Ma sha Allah, Hassan anahitajia kuendelezwa kipaji chake kikubwa. Vijana kama hawa lazima wafwatiliwe masomo yao na kupewa Kila aina ya misada aweze kujiendelezs.
Dah tafuteni elimu hadi china hii ndio maana yake,hilo shairi hiyo ni Quran kama hujui sababu anafundisha jinsi mke na mume au wanandoa kuishi vizuri na ndivyo Quran inavyofanya,sio mpaka asome kiarabu au akupe aya ndio ujue ni elimu.
I like it your poem so much😊 MashaAllah 🔥😍
Ma sha Allah, Hassan anahitajia kuendelezwa kipaji chake kikubwa.
Vijana kama hawa lazima wafwatiliwe masomo yao na kupewa Kila aina ya misada aweze kujiendelezs.
Ni furaha iliyoje kumuona kijana mdogo anaye kienzi kiswahili ... Kongole kaka kuna nuru mbeleni
Nice work mwagarashi...hongera yako
Hakh Hassan we waweza mungu akuzidishie 🙏🙏💖💖💖
masha ALLAH bwana hassani mwagarashi ni hodari.
Nakukaribisha buswatini nikikupa kongole.Shabash!
MASHALLAH Allah akutangulie
Afadhali kuliko watoto kujihusisha na mambo ya mihadarati mwalimi mwagarashe mungu amzidishie kutukuka kwa kuwafundisha watoto kutunga mashairi
Twakupenda kijana.....Very talented boy
Hongera
We all need positive vibes around our children
Mungu akujaalie uendelee vzr mwanangu hassan
Mashallah tabarakallah
Hongera Hassan
🤣🤣🤣...Ma shaa Allah, Barakallahu
Dah mungu akitaka kupa
Nataka nimualike siku ya kupiga vita dawa za Kulevya zanzibar
Mashallah 😘 😘 😘 😘
Jmn mkazanien kusoma Qur'an
Dah tafuteni elimu hadi china hii ndio maana yake,hilo shairi hiyo ni Quran kama hujui sababu anafundisha jinsi mke na mume au wanandoa kuishi vizuri na ndivyo Quran inavyofanya,sio mpaka asome kiarabu au akupe aya ndio ujue ni elimu.
@@msafiribakari5941 anawazimu huyu
Kichwa kina funza😨
congratulation my son
Mabrouk Hassan
A good one.
Barikiwa sana
Namkubali huyu mtoto mashallahhhh
Mwagarash product
gwiji anakubalika katika fani ya kiswahili
I appreciate u bro mwagarash 😘😘😘😘
Maa sha Allah.
Huku mombasa ni zanzibar safi maana wakenya kiswahili hawajui hichi kisiwa kimeporwa tu
Kakuambia nani,? Usinichefue bana
Alokuambia hivyo n'nani?
Big up hassani
Hongera, How can I meet him so he can perform on my wedding day ??
Enda kwa page ya brathake Hassan mwagarashi
@@davidwachira3816 Facebook au wapi ??
TH-cam
Cangrats
Unajitahidi dogo ongezabidii Ila hunifikii mie
Congrats hassan
likoni ya wapi
maganyakulo
HASSAN ANAWEZA KUA MWANDISHI MZURI WA HABARI
Kijana hodari kweli
mashallah
Watoto wahifadhi quran sio nyimbo za kupita
Inatia moyo?
Malkia wa muhonda sehemu ya 10
Hahaha dogo hatari
Malenga WA bahari kuu.
Mashaallah
Kali dogoo
Namna hii ndo twataka
Taniua