Highlights | Tanzania (W) 3-0 Togo (W) WAFCON Qualifiers 30/11/2023
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 29 พ.ย. 2023
- Magoli mawili kutoka kwa Opah Clement na moja la kujifunga kupitia kwa Yawa Konou yameipa timu ya taifa ya wanawake #TwigaStars ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Togo, katika mchezo wa mkondo wa kwanza kuwania kufuzu AFCON kwa wanawake #WAFCON2024 .
Mechi imepigwa kwenye Dimba la Azam Complex, Chamazi. - กีฬา
Tumepata bahati...madada wa Togo wanaupiga sana asee
Oppa anatulia anapokuwa Karibu na lango. Goal keeper wetu ni mtulivu anapokuwa langoni. Masaka kaliangusha Taifa, Maana kakosa goli la wazi kabisa, Mechi ijayo atulie anapokuwa mbele, asiwe mchoyo wa pasi anapoona kuna mwenzake ana nafasi kubwa ya kufunga. Mbinu ya mwalimu imefanikiwa Sana👏👏, ingawa wachezaji ndo hawakuwa na ushirikiano mzuri.
L'équipe togolaise a bien jouer mais il manque juste peux de concentration en défense et en attaque ; sinon on à plus de qualité de jeux que l'adversaire, je suis sur que nous les aurons en match retour; félicitations à mes sœurs togolaise.🇹🇬🇹🇬🇹🇬🇹🇬👏👏
Twiga wanatakiwa wajipange upya kwenye defense, wamefanya makosa mengi sana. They have to improve in that area
Masaka sahivi sio mkatili kwenye lango kama zamani ila safi sana dada zetu👏👏👏🤜🤛💪🇹🇿
Kiwango kimeshuka dhahiri
ongera sana twiga star ushindi ndiyo cha kwanza show game peleka sokoni
Opah anajua mnoo...hii ni dhahabu❤
Twiga stars hamchezi kama timu sijui formation gani mnacheza kila mtu anataka kufunga hampeani pass stamina hamna mnakimbia tu na mpira
Togo Walikuwa Kwenye ubora na utulivu kuliko sisi Tanzania. Kocha wetu anatakiwa kuwatahadharisha wachezaji wake katika mechi ijayo...
True na tumekosa magoli mengi kweli watulie
Muda mwingine tusiwe tunapenda kulamu mechi kama izi aziitaji ubora zinaitaji matokeo ili upite kwaiyo kama mnasema togo alikuwa bora kwanini kapigwa tatu
@@nassorosalehhazard2450😂😂😂 hujaona kama tebebwa wew 2kiwafuata hawa 2takula nyingi
Yaaaaaaaaaaani 🙌 hizi sifa za kutaka kutrend mitandaoni zimetukosesha MAGOAL kupitia huyu mchezaji wetu AISHA MASAKA😢 Alitaka afunge yeye tu 🙌 akawa mchoyo wa PASI KWA WENZIE😭
Kama kiwango ndio hiki,kocha Bakari Shime ana kazi kubwa SANAAA kule Togo,kwa kweli walituzidi kila kitu,defense ya Tanzania HOVYO,basi ni mungu tu mipira IMEGONGA MWAMBA,WAMEPIGA MIPIRA NJE!
😂😂😂 hacha uongo na mbwembwe wewe, tumewazidi magoli, na points
wabinafsi sana wanapofika gorini inaboa wanasahau ushindi ni wa wote
Togo wameupiga mwingi, bahati tu haikuwa kwao Ila wangetufunga mengi 😂
VAINCRONS OU MOURONS MAIS DANS LA DIGNITE. ALLEZ LES CHAMPIONNES. VOUS POUVEZ MIEUX FAIRE A LOME
Defence ni mbovu sana!! Togo wangekuwa makini Twiga mlikuwa mnapigwa nyingi nyumbani....Huyo Masaka naye amejaa ubinafsi tu...
Timu Lina cheza kama Simba wa NBC😅
Nadhani tunahitaji kocha mwingine,aliyepo hana jipya tena!! Defence hamna kitu kabisa!! Strikers wetu kiukweli,wamefunga goli moja tu,la tatu!
Penalti tulishakosa,goli la pili wamejifunga wenyewe!!
Kwa hiyo penalty na goli la kujifunga sio magoli?
Penalty kweli?
Tz itakula nyingi togo
Hawa wanawake ipo siku TFF itakuwa yao
Wanawake niwanawake tu😂😂😂😂 wazi wazi unashindwa kutoa pasi
Nyie mngekuwa mnaweza si mngekuwa mmefika mbali ,Bora hata hao wanawake kuliko Ile timu yenu pendwa
😂😂😂😂😂😂Yani mtu na kipa hafungi duuu
Amuoni mi wanawake aisee😂😂
Asha masaka Hamna kitu
Asingecheza Ulaya kama ndio hivyo kaka ...kuchuja kwenye game ni jambo la kawaida
Jana hakuwa vzr ,but ni mchezaji mzuri sema kocha kazingua kumuacha dkk zote 90
Jaman hizi mambo tuwaachie tu wanaume bhana,,Sasa hawa kila saa wanaanguka anguka halafu mishuti hakuna,,oooooiiiiiiiiiiii hawa wabaki kushabikia tu Simba na Yanga bhana
Ww unaweza???