมา +57

    Mimi niwa tano kutokea swideni please naomba like ata mia kwangu inatosha maan toka nianze kuangalia hii movie sijapata ata liki ❤❤❤🎉🎉🎉🎉

    • @NyapambaSadokiSango
      @NyapambaSadokiSango 3 วันที่ผ่านมา +3

      Zinawasaidiaga nn hizo like

    • @Amidaqueen-p9l
      @Amidaqueen-p9l 2 วันที่ผ่านมา +1

      @@NyapambaSadokiSangome pia najiulizaga ayo ma swali 😅😅

    • @Tonyboy_tb2
      @Tonyboy_tb2 2 วันที่ผ่านมา

      ​@@Amidaqueen-p9l❤

  • @fatuma-fg9en
    @fatuma-fg9en 2 วันที่ผ่านมา +5

    Move tamu jamani siku zote si comment lkn leo imenibidi bwana ntanzi hongera Ila faume umeyakanyaga

  • @HajarfeisalOkech
    @HajarfeisalOkech 2 วันที่ผ่านมา +13

    Chifu leo umejaa na uzuni masikini sana hiyo part ya chifu leo ina umaa pia kulingana na alicho tendeah watu lazima na yeye pia aumieh 😂😂😂

  • @EswatinNizzy
    @EswatinNizzy 3 วันที่ผ่านมา +62

    😂oiii tanu we mwanet unaua balaaa 😂

    • @beatriceMbanzi
      @beatriceMbanzi 2 วันที่ผ่านมา

      aisee anaupiga mwing maua yake kwakwel

  • @SarahCharls
    @SarahCharls 3 วันที่ผ่านมา +31

    😂😂😂😂vila nakupenda saaana me naomba nguv zako zirud mala dufu kakoso pia Mungu akubariki sana

  • @ahmedngolenga
    @ahmedngolenga 3 วันที่ผ่านมา +33

    Leo nime wayi ki ukwili ila acha ni wa pongez kwa kazi kubwa munayo ifanya. Big up team clam vevo. Mungu mbele sisi nyuma

  • @gracekiwelu9123
    @gracekiwelu9123 2 วันที่ผ่านมา +4

    Tuliofurahi mfaume kupigwa tujuaneeeee😂😂😂😂

  • @abokeasukulusucre3430
    @abokeasukulusucre3430 21 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Ongera sana tanu tuna kukubali sana kwamipango yako kwawale ambao wanao mjuwa tanu wanajuwa nininamaanisha gonga like hapo kwaajili ya tanu.

  • @andylubega1537
    @andylubega1537 2 วันที่ผ่านมา +29

    Lakini tano (5) amefanya kazi kubwa sana kuludisha nguvu zantanzi me nmefulai sana 💪💪 am in ugandan

    • @ShamsiMbago-n2q
      @ShamsiMbago-n2q 2 วันที่ผ่านมา +1

      Anaitwa Tanu 😅Au Tanu yuda msalit 😂😂

  • @mustafaseif3586
    @mustafaseif3586 3 วันที่ผ่านมา +31

    Kaz nzur sana mpo vizur sana clam mungu akupe afya njema

    • @gmgimba46
      @gmgimba46 3 วันที่ผ่านมา

      th-cam.com/video/tDpa87eWHIs/w-d-xo.htmlsi=CSbCg9H2_HpFbGYV

  • @nahimanabella2478
    @nahimanabella2478 3 วันที่ผ่านมา +32

    Clam clam kazi nzuri hivi nisawa maana haukawizi tena
    Ila fanya sasa umalize hiii tunaitaji ingine mouvie after snack boy. Love you froom belgium❤❤❤❤❤❤

  • @HomeTv-xr9kn
    @HomeTv-xr9kn 2 วันที่ผ่านมา +4

    *Faume’s Laugh Is Toxic!🇰🇪*

  • @TreasureMagumba
    @TreasureMagumba 2 วันที่ผ่านมา +2

    Uwiiiii naisubiri 38 kwa hamu Sana sio kwa utamu huu🎉🎉🎉🎉🎉 king vevo king snake na team yooote chukueni maua yenu

  • @fficialally363
    @fficialally363 3 วันที่ผ่านมา +93

    Wakwanza naombeni like

    • @hamzanoor1466
      @hamzanoor1466 3 วันที่ผ่านมา +3

      Itakusaidia nini😮

    • @BANDE-TV
      @BANDE-TV 3 วันที่ผ่านมา +1

      @@hamzanoor1466 ety

    • @gmgimba46
      @gmgimba46 3 วันที่ผ่านมา

      th-cam.com/video/tDpa87eWHIs/w-d-xo.htmlsi=CSbCg9H2_HpFbGYV

    • @eliachristopher9220
      @eliachristopher9220 3 วันที่ผ่านมา +2

      Faume bwana😅

  • @MkasyswallehsaidSwalleh
    @MkasyswallehsaidSwalleh 2 วันที่ผ่านมา +25

    Wambea waili wmepatana ktka safari yao ya ububuni sivyo wnafurahisha htr😂😂😂😂ntanzi alhamdhulillah kwa kurejea uwaokoe wna himaya ...ngoma nzr na mmependeza mnavyoicheza hongereni 🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤

  • @Mpakauseme
    @Mpakauseme 3 วันที่ผ่านมา +32

    Huyo Tanu kaigiza vizuri sana

  • @mctcher9297
    @mctcher9297 วันที่ผ่านมา +3

    Mungu akufungulie kila uliombalo we unaesoma comment hii sema amina japo kimoyo moyo

  • @OthumankibabiKocho
    @OthumankibabiKocho 2 วันที่ผ่านมา +3

    Direct kakoso auna kazi mbovu🎉🎉🎉🎉❤❤❤

  • @ramazan1628
    @ramazan1628 3 วันที่ผ่านมา +75

    Asante mungu atimaaye kipala kawa bubu gonga laikkiiii kwa tulio fullai 😂😂😂❤❤

    • @مناكيني
      @مناكيني 2 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂😂😂

    • @ramazan1628
      @ramazan1628 2 วันที่ผ่านมา

      @@مناكيني 😛😛

    • @mohammedkidody5618
      @mohammedkidody5618 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂😂akome

    • @ramazan1628
      @ramazan1628 วันที่ผ่านมา

      @@mohammedkidody5618 wamezid yanii 😂😂😂

  • @TuyajengeYaishe-q8v
    @TuyajengeYaishe-q8v 3 วันที่ผ่านมา +26

    Bhailam nakutafta kila kona jamaa uko vzr sana najifunza mengi kwako

  • @RizikiDjuma-j4c
    @RizikiDjuma-j4c 3 วันที่ผ่านมา +75

    Nimechelewa sana ata liké moja vevo kutoka Congo RDC 🇨🇩
    Kamituga ✍️

  • @RashidOmary-c4g
    @RashidOmary-c4g 2 วันที่ผ่านมา +3

    Asanteni,sana ndugu zangu ote mlio wahi na mliyo cherewa hongereni san.mungu awajalie ote tuzidi kuombeana mema

  • @winfrida-kx9bj
    @winfrida-kx9bj 2 วันที่ผ่านมา +5

    😂😂😂😂😂 chifu umejua kunichekesha awe mama we

  • @emmykadenyi7977
    @emmykadenyi7977 2 วันที่ผ่านมา +41

    Kuanzia snake boy ianze hakuna siku niliyofurahia kama Leo kumuona mtanzi amebadilika nyoka na kmmeza malkia na chief wa nyoka kutobadilika nyoka tena 👏👏 8🎉🎉🎉❤

  • @Ammary-
    @Ammary- 3 วันที่ผ่านมา +44

    Tunapita nayo inshallah mungu akubaliki kaka clam na wenzio wote nasi mola awe nasi

    • @gmgimba46
      @gmgimba46 3 วันที่ผ่านมา

      th-cam.com/video/tDpa87eWHIs/w-d-xo.htmlsi=CSbCg9H2_HpFbGYV

  • @ByronRond
    @ByronRond 3 วันที่ผ่านมา +80

    Muvi nzuri sana hii kama unaikubali gonga like apa😂😂😂

  • @germainfola275
    @germainfola275 2 วันที่ผ่านมา +3

    Surprise vraiment avec Bailham nous sommes contents supers dans of Congo fola germain 🇨🇩

  • @user-ec2cj5om7v
    @user-ec2cj5om7v 2 วันที่ผ่านมา +2

    Nimefulahi sana kwa kwel kumuona ntanzi kuwa nyoka❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @Pascal-q2x
    @Pascal-q2x 3 วันที่ผ่านมา +38

    Nipo wakwaza Kaka clam kazi zuri tangu APA 🇨🇩🇨🇩🇨🇩 Kolwezi

  • @AhmadiMkata
    @AhmadiMkata 3 วันที่ผ่านมา +22

    Wakwanza Leo team clam weka like hapa
    Mambo n fire ❤️❤️🎉🎉🔥🔥🔥

  • @pakpatriot-xk7qg
    @pakpatriot-xk7qg 3 วันที่ผ่านมา +26

    Wakwanza toka Ugandaaaaa 🇺🇬🇺🇬🇺🇬🎉🎉🎉🎉🎉 likes zangu jamaniiiiiii

  • @InnocentTresor
    @InnocentTresor 2 วันที่ผ่านมา +2

    Una weza kaka 🙏🙏 ongera sana

  • @stephenkalonzo-b1n
    @stephenkalonzo-b1n 2 วันที่ผ่านมา +1

    snakeboy inatufikia sote wakenya clam kwa kweli wanipa burudani. LIKES ZA WAKENYA ZIKO WAPI

  • @SelinaDorcas
    @SelinaDorcas 3 วันที่ผ่านมา +15

    Mashalla mungu akuzidishie clam vevo na akupanulie zaid

  • @josee_official-o1y
    @josee_official-o1y 3 วันที่ผ่านมา +65

    Nimefika WA Kwanza wapi likee kama unapenda clam vevo ngona likee🤣🤣🤣🤣

    • @djtwinstar254
      @djtwinstar254 3 วันที่ผ่านมา +2

      we mama wee chief amalizia

    • @SarahJeremy-x2q
      @SarahJeremy-x2q 2 วันที่ผ่านมา

      Awee mama weee😢😂

  • @JullianaEmmanuel-tm5xg
    @JullianaEmmanuel-tm5xg 3 วันที่ผ่านมา +21

    Nan kamuona Faume, et mama wee ,mama wee,

  • @shamumarashidi3401
    @shamumarashidi3401 2 วันที่ผ่านมา +2

    Faume kama faume kimemramba bhana😹😹😹,,na huyo kipara na kikono afadhal maana wamezidi upekupeku😂😂

  • @SurprisedDrumKit-iu6rt
    @SurprisedDrumKit-iu6rt วันที่ผ่านมา +1

    😢 mm ningependa tuu kumwambia clam kuwa afanye bidii nae aposti seasons zake Netflix pia tunaitaka BIG BOSS SEASON TWO hongera pia kakoso😂 ... Kama unakubaliana na mm basi bonyeza like😢😢

  • @AmneHabshy
    @AmneHabshy 3 วันที่ผ่านมา +19

    Kazi nzuri sn leo nimecheka kidogo wambea wetu wameezwa😂😂😂😂

    • @user-ew4bu1cx9f
      @user-ew4bu1cx9f 2 วันที่ผ่านมา

      😅😅😅😅😅 kdg nizimie aky nmecheka kwa saut

    • @AmneHabshy
      @AmneHabshy 2 วันที่ผ่านมา

      @@user-ew4bu1cx9f sengo na kipara wamenimaliza sisemi sn nime rudia hio part mara kadhaa😆😆😆😆😆😆

  • @user-hd4es4hb6n
    @user-hd4es4hb6n 3 วันที่ผ่านมา +39

    Nimefurah sana kuona ntanzi kurudi kua mkombozi😂😂😂

    • @ArafatAbdallah-f3b
      @ArafatAbdallah-f3b 3 วันที่ผ่านมา +1

      Ata mie❤

    • @KhadijaG-rm8fu
      @KhadijaG-rm8fu 2 วันที่ผ่านมา

      @@user-hd4es4hb6n nilikusudia Ivo ila type wrong😂😂🙌

    • @EshaMpende
      @EshaMpende 2 วันที่ผ่านมา

      Nimefurai pia

    • @mohammedkidody5618
      @mohammedkidody5618 วันที่ผ่านมา

      Ule wakatii tulokw tukiisubiri hatimae umefika

  • @AngelBreezy-n3b
    @AngelBreezy-n3b 3 วันที่ผ่านมา +13

    Kazi nzuri sana Kila nikiiangalia hii movie Kuna kitu najifunza kimaisha big up San kaka clam🎉🎉

  • @Prince_Jr-Tz
    @Prince_Jr-Tz 2 วันที่ผ่านมา +4

    Faume umejua kunichekesha Sanaa leo

  • @ShamiriNjiku
    @ShamiriNjiku 2 วันที่ผ่านมา +2

    Napenda kipara nibubu mbye aliesomea

  • @ferouzmasoud3104
    @ferouzmasoud3104 3 วันที่ผ่านมา +15

    Hongera yenu waingizaji wote mnajuwana sanaaa ❤ Nyinyi wangese acheni kuomba like toeni maoni wangese Nyinyi 😂

  • @fundiseif1096
    @fundiseif1096 3 วันที่ผ่านมา +21

    Snake boy 🐍 inazidi kupamba moto 🔥🔥🔥👍

    • @AsminKache
      @AsminKache 2 วันที่ผ่านมา +1

      Imepamba Moto ila ndo yaelekea mwisho ivo

  • @hamzaIlunga
    @hamzaIlunga 2 วันที่ผ่านมา +12

    From zambia lusaka 🇿🇲🇿🇲 unajuwa kazi Kaka mkubwa tupia like zangu apo atakama nimechelewa kidogo team vevo

  • @cristaezekiel1036
    @cristaezekiel1036 2 วันที่ผ่านมา +2

    😂😂😂😂😂Ila kipara mmbea jamani 😂😂😂😂khaaaaaa skuhz anafanya route himaya kwa himaya 😂😂😂😂😂amekua mbea wa kimataifa 😂😂😂😂

    • @TausRaj
      @TausRaj 2 วันที่ผ่านมา

      Ndiooo😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @husseinhemedi9314
    @husseinhemedi9314 วันที่ผ่านมา +2

    Mungu ni mkubwa naww pia umefanikiwa kuiona leo shukur sana maana wapo wengi walioshindwa kuiona leo

  • @sivaboycm6633
    @sivaboycm6633 3 วันที่ผ่านมา +20

    Mbona kama iyo kali san makoko 😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀

  • @Vincent0piyo-dc1qw
    @Vincent0piyo-dc1qw 3 วันที่ผ่านมา +39

    Team Gen Z tupo pamoja na Clam vevo...Kenya tunasema....Tunaanguka na SNAKE BOY vile inafaa

    • @lilvostyke785
      @lilvostyke785 3 วันที่ผ่านมา

      Tushaskia😂🇰🇪🇰🇪

  • @yasrisimba6387
    @yasrisimba6387 3 วันที่ผ่านมา +18

    Epsd hii nmecheka Sana jmn emu nipem like zangu😂😂😂😂😂

  • @KhadijaMussa-z1f
    @KhadijaMussa-z1f 2 วันที่ผ่านมา +2

    Bububu tena umbea tutapata wapi.😂😂😂😂

  • @Prince_Jr-Tz
    @Prince_Jr-Tz 2 วันที่ผ่านมา +3

    Movie ya kumalizia mwaka hii ❤❤❤😂😂

  • @maicoandrelilepe3728
    @maicoandrelilepe3728 3 วันที่ผ่านมา +12

    Nimetia nanga na mimi, nami naomba like zangu natoka Mozambique 🇲🇿

  • @rizikladyherson8451
    @rizikladyherson8451 3 วันที่ผ่านมา +10

    Sikupenda huyo kijana kuuliwa n villa heri angejielezea

  • @DeeDan-sj1mr
    @DeeDan-sj1mr 3 วันที่ผ่านมา +115

    Tangu nianze kufatilia snake boy xjawahi kupata like😢😢

    • @TwahiruAbdi
      @TwahiruAbdi 2 วันที่ผ่านมา

      Nahautopata

    • @Herly-nika
      @Herly-nika 2 วันที่ผ่านมา

      Kwann

    • @RuyihBarry-mp2hv
      @RuyihBarry-mp2hv 2 วันที่ผ่านมา

      Mnaomba like kwani mnalipwa

  • @IbraahKongwizi
    @IbraahKongwizi 2 วันที่ผ่านมา +2

    Nîmes kuwa wamwisho nipe liké ata 100🎉🎉🎉🎉

  • @HappyMbalay-y9c
    @HappyMbalay-y9c วันที่ผ่านมา +1

    Timu bailamu temefurahi kumwona kwenye hii 🐍 shake boy naomben like tano2

  • @DJTOPRICCH
    @DJTOPRICCH 3 วันที่ผ่านมา +17

    Mimi wakwanza Ku tokeya Congo 🇨🇩🙏

  • @SobiTz
    @SobiTz 3 วันที่ผ่านมา +27

    13:04 Leo wamepatkan 😂😂

    • @MwanasitiSalim-y5c
      @MwanasitiSalim-y5c 3 วันที่ผ่านมา +1

      𝙽𝚊𝚏𝚞𝚛𝚊𝚑𝚒 𝚊𝚍𝚒 𝚞𝚔𝚒𝚗𝚒𝚔𝚊𝚝𝚊 𝚜𝚒𝚝𝚘𝚒 𝚍𝚊𝚖𝚞 😂😂😂

    • @MargaretMaina-254
      @MargaretMaina-254 3 วันที่ผ่านมา +1

      😂😂😂😂wamekipata

    • @erickulomyORG
      @erickulomyORG 2 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @fatmaomar_001
      @fatmaomar_001 2 วันที่ผ่านมา +1

      😂😂😂😂😂

    • @husnansabimbona4496
      @husnansabimbona4496 2 วันที่ผ่านมา +1

      Nafurahia iyi sana😂😂😂

  • @MbalasaJRMwakabalile
    @MbalasaJRMwakabalile 3 วันที่ผ่านมา +18

    Daaah kitu kinachoniuma moyo na kunipa presha nikwamba 2080 wote tunaoandika sms saiv tutakuwa tumekufa😢😢😢😢 naogopa mm jmn

    • @LilianCosmas2025
      @LilianCosmas2025 3 วันที่ผ่านมา

      Nakiona iyo profile naogopa zaidi nachoka nachoka mimi😂😂

    • @user-he3me7co9y
      @user-he3me7co9y 3 วันที่ผ่านมา

      Tumrudie mungu wetu😢

    • @NadzuaMrema
      @NadzuaMrema 3 วันที่ผ่านมา

      Utaanzaa wew kufaaa

    • @MbalasaJRMwakabalile
      @MbalasaJRMwakabalile 2 วันที่ผ่านมา

      ​@@LilianCosmas2025😂😂😂😂😂😂

    • @MbalasaJRMwakabalile
      @MbalasaJRMwakabalile 2 วันที่ผ่านมา

      ​@@NadzuaMrema😂😂😂

  • @user-xq3vc2wf8s
    @user-xq3vc2wf8s 2 วันที่ผ่านมา +2

    Aweeee mama wee😅 jamn kazi nzurii sanaa

  • @naahmushi5622
    @naahmushi5622 วันที่ผ่านมา +1

    Virangaaa vimewaishaaa😂😂😂 kiparaa na kikonoo ni mwendoo waa aaaah aaah 😂😂😂

  • @brokaofficial
    @brokaofficial 3 วันที่ผ่านมา +20

    Narudia kusema kipara apawe mume aolewe😅😅 amezidi umbea kubadili nguo aah

    • @TausRaj
      @TausRaj 2 วันที่ผ่านมา

      Kheee 😂😂😂😂😂😂

    • @brokaofficial
      @brokaofficial 2 วันที่ผ่านมา

      @@TausRaj 😄

  • @KhadijaG-rm8fu
    @KhadijaG-rm8fu 3 วันที่ผ่านมา +16

    Kakoso anahitaji pongezi kaipambania sana himaya ya nzita

    • @SteveneJoshua-eh7kv
      @SteveneJoshua-eh7kv 3 วันที่ผ่านมา

      Ndiyo himaya gani hiyo??

    • @ElianaMichael-w3r
      @ElianaMichael-w3r 2 วันที่ผ่านมา +1

      Ni nzoya😂

    • @KhadijaG-rm8fu
      @KhadijaG-rm8fu 2 วันที่ผ่านมา +1

      @@SteveneJoshua-eh7kv nimemkosea kuandika na sikuhakiki kabla ya kutuma

    • @tatoohmood3867
      @tatoohmood3867 2 วันที่ผ่านมา

      @@SteveneJoshua-eh7kv 😂😂😂😂😂

  • @salimusaid304
    @salimusaid304 3 วันที่ผ่านมา +10

    Hongera snaaa kwa KAZI nzuri

  • @olivamtewele7077
    @olivamtewele7077 2 วันที่ผ่านมา +1

    Aliyecheka Kam Mimi kuona mfaume anaposikia kuwa mtanzia kammeza malkia daah 😂😂😂

  • @Blacksontigre25
    @Blacksontigre25 2 วันที่ผ่านมา +1

    Hapo sawa ngoja nifwate 🇨🇩

  • @NasriRamadhani-po1lz
    @NasriRamadhani-po1lz 3 วันที่ผ่านมา +15

    Husan ndani ya nyumba

  • @NadzuaMrema
    @NadzuaMrema 3 วันที่ผ่านมา +8

    Clam vevo my favourite actor ❤ Allah akujalie kwa kipaji chako inshaallah ❤

  • @BimoIbraimo
    @BimoIbraimo 3 วันที่ผ่านมา +17

    Asante sana clam vevo Yani ni kazi juu ya kazi

  • @SalahAyubu
    @SalahAyubu 2 วันที่ผ่านมา +1

    Nmefurahi san kipara kua bubu n shoga yke 😂😂 clam umejua kunifurahisha san nawapnda snke boy tim nzma😂❤

  • @lilianmutheki3077
    @lilianmutheki3077 2 วันที่ผ่านมา

    Leo ndio nimefurahia kabisa , kumuona mtanzi wetu karundisha nguvu zake❤much love from Kenya