sherehe za mwanzo za Mapinduzi ya Zanzibar

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 10

  • @fatmasaid9765
    @fatmasaid9765 4 หลายเดือนก่อน +1

    Kuanzia hapo ndio shida zilianza chakula kwa foleni

  • @msabahaali758
    @msabahaali758 5 หลายเดือนก่อน +1

    kuanzia apo Zanzibar ndio imeangamia

  • @SurprisedOmbreSky-qg6dk
    @SurprisedOmbreSky-qg6dk 6 หลายเดือนก่อน +1

    Walofanya mapinduzi washakufa waadhibiwa kwa dhulma za kuuwa watu bila ya hatia watu wingi waliuliwa bila ya makosa na sio warabu hata wafrica wapo pia

  • @abdillahali836
    @abdillahali836 ปีที่แล้ว +3

    Hii ndio siku tulio angamia zanzibar hadi Leo tulipo

    • @HamisMberwa
      @HamisMberwa 10 หลายเดือนก่อน

      Nabado

    • @MdNasr-jm8pj
      @MdNasr-jm8pj 9 หลายเดือนก่อน

      Weee lkn tuhai 😢

  • @halimamvungi6742
    @halimamvungi6742 ปีที่แล้ว

    Mapinduzi haya yalikuwa vizuri Sana nimependa sana

    • @Khalid-mf3iu
      @Khalid-mf3iu 7 หลายเดือนก่อน

      Mapinduzi ya mauwaji?

    • @Khalid-mf3iu
      @Khalid-mf3iu 7 หลายเดือนก่อน

      Muislamu wa aina gani wewe

    • @allyabdallah4679
      @allyabdallah4679 หลายเดือนก่อน

      Mche mola wako