SHILAWADU WAMEELEZEA KUHUSU KUPIGWA NA DANCER WA WCB MOSE IYOBO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ต.ค. 2024
  • Baada ya kusambaa kwa story kuhusu kupigwa kwa Watangazaji wa kipindi cha Shilawadu na Dancer wa WCB Mose Iyobo, Muandaaji wa kipindi cha Shilawadu ambaye alikuwepo kwemye tukio hilo ameelezea kila kitu kilivyokuwa..msikilize hapa

ความคิดเห็น • 389

  • @emmanuelimaxxaka754
    @emmanuelimaxxaka754 6 ปีที่แล้ว

    poleni xana shilawadu ndio changa moto katika kazi zaki binadamu B gap xana kwa kazi mnayo ifanya jamii ina watambuwa respect xana. 👊👊👊👊👊👊👊👊👊👊👊

  • @fatumahengo6849
    @fatumahengo6849 6 ปีที่แล้ว +19

    Binaadamu na yeye jamani huyo mose labda siku hiyo dishi lilicheza hatuwezi kujua

  • @bensonfrank643
    @bensonfrank643 6 ปีที่แล้ว +46

    MOSSE MSHAMBA TU.. DANCER UNAKUWA UNAMAPOZI KAMA DEMU.. UMARUFU WENYWE WAKUPEWA NA MONDI..

    • @mcrbnlyrics1807
      @mcrbnlyrics1807 6 ปีที่แล้ว

      Kweli aise aya mambo ya kupita tu wanatafuta ridhiki pia kama yeye 😦 aache tabia zakidada

    • @ashaally6993
      @ashaally6993 6 ปีที่แล้ว +1

      Mshamba sana yule mkata viuno

    • @joycemashikolo9096
      @joycemashikolo9096 6 ปีที่แล้ว

      Asha Ally hiyo ni kazi kama kazi zingine!ila kosa km amefanya ndio hilo tuliseme!inatosha lakini kazi ya mtu ni muhimu kuiheshimu.

    • @nickolausanelka6239
      @nickolausanelka6239 6 ปีที่แล้ว

      +njoo Tuijenge inchi umemsikia lakini utamuombaje mtu kufanya naye interview huku umewasha camera yaani kwa ufupi watangazaji wengi wa clouds wanafanya kazi kwa mazoea...

    • @asmabintikiwashatz9321
      @asmabintikiwashatz9321 6 ปีที่แล้ว

      +njoo Tuijenge inchi kweli anajisikia moze mkata mauno huyo hana lolote vpesa vya mondi

  • @mejumaaathman4485
    @mejumaaathman4485 6 ปีที่แล้ว +18

    Duh.. mose hakufanyaga vzr kabisa

  • @yusrajamal1160
    @yusrajamal1160 6 ปีที่แล้ว +1

    aissee poleni sana ila pambaneni jipeni moyo akuna kaz isokosa matatizo mungu awape nguvu mmesaidia sana watanzania kunabaaz wame fanikiwa katika matatizo yao pamoja sana

  • @mwanaaisha1715
    @mwanaaisha1715 6 ปีที่แล้ว +5

    poleni sana kaka zangu kwa changa moto ili owa toke a kiukweli mm naipenda kazi en u allah at a waafuinshaallah poleni sana zaidi ya sana plz musikatetamaa na wala isiwe mwanzo na mwisho wa kazienukwalililowatokea kazenikambabuti poleni sana sana nawapendasana jamani kwa kazi zenu kazi ni kazi tuu wala m sijali aliefanyahivohajielewihuyo ilikiwa poleni sana

    • @linahnjau901
      @linahnjau901 6 ปีที่แล้ว

      Mwana Aisha pole sudy wangu

  • @aphsamaulid4736
    @aphsamaulid4736 6 ปีที่แล้ว

    Doooh poleni sana shilawadu jamani daaaah poleni sana

  • @missmoona4497
    @missmoona4497 6 ปีที่แล้ว +5

    Mambo ni 👉🔥🔥🔥🔥

  • @lilianmwaisemba5503
    @lilianmwaisemba5503 6 ปีที่แล้ว

    Asante moses

  • @getrudamatoto1979
    @getrudamatoto1979 6 ปีที่แล้ว

    Poleni sana shilawadu.

  • @aselaaikarua4180
    @aselaaikarua4180 6 ปีที่แล้ว

    Asante iyoboooooooooooooooooooooooooooooooooooo
    Yan nilikuwa na wish mbutuliwe cku mana cpend kwel kipindi chenu

  • @zubedahussein9779
    @zubedahussein9779 6 ปีที่แล้ว +13

    mshamba uyo mosse

    • @bidiiyako6803
      @bidiiyako6803 6 ปีที่แล้ว

      Zubeda Hussein ,mosse Iyobo hapo amefanya makosa!

  • @mozamansour7912
    @mozamansour7912 6 ปีที่แล้ว +2

    Dah,poleni sana

  • @bahatimsigwa9415
    @bahatimsigwa9415 6 ปีที่แล้ว

    poleni sana shiwaladu na endeleeni na kazi zenu hizo ndio changamoto za kazi

  • @Don_abujay
    @Don_abujay 6 ปีที่แล้ว

    Daah Polen Hakuna kazi rahisi bhn

  • @bertaingabire1567
    @bertaingabire1567 6 ปีที่แล้ว +3

    😂😂Good job Moses

  • @rukiachamani1101
    @rukiachamani1101 6 ปีที่แล้ว

    Poleni sana. Mose ni mpumbavu sana.

  • @saumuhassan1365
    @saumuhassan1365 6 ปีที่แล้ว +4

    Mange muongo sana, oooh SHILAWADU wamepigwa na Iyobo, nilitaka kushangaa kwakweli.

    • @mcwaudeche5586
      @mcwaudeche5586 6 ปีที่แล้ว

      Saumu Hassan ulitaka ushangae nn

  • @wemakalam9415
    @wemakalam9415 6 ปีที่แล้ว +6

    Nawapenda shilawadu endeleeni na kazi zenu

  • @saidkipalo4427
    @saidkipalo4427 6 ปีที่แล้ว +3

    Mmezid na nyinyi Umbea tu mtakufa shauri yenu

  • @kanolekanole4460
    @kanolekanole4460 6 ปีที่แล้ว +1

    Cjawahi kutoa comments kwenye social networks lkn hii Mose amenikosha sana angewavunja miguuu kabisa

  • @aminarashid4474
    @aminarashid4474 6 ปีที่แล้ว

    poleni sana shilawadu wetu

  • @mwatumsaidi5104
    @mwatumsaidi5104 6 ปีที่แล้ว +17

    Huo ni ulimbukeni tu alokuwa nao ushamba alokuwa nao mkata kiuno

    • @nunuuali5316
      @nunuuali5316 6 ปีที่แล้ว +1

      Fatma Mhamed hahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahhahahahahahahhaahhaahah. safi

    • @TopTenKaliTV
      @TopTenKaliTV 6 ปีที่แล้ว

      th-cam.com/video/NPGDmlNPEyE/w-d-xo.html

  • @barakaisaya3109
    @barakaisaya3109 6 ปีที่แล้ว +4

    Yule mwenzenu ananengua ko nyege zikimbana ndo anavulugwa Ivo pumbavuu,,,linajiona súper star kumbe mavi2 Manina zake

    • @barakaisaya3109
      @barakaisaya3109 6 ปีที่แล้ว

      Jessica Helbeth 😀😀😀😀😀😀 pambeeeenaaaa

  • @rosemarybenjamin4333
    @rosemarybenjamin4333 6 ปีที่แล้ว +5

    Jaman my dea soud ugua pole

    • @jumakauwa2310
      @jumakauwa2310 6 ปีที่แล้ว

      huyo mkimwacha nyiemafara jeee angeuwamtu jee

  • @mohamedrajabumohamed2855
    @mohamedrajabumohamed2855 6 ปีที่แล้ว

    Poleni

  • @nadiamajaliwa1564
    @nadiamajaliwa1564 6 ปีที่แล้ว

    Poleni shilawadu aisee

  • @dwiny7841
    @dwiny7841 6 ปีที่แล้ว

    Poleni sana

  • @tracyjustice1600
    @tracyjustice1600 6 ปีที่แล้ว +16

    Duuh poleni sana shilawadu, ila huyu mose alikuwa ana haja ya kufanya hayo yote, kama hili tukio lingefanyika kwenye nchi zinazozingatia haki na sheria bila kujali mvujaji wa sheria ana tittle gani angefunguliwa na shtaka la attempted murder with the deadly weapon ila kwa Tanzania it wil never happen kwa sababu tuu ni maarufu au wadhifa fulani hatari

    • @josephmakau3671
      @josephmakau3671 6 ปีที่แล้ว

      punguzeni shobo shobo mnato izoooo

    • @ghtnimzee2417
      @ghtnimzee2417 6 ปีที่แล้ว

      Tracy Justice pelekeno police

    • @mnzavachris5423
      @mnzavachris5423 6 ปีที่แล้ว +1

      hatujui zetu haki na labda nini cha kufanya kwa wakati gani.,kama ile ya idadi kutojulikana kamili ya walio na magonjwa fulani kutokana na watu kutokuwa na tabia ya kwenda zahanati

    • @tracyjustice1600
      @tracyjustice1600 6 ปีที่แล้ว +1

      Mnzava Chris kweli kabisa ndio maana tunabuluzwa tuu kama kondoo, kama unamsoma producer mkubwa sana marekani sugar nights alitafanya kama hivi alivyofanya mose iyopo mwaka jana au juzi akauwa mtu kwa kututumia gari yake kwa makusudi sasa yupo jera aliwekewa bond ya dollar milion 10 kashindwa lipa, elimu ni muhimu sana kwa mtanzania na ndio maana tuanazidi nyimwa elimu nzuri hili tuendelee kuwa mbumbu mbumbu, angalia matokeo yaliyotoka safari hii shule za serikali ndio utapata jibu

    • @wanenetv9672
      @wanenetv9672 6 ปีที่แล้ว

      th-cam.com/video/aCmesyk4XAQ/w-d-xo.html

  • @roseirungo1950
    @roseirungo1950 6 ปีที่แล้ว +24

    Huyo mose n chizi tu akauwa mtu mmoja anaweza kumlipa na nini ilhali ni ka ben ten

    • @nunuuali5316
      @nunuuali5316 6 ปีที่แล้ว

      Rose Irungo hahahahahahahahahahahahahahahahhahahahahhahahahahahah hilo nalo nenooooooooo

    • @missagatha1756
      @missagatha1756 6 ปีที่แล้ว

      Rose Irungo Hahahaaaaa ndo hapo sasa

    • @marijanikilima6738
      @marijanikilima6738 6 ปีที่แล้ว

      Rose Irungo

  • @junesernest4679
    @junesernest4679 6 ปีที่แล้ว

    mackn polen aisee😢😢😢

  • @radhakiandomondo9452
    @radhakiandomondo9452 6 ปีที่แล้ว

    poleni wambea wenzangu

  • @denisbulili2835
    @denisbulili2835 6 ปีที่แล้ว

    simlaumu sana Moze Iyobo

  • @listonmalisa8987
    @listonmalisa8987 6 ปีที่แล้ว

    Hapa kazi tu

  • @jumaallyliklomiko8638
    @jumaallyliklomiko8638 5 ปีที่แล้ว

    atali sanaa

  • @tahrinkessy7119
    @tahrinkessy7119 6 ปีที่แล้ว +2

    Khe huyo moses vip anawazim angemgonga mtu akasababisha umauti c angekataa tu au alikuwa hayuko sawa jmn

  • @Itrahya2305
    @Itrahya2305 6 ปีที่แล้ว

    mshambaaaaa sanaaaaaa upuuuzii

  • @hawawaomary834
    @hawawaomary834 6 ปีที่แล้ว

    Poleni jamani😊😊😊

  • @augustinjohns3039
    @augustinjohns3039 6 ปีที่แล้ว

    Mshamba sana huyo mose hatuachie shilawadu wetu

  • @neemamakange5484
    @neemamakange5484 6 ปีที่แล้ว

    Mxameheni jaman

  • @rehemamazuki8454
    @rehemamazuki8454 6 ปีที่แล้ว

    Shilawadu shilawaduuuu nawaona nawaonaaaaa

  • @Tiffany340
    @Tiffany340 6 ปีที่แล้ว +6

    duuh mange mbona anaumbukia uzeeni khaa!!!!😂😂😂😂

    • @nafisamohamad3182
      @nafisamohamad3182 6 ปีที่แล้ว

      Fetry John 😁😀😂😂😂😂banar hapo kashaishiwa nguvu sasa nae asubirie kusutwa kwa habari za uongo.

  • @shanimbaruku2071
    @shanimbaruku2071 6 ปีที่แล้ว

    Aiseee arafu shilawadu wastaarabu sana Mose tatizo ushamba umemzidi

  • @oliverpendaeli4958
    @oliverpendaeli4958 6 ปีที่แล้ว

    pole xana sudy uyo atapata kiboko yake atafunzwa adabu

  • @hawa-luumiwrty3144
    @hawa-luumiwrty3144 6 ปีที่แล้ว

    Pole sana Sudii

  • @mwajumakweli6753
    @mwajumakweli6753 6 ปีที่แล้ว +1

    Poleni sanaa hila Baba kuki sikutegemea kama atafanya ayo

  • @lyapezabron6338
    @lyapezabron6338 6 ปีที่แล้ว

    #shilawadu
    👊👊👊

  • @hidayamussa4273
    @hidayamussa4273 6 ปีที่แล้ว +2

    Poleni sana wana shilawadu, ila Nimechukizwa sana na huyu msenge mkata viuno Mozee iyobo kwa ujinga alioufanya, mshenzi kabisa kama alikua hataki kuhojiwa akiondoka zake au kukaa kimya au hata kuwaambia kua sipo tayari kuhijiwa, inakuwaje sasa kutaka kuwaumiza wenzako wakati wapo kwenye wajibu wao wa kazi zao, wewe mozee uyobo nimesenge wakiume mkataji viuno nyani dume wewe nakuchukia sanaaa.

  • @shaabanramadhan6770
    @shaabanramadhan6770 6 ปีที่แล้ว

    kazi nyengine za hatarisha maisha san

  • @munashabanimunashabani9976
    @munashabanimunashabani9976 6 ปีที่แล้ว

    nyinyi shilawadu mmezidi umbea sanaaa mengine msizindishe sanaaaa umbea tuuuu

  • @ayushayush5141
    @ayushayush5141 6 ปีที่แล้ว

    aliwaweza Kabisa mumezidi umbea. hamuwezi force mtu kumhoji.

  • @eddieeddie5189
    @eddieeddie5189 6 ปีที่แล้ว +1

    Aaaa si angesema kama mwanaume mimi leo sitaki hoja shilawadu wangeenda zao sasa mwenyewe maskini wataka gonga watu je ukiwauwa wajua haki ukiuwa ni lazima wewe uuliwe aache uzala yobo mkata mauno

  • @mwajumabulugu4115
    @mwajumabulugu4115 6 ปีที่แล้ว +5

    alivuta bangi nn mose mbona anamambo ya kiboya hivyo

  • @felixmwayeya6716
    @felixmwayeya6716 6 ปีที่แล้ว

    me naikubari wcb ila kwa hili la mose cjalipenda kaniboa sana aiseee

  • @rashidnassor2946
    @rashidnassor2946 6 ปีที่แล้ว +1

    Hiyo ndiyo dawa, siku nyingine mukome habari za kuchokonoa watu Usiku.

  • @khadijajuma7142
    @khadijajuma7142 6 ปีที่แล้ว +3

    Hili limose nalo kumbe lipumbavu sanaa hivi.Au hiyo laki ya Tunda bado inaivuruga familia yake.?

  • @doricyaudax7288
    @doricyaudax7288 6 ปีที่แล้ว +18

    😂😂😂😂 Marupurupu ya umbea hayo.. kila biashara in faida na hasara.. mnavyowaongelea watu Mambo yao wengine wanaumia..hivyo pokeeni to kwa upole..police mkienda na wengine wanaweza kuwashtaki mnavyotoa taarifa za watu hadharani bila ridhaa yao

    • @bintimohammedrashidrashid4929
      @bintimohammedrashidrashid4929 6 ปีที่แล้ว +1

      Doricy Audax 😂😂😂😂😂😂😂😂😂umeona eeh

    • @doricyaudax7288
      @doricyaudax7288 6 ปีที่แล้ว

      binti mohammed Rashid Rashid ndio hivyo..wenyewe wanaona wana haki ya Kutoa hadharani mambo yawatu..bila kujali wengine yanawaathiri vipi ..sasa hiyo hasara ya camera povu linawatoka.. Hahaaaaaaaa..

    • @bintimohammedrashidrashid4929
      @bintimohammedrashidrashid4929 6 ปีที่แล้ว +1

      Doricy Audax wallahi mi nilijua tu siku moja watakuja fanyiwa kitu coz sometimes mwenyewe una mahasira yako afu mashilawadu pap ndo ivyo sasa😅😅😅😅😅

    • @doricyaudax7288
      @doricyaudax7288 6 ปีที่แล้ว

      Hiyo ni kuwaonyesha tu!! Ipo siku watachapwa ngumi!!😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 ALIKIBA aliwatoa bari na mbwa

    • @bintimohammedrashidrashid4929
      @bintimohammedrashidrashid4929 6 ปีที่แล้ว

      Doricy Audax 😂😂😂😂😂😂😂

  • @ahmedyoung7300
    @ahmedyoung7300 6 ปีที่แล้ว

    Duh

  • @omarychediel1307
    @omarychediel1307 6 ปีที่แล้ว +6

    Huyu mose anajickia sn pia poleni kamati ya umbea

  • @tatut3889
    @tatut3889 6 ปีที่แล้ว +12

    Uyo chausiku nimweu sasa angewagonga namkekufa siangefia gerezani mmh bangi nazo mbaya jamani

  • @leoniakalimanzira5090
    @leoniakalimanzira5090 6 ปีที่แล้ว +5

    mkomeee,,umbeaa tu

  • @allyhamad7999
    @allyhamad7999 6 ปีที่แล้ว

    In short, MUMEZINGUA. Kabla ya hapo mulikuwa munawafuatilia so jamaa ndio maana kapanic kiasi hiko. Cha pili, Haikuwa na ulazima wa kumhoji mtu ambae sio muliemkusudia na huo ndio UMBEA na UMBEA si kitu kizuri katika jamii, Kwa hayo na zaidi ya hayo yangetokea kutokana na makosa yenu wenyewe. Kuhusu Mose amekosea but nyinyi MMEKOSEA ZAIDI ila siku zote yule wa mwisho huonekana ni mkosaji because alikosa kustahimili.

  • @salamamosha8429
    @salamamosha8429 6 ปีที่แล้ว +13

    Mshamba tu uyo mosse, umarufu wenyewe kaupata kwasababu ya aunt, yy ana lolote mkata viuno toka lini anapata umarufu mond anamadencer wangapi mbona atuwajui

    • @missagatha1756
      @missagatha1756 6 ปีที่แล้ว

      Salama Mosha hapo sasa halafu aunty mwenyew hanaga majigambo

    • @salamamosha8429
      @salamamosha8429 6 ปีที่แล้ว

      Umeona heee ndugu yangu afu yeye anajitia amnazo pumbavu kabisa

  • @ezapesambili2902
    @ezapesambili2902 6 ปีที่แล้ว +7

    Ukisha ambiwa sitak haina haja ya kufosii lazima utembee

  • @fababindawood5842
    @fababindawood5842 6 ปีที่แล้ว +1

    Mbona cjaona km kuna mtu kapigwa.shilawadu mmezidi hakuna alopigwa bana.ndo mkome

  • @kizaabwe726
    @kizaabwe726 6 ปีที่แล้ว +2

    Muachage umbea 😂😂😂
    Bado amja rizka

  • @immaruzige1845
    @immaruzige1845 6 ปีที่แล้ว

    Sasa nyie utafanyaje kipindi bila taarifa?

  • @KhadijaKhadija-mk6jf
    @KhadijaKhadija-mk6jf 6 ปีที่แล้ว

    Dahh usingefanya hivo

  • @lindasophia1288
    @lindasophia1288 6 ปีที่แล้ว +1

    Uyo mose karogwa au??

  • @georgejovin6873
    @georgejovin6873 6 ปีที่แล้ว

    Jamaa alifanya hivyo kwa kujua kuwa angepata sifa. Lakini ni hatari maana angeweza kuuwa au kujeruhi watu vibaya

  • @collinsrashford4039
    @collinsrashford4039 6 ปีที่แล้ว

    Mosee iyobo falaaaaaaaaaaaaaa

  • @leilainnocent6532
    @leilainnocent6532 6 ปีที่แล้ว +5

    Bangi tu huyo baba kukii

    • @maimunasaidi4346
      @maimunasaidi4346 6 ปีที่แล้ว +1

      Leila Innocent 😂😂😂😂😂😃😃😃😃😃😃😃😃😃😂😃😃😃😃😃😃😂😂😂😂😂😂😂😂😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃.poleni sana

  • @عايشهسعيد-ض5ذ
    @عايشهسعيد-ض5ذ 6 ปีที่แล้ว

    Alichokifanya sio kizuri tena amekusudia mwehu kweli anahatarisha maisha ya watu kweli kiburi duuu ana roho mbaya kama hataki kuhojiwa alikua aondoke tuu na kama hawataki umbea kwanini ishu yao yaliileta mitandaoni wasidaiane uko uko shilawadu walikua wanataka uhakika kama wanahabari wengine tuu kwanin lakini amewafanyia ivo cjafurahi kwa kweli

  • @bujalulambo696
    @bujalulambo696 6 ปีที่แล้ว

    Mmezidi kufatilia maisha ya watu punguzeni kidogo usiku sio vizur kufuatilia maisha ya wakali

  • @enockmgizi1088
    @enockmgizi1088 6 ปีที่แล้ว

    Pole sana ila alipe

  • @husseinhkitambi1701
    @husseinhkitambi1701 6 ปีที่แล้ว +1

    kwanini hakuwakanyaga shenzi sana hawa jamaa

  • @yusufulusasi2381
    @yusufulusasi2381 6 ปีที่แล้ว

    msenge iyobo

  • @fanemanzi4325
    @fanemanzi4325 6 ปีที่แล้ว

    polen sana ndg zangu ndo changa moto ila mose hicho kitendo ulicho fanya so kizur kabisa ila nimzima kweli ww mose au usha aza kuugua

  • @khantv6949
    @khantv6949 6 ปีที่แล้ว

    KWISAAAAA, SUDIIIIIIIIH MAMBO NI HIVIII 💡💡🔥🔥🔥

  • @alinaalina8727
    @alinaalina8727 6 ปีที่แล้ว +2

    Yani uyo moze kanichefua balaaaaa m2 mzma ovyo

  • @shaninyalusi8451
    @shaninyalusi8451 6 ปีที่แล้ว

    Duuuuu jamani

  • @dasafadanford5806
    @dasafadanford5806 6 ปีที่แล้ว

    Hana akili kna maisha baada ya WCB

  • @mwanahalimamwachili9679
    @mwanahalimamwachili9679 6 ปีที่แล้ว +9

    Acheni kulazimisha mtu kama alienuka akaenda kilicho wafanya mumfate aliko ni nini.Mlikuwa mwataka hayo chungeni sasa ubuyu umefikia pa baya. Kwanza ongeeni na mtu akubali Ndio muende. Umbea Heri mbadili jina hili jina umbea halina heshima.

    • @ggjghh6245
      @ggjghh6245 6 ปีที่แล้ว

      MWANAHALIMA MWACHILI acha ujinga na ww kwaiyo alichofanya iyobo ww unaona vizuli? Yy akisha ondoka kilichomfanya aludi tena kwa spid na kutaka kuwagonga nn hile ni kazi yao sio kama anazalilisha watu yy kama alikuwa hataki akakataa tuu sio lazima

    • @mwanahalimamwachili9679
      @mwanahalimamwachili9679 6 ปีที่แล้ว

      Gg Jghh Wewe pia acha ujinga na uache matusi you tube acha Millard atutukane but si wewe.Na huyu mbona akanusha hapa na wale wamefungwa mikono na shingo kuwa waliumia.Mmmh huu ni mtandao toa maoni kama wengine si uwanja wa matusi.

    • @mwanahalimamwachili9679
      @mwanahalimamwachili9679 6 ปีที่แล้ว

      Gg Jghh Na mimi sio kuwa natetea hayo ni yao wajuana kwa vilemba sasa sioni haja ya kutukanana na watu.Kama Millard wanasoma comments na hana matusi wewe ni kama nani hapa.

  • @patriciacosmas8705
    @patriciacosmas8705 6 ปีที่แล้ว

    na ndio maana mnapigwa Poleni hili la gongolamboto mumetisha. Jaman shemeji Kumbe aslay yalimkuta kweli ya shemeji ehhhh shemeji kishingo upande.

  • @jumbeybrowney7310
    @jumbeybrowney7310 6 ปีที่แล้ว

    Media zinapowatangaza sana na Kwa muda mrefu hawa waitwao WASANII bx hujiona kuwa SPECIAL kuweza kudiriki kuvunja hata SHERIA NA UTU WA WENGINE....tahamaki hujikuta matatani na kumaizi kuwa HUO UITWAO UMAARUFU WALIONAO ni deception tu na si kitu chenye mashiko CHANYA YA KIMAISHA....

  • @kemmypius8619
    @kemmypius8619 6 ปีที่แล้ว

    Kupanic huko..... Angeua ndio angeelewa Kala hela nn ile ya tunda au...

  • @aminaabuu755
    @aminaabuu755 6 ปีที่แล้ว

    miladi plz em nakuomba umuletee dkt shika Wang sijuii umemupeka wap nimemumiss achana na hawa wambeee sema Kama sudy umepona asante mungu ningee upata wap umbeea wote wa town 😂😂😂

  • @jacobthomas1229
    @jacobthomas1229 6 ปีที่แล้ว

    So far

  • @umranim5854
    @umranim5854 6 ปีที่แล้ว

    Lilimbukeni sana hilo anataka kujionyesha limezoea kutingisha matako yake kwenye steji

  • @namelessunknown1377
    @namelessunknown1377 6 ปีที่แล้ว

    Mtangazaji unamacho mazuri

  • @rahimajuma688
    @rahimajuma688 6 ปีที่แล้ว +38

    dume zima ovyo mtu mwenyewe umefugwa na anti ungewagonga ungepata faida gani ovyoo si ungewaambia tu kwani kuna shida gani peleka polic huyo atie akili pumbavuuuu

    • @nafisamohamad3182
      @nafisamohamad3182 6 ปีที่แล้ว +1

      Rahima Juma kabisa hata mm nasema hivyo kwani hakuweza kuwaambia tu, angalia jeuri yake imempa faida gani. Keshajitia hasara mbona diamond hatuoneshi kibri hivyo na ana magari makubwa makubwa wacha yy kawa na kigari ndio kaanzisha jeuri hivyo.

    • @chrissbahati1960
      @chrissbahati1960 6 ปีที่แล้ว

      Rahima Juma

    • @nunuuali5316
      @nunuuali5316 6 ปีที่แล้ว

      Hapo bado tu dancer angekua muimbaji ingekua je?? Fyuuu sifa za kijinga

    • @fadhilibakari4707
      @fadhilibakari4707 6 ปีที่แล้ว +2

      Shilawadu wamezidi usenge jomon bora walivyopigwa

    • @rahimajuma688
      @rahimajuma688 6 ปีที่แล้ว +2

      Fadhili Bakari wewe ndo unaona usenge lakni wenzako wengine wanaona inafaida kwao anyway unakumbuka wastara alisema kuwa shelawadu ndo waliomsaidia yy mpaka kufanikiwa jambo lake na rais magufuli alimuona wastara alilia kuomba msaada kwenye kipindi cha shelawadu kimjula hao ni waandishi wa habari kama waandishi wengine tu haikuwa na haja yy kufanya yote hayo angewaambia tu sihitaji kuongea na nyie basi

  • @sheillahchisika8414
    @sheillahchisika8414 6 ปีที่แล้ว

    Umbea ndio umetutambulisha kwani Huna jina la kukutambulisha😃😃😃😃😃😃 najua mose anaeza afford soda lakini ningekua hapo ningembaiya.

  • @mashmashmkeyenge9210
    @mashmashmkeyenge9210 6 ปีที่แล้ว

    Kavu sana

  • @waukweelinikkon6555
    @waukweelinikkon6555 6 ปีที่แล้ว

    Alikuwa mwezini labda,au mitusi ya tunda imemchanganya 😢😢😢

  • @Gigizlife
    @Gigizlife 6 ปีที่แล้ว

    Mose kakosea angesematu hataki wamwache. Kafanya kitu kibaya sana na nimebadilisha mawazo yangu kwake. Kaonekana kama mtu ambaye anaweza kuua na pia hawezi mambo ya u celebrity

  • @ckukuu8404
    @ckukuu8404 6 ปีที่แล้ว

    Mmmh mose akufanya poa lakini pia kina soudy mumezidi sometimes ebu tafuteni ubuyu kwengne wapumzisheni hao wcb family jamani mbona msiende kwengne....+254 Mombasa

  • @angelklistofa4914
    @angelklistofa4914 6 ปีที่แล้ว

    Mose ni msenge sana kuma tuuy uyo kama kuma nyingine hana akili bado mtoto analelewa

  • @boazsebastia.8270
    @boazsebastia.8270 6 ปีที่แล้ว

    Jamaa Uyo kumpiga mwandishi Wa habari amefanya kitendo kibaya sana Na kitendo hicho kilaniwe cc watanzania ni wamoja kama hao mashila Wadu walimkosea alitakiwa kwenda kwenye sheria lkn siyo kujichukulia sheria mkononi.Na Uyo Jamaa ametia doa kundi letu la wasafi hafai.

  • @africanhappyadventure6951
    @africanhappyadventure6951 6 ปีที่แล้ว

    Huyo jamaa alikusudia Kabisa kuuwa...Hebu sheria isiachie hilii lipite bila kujaliii.. Khaaaaa Madaraka ya kulevyaaas

  • @jancybimetv2856
    @jancybimetv2856 6 ปีที่แล้ว

    Du pore sana shilawadu