ADAMU JUMA ALIKATAA DIAMOND ASIWEPO LAKIN TUNDA AKASEMA DOGO ANAJITAFUTA MWACHE AWEPO. ALITISHAA SANAAA DIAMOND MWENYEWE HAJAWAI KULIZUNGUMZIAA ILA TUNDA ANASTAHILI MAUWA KWA HILI
kaka kipindi bado anajipendekeza ila maisha ni hivooo tatizo kawa na kibri mungu amkumb ushe kupitia iyi nyimbo na aelewe mcango wa alikiba kumshika mkono
Wanao angalia 2024 njoo like please
Wanao tazama huu wimbo 2024 tujuane kwa like ❤❤❤👍
Tulia
Wacha ushamba pisi kali
@@jeanzigabe4000 vp
Starehe Gharama 2023 still hit 🥰❤️🔥❤️🔥❤️🔥 tujuwane kwenye like 🥰🥰🥰🥰🥰
Kutok Burundi
❤️
❤
❤️
❤❤❤❤
Wenye wako hapa kwa sababu ya muunganiko wa Simba na King mnipee likes
Tunda ndo mwamba alowakutanisha mondi na kiba kweny ngoma moja😂
Nimekuja kuangalia tena hii ngoma 2024.. Ndo nimegundua kuna mondi na kiba kwenye scene moja
2024 ila bado naikumbuka hii ngoma like nyingi kwangu aisee
😅😅😅😅😅😅😅😅 kumbe
Hii unit among All wasanii nani ali ua diamond alikua ana weza kaa na alikiba🥰🥰
Starehe gharama 2024 still lit😂😂😂😂😂
Starehe gharama 2024 tujuane hapaa
A rare video that brought Alikiba and Diamond together.
2 stars in this video are icons in Bongo land.
Hiii ngoma miaka 100 haiwez kuchuja Itaishiii miaka buku 2023 Naangalia ngoma
Moto kama pasi............mzee mzima ALIKIBA namwona kwa umbaaaali
enzi hizo kabla wachambuzi na mashabiki hawajawatengenezea bifu Mond na King Kiba💥💫🔥🔥🔥
Tunaosikiliza 2024 tujuane😊
starehe ❤❤❤ garama kweli hata ukaoga ukajipaka mafuta lakini kama hunahata shiingi huwezi enjoy hiyo day😂😂😂
Ivi tunda kwanin usiwaludishe kiba mondi na chege meza moja mkatoa bonge LA hits Africa aijawah tokea
KING KIBA NA SIMBA WA TANDALE KWA MEZA.... LEGENDS🔥🔥🔥🔥
I saw him too
Jamani aliyemuona mondi like hapa
Respect 2nda Man
diamond and alikiba were once in the same video😁 .....wow!
Mtoto wa kiume kaponzwa na beer kashika ukuta😅😂... stareh gamara 🔥.
Starehe gharama 2024❤❤
Tupo pamoja manzoni mwisho ❤😂🏇
Wakati shetani hajaingilia Bongo flavor, Diamond and Ali Kiba wangali wana rock pamoja. Love these back days.💥💥💥💥
Can't fathom this hit is still a vibe to many.... Fellow kenyans mko wapi???
November 2023 still vibing with this song in kenya aloooo❤❤❤❤
Manze from which part of the country uko kenya
Usiniombe beer kma hujaja na mm ....
MONDI ALIKUA CHAWA KABISAAAA KIBA NA TUNDA WALIKUA VIGOGO
2024 Ambulo starehe gharama bro💯💯💯
2011 was the my best song kama uko na Mimi nipe like...
Was the my best song Kaka APO umeteleza kidogo😂😂😂😂😂😂😂🙌🏿🙌🙌🙌
Kama umemuona kiba nipeni likes hapa
Naikubali sana hii ngomaa🎉🎉
Tupo nayo 2024
2023 still rocking with this song in kigali-rwanda👏👏👏👏
Starehe gharama bado tupo live 2024
ADAMU JUMA ALIKATAA DIAMOND ASIWEPO LAKIN TUNDA AKASEMA DOGO ANAJITAFUTA MWACHE AWEPO. ALITISHAA SANAAA DIAMOND MWENYEWE HAJAWAI KULIZUNGUMZIAA ILA TUNDA ANASTAHILI MAUWA KWA HILI
DAH HAPA MOND PALE KIBA AISEEEE😂😂
I just like the song,maajabu ni kuwaona simba aka Diamond na kiba wapo pamoja..maajabu kweli
Hé verdade gramei paa😂🇲🇿🇲🇿🇲🇿
kama tungepata ata verse kidogo kutoka kwa Diamond platinumz.. hii ngoma ingekuwa moto zaidii ya hapa...na alichangamka kuliko wote
Hii wimbo imefanya nipunguze starehe
Shaman kaii sana
Me watching King 🤴🏽 Kiba at back 🎊 😎😎2023 and still rocking 😬😬😬
Nyimbo.pedwa❤❤❤❤
Vijana waenzi za starehe garama tujuane
Leo nimeelewa starehe kweli gharama duh😅😅
Bonge la nyimbo
Oyaaaaaaaa weka like kama unamiiini starehe gharama long kinyama daaaaa
Diamond Katoka mbali kweli🙏🙏
Aliopo 2024 like apa😂
Kiba and chibu in one video 💯🔥
Ngoma ina onesha upendo mukubwa yakale mastar wakali wote wako kwa vidéo... tuna we ni muzazi
Mondi, respect thise guys. They must inspired you in one way or the other. They are Legend.
Kenya tunawatambua
True lakini waambiwa maskini akipata matako hulia mbwata
He was already star by then when it was released
I love this song❤ napenda sana bongo zamani
Mondi kicheche toka miaka iyo
😂😂the only song yenye king kiba na mondi wako ndani pamoja
Waliokuja baada ya middle simba kuiweka ngoka like
Nakubal voice ya chege na tundaman 🥰😘
Kweli kabsa hata wanajiìta matajiri izo enzi walikuwa wauza SURA hahahaha ishiiiiii uyaone mengi
2023😢 2024😂
Nani yupo 2021 gonga like hapa
tupo
Na kweli starehe garama
maisha yanabadilika
Sitarehe gharama moto
Nyimbo ambao naisikiza paka saizi,kali mno
2024 nasikiliza tena hili goma
Kipindi icho akuna machawa life lilikuwa poa
Ali na diamond
II NYIMBO KIPINDI INATOKA NAKUMBUKA NILIKUA MAFUA NAFUTIA KWENYE NGUO NDIO NYIMBO NAIPENDA PAKA LEO 🎉🎉. TUNDAMANI
Stareheee gharama enzi hizo disco😂daaah
Jaman mim napenda siku moj waj wapatan alikiba na simb
King, Legend tunda, super Chege na Diamond😂
Hii haiwezi Isha flavour
2021 Na Hii Ngoma Kali Yenye Baadhi ya Wasanii Maarufu Ndani yake.( Tumevukanayo).
Ivi unajua kiba avofungua hii nyimboo...daaah
Amazing song kwa wale wanaopenda kufatafata mtu wakat auna hela mfukoni
Duuuuuu.....Tunda nyimbo zako na kazi zako naxkubaliii saaana Mwamba....nazisikiliza nikiwa out of Tz now!!
Hitabaki story diamond sasaivi matawi
Kama namuona modi na kiba umu ndani
Playing it in December 2023 but it's still a hit❤️❤️❤️
Yanii ningefraii 2021 wote walioko kwa song watoe tenaa kma ivi group
Mm naungalia 12-june 2024
2024 starehe gharama bana
N kwel xtareh gharama
Fast voice ooooooo Ni alikiba huyo! Talent voice huyo kiba
Yeah
2024 and Tundaman my favourite artist
Kipindi hiko wasanii wanapendana wanashoo love kwenye video, Kiba mond wako kwa chupa hakuna kuvimbiana yani
Nooma sana
Tiktok imenileta huku kuwaona King na Simba wakiwa pamoja.
Sitarehe garama2023
am happy seeing Simba and king kiba laughing together
Naumia sana kuona wanamuziki wa bongo hawapendani tena kama zamani
23/7/2024 na angalia hii kitu
Ni kweli stareh garama tu❤❤❤
kaka kipindi bado anajipendekeza ila maisha ni hivooo tatizo kawa na kibri mungu amkumb
ushe kupitia iyi nyimbo na aelewe mcango wa alikiba kumshika mkono
Enzo hizo bukavu Congo🇨🇩😍🙌
Natamani siku moja mondi na kiba wapatane🙏
Tumetoka mbali....2024
2024 still playing it on