MGOGORO WA JESHI NA WANANCHI WATATULIWA NA RC MAKONDA, JESHI NDIO LENYE ENEO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 พ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 30

  • @user-hl6zd4pv7s
    @user-hl6zd4pv7s หลายเดือนก่อน +9

    Jeshi ndio kipenzi cha raia. Hawa jamaa wastaarabu sana. Hawa watu Mungu awabariki sana

  • @christophersamwel8236
    @christophersamwel8236 หลายเดือนก่อน +3

    Kiongozi mwenye Akili Kubwa Sana ni hazina ya Nchi hii Tanzania

  • @mshua337
    @mshua337 หลายเดือนก่อน +8

    Hv vikosi vya Jeshi vilikuwaga maporini sana wananchi tukavifata.sasa tukiachiwa kufanya shughuli zetu baadae tunaona ni maeneo yetu

  • @user-sy3mj5gh5g
    @user-sy3mj5gh5g หลายเดือนก่อน +5

    Mgogoro huo ni wa muda ni ukimya wa Jeshi ndio wananchi kuvamia ni kwa kuuziwa na majeshi

  • @aderanderwa7623
    @aderanderwa7623 หลายเดือนก่อน +6

    Ubarikiwe sana MUNGU azidishie Hekima

  • @saliminyusuph6122
    @saliminyusuph6122 หลายเดือนก่อน +7

    Imefika mda sehemu za serikali au za mwekezaji ziwekwe bikoni kubwa ili wananchi wasiingizwe kwenye migogoro na matapeli.

  • @christophersamwel8236
    @christophersamwel8236 หลายเดือนก่อน +2

    Majibu ya Kiwango Cha PHD

  • @anthonykingilo8576
    @anthonykingilo8576 หลายเดือนก่อน +3

    Wananchi muda mwingine mmmh cjui tunafeli wapi

  • @mshua337
    @mshua337 หลายเดือนก่อน +4

    Safi sana makonda.huwezi kulisuta jeshi kwenye mikutano ya hadhara wakae maofisini huko wamalizane

  • @jacksonjosephkungunde6337
    @jacksonjosephkungunde6337 หลายเดือนก่อน +1

    Asante sana mkuu wa Mkoa

  • @lawskuli9876
    @lawskuli9876 หลายเดือนก่อน +6

    Mtu kama ameuziwa huwezi kusema wamevamia. Kosa limefanywa na maofisa wasio waaminifu ambao wameuza hivyo si sawa kusema wamevamia.

  • @VeronicaAdam-lx8yd
    @VeronicaAdam-lx8yd หลายเดือนก่อน +2

    Wananch ndo wanafat wanajesh

  • @philipjoseph5931
    @philipjoseph5931 หลายเดือนก่อน +1

    Ila wewe Makonda, akili nyingine siyo yako ni ya Roho Mtakatifu!!!!!

  • @HilaryMsekefu-gw1ve
    @HilaryMsekefu-gw1ve หลายเดือนก่อน

    Amina

  • @user-sy3mj5gh5g
    @user-sy3mj5gh5g หลายเดือนก่อน +1

    Hao wavamiz muda mrefu

  • @VeronicaAdam-lx8yd
    @VeronicaAdam-lx8yd หลายเดือนก่อน +2

    Wache kabisa Sias jesh liheshimiw hakun Askar jeshi alieko kwenye sias

    • @alexvenas2699
      @alexvenas2699 หลายเดือนก่อน

      kwahiyo hata kama wako kinyume waheshimiwe?

    • @user-jn2qj5wf6c
      @user-jn2qj5wf6c หลายเดือนก่อน

      Mbona mnapenda kujipendekeza kwan jesh si chombo Cha wanainch unapo sema jesh haliko na siasa mh jakaya na kinana walikuwa akina nan?

  • @OmanOman-dn6dj
    @OmanOman-dn6dj หลายเดือนก่อน +5

    WANAJESHI OYEE

    • @martinemaganga5253
      @martinemaganga5253 หลายเดือนก่อน +1

      Jeshi halihojiwi,SASA utamhoji Nani?😂😂😂😂

  • @iddiyusufu4408
    @iddiyusufu4408 26 วันที่ผ่านมา

    Tatizo letu wananchi tunakurupuka sana nafiri naona majibu ya my.Makonda yanajitosheleza haina haja ya kwenda kwa mkuu wa wilaya wala cha kumtafuta mchawi ni nani sisi ndo tunashida tujitafakari kwani mababu na baba zetu tuna walikuwa na umeliki au walihifadhi tu

  • @Alphonce-em2xi
    @Alphonce-em2xi หลายเดือนก่อน

    Kabisa

  • @user-sj3wf5vz7l
    @user-sj3wf5vz7l หลายเดือนก่อน +2

    Master plan ya nchi nzima haipo. Maana jeshi linatakiwa liwe na maeneo rasmi na mipaka iwekwe ili hata kama ni pori lakini alama zitaonyesha haya ni maeneo ya jeshi.
    Kuna mambo mengi yakufanya kuhusu wizara ya ardhi kwa kweli.

    • @salmanmagwe2612
      @salmanmagwe2612 หลายเดือนก่อน

      Si tayari umeambiwa wana HATI tangu miaka ya hamsini?

  • @SylvesterAmbokile-ur2vd
    @SylvesterAmbokile-ur2vd หลายเดือนก่อน +4

    Jeshi siku zote huwa halina ugomvi na wananchi.Watu huleta siasa ktk masuala yoote.
    Nyerere aliliweja jeshi maporini siku nyingi tokea uhuru.
    Nao wanajeshi waweke alama mapema wananchi wasisogee.

  • @Ba63828
    @Ba63828 หลายเดือนก่อน

    Alikacha jeshi sio mchezo

    • @martinemaganga5253
      @martinemaganga5253 หลายเดือนก่อน

      Jeshi halihojiwi,anayetakiwa kuuliza ni raisi peke yake ambaye ni amiri jeshi mkuu

    • @Ba63828
      @Ba63828 หลายเดือนก่อน

      @martinemaganga5253 Are u a lawyer and if you're then you're misinterpretting the law.

    • @straitnews3441
      @straitnews3441 หลายเดือนก่อน

      ​@@Ba63828 huku ni Africa

    • @simbeyekingsministrytv9035
      @simbeyekingsministrytv9035 หลายเดือนก่อน +1

      Hekima kubwa hiyo