This song reminds me of jalango and Alexmwakideu at Radio maisha morning show we every Thursday they had to start the show with this song 😂😂😂😂...Shusha mzunga tulewe wote💯💯
Thanks Tiffah for taking me back to my youthful stage🇰🇪🇰🇪🇰🇪2022...Am praying for better health for both you reading this and your family ..May you not tire giving your all. Peace Lad's❤
Glad to be from Nairobi and finally went and experienced Tip Top, Manzese and Magomeni man these songs take me so far away big up Tip Top Connection. Kweli hauwezi lewa mwenyewe shusha mizinga tulewe sote.
Jamani light ingekua inawezekana mkaweka tofauti zenu pembeni mkarudi kua pamoja Tena mana radha hii kuipata Tena hatuoni tip top mlikua na mziki mzuli balaaaaa
Kama unarudia verse ya Kassim na chorus ya Tundaman ndani ya huu mwaka wa 2023 Gonga like
😅😅Kassim alikuwa anaua sana kwenye verse zake. Haswa hii ngoma na ile chama kubwa ya tiptop na tmk
Kassimu ameuwa
Jalango & Mwakideu brought me here!
Goma la Manzese🤪😜
Rep- 254🇰🇪
Am here with you Happy birthday jalas❤
Tulioskiliza huu wimbo waka 2024 mwez march gonga like apa😊😊😊
This song reminds me of jalango and Alexmwakideu at Radio maisha morning show we every Thursday they had to start the show with this song 😂😂😂😂...Shusha mzunga tulewe wote💯💯
Kasimu verse ni 🔥🔥 2024
Thanks Tiffah for taking me back to my youthful stage🇰🇪🇰🇪🇰🇪2022...Am praying for better health for both you reading this and your family ..May you not tire giving your all. Peace Lad's❤
Glad to be from Nairobi and finally went and experienced Tip Top, Manzese and Magomeni man these songs take me so far away big up Tip Top Connection. Kweli hauwezi lewa mwenyewe shusha mizinga tulewe sote.
Daaa vya kale Dhahabu 🥰🥰🔥🔥
The only living Bongo fleva legends mziki wao unaishi
Hii ngoma Kassim aliua sanaa
Si mchezo
nyiye ndo ma star from🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Marco Chali crafted one hell for the beat ...the legends deliver kama upo hapa 2024 gonga like
Nawakilisha MANZESE our base from mwembe kuku a.k.a FIRE from Mombasa
Apo kwenye mixer wasomali ndio alipouwaaa
2021 twende nalo hili goma wadau
Goma Kali gonga like
likes za 2021 mnipee jameni
Jalas and mwakideu brought me here🇰🇪
Pia mm joo story ya jalas kwa ig story😅😅😅😅
Same here 😂
@@edwinmwashegwa9456😂😂
@@billysquad488😂😂
same to me. Nasasa iko kwa play list.Dem days
2022 still listening to this song
It's vibes 2022
Kassim hapa ulikuwa mganga ukweli kwa hio verse. Kama umerudia more than 5 x hit like..
Kassim amecheza kama yeye, I love his voice
Kassim ni yupi
uyo alianza io wimbo verse kwanza ni kasim mnganga? aliua😂😂😂😂 2022 bado kali, Kenya nimekosa flag😂
Kama umeona actors gonga like ya 2021
Actress
Tarehe 04,09,2021 Kama unasikilizs hii ngoma tujuane mm np ilala ofcn overseas clearing ltd
Nani amesikia kuna watoto wakali hizo somali usiguze
Nimeskiaaaaaaa...
Ni usitunze😱😱
Quando escuto essa música lembro me do meu irmão 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿
Sinto o mesmo, eu lembro me do meu tio
Susha mzinga tulewe wote 2020
MANZESE STAND UP #Haipotei....Mombasa Kenya
Mziki ni kitambo wazee tip top enzi inafanya vizuri katika muziki pointi tatu muhimu tip top
Good old days pale Bamburi ukielekea Kiembeni mtaa flani ilikua na kanisa la Katoliki, Baptist na high school inaitwa Green Palms kweli tulitesa
Representing 252 Somalia 🇸🇴 2020
🤘🇹🇿💪💪
Hapa ndipo mziki ulipoanzaga kuwa pesa zamani walifanya kama mapenzi tu
Kama ulikuw unajielew na umelicheza San maclabu halaf mpk leo bado upo kwen Usha zeekea kwen 29/1/2023
Kama unaitizama hii 2022 gonga
Essa música ainda escuto.... Grande grupo.... Tip top 🇲🇿🇲🇿🇲🇿
Boa musica
Daaaa nikamajana tu kumbe tumesonga sana eyooo manekee 🎉
Kwahyo mnyonge wa ilala sheta 😂😂😂
Hii ngoma ilikuwa inanifanyaga naruka ukuta Kufata mziki ulipo ... Madee ulinitesa sana😂😂😂
Daaah 😂 n
Niko kwa gari ila naona nikama niko kwa ndege twendeeee dereee😂😂😂 naipenda hiii wlhi❤
Here courtesy of jalas and mwakideu
Goma kama la jana💕💕
Old is Gold always 🥰🥰👌👌
Representing mwakideu and jalas #254
Haha if you know you know
Unnabishaaa
jalas and mwakideu..nikiiskiza nawaona
This song reminds me abt mhesh jalango ma mwakideu,,,aki those men wangenifanya ntoke shule
Kasim mganga...2021 still fire
Kassimu weww ni moto zaid
Ndo kipindi pekee bongo fleva ilikuwa on top na bongo muvi ilikuwa on top
Dis
2022 who is here for this one?
It’s 🔥
Here I am from kenya
Kama umemuona wolper rukaruka🤸🤸
Ilikua mwaka 2010 kipindi ndo naanza kumiliki mtaji wa milioni 7 nimekumbuka mbali sana
Tiptop ilikuwa unafanya vizuri sana,zamani nyimbo zilikuwa kali
Hii ilitufunza tabia mbaya sana tukiwa wadogo😩😩😂😂😂💔
😂😂😂nyumban hapakaliki
Hahaha tukalewa wote
👌🌹🌹🌹🌹halooooooo uwiiii kiuno nmekata kidogo nikiache kwenye kgae
Kassim aliuwa San kweny huu wimbo
Hii Ngoma inanikumbusha TBT Fulani kipindi cha GITAU EXPRESS na munyi kazungu akiwa nahodha ......... Wakati muziki ilikuwa muziki
Ya mwaka gani hii nyimbo nimesahau akii….😊
Jamani light ingekua inawezekana mkaweka tofauti zenu pembeni mkarudi kua pamoja Tena mana radha hii kuipata Tena hatuoni tip top mlikua na mziki mzuli balaaaaa
Jalas and mwikideu brought me here
I can't stop listening to this song
2020 tunaskiza bado
TBT.. great one. Goma la mazenze
One best song 🎵
Kassim noma
Kasim Juma was on 🔥 fire
thanks for uploading this song
2021 like kubwa sana leo nimelienjoy sana
Jamani mbona kassim ni 🔥 🔥 🔥
Nkbl lais wa Manzese Madee🙏🙏🙏
It's here, Norris the best
Sanaaa Tip Top connection big upp sanaa
Hio naipenda san kwa harusi yangu dj ataweka hioo gomaa
2021 🔥
Kelele ya kwanza kwa jaclin wolper akeeee
Ngoma nzuri sana 2020
2021 💯💯💯
Madii unaikosha roho yangu
nyimb za zamn ndo zilikuw Kal san
Kassimu ni 🔥🔥🔥
Bado safiiii❤❤❤
Wolper ni mzuri jamani
2022 niko hapa man hii ngoma iliuwa time nilikua na grow man.
2022 tiptop fans muko wapi???
Good old dayz...maimuna wee mnyongee wee lala!!
Madee ukaamua umlishe udongo huyo bonge hahahahah
Marco mtaalamu....Back n days
Bonge la ngoma
Enzi hizooo 2021
Kitambo 2021 bado naichek nan kamuona sheta
Saizi madada zetu wamenenepeana kweli
Shetta bwana
Watoto wakali est somali 🇸🇴💯
Kassim alimada apa🙌🙌
Favourite
Big up kasimu 2021 lv it
Somali🇸🇴🇸🇴tuko tiptop who is watching 2021
Back in the days
Madee ukamlisha jamaa mchanga 😂😂😂😂 dah
🇰🇪🇰🇪🇰🇪 my favorite song
Best of the best
2022 tupo wap?